@kiredio mi kunamtu nataka umpitishe kwenye hii test japo najua anamajibu ya shombo sana sijui itakuwaje mpaka amtaje mpenzi wake maana najua sana kuwa anacheat
ITAKUWA BINT NDIYE ANAYEMPENDA SANA JAMAA..NA NDIO MAANA AKATOA NAMBA YAKE...NA HAAMINI HAAMINI...ALAFU HAWEZI MUACHA...BADO ANAMPENDA...INAWEZEKANA NDIYE ALIYEMTOA BIKRA...NA NDIO FIRST YEAR BADO...BADO HAJAJANJARUKA.
Ila hanawa saidia sana kuliko kupoteze ana mda na kutumika
Bola yangu sina mpenz😅😅😅
😅😅hadi mwaka huu uishe kiredio mahusiano mengi utakuwa umeyakalisha
Mmmh
Hahahaha 🤣😂🤣 yaan mungu anakuona kiredio wewe
kiredio naomba nitafute kwa kweli unisaidie na mm
Hata mimi sijui wakumtaja aisee😂😂
Uyo dem anamkubar sana mwamba aisee
Daaa wanaume
Dada mwenyewe anakenua tu😂😂😂
Cheche 1:14
Viceeeeeeeeeent unajua baba,mugabe apa
@kiredio mi kunamtu nataka umpitishe kwenye hii test japo najua anamajibu ya shombo sana sijui itakuwaje mpaka amtaje mpenzi wake maana najua sana kuwa anacheat
Fashen zingine bhn uyo dada mwembamba iyo surual😂😂😂😂
😂 😂 Sijapenda😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😂
😀😀😀😀
😂😂😂😂
😅😊
Kweli hiyo code ni ya Dom hakuna kupinga
Sema huyo Manzi atakuwa alileta masalau mwamba akapita vile,sasa torch linamulika😄😄
Nakukubar kiredio
Hahahaha ila kiredio una unazengua bange
Eti nd ushampotea uy 😂😂😂😂mm mwenyew kashanipoteza daah wanaum hawa kulanina
Yuko dodoma ila hakai mjini hahahahahaaaa
Duuu 😂😂😂😂
Mbn ata mm ashanipoteza 😂😂😂
Kula chuma hichoo 😂😂😂😂😂
😂😂kivumbi leo
Duu nmecheka😂😂😂
Na mm nataka io challenge kwa dem wangu ,,,,,
Hii asubuhi tu nishakatwa vichwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Cheche
A mpa Z maaaanina hahahahahaaa
Kiredio weka namba zako ilituweze kukupata mikoani uje ufanye challenge
Yan ata ije initokezee naamin stoaibikaa😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Washamba wote wa leo
Wagogo bwanaaaaa😅😅😅
Siku iyo ntakufa mbona
tafuteni kufa tu nyiye siku moja
😅😅
Kiredio siku demu wangu akupe namba yangu akipiga tuuu atakula talaka hapo hapo maana alichokitaka ndio atakuwa amekipata
Hunamapenzi yakweli wewe
Hpo c city college hpo
Kigamboni city collage
@@most7139 chuo chetuu mazee
Napenda uje makambako
😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
dadek
Kiredio kiredio
😂😂😂😂😂😂
Uyunae qnajisheuwa badala aulize anacheka cheka
ITAKUWA BINT NDIYE ANAYEMPENDA SANA JAMAA..NA NDIO MAANA AKATOA NAMBA YAKE...NA HAAMINI HAAMINI...ALAFU HAWEZI MUACHA...BADO ANAMPENDA...INAWEZEKANA NDIYE ALIYEMTOA BIKRA...NA NDIO FIRST YEAR BADO...BADO HAJAJANJARUKA.
Huyo kredio anavongangania A ni Nan 😅😅😅😅🙌
😅😅😅😅
😂😂
😂😂😂😂
😂😂