Salama Na BABU TALE Ep 51 | JUGGLER PART 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
    Support us through anchor.fm/yahs...
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪RUclips Link bit.ly/RUclipsS...
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

Комментарии • 91

  • @alicethobias932
    @alicethobias932 4 года назад +4

    Yaan Kama kunamtangazaji namkubari namba 1 hapa tz ni salama nakupenda sana dada

  • @maulidimbau1910
    @maulidimbau1910 4 года назад +6

    nakukubari sana bro babu tale upo mtanashati sana full respect hauna makuu bro

  • @xumilumixx6156
    @xumilumixx6156 4 года назад +1

    Awww he sounds a nice lad....Allah akitaka kukupa its kunfayakuuun,

  • @patriciomanuelmwadi525
    @patriciomanuelmwadi525 2 года назад

    Pole sana mzee wangu

  • @devothasanga1221
    @devothasanga1221 4 года назад +1

    Sheikh Tale pole sana,kazi yake Mola haina makosa and don't forget that time heals,nakuombea Mungu akufanyie wepesi upone nafsi na Moyo kwa haraka.

  • @G.S985
    @G.S985 4 года назад

    Pole sana Babu Tale ,Mungu aendelee kukupa nguvu na mafanikio katika yote ,Salama wewe ni Mtangazaji mzuri sana.

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 года назад +3

    Salama jabir always 👌🏿,Babu tale waonekana mtu wa busara twakuomba tumia busara zako kwa kuwapatanisha Diamond na Babake mlezi mzee Abdul(ex baba mzazi)😔❤🇨🇭🇹🇿

  • @daktar_kapaku_natural529
    @daktar_kapaku_natural529 4 года назад +2

    Daah pole sana brother Tatizo wanawake wa sasa mwezi mchanga utamuoa nan. Waleo bora wajana Wanahesabu za kula na kupiga atazidi kukuletea mastress mwisho wayote akufelishe kaza Bro kua nasubra Allah atakupa Mbadala sio hawa wahuni ,wezi wa karne hii

  • @nasserhabsi9309
    @nasserhabsi9309 4 года назад +3

    Khabari zenu za interview..
    Ndugu Khamis usiseme hutaoa sababu hivyo itaonyesha umemfanyia chuki mwenyezi Sawa..
    Hiyo ni dini yako unayoiamini..
    Asante. Nasser Habsi..

  • @albertdoherty9394
    @albertdoherty9394 4 года назад

    Pole babu tale Allah akupe subira nasahau pia zidisha kumuombea dua mkeo machozi hayana faida kwake unamzidishia mateso pia Allah akufanye wepes mjenge mckiti ukimaliza owa ili usalimike na adhabu ya Allah hukuanza ww kufiwa namke alifiwa mtume wetu namkewe kipenzi chake nakipenzi cha wote nailipewa nasaha akaoa ww usipo owa utakua unamfata mtume yupi au utahitaji kuombewa shufaa kwa Allah namtume yupi mkeo alikwambia usioe kwamaa alikua anaogopa watoto watateswa na mama mlezi so tafuta mwenye dini imani huruma mapenzi hofu ya Allah kisha owa

  • @yogaking01
    @yogaking01 4 года назад

    Babu Tale is very inspirational funny afu charming juzi alikuwa huku Morogoro kwenye event fulani hivi nikapata chance ya kumuuliza na swali 😁

  • @Love4Ril
    @Love4Ril 4 года назад +1

    Kifo cha mke ni msiba mkubwa sana. Mungu amlaze mahala pema mkeo Mh. Taletale

  • @mbaongao8927
    @mbaongao8927 4 года назад +2

    Dada Salama, kamziki kanaujumbe mzr sn hako ebu siku moja kapge mwanzo mwisho..!
    Gd conversation I like it. Big up too

  • @balegadaffi4472
    @balegadaffi4472 4 года назад +7

    Mm mkiniletea afande sele na 20 nitaenjoy

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 4 года назад +2

    Mara "PAP ".....Mh MAGUFULI na Salama. Patawaka Fire

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 4 года назад

    Mbunge wetu nakukubali sana MUNGU akusimamie kwenye kazi zako

  • @albertdoherty9394
    @albertdoherty9394 4 года назад

    Salama wangu umesoma dini wajua mshauri babu tale aoe ndo dawa yakuondosha mawazo

  • @isamazatv.115
    @isamazatv.115 4 года назад

    Keep it up Salama

  • @KardinalJentoOtenga
    @KardinalJentoOtenga 4 года назад +1

    Tale nakupongeza sana ulivyo ongea kuhusu Ruge, maana kipindi unakuja THT, mimi kama mwalimu hapo nilikuwa nakuona kila siku pembeni ya Ruge kujifunza vitu tofauti

  • @leblue4768
    @leblue4768 4 года назад +3

    Nuyu jama namkubali kinona ila amshauri Nasibu

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 года назад +1

    Asilimia kubwa na wagen hawaachi kumtaja Ruge kwa mazuri apumzike kwa aman🙏

  • @officialteeh1213
    @officialteeh1213 4 года назад

    Congratulations babu tale more love

  • @salmaabduli700
    @salmaabduli700 4 года назад

    Babu tare fany tuonan nameng natak nikwambiy

  • @antoninaseverin9164
    @antoninaseverin9164 4 года назад +6

    R.I.P Ruge... Alikuwa mtu na nusu

  • @zuzuzizi3519
    @zuzuzizi3519 4 года назад

    Asante salam

  • @chaukassim9586
    @chaukassim9586 4 года назад

    Salama bhana. Afu haitwi mastar inaitwa mastars

  • @zainabyaseen5270
    @zainabyaseen5270 4 года назад

    Wimbo mzuri

  • @fransiscaminja9857
    @fransiscaminja9857 4 года назад

    Najikutaga nampenda huyu kaka,

  • @winmnyangabe6716
    @winmnyangabe6716 4 года назад +2

    #Mavazi Yao Akili Zakwetu

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 4 года назад

    Asante kwa tare tare

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 года назад +8

    Ndiyo kuna watu wajue ni jinsi gani(Nassib) diamond ana akili taaangu zamaniii""kukimbilia kwa mwana Sheria mapeeema""

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 4 года назад

    Funzo la Iman Tosha!

  • @zuzuzizi3519
    @zuzuzizi3519 4 года назад

    Babu tale anamapenzi

  • @godfreypaulo8355
    @godfreypaulo8355 4 года назад +3

    Kipindi kikali sana

  • @kennethkwai1519
    @kennethkwai1519 4 года назад

    Sijawahi kuwa mchafu ila sijawahi kuwa msafi 😂😂Mnapenda danga

  • @yusufumulumba5242
    @yusufumulumba5242 4 года назад +1

    Dada muzungu 😍. Mambo? Uku Norway Tunakupenda saana

  • @MzeeKobe_254
    @MzeeKobe_254 2 года назад

    Niko hapa after interview ya Salaam SK, mwanamme lia lia... iko kitu anaficha, tuache ujinga... Mendez, usiseme... ujinga... no emotions for this bs... sad!

  • @MrSABYY
    @MrSABYY 4 года назад +2

    Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....
    ------------------
    Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa,
    Asante
    1: IST old - 850,000/=
    2: HARRIER New-1,000,000/=
    3: HARRIER Old-950,000/=
    4: RAV 4 - 950,000/=
    5: RAUM - 850,000/=
    6: SPACIO - 850,000/=
    7: PASSO - 800,000/=
    8: VITZ - 800,000/=
    9: PREMIO - 850,000/=
    10: ALTEZA - 850,000/=
    11: SUBARU - 850,000/=
    12: CARINA - 850,000/=
    ----------------------------------------
    Gharama hizi zinahusisha malipo ya
    1: Port Charges
    2: Shipping Line
    3: Walfage
    4: Agent Fee
    5: Plate no
    ----------------------------------------
    ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
    ☎️Whatsapp +255 653953900
    📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
    Instagram@mr_sabyy
    🏢Company: Mofaz movers
    📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
    Dar es salaam, Tanzania
    *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
    *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
    *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏

  • @latifamkulazi8378
    @latifamkulazi8378 4 года назад

    ,🤣🤣🤣sijawahi kuwa mchafu na ....bila kusahau MKULAZI hatuna hospital.

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 4 года назад

    Allah akusimamie

  • @alexanderndunguru1942
    @alexanderndunguru1942 4 года назад +2

    Next #Salama na kiba

  • @maungalaasim9788
    @maungalaasim9788 4 года назад

    Interview hii mke wangu imejaa sana

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 4 года назад +11

    Duh ,,wabunge wanakula pesa nyingi. Duh

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 4 года назад

    Bank inakupa mipunga....
    You have one option magnifying is the only way forward!

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 4 года назад

    Halafu unasema hujui kufua boxer yako,pyeee 😜😜

  • @mbuyutv8271
    @mbuyutv8271 4 года назад +1

    Nahitaji kuwasiliana na wewe please

  • @abdulazizam2929
    @abdulazizam2929 4 года назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦 Nice talk

  • @winasjohn6130
    @winasjohn6130 4 года назад +2

    Inspiration man in this generation 🙌 👏

  • @redpromediat.o.tstrongteam1679
    @redpromediat.o.tstrongteam1679 4 года назад

    Nimesikia sijawahi kuwa msafi, ila sijawahi kuwa mchafu.

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 4 года назад +2

    👍❤

  • @dicksoncee1
    @dicksoncee1 4 года назад +2

    🥰

  • @mbuyutv8271
    @mbuyutv8271 4 года назад

    MashaAllah MashaAllah. Pole sana Tale.
    Salama mbona sikupati kwenye whatsApp?

  • @mbutananga389
    @mbutananga389 4 года назад +2

    ILA haya maisha kweli ni Kama Movie . PT 1 umeniliza ulikuwa unatia huruma . Sad 😥 HAPA PT 2 umegeuka Ukawa KAMA SIYO WEWE KABISA... Duu... NGACHOKA 🤦🏽‍♀

    • @mbutananga389
      @mbutananga389 4 года назад +1

      Yani Pt 2 Unaongea kama hata Huja finally.. 😄 🤣

    • @mbutananga389
      @mbutananga389 4 года назад +3

      Kama huja fiwa... Mungu azidi Kuwapa Nguvu WAFIWA WOTE "

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 4 года назад +3

      Kumbuka part 1 alikuwa anaongelea sana kuhusu mke wake

    • @hanifaally4694
      @hanifaally4694 4 года назад +3

      Hawez Kulia muda wote part1 alimuongelea sana marehem ndy maana

    • @hanifaally4694
      @hanifaally4694 4 года назад +1

      Hawez Kulia muda wote part1 alimuongelea sana marehem ndy maana

  • @nicksonmtalemwa4019
    @nicksonmtalemwa4019 4 года назад

    Make Nahreer your next guest

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 4 года назад +2

    Interview Ya Kawaida Sana Hii Imekuwa Stry Ya Mke Tu Na Sio Vle Tulivyotegemea

  • @balegadaffi4472
    @balegadaffi4472 4 года назад +4

    Mnatuchelewesha sna watu wa RUclips 😔🙏

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 4 года назад +1

      Nimeshangaa sana fb wame post toka jana

    • @pili3750
      @pili3750 4 года назад +1

      @@noxlosingida2369 fb anatumia jina gan

    • @beatricetenywa4367
      @beatricetenywa4367 4 года назад

      Hata ivo ilikuwa jpili ndo wanaweka jmosi sasa hiv angalau wamesiki ushaur wetu sasa watuchanganyie na wanawake kitambo sana hawajakuja kipindini

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 4 года назад +3

    salama leteni mbosso /rayvanny

  • @majormalyuta2669
    @majormalyuta2669 4 года назад +1

    Mlete p funk majani

  • @faridapatel7584
    @faridapatel7584 4 года назад

    Hiyo nini imefunikws na mtandio?

  • @kelvindanda6052
    @kelvindanda6052 4 года назад +1

    Hii interview haina msisimko kama interview nyingine mtu ulie tuletea hana content za zaidi ya kutilisha huruma tu hamna lolote

    • @jimkellyngige981
      @jimkellyngige981 4 года назад +1

      Kweli wewe ni danda sio kwa jina tu...a true fool and embecile

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 4 года назад

      @@jimkellyngige981 loooh umenifurahisha saaaaaaana. Nilikua natafakari nimjibu nini huyu jamaa. Na huyu sio IMBECILE tu ni COYOTE lakutupwa

  • @sifa4946
    @sifa4946 4 года назад

    😭😭

  • @rksimulizi9208
    @rksimulizi9208 4 года назад

    ruclips.net/video/4cNXhbdj3Bc/видео.html
    Wafahamu WAJITA, Hii ndio Historia ya Kabila la WAJITA

  • @rabiahamadi5866
    @rabiahamadi5866 4 года назад +1

    Hiyo nyimbo ya mwisho inayosikika inatwaje

    • @delilahbutterwick9789
      @delilahbutterwick9789 4 года назад

      Rabia hamadi ukipata nijuze pia na mimi naitaka

    • @beatricetenywa4367
      @beatricetenywa4367 4 года назад

      Inaitwa Yeah.. ameimba marco chali feat one the incredible &msamiati.hata mm nipenda sana.

    • @beatricetenywa4367
      @beatricetenywa4367 4 года назад

      @@delilahbutterwick9789 inaitwa yeah ameimba marco chali ft one the credible & msamiati.

  • @nickylyanga2139
    @nickylyanga2139 4 года назад +1

    Nataka nigoogle najambisha ...du

  • @levienlevismmbenga2415
    @levienlevismmbenga2415 4 года назад

    Mlete jeshi harmonize jikaze ufanye interview naye

  • @rksimulizi9208
    @rksimulizi9208 4 года назад

    ruclips.net/video/4cNXhbdj3Bc/видео.html
    Wafahamu WAJITA, Hii ndio Historia ya Kabila la WAJITA

  • @rksimulizi9208
    @rksimulizi9208 4 года назад

    ruclips.net/video/4cNXhbdj3Bc/видео.html
    Wafahamu WAJITA, Hii ndio Historia ya Kabila la WAJITA

  • @rksimulizi9208
    @rksimulizi9208 4 года назад

    ruclips.net/video/4cNXhbdj3Bc/видео.html
    Wafahamu WAJITA, Hii ndio Historia ya Kabila la WAJITA