015 1 OTHMAN MAALIM KISA CHA ISRAI NA MIRAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • AKASHA DAAWAH TRADERS +254 721310082

Комментарии • 149

  • @rajabukaloko8015
    @rajabukaloko8015 6 лет назад +18

    Shekhe Othman nakupenda kwa ajili ya Allah napenda sana kuskiliza mada zako Allah akujalie kher na baraka

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 лет назад +33

    Wallah nipe like zako Kama nawewe usikiapo mawidha ya sheikh othman maalim unajihis upo karibu na muhamad s w a enzi zilee

  • @lizyathumani1052
    @lizyathumani1052 7 лет назад +14

    Nampenda Othuman maalim mungu. ampe umri mrefu

  • @ahmadayoubmicharazo4061
    @ahmadayoubmicharazo4061 5 лет назад +4

    BISMILLAH RAHMAN RAHIIM yaa rabbi mlinde nashar zote za ulimwengu shekh wetu huyu mzur anae tuelimisha mpaka twafarajika hasaa. Mashaallah shekh wetu othman maalim

  • @dullapay8137
    @dullapay8137 6 лет назад +10

    Maashaallah allah atujaalie husl hatima

  • @tawfiqzulu225
    @tawfiqzulu225 8 лет назад +52

    Tumsalieni mtume ndugu zangu waislamu.Mtume ndio kiumbe bora na tumebahatika sana kuwa katika umma wake.Asante sheikh kwa mawaidha yenye mazingatio makubwa na Allah (s.w) akuhifadhi wewe na waislamu kwajumla InshaAllah.

  • @laleinemirjangi1930
    @laleinemirjangi1930 5 лет назад +6

    Salam from Mombasa Kenya
    Mashaallah uko sheikh mzuri sana unaeleza inafahamika nasikia kila mara mawaidha yako Allah akubarikie Ameen Yarab
    Bravo sheikh tu es le meilleur merci BEAUCOUP

  • @chachamadini9372
    @chachamadini9372 6 лет назад +16

    Doctor wa moyo wangu, Allah akujaalie umri mrefu uzidi kuzitibu nafsi zetu, wallah huchos masikion pangu sheikh

  • @ummuaisha8650
    @ummuaisha8650 6 лет назад +11

    MashaAllah Napenda sana Mawaidha yako..
    Allah akupe kila la kher..

  • @omarmbaga3496
    @omarmbaga3496 8 лет назад +15

    Shekhel Othman Maalim,hakika nakupenda kwa njia ya Allah. Mwenyezimungu akupe afya njema na umri mrefu utufunze dini ya Allah na Tufate maamrisho yake Inshaalah

    • @bakarimakengo8505
      @bakarimakengo8505 5 лет назад

      Mashaalaa

    • @bammboomm7763
      @bammboomm7763 4 года назад

      Amin

    • @abduibrahim7363
      @abduibrahim7363 4 года назад +1

      Wallah ukiyasikiriza mawaidha yake utakutana kanakwamba na wewe upo kwenye vikao au madrasa ya MTU ME WETU RADHI ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE NA REHEMA ZAKE.

  • @aishakea6520
    @aishakea6520 3 года назад +1

    Maasha Allah tabaaraqarahman...Allah akujaalie kila la kheir na akujaalie umri mrefu sheikh wetu uzidi kutunufaisha in sha Allah....kiswa kitam wallah...Allahu akbar

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 3 года назад +1

    Wallahi shekhe wetyu allah akulipe kheri za duniani na akhera

  • @mamuuuhamic123
    @mamuuuhamic123 7 лет назад +9

    mashaalah shekh Allah akuhifadh ....unamawaidha mazur Allah kakujaalia kipaj

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 5 лет назад +3

    Takbir ..... Ewe Alla mjaaliye mwisho mwema othumani maalim kwa kutuelimisha mambo mengi na visa mbalimbali na ss pia tujaaliye mwisho mwema yaa Rabbi

  • @abduibrahim7363
    @abduibrahim7363 4 года назад +2

    Maansha Allah,umetufanya umetukunjulia njia wengi kwa visa vya MITUME,ALLAH UKUJAALIE UMRI MREFU,wallah nakupenda kwa ajiri ya Allah,hakika unataka chakula kitamu kwenye nyoyo zetu.

  • @Mamake6
    @Mamake6 5 лет назад +5

    MashAllah sheikh Allah akupe Jannat firdaus

  • @farajishabani9896
    @farajishabani9896 6 лет назад +7

    Inshaallah mola akujalie na akupe umri mrefu uendelea kutuelimisha

  • @hajramohamed100
    @hajramohamed100 6 лет назад +6

    Mashaallah Allah akuzidishie ujuzi zaid

  • @allymachanokeis3764
    @allymachanokeis3764 5 лет назад +8

    Tuwe pamoja peponi, mm, ww, waislam na Muhammad (s. a. w.).

  • @abumombasa7329
    @abumombasa7329 7 лет назад +7

    Allah akuhfadhi nakuja khri inshaAllh

  • @khamissaid7678
    @khamissaid7678 9 лет назад +11

    Mashallah tuwashajihishe wenzetu waingie huku huenda wakarudi kwa Mwenyezi Mungu

  • @hawaayahayahusseinhawaayah5380
    @hawaayahayahusseinhawaayah5380 9 лет назад +9

    inshaallah! allah awajaaliiye hapa duniyan na kesho agheraaa" masheee woteee kwa kutowa daawa

  • @rahmahahmed2644
    @rahmahahmed2644 9 лет назад +21

    Sheikh wetu ALLAH akupe umri mrefu uzidi kutukumbusha Insha'Allah.

  • @hawamambo4268
    @hawamambo4268 8 лет назад +30

    wallahi sheikh Allah akuhifadhi akupe kheri nyingi mnooo, na akusamehe dhambi zote,na ninamuomba Allah asichukue roho yako ispokuwa amekuridhia na sie sooote wafuasi Wa kipenzi cha Allah subhana huwata'ala, sheikh othman maashaallah wallahi maashallah 😍😘 huchoshiii,Una hekma ktk Kila neno unaloongea, hata inapotokea kuhitilafiana wewe sheikh huwa unajibu kwa dalili na huna kejeli unaelewesha hata panapoonekana pagumu kuelewa wallah Allah akupe mwisho mwema , subhanalladhi ISRAA NA MIIRAJ ,Allah ametakasika na Kila sifa ya upungufu

  • @mimamkassy6563
    @mimamkassy6563 7 лет назад +4

    MashaaLLAH nayapenda sana mawaidha yako sheikh ALLAH akupe umri mrefu InshaaLLAH

  • @fundibombazanzbar5717
    @fundibombazanzbar5717 6 лет назад +5

    bismillah rrahman rrahim...mungu akupe umr mref wenye khery lakini mungu akikuchukua leo akuna atakae ficha pengo lako.... umenifanya niskilze mawaidhayakotu... hatasjui kama wapo masheikh wengine

  • @saumuhamic8894
    @saumuhamic8894 8 лет назад +7

    Allah akujaalie kila lenye kher inshaa Allah ....uendelee hiv hiv

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 4 года назад +1

    Allah atujalie mwisho mwema atusme sote twakuombea her na baraka sheikh wetu Allah akujalie umri mrefu wenye neema na baraka akujaliye shahad utakapo fikwa na umauti nakupend san kwajili ya Allah nataman nikuone wallh

  • @rashidsultan543
    @rashidsultan543 6 лет назад +6

    Allah akulipe shekh othman maalim

  • @emilyziba8109
    @emilyziba8109 4 года назад +2

    Mashallah shehe wetu Allah akupe umri mrefu

  • @muhsinmahamba2629
    @muhsinmahamba2629 6 лет назад +5

    Masha Allah shekh Othman maalim mungu akuzidishie akupe kheri duniani pamoja na kesho akhera

  • @ashaali4881
    @ashaali4881 9 лет назад +13

    ALLAH AKUJAZE MAJAZO MEMA SHEIKH OTHMAN MAALIM

  • @hamastien5439
    @hamastien5439 5 лет назад +5

    Nampend kwajil ya allah mwenyezimung amuwem aweze kutuelimisha yarabii

  • @lovelyqueen4224
    @lovelyqueen4224 9 лет назад +6

    mashaAllah mungu akuzidishie Kher inshll

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 6 лет назад +4

    Mashaa Allah
    Mashaa Allah
    Yaani mawaidha yako hufanya sikosi kitabu mkononi ili niandike points unazozitoa na sura pia na Aya zake.
    Allah atuongoze sote katika njia ya kheri hadi Janna Aamiin thumma Aamiin.

    • @mohamedswaleh8590
      @mohamedswaleh8590 5 лет назад

      Mashaa Allah, Allah amzidishie Shekh Othman Maalim, nawe piya Allah s.w.t akizidishie kutafuta ilmu na sisi waja wake waislamu Allah s.w.t atujaliye tuwe ni wenye kutafuta ilmu.

  • @babasikander5760
    @babasikander5760 5 лет назад +3

    Yarrabi Mjalie Afya Sheikh Othman Maalim na familia yake aendelee kutupa dawa na pia unipe uzima na Afya nipate kukutana nae InshAllah. Hakika wewe ni Tunu katika dini yetu hii haki.

  • @hamishemed9396
    @hamishemed9396 4 года назад +3

    Uislam ni mzuri wallah nasikia raha Allahu Akbaru

  • @pepeaustino5657
    @pepeaustino5657 6 лет назад +7

    MashaAllah ustadh Othmaan

  • @fundibombazanzbar5717
    @fundibombazanzbar5717 6 лет назад +4

    akuna kama wewe...sheikh othman maalim....borausife mapema... mungu akuwke kwanza

  • @azizbhaloo206
    @azizbhaloo206 6 лет назад +13

    Maashallah Maashallah Maashallah May Allah Grant Him And All Of Us Paradise!!!!!

  • @fatmahmwinyi4061
    @fatmahmwinyi4061 6 лет назад +9

    Anyone in 2019...cchokii kuckilza tangu iwekwee laillahaillallah muhamamd rasul llah

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 6 лет назад +2

    Shekh wetu mungu amekuleta kwa makusudio haya haya.

  • @jadidajadida9154
    @jadidajadida9154 7 лет назад +7

    Allah akujalie mwisho mwema

  • @fatimaabdulla1320
    @fatimaabdulla1320 4 года назад +7

    Yani huyu jamaa wallah napenda sana mawaidha yake hadi mume wangu anasikia wivu kisa tu siriziki kama sija msikia nikimsikiliza sihitaji kukerwa

  • @khamishamad9083
    @khamishamad9083 6 лет назад +7

    MASHALLAH SHEGHE WETU ALLAH AKUPE MAISHA MAREFU

  • @mariamsuleimanmunguakupeum6552
    @mariamsuleimanmunguakupeum6552 7 лет назад +13

    mungu akujalie umri mrefu akufugulie nehema kem kem

    • @shabaniyusuph3766
      @shabaniyusuph3766 5 лет назад

      Mariam Suleiman mungu akupe umri uzidi kutuelimisa ulll

  • @wazirim4c679
    @wazirim4c679 8 лет назад +6

    mungu akuzidishie

  • @Jeefbesos9697
    @Jeefbesos9697 2 года назад +1

    Masha'allah , cheikh nouri Othmane malim , Allah akulinde na akupe umri ndefu , kwa siku zote n'a fwata vidéo Yako , n'a ma rafiki yangu , masha'allah 🙏 qu'Allah t'accorde des ses bienfaits.

  • @zuubyjamal7104
    @zuubyjamal7104 9 лет назад +8

    IN SHAALLAH ALLAH AWAPE AFYA NA UMRI NA MAKAAJI PEMA PEPONI,,ALLA HUMMA AMEEN,,

  • @zaby-n-mamashasha6671
    @zaby-n-mamashasha6671 4 года назад +1

    Jazakallahu khaira shekh wetu Mungu akupe umri mrefu

  • @abdirisaqsalat8849
    @abdirisaqsalat8849 2 года назад +1

    Masha Allah jazakallah kheir

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 Год назад

    Huna baya shkhe letyu namuomba mungu atukutanishe peponi kwa huruma zake

  • @mwalimabrahmanmohamed8245
    @mwalimabrahmanmohamed8245 4 года назад +1

    Shekh allah akupe umri mrefu sanaaa

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 лет назад +5

    Jazzakallahu khery shekhe othman Maalim, shukran

    • @sadasada1291
      @sadasada1291 7 лет назад

      Saumu Hassan asalaam aleykum walahuatulahi wabarakatuh

  • @rahmaliwali9355
    @rahmaliwali9355 9 лет назад +13

    Allah akuzidishie kheri inshaalah

  • @sophiahamisi706
    @sophiahamisi706 4 года назад +1

    Masha Allah aukufanyie wepec uzidi kutupa elim

  • @kixazure3281
    @kixazure3281 6 месяцев назад

    Mwenyezi Mungu akubariki na akuzidishie umri mrefu

  • @talibabdallah3902
    @talibabdallah3902 8 лет назад +11

    allah give you more age to spread religion of allah

  • @khalifamagambo7832
    @khalifamagambo7832 4 года назад +1

    Mungu akujaze kheri nyingi

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 5 лет назад +3

    SHUKRAN yaa Shaikh
    Allahumma sally Muhammad""'

  • @jumasemindu2945
    @jumasemindu2945 5 лет назад +1

    mungu akuzidishie inshallwah sheikh wetu

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 5 лет назад +3

    جزاك الله خيرا شيخ عثمان معليم

  • @abduladamu854
    @abduladamu854 7 лет назад +6

    Allah atujalie tupate pepo Allah

  • @yasinmohamed817
    @yasinmohamed817 8 лет назад +8

    Allah kareem

  • @rufaydabaskut2230
    @rufaydabaskut2230 7 лет назад +9

    مشالله شيخ عثمن معلم

  • @hosseinkileo7286
    @hosseinkileo7286 5 лет назад +2

    ماشاء الله شيخ جزاك الله خيرا

  • @halimakalinga7764
    @halimakalinga7764 3 года назад +1

    MashaaAllah shukran San

  • @barawizabarawa4784
    @barawizabarawa4784 10 лет назад +11

    Masha Allah sheikh

  • @ZaitunMohd-ni4kh
    @ZaitunMohd-ni4kh Год назад

    mashaallah Mungu akuweke sheikh wetu

  • @jonasniyo9020
    @jonasniyo9020 8 лет назад +7

    Masha allah

  • @athumanikarata7668
    @athumanikarata7668 5 лет назад +3

    Allah akujaE

  • @ukhtyaminahhassan5491
    @ukhtyaminahhassan5491 6 лет назад +4

    Jazzakallah khayra

  • @mariyammariyam971
    @mariyammariyam971 5 лет назад +1

    Mashaallah sheikhe Allah akuhifadhi

  • @ayubupapi2649
    @ayubupapi2649 5 лет назад +2

    Maalim unavo ghaaniiiy mashallah

  • @nassermorehamade9263
    @nassermorehamade9263 2 года назад +1

    sheikh nauliza nabii issa alikutana na mtume s.a.w

  • @allydarusisalim8535
    @allydarusisalim8535 9 лет назад +6

    I really love shekh Othman Maalim

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 4 года назад

    Allah atuhifadhi na Shari za maadui zako

  • @fatumanassib5684
    @fatumanassib5684 7 лет назад +6

    Mashallah

  • @apangumombasa5265
    @apangumombasa5265 7 лет назад +2

    Shukran brother

  • @mrtungsten1248
    @mrtungsten1248 9 лет назад +5

    mashable allah

  • @lovelyqueen4224
    @lovelyqueen4224 9 лет назад +3

    mashaAllah mungu mzm

  • @umiabdirizak5117
    @umiabdirizak5117 6 лет назад +5

    masha Allah jazakalahu keyril jaza

  • @kulthumhaji6928
    @kulthumhaji6928 2 года назад +1

    Alhamdulillah

  • @nasoromageta8297
    @nasoromageta8297 4 года назад +1

    Mashallaw zajaqa llah

  • @habibahmatano1815
    @habibahmatano1815 4 года назад +1

    Ma sha Allah

  • @ahmadayoubmicharazo4061
    @ahmadayoubmicharazo4061 5 лет назад +2

    Wallahi cmshi ham mie uyu

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 лет назад +2

    MaashAllah

  • @suleimanswaleh2275
    @suleimanswaleh2275 3 года назад +1

    Alhadulillah

  • @jabilishekusa2202
    @jabilishekusa2202 4 года назад +3

    Mashaallah

  • @yassirsalum8949
    @yassirsalum8949 7 лет назад +5

    Subhanallah

  • @simbayahe4960
    @simbayahe4960 5 лет назад

    Mwezimungu akujalie na akuzidishie

  • @yuzaaseif3007
    @yuzaaseif3007 4 года назад +1

    Mashaa allah

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад +2

    Swallallahu alayhi wasallam

  • @Mugishafatma
    @Mugishafatma 3 года назад +1

    Allah Akbar 🙏

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад +1

    Amiina yaarabbi

  • @jumannji8910
    @jumannji8910 2 года назад

    SUBHANALLAH

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 5 лет назад +1

    Maashaallhah

  • @حميدهخلفان
    @حميدهخلفان 5 лет назад +1

    ALLWAHU AKBARU

  • @omarymayola5294
    @omarymayola5294 4 года назад

    Allah akbar

  • @giulianamoschini2012
    @giulianamoschini2012 4 года назад

    Mtumwa na babu yake Abu Talibul na alietangulia Luca. Mtume au Abu Twalbu