- Видео 78
- Просмотров 950 206
Zanzibar orchestra
Танзания
Добавлен 11 авг 2013
ZANZIBAR ORCHESTRA - CHANNEL YA RUclips YENYE LENGO LA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA MUZIKI WA TAARAB ASILIA ZANZIBAR ULIO PO KAMA HAZINA YA WANZANZIBAR NA WASANII KWA KIZAZI KIJACHO
JIPATIE TAARAB ASILIA HAPA KWA KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU
ZANZIBAR ORCHESTRA-
DONT CLICK THIS ruclips.net/channel/UCCi2egroWa4EUCqnzVYSyjw
JIPATIE TAARAB ASILIA HAPA KWA KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU
ZANZIBAR ORCHESTRA-
DONT CLICK THIS ruclips.net/channel/UCCi2egroWa4EUCqnzVYSyjw
Leo tena - Abdallah issa| swahili taarab|taarab asilia zanzibarl|zanzibar songs |Abdallah issa songs
LEO TENA
ANHA LEO TENA HATA HAYA HUNA UTAZIDI KUSONONA
Nimepokea salamu hizo ulonitumia kuwa sasa unahamu mapenzi kuyarudia
Pendo nilokukirimu kwa dhati na safi nia nawe usiliheshimu mara ukalisusia
Wallah sina wazimu wewe kukurejeshea mempa mwenye nidhamu roho ilomtulia
Kuna jambo maktubu hilo shoti ufahamu ulinifikiri dubu sina akili timamu
Nimepata mahbobu anaenitia damu yeye ndo tiba ya hubu mwenye mapenzi matamu
Wataka tena zabibu umekumbuka utamu hata kama umetubu kukupa tena kharamu
Lau hukunikashifu pengine ningekubali mola kakutoa khofu hisani hukuzijali
Mepata muadilifu twapendana kweli kweli kwako nimestaafu kurudi mustahili
Mtu aso inswafu kheri kuwa nae mbali usilete tasnifu kuchezewa ...

Просмотров: 1 808
Видео
sabalkheri mpenzi -Sami haji dau & Asha Simai || za kale dhahabu || old taarab||old zanzibar
Просмотров 2,8 тыс.5 месяцев назад
swahili taarab zanzibar tanzania african music swahili music subalkheri mpenzi, rangi yako ya samawi sabalkheri mpenzi waonaje hali yako sabaha noori azizi hali yangu kama yako wawaonaje wazazi nyumbani utokeako usiingie simanzi sura yangu mali yako na kuikosa haiwi sikia langu tamko mwenginewe hachomozi nakupenda pekeyako nimefanya uchunguzi nakiri maneno yako naiona wazi wazi ishara ya pendo ...
MUST SEE: Bakari Abeid's Epic Performance of Mazowea Yanatabu || taarab za zamani || zanzibar taarab
Просмотров 4,5 тыс.6 месяцев назад
folk music MAZOWEA LYRICS Mazowea yanatabu tabia zikilingana Tena ni kubwa adhabu watu nyinyi kuachana Hamuioni sababu maovu kutendeana Usiku kucha silali nilalapo hukuona Zinaniruka akili hukwita kwa lako jina Kumbe ni chako kivuli mwenyewe sinae tena Mithili watoto pacha jinsi tulivyofanana Mpenzi umeniacha uhai sinao tena Nateseka kucha kutwa dawa yangu kukuona Nyama zetu za ulimi ambazo tuk...
Old is gold:Nilaumu macho yangu-Seif salim&Maulid Machaprala ||Zanzibar taarab ||za kale dhahabu
Просмотров 4,5 тыс.6 месяцев назад
JIPATIE TAARAB ASILIA HAPA KWA KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU NILAUMU MACHO YANGU (AU MOYO) Moyo umesalitika kwa sababu macho yangu Tena nnafedheheka kupenda kitu si changu Mwisho nitaatilika kupoteza pendo langu Nilaumu macho yangu au moyo nambieni Umeuliza Suali Jawabu Nakuletea Uamuzi Wa Halali Hukumu Iso Hatia Itakuwa Ni Muhali Kimoja Kukionea Laumu Vyote Viwili Usilaumu Kimoja Na moyo h...
Sabah Salum-mimi si mgomvi wako (video lyric sw/eng)#oldisgoldzanzibar#taarabasiliazanzibar
Просмотров 1,6 тыс.7 месяцев назад
Sabah Salum-mimi si mgomvi wako (video lyric sw/eng)#oldisgoldzanzibar#taarabasiliazanzibar
subira(huvuta heri) - Khadija baramia #taarab #oldisgold #zanzibarmusic #swahilimusic
Просмотров 7 тыс.7 месяцев назад
subira(huvuta heri) - Khadija baramia #taarab #oldisgold #zanzibarmusic #swahilimusic
Tausi ndege wangu-Fundi konde #fyp #tanzania #mombasa
Просмотров 6287 месяцев назад
Tausi ndege wangu-Fundi konde #fyp #tanzania #mombasa
Taarab Zanzibar:Abdallah issa-I am Sorry ||oldisgoldzanzibar #swahilimusic #taarabasiliazanzibar
Просмотров 1,9 тыс.8 месяцев назад
Taarab Zanzibar:Abdallah issa-I am Sorry ||oldisgoldzanzibar #swahilimusic #taarabasiliazanzibar
FURAHA NA NYIMBO -FAUZIA #zanzibarmusic #taarab #swahilimusic
Просмотров 5 тыс.9 месяцев назад
FURAHA NA NYIMBO -FAUZIA #zanzibarmusic #taarab #swahilimusic
Ufukweni mwa Bahari - Zuhura Shaabani #taarab za zamani #oldisgold #zanzibarmusic
Просмотров 2,3 тыс.10 месяцев назад
Ufukweni mwa Bahari - Zuhura Shaabani #taarab za zamani #oldisgold #zanzibarmusic
Taarab Zanzibar:Aso kasoro hakuna -Fatma issa ||taarab zilipendwa ||taarabu za zamani
Просмотров 28 тыс.10 месяцев назад
Taarab Zanzibar:Aso kasoro hakuna -Fatma issa ||taarab zilipendwa ||taarabu za zamani
AMESHANITOKA -BIKIDUDE #oldisgold #viral
Просмотров 40711 месяцев назад
AMESHANITOKA -BIKIDUDE #oldisgold #viral
Mapenzi yamenisibu - Khadija Baramia #oldisgoldzanzibar #zanzibaroldisgold
Просмотров 3,7 тыс.Год назад
Mapenzi yamenisibu - Khadija Baramia #oldisgoldzanzibar #zanzibaroldisgold
Taarab mwambao:Yaa rabbi (Wimbo wa Uchaguzi) - Pro Moh'd Ilyas #taarab #oldisgold #zanzibarmusic
Просмотров 427Год назад
Taarab mwambao:Yaa rabbi (Wimbo wa Uchaguzi) - Pro Moh'd Ilyas #taarab #oldisgold #zanzibarmusic
Dam dam -Rukia Ramadhani #viral #oldisgold #taarab
Просмотров 25 тыс.Год назад
Dam dam -Rukia Ramadhani #viral #oldisgold #taarab
Pendo silitoi ovyo Bakari Abeid #viral #oldisgold #taarab #swahilimusic
Просмотров 1,8 тыс.Год назад
Pendo silitoi ovyo Bakari Abeid #viral #oldisgold #taarab #swahilimusic
KIBALI CHAKO TAARAB -SIHABA JUMA #viral #oldisgold
Просмотров 1,3 тыс.Год назад
KIBALI CHAKO TAARAB -SIHABA JUMA #viral #oldisgold
Sabah Salum - Wawili wakipendana (video lyric swahili/english) | TAHARABU#sabah songs #sabaha songs
Просмотров 3,4 тыс.Год назад
Sabah Salum - Wawili wakipendana (video lyric swahili/english) | TAHARABU#sabah songs #sabaha songs
NIHAKIKISHIE- RUKIA RAMADHAN (lyric video) #rukia ramadha songs #taarab
Просмотров 4,9 тыс.2 года назад
NIHAKIKISHIE- RUKIA RAMADHAN (lyric video) #rukia ramadha songs #taarab
ADISADI -MAULID MACHAPRALA #taarab #oldisgold #trending
Просмотров 2,8 тыс.2 года назад
ADISADI -MAULID MACHAPRALA #taarab #oldisgold #trending
mwana mtiifu-Machano Mtwana #oldisgold~zanzibar taarab
Просмотров 3,5 тыс.2 года назад
mwana mtiifu-Machano Mtwana #oldisgold~zanzibar taarab
BUSTANI -KHADIJA BARAMIA #Zanzibar taarab~Old is gold
Просмотров 9 тыс.2 года назад
BUSTANI -KHADIJA BARAMIA #Zanzibar taarab~Old is gold
NAMPENDA MPENZI WANGU KATU SIMWACHI -SALHA #taarab #oldisgold #swahilimusic
Просмотров 5 тыс.3 года назад
NAMPENDA MPENZI WANGU KATU SIMWACHI -SALHA #taarab #oldisgold #swahilimusic
TUYURI - SAMIR BASLAAM #taarab #oldisgold #swahilimusic
Просмотров 9563 года назад
TUYURI - SAMIR BASLAAM #taarab #oldisgold #swahilimusic
AMINI KIAPO CHANGU/ATAKAE PENDO LANGU -RUKIA RAMADHAN || taarab || Zanzibar||english lyrics
Просмотров 7 тыс.3 года назад
AMINI KIAPO CHANGU/ATAKAE PENDO LANGU -RUKIA RAMADHAN || taarab || Zanzibar||english lyrics
Taarab: KWAHERI TENA KWAHERI- MUHARAM #taarab #oldisgold #swahilimusic
Просмотров 2,8 тыс.3 года назад
Taarab: KWAHERI TENA KWAHERI- MUHARAM #taarab #oldisgold #swahilimusic
SABAH SALUM - MUNANI NAMI VIUMBE | OLD IS GOLD TAARAB ZANZIBAR
Просмотров 9 тыс.3 года назад
SABAH SALUM - MUNANI NAMI VIUMBE | OLD IS GOLD TAARAB ZANZIBAR
TONE LA MVUA- ZANZIBAR CULTURE #Zanzibarmusic #oldisgoldzanzibar #taarabasilia
Просмотров 1,8 тыс.4 года назад
TONE LA MVUA- ZANZIBAR CULTURE #Zanzibarmusic #oldisgoldzanzibar #taarabasilia
RIP Bi Khadija Baramia Zanzibaries are missing you so much inna lillahi wainna ilayhi rajioun 🤲
Huwa natokwa na machozi wallah nikisililiza wimbo huu japo tulioana❤
pole
I need this kind of love 😢
Nnae
Mimi si mtu wa Pwani ila burdaaaaaaaaaaaaan napata nikisikia nyimbo Hizi. Bi sabah anakonga moyo wangu kwa sauti yake maridhawa kabisa...
karibu
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
Mm nasikiliaza leo tarehe 16/01/2025
❤
Mashaallah ❤
Please naomba wimbo wa eshe Mohamed unaoitwa loo mmezoea
Sawa
Home sweet home WE miss yours guys down there. I love home baraka ishaallah Amine yarrabi 🤲🤲❤
Mama Yangu Bi Rukia I like ua songs
Swadakta
Asante Kwa nyimbo
Hawa ndio waimbaji sasa wapo wapiga zogotu hawanna uimbaji
Molla Akurehem
Kipenz chng,hubby akiwa safari napenda sana huu wimbo kuusikiliza,,Maashallah bi Sabaha anajua na anajua tena
Ua
Tungo ya maana.. Hongera
karibu.
Mashahalla bimkubwa sabaha mungu akuweke sanaa ktk ulimwengu huu
Taarab pmb
karibu
Wallah sina wazimu wewe kukurejeshea mempa mwenye nidhamu roho 😮ilomtulia.❤
za kale ni dhahabu.
hidaya 2024 bado inatukumbusha zama.
2024
bi sabah
iko poa sana.
mashallah
dah! inanikumbusha zamani sana hii nyimbo.
Old is gold.
mashallah! utunzi umetulia.
Swadakta
old is gold for real.
shika kama huna pesa ukaniroge giningi. abdallah issa anajua jamani.
swadakta
hii nyimbo naipenda sana.
Ni nzr
sauti nzuri sana❤
@@gingercashcat ni kweli
sauti mashallah
ana sauti nzuri sana mama.
nyimbo nzuri sana
karibu tena.
Swadaktah
karibu
November 2024
Wimbo hauchuji
Bi ruqayyat hapo ni mtoto sana
Sahihi.
Full jmn❤❤
Rukia ramadhan mashallah❤❤❤❤
Pigeni mabaragum...🎉🎉🎉🎉
Dam dam
Beautiful nzuri sana ❤❤❤🎉🎉🎉❤
This is the voice of the late Makame Faki, not the late Bakari Abeid, it is true that it was originally sung by Bakari Abeid, aka Makame Faki, who is the one who announced it and this is his voice, the singer Makame Faki "Saudi Ya Zege"
Kwisha zake Zanzibar
ya zamani yamepita.
Hizi muziki zatukumbusha zamani 😊
@@Yasimini-q7u swadakta
Hahaha hiii kitu noma imfikie khaulat
@@FadhilyOthman karibu
❤❤❤