Hapo ndipo watu wajue na wakubali kwamba ni kweli salama jabri amechangia Sana,Sana tena sana mapinduzi ya video za muziki hapa nchini.tukubali au tukatae ukweli ndio huo.
I had to go back and check ur stuffs ,,sikua nakujua kabisa...after doin so...nimenyoosha mikono ....Fetty Fetty Fetty naomba ufanye Rap kama za Eve na Yemi Alade jamani unaweza mnoooo...kwenye Rap unatosha sanaaa...kwenye kuimba unajua pia ila nikama unajibana sana...muachie zuchu aimbe ww fanya Rap za kike zile soft unapendezea sanaaa...nimekupenda sana...inshaalah wakati utafika utavuna matunda ya jitihada zako....u are very talented and cute...All the best🌹🌹🌹Sky ubarikiwe sana kwa unachofanya...
Mama na baba wa dini sana Mashaa Allah ila tu wewe ndo una warudisha chini hata hijabu pia uliitupa Subhana Allah wacha waendelee kufurahia matunda ya malezi yao
Tulio msikia mond hapa muekee like zake 👇
Gg
Who came here bcoz of the title named diamond platnumz?
Me
Me 😥
Me
Hapo ndipo watu wajue na wakubali kwamba ni kweli salama jabri amechangia Sana,Sana tena sana mapinduzi ya video za muziki hapa nchini.tukubali au tukatae ukweli ndio huo.
Nimekuja hapa baada ya kusikia #💎diamondplatnumz
Alitisha sana kwenye Tamala ya Harmad kwenye 2003 hivi
Kumbe huyu ndo wa kwenye TAMALA 😊.Daah super talented 💖🇹🇿
Kama umekuja hapa kwaajili ya Diamond platinumz bofya 12:00 utakuja unishukuru badae kwa kuokoa MB zako
Thanks buda 🔥🤞
Danke
#Shoekran
😂😂😂😂
Asante sana
I had to go back and check ur stuffs ,,sikua nakujua kabisa...after doin so...nimenyoosha mikono ....Fetty Fetty Fetty naomba ufanye Rap kama za Eve na Yemi Alade jamani unaweza mnoooo...kwenye Rap unatosha sanaaa...kwenye kuimba unajua pia ila nikama unajibana sana...muachie zuchu aimbe ww fanya Rap za kike zile soft unapendezea sanaaa...nimekupenda sana...inshaalah wakati utafika utavuna matunda ya jitihada zako....u are very talented and cute...All the best🌹🌹🌹Sky ubarikiwe sana kwa unachofanya...
sky unastahiri tuzo kabisa wewe ni mutangazaji uko very smart kabisa sio ware watanhazaji wanatureteya story za uwongo sns 💪💪💪👊
Achia kazi na Rosa ree
Tunatoka mbali sana diamond wa kipind icho alikuwa mzee ila wa sasa ni kijana
Heshima pesa
😅😅😅😅nina miaka 43 nikipata pesa nakuwa 20
🤣🤣🤣🤣
😁😁😁
@@President-seed good
Nimependa sana dada unaongea kistaarabu kweli 😍
Sio kina Gigy kiki
#diamondplatnumz em muone dada fatma hata kdogo jaman tunajua una mambo meng em fanya nae kitu plz
Nimekuja kujua wimbo wa kwanza wa diamond
Love your work
Huyu dada namkubi Sana,na ilikuwaga ndoto yangu kubwa kufanya nae ngoma.
Chanel kwss ninayoikubal ni hii nawapend xn amsemag uongo taharuf zenu za ukwel
Hii mm huwa naiita chill na fundi
Nimekuja apa juu ya diamond platnumz msani wang wa dunia namkubal leo mpaka kesho
😁😀😀😁😁
Huyu fatma kitambo sana anangoma ameimba na hardmad kali hadi leo hii
One foot 👣 infront of the other so aliye chini hupanda nd truth is if you want to prosper lazima you change for the better
Then on that song this lady was in and rommy Jon's 🔥🦁🦁
We maisha yako unafikiria kueleza wakat niyako unajua A-Z muongo mkubwa
Kuna ngoma alifanya na young dee nilkua naielew san, dee alkua mdogo Sana.
Napenda ile nyimbo yake ya alif kwa ujiti.nimekumis Sana fatma
Salute kwa salama
Nakumbuka kuna wimbo kaimba na jafarai
Kitu kama ile napenda pipi isiyo na maganda
@@lusticabernad7693 ndioo huo huo 😀😀😀
Pamoja sana
Wimbo wa kwanza unaitwa Diamond na Diamond alivaa kitu kinawaka kama Diamond sikioni, Nakumbuka Salama alimkashifu sana Diamond!!!!????
Wimbo unaitwa toka mwanzo
Nimepita pita kote nikaona pltunumz chibu nikasema nichill kdgo
Hahahaha
😂😂😂👍
Bro , I salute you, you are blessed with the Voice, and u do it well!
𝐊𝐚𝐳𝐢 𝐧𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐤𝐚𝐤𝐚
Kweli watu wanatoka mbali sanaa almuhim kujikaza na subra
Nice
my best
Mbn ata ajabadilik yupo vle vle
Huyu fatma namkumbuka nilisoma nae madrasa pale line police mabatini mwanza
Hv hyu fatma a.k.a fetty sley ndo yumo kweny ile ngoma ya Ziggy Dee inaitwa enomic? Maan km anafanana vle
Ndio yy hujakosea kabsa
Ndo uyu
@@misanamohamedi8438 axnt sana misana
@@countinguptoupthere5169 axnt xn rayo tv
Yani sns mine Subscrib kwajili ya update za mtumzma mondi hahaha kama mnateseka litawachoma
😂😂
Hahahaha ukitema Cheche tunakuchoma
To be honest simuliz mko vzr Sana mtu unainjoy kuangalia interview haina mbwembwe yan yakiutu uzima keep on going
huyu naye uzee umemkataa kabisa jamani
Mbona hamjaweka part 2
Sky mtafute na Raha P nae tujue yuko wapi nae anaendeleaje na life ya mziki
Mwanza au Lindi?
tupe uchambuzi wa nyimbo litawachoma
Karembo jamani
Chama la wana SNS mko vzr nawakailisha Chama +260🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Dem ana poz zur
Story inanoga kuanzia dkk 11:30
#DiamondPlatnumz
Tuleteeni uchambuzi wa video ya lotawachoma wa chuzu and diamond
😂😂😅🎉🎉🎉😂
Nilisoma nae shule ya msingi KINONDONI
❤️❤️
Mama na baba wa dini sana Mashaa Allah ila tu wewe ndo una warudisha chini hata hijabu pia uliitupa Subhana Allah wacha waendelee kufurahia matunda ya malezi yao
Dini tumeletewa tuu, anaetaka kufuata afuate anaeteka mambo mengine pia tuwaache wafuate yao. Maswala ya kulazimisha dini veepee.
NATAMANI KUJUA HIYO NYIMBO JAMANI
Wimbo unaitwa Toka mwanzo.. Dimond ft fatma
Leo Mond ameshakuwa Simba
Huyu dada si anapeana story vizuri😅😅
Eti anapeyana nini? Kama vile haija kaa poa
@@hahmadhabibu2076 OK wakenya tunasema kupeana story..means kuhadithia
@@alianzarodger538 I been in Kenya for 5 years btw lol I miss nairofi ...
Dah! Hy dada nimempenda bure ngemwoa hasee km atanielewa namtafuta popote alipo
Mondi kama unaona huyu binti usimuwache gonga like kama umesikia jina la simba hapa.
Fetty angekua ana Rapp ndo bomba zaid
Makoti kama nyumba ya kobe
🙏
ruclips.net/video/EaBfHI6bV6g/видео.html
Ipe utulivu hiyo link uiskize then acha comment yako
Sky zuchu huku
About diamondplatinumz 12:00
Fedrick bundala naomba tuwasiliane +255765020152
FILM BORA YA KISWAHILI 2020
ruclips.net/video/WS-8SwYWm_E/видео.html
12:00
Mfahamu MTU MWEUSI ALIYEHESHIMIKA NA WAZUNGU KWASABABU YA PESA -GUSA ruclips.net/video/x9nMYA6n33Y/видео.html
Aliimba halif kwa ujiti