Acha Mungu aitwe Mungu aliyeumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana na vingine ukiviona au kuvisikia hakika jibu ni kuwa yupo Mungu muumbaji ambaye anastahili kupewa sifa na kuabudiwa aliyeviratibisha vyote na haviwezi kwenda tofauti hakika Mungu atabaki Mungu milele.
Dunia ktkt inasumaku kubwa ambayo inazuia kuvingirika kwa vitu vilivyoko. Ndo maan ikirusha jiwe juu litarudi chini maan kuna sumaku inarudisha. Tunatbea bila kuanguka hovyo maan kuna sumaku. Dunia ndo unaozunguka jua. Jua limetilia tu. Dunia inapozunguka kutoka magharibi kwenda mashariki jua linaachwa nyuma na tutalikuta tena siku ya pili yake.
Ahsante sana Kwa Swali Lako Endelea kubaki Nasi Ntatoa Kipindi Kitakacho Fundisha Kuhusu Swali Lako. Share link Kwa Ndugu Na marafiki Wao Pia Wajifunze Hakikisha Ume SUBSCRIBE Na Kubonyeza Kengele. Ahsante
Je jua huwalinazima moto wake hata kwa mda mfupi ama ?kama miale ya jua nimikalibsana kiazi kwamba hakuna kitu Cha kuizuia isifike duniani je inapokuwa ni usiku huku duniani kitu gani huwakinazuia jua lisifike duniani Hadi kupelekea dunia kunakuwa na Giza ama jua Huwa linazima?
Acha Mungu aitwe Mungu aliyeumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana na vingine ukiviona au kuvisikia hakika jibu ni kuwa yupo Mungu muumbaji ambaye anastahili kupewa sifa na kuabudiwa aliyeviratibisha vyote na haviwezi kwenda tofauti hakika Mungu atabaki Mungu milele.
I'm enjoying of this situation sour that yuar,,,,,,
Yes tuendelee kujifunza
Nimekusoma kaka inatisha naitaji kujua zaid
Maajesh
it's phantastic
Mnatisha
Kwanini pluto sio sayari
Jua na sayar zingine zote vipo kwenye dunia huu ndo ukweli na wala hakuna kinyume
asant kk umenisaidia sn lkn nina swali je kunakile kifaa kinacho punguza miale ya jua kinaitwa nn kk
Duh inatisha
Jamani Sasa Dunia inamfumo wa tambarale inakuwaje liwe la duara wanasayansi mnatuchanganya
Tupe elimu zaidi
Hivyo vyote vimeumbiwa viumbe katika dunia ukitoka duniani hapa unafikia mbingu ya kwanza
Mumgu ni mkubwa😢
Asante
Naomba kujua Je jua linatembea au laa
Jua halizunguki lipo pale pale sayar ndio zinazunguka jua
@@Jamilahmsangi ahsante
Tupo ndani ya dunia au inje ya dunia
Jenatka,kujuwa,mutuga,ariazakufikaju
Naomba kufaham moto uloko katika jua unazalishwa na madini gani
madni ya Kuni😆😆
@@mauridjuma9650 😂makaa ya mawe
❤
Haziwezi kusnguka?
Mimi. Noamba. Nlielimishe. Zaidu. Kuhu su. Dunia na safari zake. Utandaji. Kazi wake
Embu Tumeni Mhimili Wa Solar System
Nyota na sayari ipi kubwa
Je sayar nyingine kwa Nini hazipati mwanga wa jua,?
Sayari mfumo peba huitwaje
Plz ungezipanga kama za eng ex my very educated mother just show us nine planet
Unazalishwa na wikipedia
Sayari ya mwisho imepoteaje
kuna nini ndani ya jua
Ni kitu gani kimelishikilia just?
Kwanini mwezi hauungui wakati Wa kupatwa Kwa jua?
Naombaunijibumaswali
Why did Pluto disappeared?
Chanzzochaajuani nini🎉
chanzo cha jua ni MUNGU mwenyewe
Je jua alifaliki
😂
Dunia hujizungusha kwa Sikh ngap
Sasa kama jua halizunguki mbona linazamaga milimani mbaliii, pia kama dunia inazunguka mbona Sisi hatuvilingiki?
Dunia ktkt inasumaku kubwa ambayo inazuia kuvingirika kwa vitu vilivyoko. Ndo maan ikirusha jiwe juu litarudi chini maan kuna sumaku inarudisha. Tunatbea bila kuanguka hovyo maan kuna sumaku. Dunia ndo unaozunguka jua. Jua limetilia tu. Dunia inapozunguka kutoka magharibi kwenda mashariki jua linaachwa nyuma na tutalikuta tena siku ya pili yake.
@@melkizedck du sawa ahsante hapo pasumaku skujua
@@AFRICA_D669 asante
Je hapo pekundu vipi
Mimi sijui mpangilio wa sayari umekaaje,Je ni kuanzia chini kwenda juu au kulia kwenda kushoto kwangu?
Ahsante sana Kwa Swali Lako Endelea kubaki Nasi Ntatoa Kipindi Kitakacho Fundisha Kuhusu Swali Lako.
Share link Kwa Ndugu Na marafiki Wao Pia Wajifunze Hakikisha Ume SUBSCRIBE Na Kubonyeza Kengele. Ahsante
Jaamani ni ni kinachopangia hizo sayari na kukaa kwa mstari mnyoofu?
Zinakwenda juu
Zinakwenda juu
Jua la utosi ni nini?
sayari ipi amabayo binadamu hawez kufika
J
kifaa kinachotoka kwenye jua hakiungui
Ozone layer ni nn katika mfumo wa jua
Ozone Layer ni Tabaka la hewa ambalo linatenganisha upande wa hewa safi na upande mwingine ni hewa zenye mchanganyiko mwingi wa gasi
...,txo
naomba kujua jinsi Dunia inavojizungusha na je Dunia inazungukaje na sisi mbona hatusogei tuko pale pale
Chanzzochaajuani nini
Inakuaje hadi usiku unatokea
Jua limumbwa na nani vitu gani vilitumika
na kuna sayari ilijulikana mwaka juzi kitu km ni sayar gani
Mercury ni ndogo sana
Ahsante sana Hawa Endelea Kubaki Nami Na Ntaanda Kipindi kulingana na swali lako Naamini Utajifunza Zaidi.
Ni sayari ipi anaweza kuishi binaam?
Ahsante kwa Swali Zuri Jibu Lako Bonyeza Link Hii Hapo Chini Jifunze Zaidi. 👇
ruclips.net/video/UPYZcExDL2s/видео.html
Je sis tupo ndan ya dunia au nje
@@mhinaothumani2382 ndani
Joto unaoelezea kuhusu jua kiwango chake kikubwa sana,
Aina gani ya Chombo Kinachovumilia Joto lote hilo Bila kuharibika karibu najua. ?
Nina penda xana nikashuhudie aya
Vp. Juwa na mwenzii lipi kubwa na je kipii kinachomtegea mwenziwe
Kubwa ni jua
Passing star theory
Je jua huwalinazima moto wake hata kwa mda mfupi ama ?kama miale ya jua nimikalibsana kiazi kwamba hakuna kitu Cha kuizuia isifike duniani je inapokuwa ni usiku huku duniani kitu gani huwakinazuia jua lisifike duniani Hadi kupelekea dunia kunakuwa na Giza ama jua Huwa linazima?
Ule mzunguko ukienda chini ndipo usiku