Baada ya hospitali, wapelekwe kwenye mkahawa halafu wapatiwe vyakula anuwai ili warejeshe nguvu zao mwilini. Asante kwa wale Wasamaria waliowaokoa baharini.
Kwahiyo serikari ya kenya imeshindwa kuwasaidia kuwarudisha kwao pamoja boti yao? Maana nimesikia eti boti liuzwe wapewe ela ziwasaidie😂😂😂😂 Dah..!!! Kenya...🙌🙌
Wamepotea ila process za kuirejesha boti Comoros itakua ni kubwa ndio maana wameona bora iuzwe wapewe pesa,ili wakifika wakapange mengine kama kununua mpya au kula Bata na familia. Ubalozi utawasafirisha kurudi nyumbani kwao ila kwa boti itakua ngumu.
U can imagine been stuck in the ocean indeed God is so faithful.
Kenyans are generally Good people🙏God bless kenyans..i really feel bad when i see foreigners wakidharau wakenya..
God is great
Mungu mkubwa aki
SubhanaAllah nliona movie kama hii story Netflix poleni Sana ALLAH AWAIFADHI YARABIII
Praise to the almighty. But raw fish is called sushi 🍣
Baada ya hospitali, wapelekwe kwenye mkahawa halafu wapatiwe vyakula anuwai ili warejeshe nguvu zao mwilini. Asante kwa wale Wasamaria waliowaokoa baharini.
Vyakula anuwai!
Kwa baraka za Mungu wakala sushi bila kulipa chochote 😂
Eeee upepobwa kushi n mkali ulifanya board yenye alkuwa imepepa wanafunzi wa YESU karibu wazame n yeye YESU mwenyewe analala🤔
kina james ndio wasimamizi wa wavuvi lamu ,,hii ni maajabu 😂😂😂😂
Watu hawako serious wallahy
Wewe unataka nani awe msimamizi?
Wanati@@menradmwaliko3661wanati wa Amu
Imagine walahi ata kuogelewa hajui labda😂😂
Kwani lamu iko wapi
Kwahiyo serikari ya kenya imeshindwa kuwasaidia kuwarudisha kwao pamoja boti yao? Maana nimesikia eti boti liuzwe wapewe ela ziwasaidie😂😂😂😂 Dah..!!! Kenya...🙌🙌
nimesikia eti boty liuzwe ki vipi kwani walikuwa wanakuja Kenya ao walipotea
😢😢😢 hizo ni drama za kenya
Wamepotea ila process za kuirejesha boti Comoros itakua ni kubwa ndio maana wameona bora iuzwe wapewe pesa,ili wakifika wakapange mengine kama kununua mpya au kula Bata na familia.
Ubalozi utawasafirisha kurudi nyumbani kwao ila kwa boti itakua ngumu.
Thought sushi was also raw fish 🤔
Its when am learning of a country known as comoros😂😂😂😂😂😂😂😂😂
subhanallah
allah awafanyie wepes
It's wabichi not 'wambichi' bro
😭😢😢😢 God is Great they were rescued 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Boti ya kwa sasa imeweza kuharibika...haikuharibika ikiwa baharini ilipofika ukingo mwa bahari ikaweza kuharibika
samaki wambichi
some media houses need to be serious with their jobs
😂😂😂shida ni gani
Wabichi
Mbichi-wabichi
Si bora umeelewa vile wanasama wacha ufala
Ni wakikuyu, elewa manze
Nani huwaandikia vichwa? Makosa karibu kila andiko. Hapa ameandika wambichi
MUNGEWACHA WAVUVI WENYEWE WAONGEE. SASA NINI HIVI?
Ati intarogation Na MTU ako malnourished 😢😢😢 hmmm
Ajabu Sana..hamna utu
Glory be to God Amen
Sasa Everlyne
Sad story of disaster at sea
Murifee 🏃🏃🏃
😢😢God's good
Aki wakenya ni wakarimu sana
Glory to God
Wambichi??
Comoros n wapi
Loh hujui comoro..ni island nchi hiyo ya comoro
Samaki wambachi???
Hao ni kina SIDBAD the sailor.😂
NEXT TIME BEBA CHUMVI LIGHTER NA VEGAR
Ghai woi 😢
JESUS JESUS JESUS JESUS JESUS JESUS JESUS 🤲🤲🙏😭
Sushi
Eti 'wambichi'
South-East trade winds saved them.
Lazima movie itoke juu ya hii story
Mashua sio boti...
They have discovered a new DIET !!!
Need to do some online live news Citizen..... we're tired of covered news we want live shit.
It's samaki wabichi not wambichi 😂
Wewe hujui kiswahili rudi shule citizen tv is correct 😅😂
God is great
Wambichi?