TAZAMA KIKOSI CHA SIMBA KILIVYOONDOKA KIWAFUATA CS CONSTANTINE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 98

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine 8 дней назад +9

    Kila laheri🦁🦁🦁 mungu awatangulie mkapate ushindi

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 8 дней назад +4

    Kila la hery wapambanaji wetu Mungu awatangulie Kwa kila jambo lenu awawekee wepesi inshaAllah na mtudi na matokeo mazuri ❤❤❤🦁🦁 Simba nguvu moja naipenda Simba mpaka naipenda tena 🥰

  • @MohamedOthumman
    @MohamedOthumman 8 дней назад +6

    Kila la kher wanasimba mwenyez mungu wajalie fasar njema nawatakia

  • @FitinaSophia
    @FitinaSophia 8 дней назад +3

    Kila la khery vijana wetu,,,M'MUNGU...awalinde na safari ndefu....na ishaallah mrudi na matokeo ya ushindi..... SIMBAAA NGUVU MOJA

  • @RodricksShineneko-ce6on
    @RodricksShineneko-ce6on 8 дней назад +3

    Mwenyezi mungu awatangulie chama langu simba nguvu moyaaaaaaaaaaaaa

  • @TinaKiziko
    @TinaKiziko 8 дней назад +3

    SIMBA kila la kheli mungu hawatanguli chama langu

  • @LinaMtango
    @LinaMtango 8 дней назад +3

    Mungu awasimamie mfike Salama kilaraheri Simba

  • @LoyceKizuri
    @LoyceKizuri 8 дней назад +3

    Mwenyezi mungu awatangulie, simba nguvu Mona.

  • @OmaryNelson-bh8ij
    @OmaryNelson-bh8ij 8 дней назад +3

    Allaah awajalie safari njema

  • @GodfreyYuza
    @GodfreyYuza 8 дней назад +2

    Kila kheri simba damu safari ya man ya Mungu kwa tangulie

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 8 дней назад +3

    NGUVU MOJAAAA💪💪🤜🤛

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 8 дней назад +2

    DUa muhimu sana wapambanaji wetu Mungu ndo kila kitu inshAllah tutarudi na ushindi ❤️❤️❤️🦁🔥

  • @priscuslyaruu4362
    @priscuslyaruu4362 8 дней назад +2

    Tunawaombea vijana wetu mungu akafanye jambo ...simba ni time bora Tanzanian

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 8 дней назад +3

    Allah bless in shaallah

  • @elimodaudi4800
    @elimodaudi4800 8 дней назад +3

    Mungu awatangulie mfike salama
    Mpate ushindi
    Mrudi salama

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 8 дней назад +2

    Tunawaombea wachezaji wetu wa Tanzania tanga na simba mrundi na matokeo mazuri muditutie aibu majembe yetu ya samia mukamueshimishe raisi wetu Mungu awatanyurie wote watoto wa samia mimi niyanga wote na wapenda sana simba na tanga yangu pamoja sana🎉🎉❤

  • @DANIELHAONGA-sr9ek
    @DANIELHAONGA-sr9ek 8 дней назад +2

    God blessd Taif letu God blessd chama langu simba sports club 🙏

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 8 дней назад +2

    Inshaallah mungu isaidie tim yangu ya simba iweze kuibuka naushindi mzuli

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 8 дней назад +2

    Jamani Kila la kheri Timu yangu Tamu, Mukafike salama na kuludi na ushindi mnono ❤❤❤🌹🌹🙏🙏🌺❤️🪴

  • @ibrahimmsovu4685
    @ibrahimmsovu4685 8 дней назад +4

    Ubaya Ubwela tu
    Simba nguvu Moja!!!❤❤

  • @ManaseNasania
    @ManaseNasania 8 дней назад +3

    All the best goodluck

  • @HildaKihaga
    @HildaKihaga 8 дней назад +1

    Mungu awe na nyinyi wachezaji wetu Kila htua mcheze vema mpate ushindi wa magoli kadhaa Amina🙏🙏

  • @AlimohamedBakar
    @AlimohamedBakar 8 дней назад +1

    Tarabi tunakuomba kwa rehma zako na baraka zako tujaakie ushind mnene km ulivyo ahid katika kitabu chako niombeni nitawapen sis niwachin walio chin yarabi tujaalie furaha mioni mwetu wana simba amiiiin amiiiiin

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 8 дней назад +2

    Kila kheri semaji letu na uludi salama na ushindi bay bay❤❤❤🎉🎉

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 8 дней назад +1

    Inshallah tutashinda kwa uwezo wa Allah 🤲🤲

  • @funandlaughter7991
    @funandlaughter7991 8 дней назад +2

    Kila la kheri ❤❤❤in shaa allah

  • @Annaonesmo-x5b
    @Annaonesmo-x5b 7 дней назад

    Mungu nimwema tutafungaa love ❤️ simbaaaa itafanikiwa tu kikubwa uzima na kumuomba mungu tu

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 8 дней назад +1

    Atebaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 8 дней назад

    Mungu awatangulir Simba mkapate ushindi wa goli 2 bila ❤❤❤ Simba nguvu moja

  • @ibrahimmsovu4685
    @ibrahimmsovu4685 8 дней назад +1

    Good speaking our Captain Shabalala 🎉🎉🎉

  • @RajabRashidi-h1e
    @RajabRashidi-h1e 7 дней назад

    Mungu awatangulie chama langu mfike salama pia awajalie mpate ushindi❤❤❤❤❤

  • @SharifaRamadhani-dw2ik
    @SharifaRamadhani-dw2ik 7 дней назад

    Kilaheri simba yangu 😊❤❤

  • @arafaeddy6146
    @arafaeddy6146 7 дней назад

    Inshallah mtashinda Kwa uwezo wa mungu inshallah ❤❤❤

  • @EmmanuelNdera
    @EmmanuelNdera 8 дней назад

    Mungu awatangulie mfike salama sisi washabiki tunawaombea ushindi ndo tunawadai Simba nguvu moja✈️

  • @JumaMsemakwel
    @JumaMsemakwel 8 дней назад +1

    MUNGU hawalinde simba

  • @EdithaEditha-z3s
    @EdithaEditha-z3s 7 дней назад

    Mungu awafanyie wepesi tupate ushindi jaman maombi Wana Simba wenzangu

  • @GodfreyKinganda
    @GodfreyKinganda 8 дней назад +2

    ubaya ubwera pamoja sana

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk 7 дней назад

    Mungu saidia Simba sport,mungu saidia Tanzania

  • @DullahMsafi
    @DullahMsafi 7 дней назад

    Mungu tujalie na simba yetu ikapate ushindi mnono tuepuxhe na maadui utushike mkono

  • @UlamaaTz-n6j
    @UlamaaTz-n6j 8 дней назад +2

    Ubaya ubwelaaaaaaa mung aiongiz tim yang waakashind hukw magoli kum

    • @HerryLazaro
      @HerryLazaro 8 дней назад

      Mungu awaongoze katika safari yenu.

  • @mariyamsalalah8204
    @mariyamsalalah8204 8 дней назад

    Kila la kheri myama❤❤❤❤❤❤

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 8 дней назад +1

    Fahari ya vijana ni nguvu zao

  • @JameesJuma
    @JameesJuma 8 дней назад

    Tupo nyuma yetu sis mashabik 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @MarisaVitares
    @MarisaVitares 7 дней назад

    Mungu awatangulie ktk safaliyenu na munguawape wepesi kwenye mchezo ili muweze kulud salama lkn pia mkiwana salama Tati kila laheli timu pendwa❤❤

  • @BimKubwa-p9k
    @BimKubwa-p9k 8 дней назад +1

    Allah awasimamie Vijana wetu

  • @DogoMakezyen
    @DogoMakezyen 7 дней назад

    Mwenyezi Mungu awatangulie katika Safari yenu na matokeo maxuri tunaamini mtashinda

  • @MatiasBroo-z7b
    @MatiasBroo-z7b 8 дней назад

    Kila la kheri tu yangu simba mungu awalinde m to udi na ushindi

  • @BATULIALLY-x4s
    @BATULIALLY-x4s 7 дней назад

    Kilalaher wachezaji wetu mungu awtangulie mungu awashike awape nguvu na mbinu

  • @MaggieCollins-x9v
    @MaggieCollins-x9v 7 дней назад

    Kira la heri wanasimba wetu Mungu awatangulie mbele yenu mfike Salama Mungu azidi kuweka wepesi mbele yenu wanasimba

  • @MirriamChiti-sk3cv
    @MirriamChiti-sk3cv 7 дней назад

    All the best my team simba

  • @VeriuseMnyakiwele-g8b
    @VeriuseMnyakiwele-g8b 8 дней назад +1

    Ushindi muhimu maana simba inahekima na weledi

  • @GreysonKissoma-uq1gz
    @GreysonKissoma-uq1gz 8 дней назад

    All the best lions🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @beatricemlowezi9833
    @beatricemlowezi9833 8 дней назад

    All the best my team❤❤

  • @sandalakabalo5442
    @sandalakabalo5442 8 дней назад

    Simba nguvu moja

  • @SurprisedBurger-he7xe
    @SurprisedBurger-he7xe 8 дней назад

    Kila lakher chama langu mungu awatangulie tupate ushind amiina

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 7 дней назад

    ALL THE BEST SIMBA !!

  • @AngelLivin-g1x
    @AngelLivin-g1x 7 дней назад

    Kila la kher mungu awatangulie mkashinde mechi ngumu

  • @Bckkml
    @Bckkml 3 дня назад

    Nakubali sn

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 7 дней назад

    Mungu awatangulie pia mrudi na ushindi

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk 7 дней назад

    Wachezaji wangu mungu awape afya njema

  • @JordanMethod
    @JordanMethod 8 дней назад

    Mungu awatangulie mkapate ushindi mnonooooo

  • @MillanFAHMI
    @MillanFAHMI 7 дней назад

    Mungu awatangulie mtudi na ushinde nyie ndo furaha yangu nawapenda wote

  • @amosPeter-m8n
    @amosPeter-m8n 7 дней назад

    Mungu awatangulie katka safar yenu mfke salama na mkapate matokeo mazur

  • @SafinaDigomba
    @SafinaDigomba 8 дней назад

    Kiraraheri Simba ushindi magori mawiribira

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk 7 дней назад

    Chama la kweli

  • @Amir-t6n7w
    @Amir-t6n7w 8 дней назад +1

    Safar njema mabingwa we2

  • @NdeonasiaMahava
    @NdeonasiaMahava 7 дней назад

    Mungu awalinde, awatangulie mshinde ushindi mnene

  • @KakeSimba
    @KakeSimba 7 дней назад

    Kilala kheri simba

  • @GiftimmaAssani
    @GiftimmaAssani 7 дней назад

    Mungu awatangulie

  • @NeemaMushi-wj1zn
    @NeemaMushi-wj1zn 8 дней назад

    Safar njema cham langu mungu awasaidie mrudi na point tatu muhim

  • @MamyZack
    @MamyZack 7 дней назад

    Mungu wetu awapiganie

  • @CastoryRobert-j4p
    @CastoryRobert-j4p 7 дней назад

    Kila la kheri chama langu la simba

  • @MabulaSitta-u9d
    @MabulaSitta-u9d 6 дней назад

    Mabula sitta kila raheli mnyam ❤

  • @JackrinaAbel
    @JackrinaAbel 6 дней назад

    Mungu awe pamoja nanyi kattika mchezo huo

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 7 дней назад

    Kocha asipange wachezaji kwa kujaribisha.ateba na Fernandez no bench

  • @AbdallahRsshidi
    @AbdallahRsshidi 7 дней назад

    Tunaitaji ushindi kwaajiri yatimietu yasimba

  • @HajiSeif-o8g
    @HajiSeif-o8g 8 дней назад

    kosi langu la uxhind safar njemaaaa

  • @BeatriceZakaria
    @BeatriceZakaria 7 дней назад

    MUNGU awatangulie mpate ushindi na alama 3 muhimu

  • @EnockTumain-r2j
    @EnockTumain-r2j 7 дней назад

    Vijana nawatakia safari njema namkapate ushind

  • @YusufuMbaji-lq8ux
    @YusufuMbaji-lq8ux 7 дней назад

    Kila la kheri timu yangu ya ssc nawatakia ushindi

  • @Sherrymwinyi
    @Sherrymwinyi 8 дней назад

    ubaya ubwela mfike salama na mshinde tunaomba tunasali kwa ajili yenu tunawapenda wote

  • @ELIAMFUGALE
    @ELIAMFUGALE 8 дней назад

    Nawatakia Safari njema chama langu

  • @shalemu
    @shalemu 8 дней назад

    Nawatakia ushindi

  • @joycelawi6844
    @joycelawi6844 8 дней назад

    Kila la kheri mnyama

  • @MahamudNyuha-h6n
    @MahamudNyuha-h6n 8 дней назад

    🇹🇿(✯ᴗ✯)kila lakher vijana wetu tunawani taifambele

  • @MataniPetro
    @MataniPetro 8 дней назад

    Mkwara alipangiwa asivae mawigi yake tunataka magoli na sio mawigi

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 8 дней назад

    makamanda tuko pamoja tuko nyuma yenu

  • @AllyBira
    @AllyBira 7 дней назад

    Kila la heri mnyams

  • @BusalaKalinga
    @BusalaKalinga 7 дней назад

    Rudi.na.matokeo.timu.ya.nchi.ya.tanzania.wengeni.wanaiga.tu

  • @EliasAlbert-b7g
    @EliasAlbert-b7g 7 дней назад

    Ubaya ubwera

  • @TanzaniaHome
    @TanzaniaHome 7 дней назад

    Kila laheli safari njema nawatakiw ushindi uko

  • @CharlesNKILIJIWA
    @CharlesNKILIJIWA 7 дней назад

    Kila la kher ubaya ubwela

  • @YahayaBakari-hf5yk
    @YahayaBakari-hf5yk 7 дней назад

    Club pendwa Tanzania

  • @TumainiLwinga-k9q
    @TumainiLwinga-k9q 7 дней назад

    Simba nguvu moja

  • @TELESPHORYMSANJIRA
    @TELESPHORYMSANJIRA 7 дней назад

    Kira raheri simba