Victoria Nazah - Asante {Official Music Video) SMS: Skiza 6985743 to 811

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 944

  • @NOAHMTEULE-od3ei
    @NOAHMTEULE-od3ei 8 месяцев назад +72

    wapi likes millioni hapa..hii nyimbo inanibariki sanaa

  • @ziporahnafula2416
    @ziporahnafula2416 Месяц назад +18

    Ukiskiza hii wimbo ukiwa wapitia magumu wajua ipo siku mambo yatakuwa.sawa kama una bellieve like tukisonga

  • @kingdavid8800
    @kingdavid8800 10 месяцев назад +16

    Nmekujaaa na Neno MOJA..
    ASANTE BABA🙌🙌🙌🙌🙌

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 Месяц назад +12

    Team strong kama mko huku konga like, juu kupambana na mwarabu sio rahisi 😂😂.

  • @EdinahAkinyi-o6z
    @EdinahAkinyi-o6z Месяц назад +4

    Ile mbio nimetoka nayo TikTok hauwezi sema ❤❤❤❤

  • @Kish-t4u
    @Kish-t4u Месяц назад +14

    Wangapi wako Saudi hii song n nyetu like please

  • @achuchuSusan
    @achuchuSusan 2 месяца назад +10

    Wangapi wameletwa uku na TikTok 🤣😂 sana sana Tiff Akiimba 😢🥰🥰

  • @rachelwambura2496
    @rachelwambura2496 4 дня назад +1

    Kama Kuna mahali umepitia magumu , na ukavuka salama 🙏🎉 SEMA Ahsante YESU,,UKO NAMI 2025 zidi kubarikiwa mpendwa❤

  • @dorcasmwake6817
    @dorcasmwake6817 10 месяцев назад +11

    Machozi yananitoka kwa kuwa naitambua neema iliyo juu tangu si ya bure

  • @gellshamsimon3347
    @gellshamsimon3347 10 месяцев назад +96

    NIMEKUWA WA KWANZA JAMNII😂😂

  • @joycemumbe6868
    @joycemumbe6868 7 месяцев назад +19

    Wimbo mzuri sana uko na nguvu za Mungu ndani yake.nakuombea neema ikutoshe siku zote .more love ♥️🇰🇪

  • @vaileth.yohananyaluke6680
    @vaileth.yohananyaluke6680 22 дня назад +1

    Kamanda wa YESU, swali Hili nikubwa nani mwana umekama YESU?jibu ni moja hakuna mwana umekama YESU niyeye pekeake Dunia nzima.barikiwa sana much.

  • @lidyateddy6950
    @lidyateddy6950 9 месяцев назад +24

    Hizi sasa ndio nyimbo za injili ❤

  • @JackySt-c9h
    @JackySt-c9h 23 дня назад +1

    Asante Mungu kwa umbali huu umenileta ni ww tu nlipokataliwa ulinkumbatia...

  • @NASHONALLYMUSIQ
    @NASHONALLYMUSIQ 7 месяцев назад +51

    Tik Tok brought me here
    This one is my favorite playlist everyday I wake up it strengthen me🙏🙏

  • @manizdagas5977
    @manizdagas5977 10 месяцев назад +4

    N rehema zako yesu manake wengine wetu hatungeona huku mwaka... Baba asante

  • @wernermwanjala5680
    @wernermwanjala5680 3 месяца назад +2

    Nakupendaga wewe dada, Mungu akuzidishe kwenye huduma aloiweka kwako

  • @PhelystersKadeyiza
    @PhelystersKadeyiza 8 месяцев назад +2

    Wimbo huu unahitaji.million views

  • @mikekegodely
    @mikekegodely 4 месяца назад +17

    Wangapi tumeletwa na citizen tv🎉mike kegodly

    • @faith-dt6sw
      @faith-dt6sw 4 месяца назад

      Me too, citizen tv

    • @dianaoctaph6745
      @dianaoctaph6745 3 месяца назад +1

      Mimi hapa

    • @edsontsuma8051
      @edsontsuma8051 3 месяца назад

      Truly citizen tv

    • @akinyijessy1707
      @akinyijessy1707 3 месяца назад

      Mimi hapa nimekuja from ramogi tv😂.listening to it now. It's a niece one

    • @akinyijessy1707
      @akinyijessy1707 3 месяца назад

      Alafu Kuna huyu young girl dancing in this video smoothly❤. She does it from her heart

  • @gracekhola7639
    @gracekhola7639 8 месяцев назад +2

    Team gulf ni rehema za Mungu, 😭😭😭

  • @mercywacharo583
    @mercywacharo583 7 месяцев назад +5

    Najua ni kwa Rehema zako Yesu ❤ asante Baba 🙏

  • @nadiamlawa5081
    @nadiamlawa5081 9 месяцев назад

    Ni rehema zimenibebaa❤ ❤❤ hakika wimbo hunibariki sana.
    MUNGU akuinue Kwa viwango vingine zaidi

  • @hurumalupasa3844
    @hurumalupasa3844 7 месяцев назад +11

    Wimbo mzuri sana mpaka mchozi unanitoka😭😭😭

  • @RehemaAkukweti
    @RehemaAkukweti 3 месяца назад +1

    ❤❤❤barikiwa sana wimbo naupiga kila wakati naurudia rudia unanibariki sana

  • @Ev.SurpriseNzomoOfficial
    @Ev.SurpriseNzomoOfficial 6 месяцев назад +3

    Even if I listen to this song hundred times I can't get enough of it my God😭😭thank you Jesus ❤

  • @gracendaki4515
    @gracendaki4515 11 дней назад

    Asante MUNGU wangu kwa jina la YESU KRISTO 🙏 Ameen

  • @oxittalks2374
    @oxittalks2374 3 месяца назад +4

    The most beautiful gospel song am listening to this year...Much blessings!

  • @FredrickOsward
    @FredrickOsward 25 дней назад +1

    Wimbo huu unanibariki sana Mungu akutie nguvu mtumishi.

  • @fredrickkikuvi4269
    @fredrickkikuvi4269 4 месяца назад +74

    Wangapy tumetumwa na citizen tv uku

  • @RoseKagoMusic
    @RoseKagoMusic 2 месяца назад +1

    Mungu hudumia tàifa letu la Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuponye na tulinde na ulimwengu wa giza 😢😢

  • @engineeratandi4267
    @engineeratandi4267 10 месяцев назад +6

    I love this song keep on gospelling the pple God

  • @YvonneAwinja-m2o
    @YvonneAwinja-m2o 4 дня назад

    Asante mungu kufika hapa si rahisi imegharimu mkono wako .
    Hakika ni kwa neema yako 😭

  • @NancyBuyachi
    @NancyBuyachi 6 месяцев назад +15

    Me from Facebook while uploading a story on Facebook I came across to this song . And direct to you tube ❤❤❤❤

  • @isakwisamwaijengo5967
    @isakwisamwaijengo5967 8 месяцев назад +1

    dada Victoria unavocal moja amazing sana God bless uu

  • @stephenruraya7407
    @stephenruraya7407 10 месяцев назад +8

    Looks like it's already my anthem❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤asaaaaante baba!!!!

  • @SHARONADONGOOMONDI-oe2vy
    @SHARONADONGOOMONDI-oe2vy 2 месяца назад +1

    Inanigusa na kuntuliza maumivu yangu yoteAmen Amen

  • @DeborahNyagawa-jy5gb
    @DeborahNyagawa-jy5gb 6 месяцев назад +3

    Vita umenishindi ni wewe barikiwa saana wimbo mzuri

  • @faithkamene-rb3ld
    @faithkamene-rb3ld 20 дней назад

    MUNGU akuweke kwenye kiwango Cha juu zaidi wimbo wa baraka sana huu

  • @nicopaswedy102
    @nicopaswedy102 9 месяцев назад +4

    Neno moja tu Asante

  • @estherlimo5419
    @estherlimo5419 5 месяцев назад +1

    Nimeona ni huruma zake Bwana🙌🙌

  • @winniekicholo
    @winniekicholo 7 месяцев назад +14

    Uinuliwe zaidi dadangu ❤

  • @musamdamo
    @musamdamo 21 день назад

    Ni wimbo mzuri wa kuvusha pale ambapo ni kama uko peke ako, afu Mungu anafanya jambo

  • @abiolamwasa8941
    @abiolamwasa8941 10 месяцев назад +6

    dada unajua sn kuimba na unabonge la saut ...mtu akitaka ajue ww unaimba akaangalie sayuni band...Mungu akutangulie hasa kwenye kutunga nyimbo ndo pagumu lkn akuwekee wepesi et

  • @Jesus_Sauve
    @Jesus_Sauve Месяц назад

    Ubarikiwe sana kabisa , nimepitia mithiani nilipo shinda nikasikia wimbo huu nikabarikiwa

  • @remydenis1485
    @remydenis1485 Месяц назад +3

    Wangapi wako hapa from tiktok

  • @Paulineawuor-r7z
    @Paulineawuor-r7z 3 месяца назад +1

    Napenda hii wimbo sana ,nimeletwa na citizen tv hapa

  • @NTEREMASOPHIA
    @NTEREMASOPHIA 4 месяца назад +4

    Najua siku moja ntaimba huu wimbo machozi y furaha yakinitiririka🙏🙏🙏🙏

  • @beatricemashauri5649
    @beatricemashauri5649 2 месяца назад +1

    "Asante baba" itoshe kusema Asante baba! Yaweh hakika wewe ni Ebeneza!

  • @princesssangali9120
    @princesssangali9120 Месяц назад +2

    Dada vick ubarikiwe kpnz

  • @gracekhola7639
    @gracekhola7639 18 дней назад

    I'm here officially to thank God for what he has done 🙏🙏🙏🙏 this song will forever remain to be my favorite 😢😢😢

  • @Steve_tz
    @Steve_tz 3 месяца назад +3

    Ngoja nile chuma iki like zenu sizitaki

  • @mosesprosper-c4i
    @mosesprosper-c4i 11 дней назад

    Kwakweli Sijui nitavukaje 2024 sijui ni Mungu tuu

  • @CollinsObege
    @CollinsObege Месяц назад

    Huduma isongeee mbeleeee....natamani sana hii collabo na Mary Nzula..itakua lite mbayaaaa❤❤❤

  • @stellahmaweu2594
    @stellahmaweu2594 5 месяцев назад +2

    From ticktock to here..........am so blessed indeed ni rehema za Mungu

  • @RisperMinayo-v4b
    @RisperMinayo-v4b 3 месяца назад +1

    😢😢😢God why ,,,hiii wimbo inanikumbusha mbli sana

  • @Gidibanks-sy7mz
    @Gidibanks-sy7mz 12 дней назад

    2024 has been a tough year to me ,I feel like I wanna be off from this world,nothing is working😭😭😭
    Torments ,rejections ,humiliations from all directions,lord remember me too😭😭😭😭

  • @josphatchomba4688
    @josphatchomba4688 8 месяцев назад

    Nimezukuru sana kusikia wimbo wako uko sawa mungu hambariki yimbo sako

  • @MaureenMalusha
    @MaureenMalusha 3 месяца назад +2

    Oooh hallelujah asante Bwana YESU wimbo wa baraka barikiwa Victoria nimeguswa na wimbo huu be blessed

  • @stephentarus
    @stephentarus 2 месяца назад

    Nimekuja na neno Moja ni Asante may God lift u higher ❤❤

  • @Jacklineki
    @Jacklineki 8 месяцев назад

    Urikiwe San dada nakupenda mnoo unanibariki kiukweli ❤❤❤

  • @MaggyGesare
    @MaggyGesare 20 дней назад

    Amen dada waja mungu hakuinue kwa viwango vingine😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏

  • @victoria-b4w
    @victoria-b4w 3 месяца назад +1

    Nimerudia huu wimbo Kwa mara kadhaa Kwa kuwa nasema asante Kwa Mungu wangu

  • @vivykossy
    @vivykossy Месяц назад +1

    Came across these song on watsup statuses these morning and i have played it on repeat the whole day!❤My season of thanksgiving.God has been extremely faithful! ASANTE BABA

  • @ChristineOwando
    @ChristineOwando 2 месяца назад

    Kweli ni huruma na rehema zako baba,Asante yesu🙏🙏🙏🙏

  • @ReaganKelvins
    @ReaganKelvins Месяц назад +1

    Dadangu mungu akupeleke number 1

  • @AndrewMadu-o8t
    @AndrewMadu-o8t 2 месяца назад

    Angelic Princess of the MOST HIGH, I rejoice and thank the ALMIGHTY for this amazing and heartwarming Masterpiece that's well packaged to take us to another level of soul upliftment. While praying for more heart-rending Revelations on your bosom, I wish you GOD'S Choicest Blessings today and always in JESUS Mighty Name. Amen 🙏 🙏 🙏!

  • @VictoriaMbugh
    @VictoriaMbugh Месяц назад +1

    Barikiwa Sana wajina ❤❤❤

  • @IsackMwakinyolobi-r4t
    @IsackMwakinyolobi-r4t Месяц назад +1

    Safi sana dadaangu victoria kwa huduma hii

  • @KemboiAnnah
    @KemboiAnnah Месяц назад +1

    Watching almost 2k times🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️

  • @leahswedy4895
    @leahswedy4895 8 месяцев назад

    Ni huruma zako Bwana zinanibeba ..asante ❤

  • @irineDancan
    @irineDancan 11 дней назад

    Mimi nimetoka saudi na ushuda sasa natakawakunishika mikono natakaniimbe nitakua na nyimbo, nimetoasaudi kupitia yale Mungu amenitendea

  • @PriyankaEzekieli
    @PriyankaEzekieli Месяц назад

    Wimbo umenipa majibu ya maswali yangu mungu akuinue viwango vya juu zaidi dada victory nazah

  • @PHOCASNIYOYITA-m5c
    @PHOCASNIYOYITA-m5c 2 месяца назад

    Kweli mbali umenitowa !!! Asante Baba 🙏🙏🙏🙏

  • @gladyswekesa6280
    @gladyswekesa6280 9 месяцев назад

    Hakika Ni Rehema za Mungu kweli ,asante baba🙏🙏🙏

  • @olengonelson7453
    @olengonelson7453 Месяц назад

    Wimbo huu unanihusu jamani. barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.

  • @elizabethmbena3645
    @elizabethmbena3645 7 месяцев назад

    Safi sana dada mungu hakubaliki nyimbo nzuli sana nimeielewa sana Tena himenigusa sana❤❤❤

  • @StephanoUbamba-g1f
    @StephanoUbamba-g1f Месяц назад

    Kali ya mwaka 🎉🎉🎉🎉 wp naza MUNGU akutie nguvu

  • @minaorially102
    @minaorially102 2 месяца назад

    Sauti Yako Iko good sanaa❤❤❤ mungu azidi kukuinua kipenzi changu

  • @carolinekangai4110
    @carolinekangai4110 2 месяца назад

    My sister you are actually representing Christ even the dress code is real gospel xterised,,the moves ...all fantastic ✨ congratulations ✨ may this God continue to expound your boundaries and keep you at the top ALWAYS ! This is owesome i love the song be blessed abundantly🎉

  • @Amina-o7x1h
    @Amina-o7x1h Месяц назад

    Mungu skuinuwe zaidi dada nakupenda.kazi nzuli❤🎉

  • @estherwamalwa3881
    @estherwamalwa3881 14 дней назад

    Shida zitakoma katika jina la Yesu kristo Amina

  • @AUGUSTINEMULWA-b1s
    @AUGUSTINEMULWA-b1s 26 дней назад

    I love 💕 this song, kweli nami nasema Asante Baba...

  • @marynangila-u1m
    @marynangila-u1m 7 месяцев назад +1

    Hallelujah Asante mungu wangu umbali umenitoa inagharimu mkono wako 🙏🙏

  • @JemmimahOdera
    @JemmimahOdera 6 месяцев назад +1

    Siku zote nimebebwa na huruma pamoja na neema yake mwenyezi Mungu Asante baba

  • @aminichristophe
    @aminichristophe Месяц назад

    Asante MUNGU muweza YOTE kwa neema yako namambo makuu unazidi nitendeya.
    Hakuna malipo minaezi kupatiya pasipo kukuambiya neno ASANTE 🛐
    Bila wewe ninani angenisaidiya ?
    ASANTE 🙏

  • @HappinessShayo-k3o
    @HappinessShayo-k3o Месяц назад

    Hallelujah barikiwa sana mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana na hii nyimbo

  • @lucykemunto3477
    @lucykemunto3477 Месяц назад

    Wimbo wangu wa kila Siku❤️❤️🙏🙏🙏

  • @marykioko8929
    @marykioko8929 5 месяцев назад

    All i can say Asante Baba,barikiwa dada🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @LemyJere-ps5hk
    @LemyJere-ps5hk 6 месяцев назад +2

    Thank you so Much kwa wimbo muzuli wa gushukulu kwasababu wengine washindwa hata kidogo kumuabudu na kumushukulu mungu wetu.Amen Amen

  • @Vickytish-bv4gk
    @Vickytish-bv4gk 5 месяцев назад +1

    My son already in love with the song❤😊

  • @hellenchepkemoi7730
    @hellenchepkemoi7730 Месяц назад

    Mimi nimetumwa na dada evah mwalili toka radio 47 hapa ndipo 🙏

  • @OswinMitengo
    @OswinMitengo 2 месяца назад

    Hakka unanibarik Sana Vick hasa niskiapo niskiapo wimbo huu ameen

  • @charleswaka9083
    @charleswaka9083 6 месяцев назад

    Sichoki kusikiliza nyimbo zako ubarikiwe dada❤

  • @chrisshonga
    @chrisshonga Месяц назад

    Amina na Amina MUNGU akubariki kwa kazi hii yote ya shukrani kwa MUNGU juu

  • @jedidwambui9675
    @jedidwambui9675 3 месяца назад

    Woi Mungu asante am testifying the Goodness of God over my life...kweli nimeona ni rehema na huruma zako baba nashudia hapa..

  • @marryjohn8716
    @marryjohn8716 6 месяцев назад +1

    Nimeutafuta sanaa huu wimbo ,umenifanya nijiskie nina nguvu amanii ..moyo wangu ulikuwa kwenye majeraha sanaa...dada mungu akusaidieeee azidi kukuinuwa za ya hapa

  • @neumbeagatha
    @neumbeagatha 8 месяцев назад

    Niko na neno moja.......Asante Mungu 🙏🏾 🙏🏾🙏🏾 blessings sister Vic🙌🏾

  • @angelmwakambonja5459
    @angelmwakambonja5459 10 месяцев назад +1

    Hakika n asante kwa Yesu..
    Nakupenda sana mtumishi , nyimbo zako zote toka Sayun Band Saut yako ikiimba inapenya kwenye ngoma za masikio yangu na moyo wangu kuhudumiwa

  • @Dianamageto-dz3tg
    @Dianamageto-dz3tg 27 дней назад +1

    Glory to God. A beautiful song

  • @Maria-j1j2k
    @Maria-j1j2k 13 дней назад

    Asante mungu maana umenitoa mbali sana umenipigania nakushukuru mungu