Nachoomba kila cku ni Mungu azidi kukufunika,azidi kukupa mafunuo zaidi ili sisi tupone mioyo yetu kupitia ww pastor kwa njia ya kristo Yesu.Nikiwa na hofu juu ya dhambi napata tumaini jipya kutokana na mafundisho yako.Mungu akubariki sanaaaaaaaaaaaaaa.
Amen God bless you pastor your sermons has changed many lives i included also I introduced your channel to a friend she is non Adventist but she loves listening to your sermons everyday
Iko sawa kabisa, ata kama unaendesha baiskeli omba, Sina kanuni ninachojua ni kwamba Nina dhambi Nina macho ya tamaa kama mdomo Ulivyo na hamu ya kula ata kama tumbo limeshiba, tuna tuuma nzito kwa wake zetu kwa kuwasaidia ata wajane, waitaji wenye jinsia tofauti nasisi ikifika muda wa ibada unakua kikwazo kwake usipomjua unaemwabudu utaacha kufanya ibada. Nimependa sana SoMo Ili umenibariki sana. Nawe barikiwa.
Mungu akubariki mchungaji Mbaga , Kupitia mafundisho yako kuna vitu vingi najifunza ,Sina cha kusema zaidi ya kukuombea kwa Mungu aendelee kukupa mafundisho mengi kwa ajili ya watu wake Amina.
Mchungaji anahubiri vzr mno lakini watu hawa hata Amina hawaitikii,hawaandiki.Very bad! Jifunzeni kuteka hizo baraka,hizo Ni nondo Kali Sana,changamkeni,itikieni,andikeni,mtieni moyo mtu huyu mkuu wa Mungu!!.
Mahubiri ya mchungaji mmbaga yananibariki sana, nimesikiliza mafundisho yake mengi na ya kuongoa..... Mfano historia ya rumi ukilinganisha na unabii wa biblia. Lakini ninatamani kujua imani ya kiislamu unaendaje na unabii wa biblia? Au haijaongelewa? Maana Quran ina maneno yanayoonyesha kuwa ndiyo dini ya kweli na ya haki mbele za Mungu. Na wengi wanaamini hivyo ndo maana ni vigumu kuongoka. Na pia natamani kujua " Allah" ni jina la Mungu wa mbinguni? Au ni jina la nani? Natamani mchungaji atupatie ufumbuzi juu ya hili pia. Asante
Mm naitwa stanley thuranira niko voi kenya. Nafuatilianga maubiri yako Sana. Na unijenga kiroho. Ni vipi nawesha Pataki kitabu hiyo za mitume walivyokufa.
Asanti kwa neno laMungu hilo jambo watu wanarihubiri tofauti sija jua kweri mufalme uzia ndiye shida ya yesaya hakumuona Mungu Wengine wanasema nineno arititumiya juu uzia ndiye arikuwa anajurikana kwa wakati ure Mungu anafanya chenye anataka ao kuonekana kwamutu nawatu ninawasikiriza niwatu warisoma wamasomo yakutosha ni ma Doctor sasa neno lamuhimu nirawapi wewe unasema kwanza adui wako akufe ukionavizuri mufalme hakukuwa adui wayesaya sijue kama utaelewamuzi kwani kiswahiri nibovu
Nachoomba kila cku ni Mungu azidi kukufunika,azidi kukupa mafunuo zaidi ili sisi tupone mioyo yetu kupitia ww pastor kwa njia ya kristo Yesu.Nikiwa na hofu juu ya dhambi napata tumaini jipya kutokana na mafundisho yako.Mungu akubariki sanaaaaaaaaaaaaaa.
Nime barikiwa Sana muchungaji kwa fundisho hili Mungu akupe nguvu mupya🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ahsante kwa mafundisho haya, Mungu akutie nguvu, na mafunuo zaidi,
Amen soo blessed powerful message God bless you pastor
Amina pr, somo nzuri hilo Mungu awe nawe unapoendelea kutuelimisha
Amen God bless you pastor your sermons has changed many lives i included also I introduced your channel to a friend she is non Adventist but she loves listening to your sermons everyday
Amen
Instablaster
Surely u have given me an eye opener that its by grace we are blessed. Tofauti baina ya ndini na ukristo. God bless u pr.
Amen
Tunakupata Sana tukiwa kibiti pwani mungu akubariki Sana pastor
Asante kwa ufunuo ..be blessed mtumishi Wa mungu
AMEN Pastor. I know that there are many obstacles in this world but i am asking GOD to help me stand firm to overcome them. Be blessed pastor.
Keep on moving
Iko sawa kabisa, ata kama unaendesha baiskeli omba, Sina kanuni ninachojua ni kwamba Nina dhambi Nina macho ya tamaa kama mdomo Ulivyo na hamu ya kula ata kama tumbo limeshiba, tuna tuuma nzito kwa wake zetu kwa kuwasaidia ata wajane, waitaji wenye jinsia tofauti nasisi ikifika muda wa ibada unakua kikwazo kwake usipomjua unaemwabudu utaacha kufanya ibada. Nimependa sana SoMo Ili umenibariki sana. Nawe barikiwa.
Dunia ya leo inamini Sana ktk uongo hapo unaubiri ktk kweli ya Mungu hakuna watu nenda wanakoubiri uongo hata siti za kukaa ni shida
Mungu akubariki mchungaji Mbaga , Kupitia mafundisho yako kuna vitu vingi najifunza ,Sina cha kusema zaidi ya kukuombea kwa Mungu aendelee kukupa mafundisho mengi kwa ajili ya watu wake Amina.
AMEN;AMEN;🙏🙏...nimebarikiwa sana na mafundisho yako mchungaji.mungu na akuzidishie na akubariki ili nasi ukazidi kutubariki na neno lake🙏
Amen
Nakupenda sana babangu Mungu akubarik
Ameen mchungaji ubarikiwe, nazidi kusimama imara🙏👏😘
Thank you pastor God please 🙏 u
Asante Mungu kwa kumtumia mtu huyu nimefunguliwa kupitia masomo haya❤
Haya mahubiri ni ya rohoni mno.....
Mungu akubariki sana. Roho wake daima kwa unyenyekevu akuongoze.
Nalibariki Jina la Yesu
Nakupenda sana pastor mafundisho unayo toa yakutusaidia kufika mbinguni, na kufanikiwa kwenye maisha haya tunayo ishi
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai, Mungu wa mbinguni akujalie afya njema siku zote za maisha yako.
Amen
Asante kwa ufunuo Pastor Mungu akuzidishiye mengine 🙏🏾
Mungu akubariki mtumishi uzidi kutuhubiria
Amen
Kazi unayo ifanya mwenyezi Mungu yupondaniyako
You are a personal friend through your discourses
Amina, Mungu azidi kukutumia ili tuzidi kubarikiwa zaidi
Ubarikiwe sana mchungaji
Be blessed pastor ❤️
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Unaokoa wengi sana mbaga, god bless you pastor
Great preaching and thank you Pastor. Praise God
Hili somo limenipa nguvu,Mungu akubariki Sana pastor
Amen mtumishi,
Pasta ubarikiwe sana nimekuwa nimesikia mahubiri hakika limeni badilisha.Mungu azidi kukubariki
Asante sana Pastor, Mungu Akubariki sana kwa Neno
Asante Sana pastor, mungu akubariki Sana
Ubarikiwe sana Pastor.Zidi kutuelimisha.
Hii somo ni tamu❤
Amen jina la Bwana lisifiwe
Ubarikiwe sana mchungaji Mbaga
Amina pastor nimebarikiwa na neno hili Mungu akubariki
Amina.barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Asante pastor kwa somo zuri.
Mchungaji anahubiri vzr mno lakini watu hawa hata Amina hawaitikii,hawaandiki.Very bad! Jifunzeni kuteka hizo baraka,hizo Ni nondo Kali Sana,changamkeni,itikieni,andikeni,mtieni moyo mtu huyu mkuu wa Mungu!!.
Amen...thank u jesus for da wonderful word
Barikiwa sana pastor Mmbaga
Asante Mungu kwa mtumishi wako kuendelea kunifungua macho
Amina pastor be blessed...
Mahubiri ya mchungaji mmbaga yananibariki sana, nimesikiliza mafundisho yake mengi na ya kuongoa..... Mfano historia ya rumi ukilinganisha na unabii wa biblia. Lakini ninatamani kujua imani ya kiislamu unaendaje na unabii wa biblia? Au haijaongelewa? Maana Quran ina maneno yanayoonyesha kuwa ndiyo dini ya kweli na ya haki mbele za Mungu. Na wengi wanaamini hivyo ndo maana ni vigumu kuongoka. Na pia natamani kujua " Allah" ni jina la Mungu wa mbinguni? Au ni jina la nani? Natamani mchungaji atupatie ufumbuzi juu ya hili pia. Asante
barikiwa paster
Mlefi Mungu azidi kukuinua nabarikiwa sana na mahubiri yako
Amen
Mchungaji naomba nambazako watu tuna shida sasa tens sana
@@MahubiriPrMmbaga ameni
Utuombee mtumishi wamungu Mimi nafamilia yangu tunashida saana
Unanibariki sana , pia kunakichohongezeka ndani yangu siku kwa Siku ninapokusikiliza
Ahsante Pr.
Amina, barikiwa pastor
Amina pastor mungu akubariki
Nimekusikia vizuri sana ila nina Swami:kwa nini kama sitowi sibarikiwe mpaka nianje tena kutoa
Kwa hakika hili neno limeni inua ubarokiwe saana
Amen. Good teachings
Amen Pastor 🙏
It is true be blessed pastor be blessed
Amina na Amina BWANA MUNGU AKUBARIKI. Amina
Amen
Amen 🔭🔭
Ameen ubarikiwe
Hakika nmepona
That is why I like to get your teachings on time!!.
Okay pastor.
Niseme nini ila Mungu azidi kukutumia ili kupitia hayo mahubiri wengi wamfahamu Mungu,neema ya Mungu iwe nawe Kwa wingi.nabarikiwa nikiwa Kenya.
Amen
Amen amen
Amen barikiwa
Amen Mtumishi, tumtumainie MUNGU pekee
𝘑𝘪𝘯𝘢 𝘭𝘢 𝘉𝘞𝘈𝘕𝘈 𝘭𝘪𝘣𝘢𝘳𝘪𝘬𝘪𝘸𝘦.
Amen, thank you Jesus for this divine connection ❤🙏
Amen
Mahubiri
amina
Mm naitwa stanley thuranira niko voi kenya. Nafuatilianga maubiri yako Sana. Na unijenga kiroho. Ni vipi nawesha Pataki kitabu hiyo za mitume walivyokufa.
Ubarikiwe. Kitabu bado hakijatoka
@@MahubiriPrMmbaga ubarikiwe mtu wa mungu.
Tafuta wainjilisti wa vitabu hapo Kenya kinaitwa Majaribu hadi ushindi. Ipo historia ya Paulo, Petro, Yohana wa Patmo na vifo vyao
Maulidi ya ukongoroni
Amen
Aaaaaai 😁😁😁😁😁
,Amen
AMEN
Zehebu ndio inakataza, ila dini inakubali mwenyedhambi kumubariki Yakobo 5
Kutoka ikizu bunda Mara" tunabalikiwa na masomo yako
Nahitaji namba za simu za mch mmbaga tafadhali
+255 755 932 283 Whatspp zaidi
@@MahubiriPrMmbaga asante ubarikiwe
Amina
Asanti kwa neno laMungu hilo jambo watu wanarihubiri tofauti sija jua kweri mufalme uzia ndiye shida ya yesaya hakumuona Mungu
Wengine wanasema nineno arititumiya juu uzia ndiye arikuwa anajurikana kwa wakati ure
Mungu anafanya chenye anataka ao kuonekana kwamutu nawatu ninawasikiriza niwatu warisoma wamasomo yakutosha ni ma Doctor sasa neno lamuhimu nirawapi wewe unasema kwanza adui wako akufe ukionavizuri mufalme hakukuwa adui wayesaya sijue kama utaelewamuzi kwani kiswahiri nibovu
0686625121 naomb unipg mchungaj
Amina, Mungu azidi kukutumia ili tuzidi kubarikiwa zaidi
amen pastor mungu akubariki
AMEN
Amina
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen