Huyu wakili hajui hata haki za watu. Sasa huyo wa kwanza atashtakiwa vipi wakati yy hakumbaka walifanya starehe kwa kukubaliana. Hao wateja wako ndio hakukukua na makubaliano baina yao ndio maana wakaambiwa wamebaka. Soma vizuri haki za binadamu kisha ndio ufanye biashara ya uwakili.
Kusema Kweli Hana point inayokataa kubaka anaongelea technicalities,alafu kinyoonge yaani kufupi Hana mbinu anajitia aibu ata mtoto wa cheti hawezi ongea hivyo.
Ivi wanasheria kwanini. Mnajizalilisha sana kwa kuendekeza tamaaa zenu. Ingekua. Munawasaidia watu bule kisheria tusngekua tunatetea. Upuuz. Kama huu. Endapo angefanyiwa mwanao. Ungesema. Hivo
Huyu wakili naona hata haibu, kusikiliza anachosema, anaongelea vitu technicals lakini haongelei uhalisia, ndio maaana haki hazitendeki kama mawakili ndio hawa.
Haki haikutendeke yuko wapi huyo aliyowatuma mbona analindwa sana namkono washeria?? Pia hawowandishi wakike hapo wanacheka nini kama nimaxuli vile kama hujafa hujaombika msijisahau hii dunia
Uyu wakili ya paswa arudi tena chuo maana alipo sema mpenz wake aliye enjoy nayo afungwe cyo sahii. Kwaiyo ww ukilala na mkeo watu waki vamia waki muingilia mkeo nawe huukumiwe rudi chuo kasome tena au ufutiwe chet cgako chako cha uwakili.
Hakuna kosa kwa mujibu wa sheria na katiba ya kisababishi cha hili kosa kwa sababu watunga sheria bungeni wake kwa waume wanakifanya kisababishi cha hili kosa na hivi tunavyo zungumza gesti zimejaa watu wanafanya kisababishi cha kosa pamoja na kusababisha watu kuuana watu kusalitiana watu kupigana risasi bado hakuna kosa kwa mujibu wa sheria ya kisababishi cha hili kosa
bado unabish eti hakuna genge la kubaka alafu unajizima data unajifanya hujui amefanywa mbele na nyuma alafu ww unajifanya ujui mbele wala nyuma kweli w kitoga na usilizike kwan w nan mzee acha tamaa
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
Yupo kikazi zaidi Anajiliwaza shindwa kwa Jina la Yesu
Asante Serikali, wachumia tumbo achaneni nao.
Mwanasheria yuko vzr sana
Waende kabisa wasitolewe kwa rufaa
Watatolewa tunalizishwa tu
Huyo dada jmn wampe na fidia ya fedheha hiyo jmn inauma sana bint mzur mtoto mdogo anafanyiwa au watz tumchangie .
Tv ya wasafi ndio wameelezea vizur fifia ipo Kila Moja milioni Moja na kifungo Cha maisha vyote kwa pamoja
Ww wakili gani una lalamika na kitu kimesambazwa dunia nzima
wanataka wawachote tena pesa k tukio lipo wazi na public
Yani huyu wakilinana roho mbaya hivi ana watoto kweli?
YANI MI SIMPEDI KABISA NAISI ANA WATOTO
Safi sana wskome
Mmh aliemuelewa huyu mzee anaelezea nn atanicheki inbox Mimi hata sijaelewa anabwabwajabwabwaja tuu
Hhhh umetisha sana
Anatafsiri sheria
Waache wakafungwe kwakusema kweli wabakaji tumewachoka hli wakili nalo choko.
Ukiona ivyo ilo wakili nalo ni bakaji
Safi ssana
Huyu wakili wasonga namkubali sana.alinisaidia sana kwenye kesi yangu yupo levo ya juu sana.
Safi sana wewe wakili mpuuzi sana matako yako fala wewe
""Hawawezi kuwa na vijana wa kulilidhalioisha,n.. ..HIIii haiipuuuzwi.. JWTZ They are strong,, END OF THE END.
Wakili lengo lako waachiwe ili waje uraian kuendeleza uovu ktk jamii ??
Huyu wakili hajui hata haki za watu. Sasa huyo wa kwanza atashtakiwa vipi wakati yy hakumbaka walifanya starehe kwa kukubaliana. Hao wateja wako ndio hakukukua na makubaliano baina yao ndio maana wakaambiwa wamebaka. Soma vizuri haki za binadamu kisha ndio ufanye biashara ya uwakili.
Mbakaji na anayemsaidia mbakaji kutimiza jambo lake laoo mojaa nd wanasema ivyoo
Kwa utetezi huu ndio maana wamepigwa maisha ..
Wakili ameelezea vizuri sana kwa upande wa mteja wake ila akina nyundo walizingua sana😂😂
Wakili muhuni huyu yaani umri wote huo usijue mbele na nyuma kweli!!!
Final justice has been made
Wakili njaa hawa,
Kwanini afande aliyewatuma ajashitakiwa, au kwasababu nimkubwa katika jeshi la polisi, inch hii yaajabu sana, hawa wanatuzuga watawatoa hao.
Huyu wakili moja kwa moja kwa p didy anaongea utumbo mtupu na sura mbaya hii sura yake inatakiwa Iwe inaadvertise sumu
Wafungwe tu
Kila kazi na mshahala wake
Pumbaa pumba pumbaa
Bwana tunadanganywa
Wakili chizi kwer wew
Mawakil wote wanaotetea uongo mungu anawasubir
Sasa hao wamehukumiwa ni sawa lakini yupo wapi Afande na yeye ahukumiwe kama siyo hiyo basi haki bado haijatendeka
Hao watuhhumiwa ndio Wamemkana Aliewatuma Na Wametoa Ushahd,
@@NgamelaYussuph ok basi imetoka hiyo wakale sembe vizuri
Wakili hajui mbele kupi na nyuma wapi😊
😂😂😂
Itakuwa Hana mie 😂😂😂
Kusema Kweli Hana point inayokataa kubaka anaongelea technicalities,alafu kinyoonge yaani kufupi Hana mbinu anajitia aibu ata mtoto wa cheti hawezi ongea hivyo.
Wakili haeleweki,anajali maslahi yake tu
Hii kesi bado sana ngoja tuone huko tuendako
Sasa muda wa kazi gani
Ningekua mwandishi hapo
huyo mzee ningempiga na MAIKI😠
PUMBAVU.
Afande yuko wapi?
Huna akili we mzee
WAACHE, WENDE JE, HULE MAMA ALIOWATUMA VP, WEWE WAKILI ACHA HIZO, JE, KAMA ANGEKUWA MWANAO
Kila mtu ktk mahakama ya mungu atahukumiwa matendo yake aliyoyanya ktk hii dunia
Ndo mana Huna meno
Vijana wadogo wanaozea jela
Wakili njaa inakusumbuwa
Huyu wakili ana halalisha kuwalitiana watu
Yani hii kitu inachekesha
Afande Alie tuma Yuko wapi?
Ila juwa nawe mzazi pia sio kutetea tu
Ingekua nimwanao kafanyiwa hivi sijui kama ungetetea huo ujinga
Ivi wanasheria kwanini. Mnajizalilisha sana kwa kuendekeza tamaaa zenu. Ingekua. Munawasaidia watu bule kisheria tusngekua tunatetea. Upuuz. Kama huu. Endapo angefanyiwa mwanao. Ungesema. Hivo
Huyu wakili naona hata haibu, kusikiliza anachosema, anaongelea vitu technicals lakini haongelei uhalisia, ndio maaana haki hazitendeki kama mawakili ndio hawa.
umeonaee sura yake tu yatosha
Mm siwezi kumtafta wakili mshenz kama huyu
Huyu jamaa ndio mweny genge
Mzeeee achaaa njaaaa kamaaa kwerii sheriaaa unaijuaaa nendaaa kamteteee didy reooo mtootooo wamwenizoo keshooo mwanaoo munguu uyuuu uyuuu mjingaaa wewee
Wakil gan uyu anajielezea alaf aelewek anaongea nn njaa mbaya mungu anakuumbua kuwatetea wabakaj hao
Haki haikutendeke yuko wapi huyo aliyowatuma mbona analindwa sana namkono washeria?? Pia hawowandishi wakike hapo wanacheka nini kama nimaxuli vile kama hujafa hujaombika msijisahau hii dunia
Jumatatu ijayo kesi yake
Sisi atutaki ataiyo lufaha uwovu tuliouona nimbaya sanaaaaaaaa wtoto wadogo wanaona mambo ya kutisha
Sasa bado Afande lazima aende akaungane nao
We chizi nn kwenda mbele uko haki ishatendeka bac
Ngoja nimtandike banzi kolo mmoja ili niendeko huko nikawafire na wao ili wajue walichokifanya kuwa hakifai mbwa hao, walitakiwa kunyongwa
Wewe mzee una roho mbaya sanaa nazani wewe ni mgumba lkn kama una watoto ipo cku litawakuta wanao mbwa wewee
😂😂😂😂 haya maneno mnayapata wapi
Wemzee unawatoto kweli😢😢
Yule alikua ana sema nikitoka ww mwandishi takutafu sasa atajichua mpka akome
😂😂😂😂😂
Kwa hyo unataje
vip maendeleo ya afande mwenye kikosi
Kwaheli nyundo nakutakia kifungo kibaya kaz ngumu chakula kidogoooo
Nisaidieni wanasheria wakijua siku na saa itabadilika kiwa hawakufanya tukio? Au watapunguziwa adhabu?
Uyu wakili ya paswa arudi tena chuo maana alipo sema mpenz wake aliye enjoy nayo afungwe cyo sahii. Kwaiyo ww ukilala na mkeo watu waki vamia waki muingilia mkeo nawe huukumiwe rudi chuo kasome tena au ufutiwe chet cgako chako cha uwakili.
Anafata sheria lakini kwan yy hajui kua walibaka
Afande aliyewatuma amepotelea wapi?
Hao wanachuma pesa zao, Wala hawataki kesi iishe... Maana ikiisha watakula Nini?
Wewe unajitafutia Hela tuu hapo😏
huyu na yeye ilikuwa afungwe pia
Hakuna kosa kwa mujibu wa sheria na katiba ya kisababishi cha hili kosa kwa sababu watunga sheria bungeni wake kwa waume wanakifanya kisababishi cha hili kosa na hivi tunavyo zungumza gesti zimejaa watu wanafanya kisababishi cha kosa pamoja na kusababisha watu kuuana watu kusalitiana watu kupigana risasi bado hakuna kosa kwa mujibu wa sheria ya kisababishi cha hili kosa
Tangu lini Wakili wa Serikali akashinda kesi
Mbona mhusika mkuu aongelewi
hun akil ushasema wamekutwa na hatia sasa unatak kukat rufaa ya nn ss shenz time bongo bhan raha sana siwez kuhama bongo
Sijaona lawyer mjinga kama huyu
Yaani we wakili subiri siku binti yako akiliwa nyuma ndio utajua hujui
Kwa hiyo huyo wakili anakanushaaa ?? Au??
Ila wew nawe inatakiwa serikali iwaadibishe wote watao fumbia hili
We wakili mpumbavu Ange Fanya vile mwanzo ungesema kama ivyo Acha ujinga
Huyu wakili hana akili inamaana had leo hajui nyuma na mbele ya mwanamke
Wewe baba una watoto kweli? Unamkandamiza Binti aliyebakwa, Mungu atakulipa
Nenda popote lazima wafungwe
Wanasheria huwa wana ligha laini laini illi uonekane umeonewa
Pesa mbaya mnatete ujinga
Kilichotumika ni lugha yenye maadili ajue kila mtz alikuwa anafutilia alitaka wawe wanatamka .uhalisia hawa watu wana laana ndo maana ckusoma sheria.
Walipaswa kunyongwa kabisa
Yaan hapa nilivhokirlewa mimi mahakama imetoa hukumu kwa kina nyundo na wentake ili ya kumlinda aliyewatuma huyo fatma kigondo
Hautoweza kuridhika na hukumu kwa sababu ww ni mtetez wa watuhumiwa
Ati hakimu hajui nyuma wp na mbele wp shuguli kwelikweli
WAKILI NYAMAZA UTALAANIWA NA MTOTO WAKO WA KIKE ATAFANYIWA HIVYO HIVYO
bado unabish eti hakuna genge la kubaka alafu unajizima data unajifanya hujui amefanywa mbele na nyuma alafu ww unajifanya ujui mbele wala nyuma kweli w kitoga na usilizike kwan w nan mzee acha tamaa
Acha uwongo wewe mzee pesa zinalani Dunia angekuwa mwanao
Ina maana kesi haijakwisha 😮😮
Tayar wamehukumiwa kigungo Cha maisha , sasa tunalia na afande kigondo aliyewatuma
Kifungo na milioni Moja Kila Moja hapo
hili ajuwe genge la Kula witi paka wam lawiti
Huy baba kama mweh ulikuwa unatetea ujinga apimwe akili
Alafu uyu MPUUZI ana cheti na ni wakili 😂😂😂😂