NONDO ZA KAFULILA: DAR - DODOMA KUJENGWA BARABARA ZA KULIPIA “ULIMWENGU HAUNA HURUMA NA MTU”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 фев 2024
  • Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imefungua zabuni kwa ajili ya kushindanisha kampuni tatu kubwa za Kimataifa ili kumpata mmoja atakayejenga mradi wa barabara ya mwendo wa haraka (Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro Express Way) yenye urefu wa kilomita 205 kwa utaratibu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na binafsi (PPP), sehemu ya kwanza Kilomita 78.9 kutoka Kibaha - Mlandizi hadi Chalinze.
    Katika Mahojiano na Ayo TV, Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) David Kafulila ameeleza mpango wa Serikali katika kufungua mlango ya uchumi kwa Jiji la Dar es salaam pamoja na Dodoma na kuwa litakwenda kuweka alama kubwa nchini.

Комментарии • 64

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 5 месяцев назад +6

    Maneno meeeengi, kuweka taa Tu barabara ya kimara-kibaha mmeshindwa!

  • @mussamapesa8863
    @mussamapesa8863 5 месяцев назад +3

    Safi sana kafulila leteni haraka huo mradi watu wanufaike na maendeleo yakue kwa haraka me naamini na ninaona Tanzania ya neema inakuja

  • @user-uj8lh8fj4j
    @user-uj8lh8fj4j 5 месяцев назад +2

    Hongera kafulila , hongera rais wetu haya ndo maendeleo tunayoyahitaji yasicheleweshwe

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 месяцев назад +7

    Tangu mmeanza kuongea sasa ni miaka 2....maneno mengi.

  • @user-fv3if7wv6j
    @user-fv3if7wv6j 5 месяцев назад +3

    Akunakitu kinacho niudhi kama ilo neno upembuzi ubunifu# nilikuwa namkubali Magufuli tu, alikua sio mtu waporojo nyingi nimtu wavitendo tu# uchembuzi uyakinifu ndilo neno linalo chelewesha tanzania kuwa kama Dubai, Tanzania ni Nchi ambayo ingekuwa imejengwa sana lakini viongozi tulionao niporojo nyingi sana Magufuli aliijenga nakuibadili tanzania kwamiaka michache sana

    • @user-ej9fn6pn6t
      @user-ej9fn6pn6t 5 месяцев назад

      Unadhani Dubai ilifanya moradi yake bila kufanya huo upembuzi yakinifu?

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 5 месяцев назад +5

    Nchi ina maongezi mengi matendo hakuna 😂

  • @mwitajoseph8315
    @mwitajoseph8315 5 месяцев назад

    Mimi mnipe kilometer 2 tu tuishi wote humo humi otherwise bigup mheshimiwa kafulila MUNGU Aibariki serikali yetu ifanikiwe kwa mema haya

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 5 месяцев назад +2

    Muwe mnafikiria vizuri central corridor iko saturated muwe mnatawanya miundombinu na sehemu zingine hasa kusini na nyanda za juu kusini. Ila sio mbaya tupate kujiengua maana serikali haijali kusini

    • @markbashende8522
      @markbashende8522 2 месяца назад

      Mnaletewa SGR toka bandari ya Mtwara mpaka Mbamba bay. Itakuwa na tawi linaloenda Mchuchuma na Liganga.

  • @muniraomary4577
    @muniraomary4577 5 месяцев назад +1

    Nchi yetu tumejaaliwa mdomo vitendo sifuri

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 5 месяцев назад

    Mwanahabari kua na mawani ya Jua ndani sio ishara nzuri

  • @user-wf4re7bx3d
    @user-wf4re7bx3d 3 месяца назад

    Kafulila atueleze Ana maslahi gani kwenye hizo barabara. Waulize SA. Hizo barabara za kulipia zimekuwa issue ya uchaguzi. Pili Bandari ya Dar inapata mzigo mwingi pamoja na magari kuoitia bandari ya Dar kwasababu wasafirishaji wanaokoa pesa kwa kutokulipia Road toll. Kuna nchi ambazo road toll inapanda kila kukicha kwasababu ya ulafi wa sekta binafsi. Tatizo ringing la road toll ni kuwa barabara ambazo hazina magari mengi zitaathirika kwa kukosa uwekezaji, ni bora Tanzania iendelee na mfumo wa kukusanya road toll kwenye mafuta, kwani kila Mtanzania anachangiia tofauti na toll kwenye barabara chache. Pesa inayokusanywa nayo no nyingi zaidi. Pia serikali inakuwa na wigo wa kugawa hizo pesa hata kwa miradi ya vijijini isiyokuwa na mshiko kwa wekezaji.

  • @user-ye3xp1lf7i
    @user-ye3xp1lf7i 2 месяца назад

    duu kwer bongo maishamagumu

  • @user-gj5iy2rq8y
    @user-gj5iy2rq8y 5 месяцев назад +1

    Daraja lajangwani linawashinda hilo lahapo feli mtaweza wapi acha uongo porojo tu

  • @user-wf4re7bx3d
    @user-wf4re7bx3d 5 месяцев назад

    Kama wananchi watalipia kutumia bararara (road toll)
    Basi Serikali iwe tayari kuondoa malipo yote ya road toll ikiwemo kwenywe mafuta.

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 5 месяцев назад

    Ukiingia CCM cha Kuanza ni Kukabidhi Akili kwa Mwenyewe kinachofuata ni Unafiki na Kusifia Viongozi 😂😂😂

  • @jkaaya3639
    @jkaaya3639 5 месяцев назад

    Kumbe Nmwana siasa tena tuta subr sna hizo nisiasatu dhaefu 225

  • @user-fl3yl4or3e
    @user-fl3yl4or3e 5 месяцев назад

    Yani Tanzania mpaka tuige wakenya ndio tufanye hiyo kenya tayari imeshajengwa japo sio ndefu sana

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 5 месяцев назад

      Nchi nyingi duniani inafanya hii miradi so fanya utafiti upate kujua undani wake

  • @user-uj8lh8fj4j
    @user-uj8lh8fj4j 26 дней назад

    Miaka yote ni upembuzi yakinifu na miaka inapita

  • @htx1873
    @htx1873 5 месяцев назад

    Nikuacha corruption ata maisingizie uwekezaji, theft is the African issue , njaaaa itatuua.

  • @edsonjoseph5383
    @edsonjoseph5383 5 месяцев назад

    Mbona jiji la mwanza km limesahauika Bara bara ya kuingia na kutoka n bara bara 1 tu kwa hiyo felon Jaman na hizo express way na mwanza ziwekwe maana naona imeguswa dar na dodoma tu express way

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 5 месяцев назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani uongo uongo uongo mtupu nchi ya upembuzi yakinifu mara commuter train Iko kwenye uchambuzi yakinifu 😅😅😅 train Dodoma hadithi na kuendeleza stendi ya Dodoma hadithi 😅😅😅

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 5 месяцев назад

    Mapema ndio best mambo nimengi masaa nimachache

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 5 месяцев назад

    Wazo la Kujenga barabara hizo ni zuri, lkn vipaumbele vya Taifa (National Priorities) ni nini? Mradi wa SGR na miradi mingine mikubwa iliyoanza imekamilika kabla ya kufikiria kuanza mradi mwingine mkubwa km huo?

  • @user-uj8lh8fj4j
    @user-uj8lh8fj4j 26 дней назад

    Maneno matupu tumechoka kujenga jangwani tu pamewashinda

  • @bongo39
    @bongo39 5 месяцев назад +2

    Maneno yawe madogo vitendo viwe vikubwa wenzetu duniani hizo barabara ni kawaida kila unapokwenda

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 5 месяцев назад

      Msahau ni Magufuli tu alikuwa akisema anatenda huyo Bibi ni bogus wa kutupwa hasara tu rais mzigo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 месяцев назад

      ​@@Kabwela776rimot inafanya kazi

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 5 месяцев назад

    Ni siasa tu hamna kitu ingekuwa enzi za Magufuli ningeamini, Samia ni muongeaji tu ameongea mengi alivyotoka Ufaransa alisema wafaransa wangejenga train ya trams dar Na Dodoma ikawa hadithi , sport arena dar Na Dodoma hadithi nazo , viwanja vya mpira kwa ajili ya Afcon hadithi sgr Inasua sua wameomba wasweden wamsaidie fedha Na wapoland yaani Samia ata haeleweki serikali yake !

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 4 месяца назад

    Nchi kuendelezwa kwa kutumia mitaji ya mabeberu hii ni shida nikutokana viongozi wetu upeo kufikiri WA kuona mbele nahisi ni mdogo au akili zao tegemezi.lini tz itakwenda Jenga barabara ya kulipia ugaibuni?,kama uwezekano haupo kwanini hayo uite ni maendeleo kuja kujenga wao kwetu, tusiwekama tumelogwa

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 5 месяцев назад

    Ni viongozi wache wenye akili kama yangu ila wengi wanawaza matumbo Yao tu

  • @user-mz2wx5dt9v
    @user-mz2wx5dt9v 5 месяцев назад

    Acheni siasa fanyeni kaz

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 5 месяцев назад

    Nairobi tumeshazoea zipo nyingi

  • @kelvincharles7263
    @kelvincharles7263 4 месяца назад

    Hawa jamaa waongo sana wanaongea tu amna utekelezaji kabsa shit

  • @ototek8037
    @ototek8037 5 месяцев назад

    Huu ndo wakati wa maneno, wakati wa vitendo uliisha na magufuli

  • @usamaahmed2624
    @usamaahmed2624 Месяц назад

    Ni maelezo yalioshiba kabisa... sasa achaneni na mambo ya uzazi wa mpango kama rasilimali watu ni utajiri mana tukiendekeza utamaduni wa watu na tukaacha wa kwetu tutakuja kupunguza nguvu kazi siku za usoni , na tutaanza kulazimishana kuzaa watoto kwa ajili ya kutafuta nguvu kazi, ishu kama ushoga, vidonge/ vijiti vya uzazi wa mpango na mengine mengi yanayofanana na hayo si utamaduni wetu, angalia makabila yenye nguvu Tanzania mfano, masai, chaga, sukuma, wakulia nk ni kabila zenye mafanikio makubwa sana toka enzi za ukoloni hadi sasa sababu ya rasilimali watu kwa kifupi familia zao ni kubwa na ziliweza kufanya kazi kwa bidii na kuleta manufaa katika tamaduni zao na kua imara kabisa katika kila nyanja.

  • @katemachanda7035
    @katemachanda7035 5 месяцев назад +1

    Story nyingi sanaaa...
    Mfano wetu kwa hayo mambo ilikua Serikali iliyopita tuu...
    Kwa sasa maneno mingimingi mnoo....

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 5 месяцев назад

      Ni uongo Samia miradi yake ni madarasa na vyoo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 месяцев назад

      ​@@Kabwela776hakuna anachutimiza ni blabla za kudanganya wananchi ili wawape kura wakishapata imetoka hiyo mpaka muda wa kura ufike tena wakuamka aamke na wakuendelea kulala alale

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 5 месяцев назад

      @@MiriamAbdallah mbona hilo Mimi najua Samia huyo kibibi hamna kitu miradi yake ni madarasa na hospitali za millioni 500, ni waongeaji sana ila hamna kitu

  • @eltonmika2797
    @eltonmika2797 5 месяцев назад

    Mpuuzi

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 5 месяцев назад

    Kafulila nakuamini

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 5 месяцев назад

    Hamna lolote nyie wote wachumi tumbo 2

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 5 месяцев назад +2

    Kila kitu kiko kwenye upembuzi yakinifu. Hicho kitengo Kafulula usipoachana nacho kitakuharibia heshima uliyokuwa nayo miaka yote. Magufuli alikuwa anajenga miundombinu mikubwa na bado alitoa Elimu bule. PPP ni mbinu ya serikali kukwepa wajibu wake kwa wananchi

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 5 месяцев назад

    Uongo mtupu Bibi Samia miradi yake ni ya millioni 500 madarasa na vyoo

  • @shabanidaruweshi-jw5jy
    @shabanidaruweshi-jw5jy 5 месяцев назад

    Trafic watapanda ukouko juu

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 5 месяцев назад

      Kufuatilia maokoto huko siyo😂😂😂😂😂😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 месяцев назад

      ​@@modestwenceslaus9itakuwa hivyo😅😅😅😅😅

  • @Kibudu
    @Kibudu 5 месяцев назад

    Hakun mtu mwembamba 😂😂😂

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 5 месяцев назад +1

    Mheshimiwa acha fikra rahisi, acheni kubinafsisha barabara ambazo watu wanyonge wanatumia.
    Mwekezaji ata taka faida kwa muda wa mkataba na ndio hapo tatizo linapo anza.
    Kujenga barabara na kumlipisha mtumiaji ita sababisha gharama za ufariki zita kua juu kwa mwanachi wa kipato cha chini pia bei ya bidhaa maeneo fulani zita ongezeka kwa kipindi cha miaka 30 - 35 kutokana na mwekezaji atahitaji fidia kwenye hicho kipindi cha miaka ya uwekezaji. Kwa mtu mwenye kipato kikubwa ataona sawa ila kwa mwanachi wa chini atakua ameonewa. Isitoshe asilimia 70 mpaka 80 ni wananchi wanao ishi maisha ya kima cha chini. Na lengo la barabara bora ni kukwamua maisha ya mwanachi wa hali ya nchi.

    • @utopolo543
      @utopolo543 5 месяцев назад +3

      Kwan hakuna Barabara ya Dar to Dodoma? Hii ni nyingine na itajengwa mahali pengine. Ukitaka kuwahi pita hii ukiona huna hela unatumia ya kawaida. Mbona simple tu.

    • @Em_alt
      @Em_alt 5 месяцев назад +2

      Naona kama wewe ndo una fikra rahisi, na kupenda kusingizia wanyonge. Hatuna wanyonge hii nchi. Kama tunataka maendeleo makubwa lazima tulipe.

    • @deohaule8161
      @deohaule8161 5 месяцев назад

      @@utopolo543 acha kua na fikra za ukoloni mambo leo. Taifa lenye misingi bora ni taifa ambalo miundo mbinu kama barabara ina kua chini ya serikali na sio kubinafsisha. Trillion mbili kujenga bara bara ni kutu rahisi sana kwa nchi ya Tanzania. Hela zipo ila hakuna viongozi makini katika kusimamia mapato ya nchi. Hapo wezi wako midomo wazi kutengenezwa makata ya ukoloni mambo leo matokeo yake mwanachi wa chini ndio ata teseka. Kama bwala la Mwalimu Nyerere serikali ime weza kujenga je kwanini hizo bara bara za express zisijengwe ili kuboresha maisha ya kila mtanzania?

    • @deohaule8161
      @deohaule8161 5 месяцев назад

      @@Em_alt hahahaa, you must have been having a daylight dream and not otherwise.

    • @mohamedihamisi292
      @mohamedihamisi292 5 месяцев назад +1

      Kwani lazima kupita hiyo njia broo Kama hauna pesa pita njia ya kawaida haujarizimishwa kupita kwenye hiyoo barabara Expressway hata Nairobi ipo

  • @user-gj5iy2rq8y
    @user-gj5iy2rq8y 5 месяцев назад

    Muongo wewe