AMESHANITOKA -BIKIDUDE
HTML-код
- Опубликовано: 21 фев 2024
- #viral
#taarab
#oldisgold
#swahili
#swahilimusic
#swahilitotheworld
AMESHANITOKA
Machozi ya huba , yamenimwaika
Sili nikashiba , nikafurahika
Wangu mahabuba,ya lela ya dana
Ameshanitoka!
Ameshanitoka, Ameshanitoka.
Ameshanitoka, Ameshanitoka.
Wangu mahabuba, Ya leila ya dana
Ameshanitoka!
Ameshanitoka mpenzi jamani
Msitu na nyika chozi kifuani
Nnahaika , ya Leila ya dana
Wala simuoni!
Wala simuoni , wala simuoni
Nnahangaika , ya lela ya dana.
Wala simuoni
Wala simuoni, sijui aliko
Nimo majiani, na masikitiko
Sauti naghani , ya Leila ya dana
nifike aliko
Nifike aliko , nifike aliko
Nifike aliko nifike aliko
Sauti naghani, ya Leila ya dana
Nifike aliko!
Nifike aliko aje kunijubu
Kwa hilo sumbuko lililonisibu
Awache vituko, yalela ya dana!
Asiniadhibu!
Asiniadhibu, asiniadhibu
Asiniadhibu, asiniadhibu
Awache vituko, yalela ya dana
Asiniadhibu