VIJANA WA ARUSHA WAFUNGA MTAA BAADA YA MGOMO, WAAMUA KUCHEZA MPIRA "HATUFUNGUI DUKA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 107

  • @jamalomaryhuyushekhhakunak9020
    @jamalomaryhuyushekhhakunak9020 6 месяцев назад +21

    Serikali kuweni makini saivi kila raia ni muelewa wa jambo

  • @YohanaMagembe-i6z
    @YohanaMagembe-i6z 6 месяцев назад +12

    Bunge la mapambio wenye hoja nzuri wanapewa adhabu kazi kuongezeana mishahala

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 6 месяцев назад +9

    Kazi iendelee wazee na vijana let's work continue kumbukeni kuwa mjenga nchi ni mwananchi

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 6 месяцев назад +10

    Tanzania mpina mmemfungia bungeni Kwa kututetea ck 15 na anasema ukweli mnawatetea akina bashe na mwigulu haya Sasa kazi ya Kenya imehamia Tanzania acheni uonevu

  • @PaskalinaChristopher
    @PaskalinaChristopher 5 месяцев назад +5

    Magufulification of Africa

  • @barakachibwana3708
    @barakachibwana3708 6 месяцев назад +6

    Viongozi watumie busara Sana inch yoyote bila Amani sidhani kama inch ina toboa, wabunge huko bungeni angalieni mliko toka msijisahau sana

  • @japhetmininga5748
    @japhetmininga5748 6 месяцев назад +9

    Mungu tukumbuke sasa Dunia Iko mwisho

    • @theresiagideon2178
      @theresiagideon2178 6 месяцев назад

      Kabisaaaaa

    • @merygodfrey3709
      @merygodfrey3709 5 месяцев назад

      Jamani mimi sio mwanasiasa lakini kitendo cha kumtoa mpina nje ya bunge kwa siku 15 kama yeyembunge hapati hasara ila wale anaowasemea ambao ni wananchi waliomchagua wao ndiyo wanaumia sana na matokeo yake wananchu haohao wanajenga chuki na chama ambcho pia ndiyo serikli.Kwa maoni yangu ningeshauri kama kulikuwa na kitendo cha upotevu wa nidhamu kungefikiriwa namna nyingine ya kumwadhibu badala ya kumsimamisha mojakwa moja.hiyo ni sauti ya wananchi wa kisesa.NI WAZO TU SINA JINGINE.

  • @isamony58
    @isamony58 6 месяцев назад +4

    Yani tutaungana na wakenya mda simrefu uyuuu tumewachoka viongoziiii

  • @FunnyChess-ns9vf
    @FunnyChess-ns9vf 6 месяцев назад +1

    Hakuna kitu kibaya kwenye maisha kutokujitambua na upo kwa ajili ya nini duh mungu tusaidie

  • @tatusalehe8775
    @tatusalehe8775 6 месяцев назад +2

    Nchi yetu viongozi wanaishi maisha mazuri kuliko wananchi wanaowatumikia hata kama watakula Kwa nafasi zao wajitahidi basi kufanya mambo mazuri Kwa wananchi

    • @paulojohn-bh2vz
      @paulojohn-bh2vz 6 месяцев назад

      Nakuuunga mkono

    • @Bushman000
      @Bushman000 5 месяцев назад

      Umenena vema

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile 5 месяцев назад

      Wanatuonaga kama kichwani ni 0 na kama hawatajilekebisha ipo siku na hawatapata majibu . MUNGU tusimamie

  • @jamilakiroga7483
    @jamilakiroga7483 5 месяцев назад

    😂😂😂endeleeni kucheza mpira mpaka kkeleweke

  • @maryamsaleh4787
    @maryamsaleh4787 6 месяцев назад

    😂😂 asa hio pechi ilipangwa mda gan 😂😂😂 dah mungu ibarik Tanzania ❤

  • @robertmoshi2113
    @robertmoshi2113 6 месяцев назад +7

    TRA waonevu sana

  • @EnockAdam-h1l
    @EnockAdam-h1l 5 месяцев назад

    My country peace love it

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge 6 месяцев назад

    Safi sana Arusha wenzenu wa Dar wanafiki wengine wanafungua wengine wanafunga alafu mtaa huo huo

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 5 месяцев назад

    Me naona hawa wenye mamlaka wangerekebisha haya mambo mapema na wafanyabiashara waendelee na maisha yao..Mbona haya mambo ya kodi kubwa na nyingi yanaongezeka kwa kasi sana kipindi hiki?

  • @decruzz6792
    @decruzz6792 6 месяцев назад

    Jirani Yao WaKenya saivi Akili Zimeanza Kuchangamka 🎉

  • @AgathaSahani
    @AgathaSahani 5 месяцев назад

    Wangecheza lini sasa...kumbe kunavipaji huku na hamsemi

  • @nicolausminja689
    @nicolausminja689 5 месяцев назад

    Hii ni Tanzania watu wastaarabu sana.hatua isipochukuliwa mapema mkaeka dharau na kiburi yatatukia ya Kenya.mtatolewe kwenye utawala na wananchi.

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 6 месяцев назад

    Mmmh serikari msitwishe wananch mzigo mzito unaona sahivi wameanza kukusanyika

  • @wamburajohn1009
    @wamburajohn1009 5 месяцев назад

    Watu wakishiba husahau changamoto zao.....ninaomba mama akaze sana, tena sana tupate akili.

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 5 месяцев назад

    Sipo duniani kwa ajili ya mtu au watu fulani, zaidi ya kuwaheshimu ,,

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 5 месяцев назад

    Kwann msiende kwenye uwanja wa mpira sio tabia nzur haipendezi

  • @laizermaasai6759
    @laizermaasai6759 6 месяцев назад

    Mkifunga hata weak nyie vidume😂😂😂😂. Niko paleeee nimekaaaaa

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 6 месяцев назад +9

    Wachaga na pesa Hao hawatoboi mpka kesho watafungua tu😅

    • @sethjohnson7266
      @sethjohnson7266 6 месяцев назад

      😂😂😂😂

    • @jonasimwanzi
      @jonasimwanzi 6 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂 unajuwa

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 6 месяцев назад

      Wamajidanganya Eee 😂😂😂

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 6 месяцев назад +1

    kueni makini wanaeeza iga tabia ya kenya tukataftana hapaa

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 5 месяцев назад

    Hao matako tu hata hawaoni wenzao kenya wanafanya nini yaani Serikali haito kaa iache kutudharau kwa hali hiyo

  • @EnockAdam-h1l
    @EnockAdam-h1l 5 месяцев назад

    Ila Arusha

  • @firingsquad2559
    @firingsquad2559 5 месяцев назад

    Wote tulieni samia afanye anachofanya, si muugulie ndani kwa ndani kama kawaidaa, , acheni kuzingua nyie

  • @Franco_carlo25
    @Franco_carlo25 6 месяцев назад

    Huku nd wako serious n mgomo😂😂

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 5 месяцев назад

    Waache tra wafanye biashara ujinga wa tra watarilipa taifa fidia wasitaninee waona kama wao ndoo wenye akili kuliko mtu mingine kumbe wao ndoo watu ambao hawajui chochote

  • @omariabeid3291
    @omariabeid3291 6 месяцев назад

    Inchi anzilishi East Africa ni migomo !!! Kulikoni?

  • @BlazeSunshine-je1zt
    @BlazeSunshine-je1zt 6 месяцев назад

    Nyinyi mnachelewa tu na mnafeli wapi kuingia Road kama Kenya hiyo inaitwa taxis force kwa wana serikali wa tz

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 5 месяцев назад

    Wakenya akili zao zimesha changamka

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 5 месяцев назад

    Mtakubari mawazo ya sisi malofa

  • @mayazamzam7274
    @mayazamzam7274 6 месяцев назад

    Wanamkomoa nani?

  • @AlfredmandelaHamaro
    @AlfredmandelaHamaro 6 месяцев назад

    Niku mutoo sana 😂 angalieni msije mkafanya kama ndugu zetu wakenya 😂😂😢

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 6 месяцев назад +1

    Nyie mgomo hmuuwezi wachieni Mbeya

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 6 месяцев назад

    Hii nchi ni wapumbavu tu ndo wanaweza kuvumilia utawala huu wa kinyonyaji kiasi hiki😭

  • @YustoMlay-cv4zb
    @YustoMlay-cv4zb 5 месяцев назад

    Ata wengine sio wafanyabiashara apo

  • @givennoel4671
    @givennoel4671 6 месяцев назад

    😢😢😢😢

  • @MeshackMayenga
    @MeshackMayenga 6 месяцев назад

    Hapo wanatest kuangalia nguvu ya dola,mwisho wasiku watafanyazaidi yahapo.Serkali isiruhusu hivi vitu.Serkali inashinikizwa kutoa adhabu yakulipa faini ya 15m ya kutotoa list, vipi wawe na wasiwasi kama niwaaminifu,moja kwa moja inaonyesha hawapo tayari kutoa list.

    • @BahatiMwantimwa
      @BahatiMwantimwa 6 месяцев назад

      Ushawahi kufanya biashara au unalopoka tu kisa unakula bule na kulala bule

  • @AllyTanzania-ns5wy
    @AllyTanzania-ns5wy 5 месяцев назад

    oyaa weee nakuɓali ase

  • @shikuhata
    @shikuhata 6 месяцев назад

    Faini milioni 15 kama haujakata risiti🤣🤣🤣✍️✍️✍️

  • @MoringeLeboy
    @MoringeLeboy 6 месяцев назад +1

    Wakenya wanatucheka😢😢😢

    • @Tumain-Kulubone
      @Tumain-Kulubone 6 месяцев назад +1

      Wao wanalia saaa😂

    • @MeshackMayenga
      @MeshackMayenga 6 месяцев назад

      Nawewe nendakaingie bungeni fantastic vurugu au nenda ofisi yoyote ya serkali kafanye vurugu iliwakenya wasikucheke badalayake wakusifu.

    • @leahmanase1034
      @leahmanase1034 6 месяцев назад

      Jeuri hiyo anaitoa wapi? Hapo anasema hivyo anatafuta sifa,ahamie huko kenya sasa.​@@MeshackMayenga

    • @thamani5842
      @thamani5842 6 месяцев назад

      Wamefaidika na nn?

  • @raphaelkorio2435
    @raphaelkorio2435 6 месяцев назад

    Sisi huku Kenya tunasimamisha miswada mibovu

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 6 месяцев назад

    Watu wa Arusha ushirikiano ni sufuri

  • @mrabsheba5153
    @mrabsheba5153 6 месяцев назад

    HUU NDIO MGOMO😂😂😂

  • @EmanuelJosephMahenge
    @EmanuelJosephMahenge 6 месяцев назад

    Hela ikiisha tutaanza maandamano hadi kieleweke. Uoga na kutojua haki yako kusisababishe kuwabeza hawa watu. Hawa watu wanajitambua na wanachofanya ni kuitaka attention ya serikali, hii ni namna ya kufikisha ujumbe kwa serikali kuwa hatujaridhika na maamuzi ya bunge. Chamsingi tunaomba Rais alifikirie upya suala hili.

  • @songeza
    @songeza 6 месяцев назад

    RC Makonda okoa jahazi linazama

  • @Jackxon_tz1
    @Jackxon_tz1 6 месяцев назад

    Duuuh😢

  • @azizambise
    @azizambise 5 месяцев назад

    Nchi ya Chuga

  • @Jackxon_tz1
    @Jackxon_tz1 6 месяцев назад

    Duuuuh😮

  • @GabrielAlphonce-l4o
    @GabrielAlphonce-l4o 6 месяцев назад

    😊😊😊😊😊

  • @AshouHumaid
    @AshouHumaid 6 месяцев назад

    Wameiga nchi jirani hao

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 6 месяцев назад +1

    Tutamkumbuka sana

  • @JosephM.meiliari
    @JosephM.meiliari 6 месяцев назад

    Mtafungua mapema sana hamuwezi kugoma ni mnapima maji Kwa kijiti

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 5 месяцев назад

      We hujui magumu watu wanayopitia kwenye biashara ndiyo maana unaongea upumbavu wako..

  • @mohamedleonard760
    @mohamedleonard760 6 месяцев назад

    ni ujinga wanafanya hizi nchi zetu tunapigwa vita ya kiuchumi na bado tumelala tuendelee kuiga upumbavu

  • @oscarmartinavito3167
    @oscarmartinavito3167 6 месяцев назад

    Tukiamshe tu nacc

  • @AswilaSeif
    @AswilaSeif 6 месяцев назад

    Mahayawani hayo mtajiji wenyewe

  • @MohamedMiyombo
    @MohamedMiyombo 6 месяцев назад

    Kuisha ndio Nini msimamo too

  • @doublepro5330
    @doublepro5330 6 месяцев назад +2

    Kuna wengine wanafuata mkumbo wanaumia wenyew ,Aya fungeni Alf tutaona izo ela zkiisha mtakula mawe au

    • @TygerPixels
      @TygerPixels 6 месяцев назад +1

      Wewe huna akili

    • @nickluca1512
      @nickluca1512 6 месяцев назад +2

      Sio wote wanategemea maduka kaka wengine wana vyanzo vingine vya pesa(mfano ufugaji,kulima n.k)..

    • @doublepro5330
      @doublepro5330 6 месяцев назад

      @@TygerPixels we unayo

    • @doublepro5330
      @doublepro5330 6 месяцев назад

      @@nickluca1512 mfano mtu anakaa dar analima rami au

    • @doublepro5330
      @doublepro5330 6 месяцев назад

      Kunawengine wanafamilia unaamka watoto wanakutegemea uludi nakitu , ada zilipwe, Kodi zilipwe , wavae , sa ukisema kulima kilimo mazao adi yakomae uvunge it's a certain period of time to wait for it, Aya uo mda unao subilia apo kat icho kilimo utakua unashindia mgomo na chai

  • @fredysamwely5909
    @fredysamwely5909 6 месяцев назад

    #one

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 6 месяцев назад

    Hapa kuna siku yatatokea km yanayo endelea kenya maana tumekua wapole kias kwamba tunaonekana wajinga one day tutaonana bara baran soon

  • @selemanisaidi438
    @selemanisaidi438 6 месяцев назад

    ngoja tuone wachaga

  • @ZakiaSwai
    @ZakiaSwai 6 месяцев назад

    😢😅😅😅😅

  • @DavidSilas-se4xb
    @DavidSilas-se4xb 6 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂

  • @GabrielAlphonce-l4o
    @GabrielAlphonce-l4o 6 месяцев назад

    😅😅😅😅😅

  • @hashimsalum7758
    @hashimsalum7758 6 месяцев назад

    Ni hatari kwakweli

  • @ElishaDn-fs7hs
    @ElishaDn-fs7hs 6 месяцев назад

    Hahahahahhahahahha

  • @navioma4882
    @navioma4882 6 месяцев назад

    😂😂😂😂😂

  • @malcom4105
    @malcom4105 6 месяцев назад

    😂😂😂

  • @miriamnyabuto5327
    @miriamnyabuto5327 6 месяцев назад

    😂😂😂😂😂

  • @dizzboss7526
    @dizzboss7526 6 месяцев назад

    😂😂😂

  • @AlfredmandelaHamaro
    @AlfredmandelaHamaro 6 месяцев назад

    😂😂😂

  • @JanetJebichii-s7t
    @JanetJebichii-s7t 6 месяцев назад

    😂😂😂

  • @ZalkiaBendera
    @ZalkiaBendera 5 месяцев назад

    😂😂😂😂😂

  • @pangolinsnews6216
    @pangolinsnews6216 5 месяцев назад

    😂😂😂