ANACHOKIFANYA BOPAR PEMBA NI ZAIDI YA UZALENDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 49

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid5459 5 лет назад +7

    Allah akujazie barka ktk biasharazako kaka uzidi kutusaidia hakika ww nimuislam safi.usopenda kumuona mwezako anapata shida nahuo ndo uislam

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 5 лет назад +2

    Allah akuhifadh kaka yetu seifu sio kuwa anajionyesha kwa msada wa sptl lazima ujulikane bila hivo utaibiwa huwajui hata hivo niku take care hukuangalia vizuri hutokuta shuka mito hizo sabuni vyote vitaibiwa njaa mbaya wanasahau wagonjwa wanasahau Allah .Allah akupe janat wewe na ahli yko amina

  • @fatmakhamis1018
    @fatmakhamis1018 5 лет назад +5

    allah ametuambia yeyote mwenye kuitanguliza nafsi yake mbele ya allah ataikuta tuuu kaka hauja poteza kitu hiyo ni biaahara na allah na allah atakulipa pia alituambia allah yeyote mwwnye kutoa moja kwa nia safi allah atampa kumi kwa mara moja

  • @Rashidmhedhery
    @Rashidmhedhery 5 лет назад +8

    Bopar, you are an example, well done and keep it up. May Allah rewards you for your deeds

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 лет назад +3

    Shukran Ktv tz online hakika hii ni FAHARI yetu

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa7353 5 лет назад +1

    Ya Rabby nijaalie uwezo na mm niweze kusaidia jamii km bopar🙏

  • @salimsaid3292
    @salimsaid3292 4 года назад

    Kutoa inataka moyo... Shukran bopaer

  • @fatmaalaufi9073
    @fatmaalaufi9073 4 года назад

    Mashaalwah Allwah amjalie kila la kheri amin

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 5 лет назад +2

    asante san bopar.unaifichia aibu serikali ytu tukufu.maan hivyo vitu ni shida

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 лет назад +1

    Pole walengwa mtapata tu na chakula kwani vitanda mshapewa japo chakula muhimu lakini hata vitanda muhimu. Hongere Bopar Allah atakulipa akhera

  • @khalidsalmin7682
    @khalidsalmin7682 5 лет назад +1

    Assalaam alykum ktv tz habari ya uhakika mashaallah ALLAH S.W atujaalie kila la kheri inshaallah Alhamdulillah 👏👏👏🌷

  • @fatmamohamed1099
    @fatmamohamed1099 5 лет назад +2

    Mashllh Mung akulipe kheir zko

  • @alishehehamad8129
    @alishehehamad8129 5 лет назад

    Masha Allahu, jazak Allahu kheir.

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 5 лет назад

    Mashallah mungu akupe umri mrefu

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 5 лет назад

    Allah akulipe kheri duniani na akhera kaka yetu bopar

  • @stonetown578
    @stonetown578 5 лет назад

    Masha'Allah Bopar Allah akuzidishie Imaan, lkn na nyinyi serikali oneni haya Kodi mnakusanya hamna mnalofanya zaidi ya wizi tu Shame....

  • @maulidmohamed4494
    @maulidmohamed4494 5 лет назад

    Allah awazidishieni wote kila mmoja kutokana na nia zenu

  • @ayshamahadhi1566
    @ayshamahadhi1566 5 лет назад

    Allah akuzidishie bopar

  • @sultannassor7412
    @sultannassor7412 5 лет назад

    mungu akufanyie wepesi biashara zako

  • @Chidistontown4979
    @Chidistontown4979 5 лет назад

    In-shallah may Allah make easy our lovely people. ZNZ Uguja na Pemba.

  • @marymusi8235
    @marymusi8235 5 лет назад +4

    Nawapenda watu kama hawa mola akuongoe uendelee na moyo huo huo

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 лет назад

    Allah atakulipa kwa kila unachokifanya hakika huu ni ukumbusho kwa matajir

  • @hassanboi5906
    @hassanboi5906 5 лет назад

    Maashallah

  • @ztconlinetvzanzibar2181
    @ztconlinetvzanzibar2181 5 лет назад

    Nice

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 лет назад

    Safi sana

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 5 лет назад

    mashallah bopar Allah atakulipa inshallah

  • @ashaproudofyoubabahaji8523
    @ashaproudofyoubabahaji8523 5 лет назад

    Mashaaallah proud you

  • @zahransuleiman9788
    @zahransuleiman9788 5 лет назад

    MUNGU akuzidishie imani na akuongezee uwezo wa kutoa sadaka

  • @hamzaalawy6694
    @hamzaalawy6694 5 лет назад

    Allah ni mwenye kupokea sadaka yako

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 5 лет назад

    Mashallah

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 5 лет назад +1

    Hivyo vitu vitauzwa vyote na hutoviona ispokuavitanda pas ukienda kujifungua utaambiwa pesa ya glove na jiki

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 5 лет назад +1

    We we seif mkaazi si mnachota tu pesa, umetoa nini au kelele tu.
    Halafu hawa ccm mtu akitaka kutoa msaada sheria yao lazima na wao waonekane fix sana hawa

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 5 лет назад

      Mashaallah Allah akufanyie wepesi Kaka yangu. Na mtu akitoa sadaka hupitia kwenye mkononi ya Allah. Tuacheni kasema maneno yasiofaa jamaani. Hutolewa kwa ajili ya Allah sio Chama fulani jamaani. Allah atongoze kwa hilo.

  • @mgogomgogo7266
    @mgogomgogo7266 5 лет назад

    Jamani huyu dada mtangazaji ana saiti nzuri ya utangazaji....jina lake nani

  • @mbaroukhmza2892
    @mbaroukhmza2892 5 лет назад

    Kujionesha ndo safi ili nawengine waige

  • @albait5227
    @albait5227 5 лет назад

    Hili sef hata pemba wenyew haijuw anazuga maneno tu mara wete mara mkoan

  • @mussadaud3011
    @mussadaud3011 5 лет назад

    Nyie mmekuwa watu wamisada tu serekali hi tabia mbaya hii

  • @moodyman7588
    @moodyman7588 5 лет назад

    Asalama aleykum mm si mbaya kutoa sadaka lkn mm kinanikera hichi, kwa nn nyinyi mnajionesha, aamali huwa zinqpeperuka kidini, Think before you done

    • @Rashidmhedhery
      @Rashidmhedhery 5 лет назад +1

      Moody man : shukuru badala ya kuponda, kuna aina nyingi ya kuchangia. Shukurani ni wajib

    • @wahidashabaz5982
      @wahidashabaz5982 5 лет назад

      Moody man sasaiv mambo mengi ya jamii yakitokea ni mr chache sana kutoonekan ktk television kwasababu hizi ni nyakati za utandawaz

    • @mohamedsalimaljahdhamy1436
      @mohamedsalimaljahdhamy1436 5 лет назад

      Moody man unakosea kijana. Jambo hilo la mtu kujionesha sisi hatulijui. Lipo baina ya mtu mwenyewe na Allah s.w. Lkn pia kutoa sadaka kwa dhahiri imeelezwa ktk Quran kuwa inafaa

    • @moodyman7588
      @moodyman7588 5 лет назад

      @@Rashidmhedhery je ww utakubali utolewe ktk tv unapokea msada wa chakula , au mzazi wako,umekaa ki nyonge masahaba walikuwa wakitoa lkn hawakujionesha, kwa nn asifanye bila ya kuwaonesha watu, wemekaa foleni wanasubiri chakula, haki, wengine waja wanahaya duniani,
      Think before you done

    • @yahasalel-sheibany5403
      @yahasalel-sheibany5403 5 лет назад

      Mzee katk din imo zot kutoa kwa siri na dhahir pia ss riq itabk mtu moyon kwak

  • @nadirmahfoudh1812
    @nadirmahfoudh1812 5 лет назад

    Masha'Allah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад

    Mashallah