Yaani nmetoka tiktok mbio karbu nianguke nice song,,,,,after staying in marriage for 5 yes without a kid finally God did it for me,,,,,sijui ilkuaje sijui,,,,sitachoka kutoa ushuhuda Hadi siku ntatoka ulimwengu
Mungu amekutumia kutuletea huu ujumbe juu ni ujumbe mzito sana katika hali zote na changamoto zote ni kwa neema y Mungu tu😢 asante Mungu azd kkutumia 🙏🏽🙏🏽😢mimi mwenyewe najiliulizaga cjui imekuwaje ila ni Kwa neema yk tu inatosha 😢😭😭😭🙏🏽b blessed dear kwa hii nyimbo imegusa wengi jmn😭😭😭🙏🏽
Hang in there; I know things feel heavy right now, but remember that every storm runs out of rain. Take it one step at a time, and don’t forget that you’re stronger than anything life throws your way. You’ve overcome so much already, and brighter days are closer than they seem. Everything will be okay-you’ve got this, and I’m here with you every step of the way.🎉
Música incrível 👏🏾👏🏾 Amei ❤️❤️ as lágrimas escorre no rosto bateu a saudade de minha mãe que a dois anos e sete meses retornou a casa do pai pena que não descobri essas músicas de louvor antes tenho certeza que ela não cansaria de ouvir 😢😢
KWELI NI MUNGU ANAFANYE NI MUNGU NI MUNGU ANATENDA NI MUNGU SINA CHA KUJIFUNA ACHAA NIIMBE NI MUNGU AMEFANYA NI MUNGU NI AMETENDA NI MUNGU KWA HII NA BARIKI NA RUDISHWA MUNGU UTUKUFU HESHISMA NA SIFA ZOTE NI ZAKE IMRUDIE KWA JINA LA YESU KRISTO NIMEBARIKIWA NA BARAKA ZA MUNGU MAKUBWA TELEE AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
kweli kabisa Mungu ndio ulie nibeba ila wewe Mungu sijui ningekua wapi? acha nikushukuru kwa uponyaji huu na kunilinda usiku na mchana , barikiwa mtumishi kwa nyimbo zako nzuri nzuri mno ❤❤❤❤❤❤❤
Nimeona binam amepost status ameuimba nikamuomba akanitumia ndo nikaja RUclips kuutafuta umenibariki sana kwa kweli maana kwangu mm kiuhalisia ni Mungu tu amefanya
I'll leave this comment here so that when you like it I'll always come back to listen to this wonderful encouraging song🥰
Wenye tumetoka kwa faraja tiktok gonga like....this song is a blessing to me
Wenye tumejua hii song kupitia kwa faraja weka like ukipita😊
This really bless my heart I will use this song when I open my house 🏡
Wenye tumetoka TikTok hello 👋 such an amazing song ❤🎉
Tuko wengi
👋
Kweli Mungu anatenda ad unashindwa imekuaje
Hy
Some of us if it was not God who was on our side the enemies would have swollen us.
We thank you God
Very smat song ata nikikosa kuilike 1000times nitacoment sana❤
Aki huyu Mungu sijui nimfanyie nini , shukrani, Asante dada Kwa nyimbo mzuri umetuletea Mungu akufunulie zaidi barikiwa Sana.
Despite all challenges am passing through 😭😭😭😭😭 , Lord I will continue trusting in you that one day I will smile 😁 and say God did it Amen 🙌🙏 🙏🔥
Be strong dear
Amen,Atafanya kweli
Amen
Amen
Yaani nmetoka tiktok mbio karbu nianguke nice song,,,,,after staying in marriage for 5 yes without a kid finally God did it for me,,,,,sijui ilkuaje sijui,,,,sitachoka kutoa ushuhuda Hadi siku ntatoka ulimwengu
Waooh! Barikiwa sana dear, hata mm kuna pito nalipia lkn kila nikisikiliza huu wimbo naona kama Mungu kashatenda
Glory to God
Pia mimi tiktok imenileta huku
Jaman nimetoka TikTok ad apa mbio wimbo wa baraka wala sichoki kuusikiliza MUNGU azidi kukuinua viwango vya juu mtumishi 🎉❤❤❤
Me too Sasa hivi tu😂😂
Kama mm
@@lenaatieno508 zidi kinarikiwa asee
@@jackykanyiva4777 ubarikiwe cn mpendwa
We kama mimi tu😂😂😂
Mama yangu alifariki niiiwa mjamzito nilikaa siku tano tuu nijajufungua ukiniuliza nilijifunguaje sijuhi. Mungu nakushukuru🙏
That painful past ohhhh....my,,,,God your daughter is greatful and happy,,,,,sijui nilitoka aje,,,,weke tick tukisonga😍😍be blessed mummy😘😄
Kwanza hii 2024 cjui nimepitaje hizi vita kutoka January Hadi hii November nimepitia mengi bt ni mungu tu 🙏🙏😭
Amen 🙌🙏🔥😭😭
👏
@@MarthaBarasa-k4f 🙏🙏
@@eddymkwambe574 🙏🙏
Ameen😭😭😭😭😭
wimbo huuu n mtamu zaidi acha Mungu abaki kuwa Mungu Barikiwa sana mwimbaji wetu
Da Victoria cjui huu mungu alikupa huu wimbo kwaajili yangu tuu maana kila nikiuckiliza nasahau nachopitia,,,be blessed my love
Am blessed I find myself crying while listening to this beautiful song
Wooow Wow wow hii wimbo inaleta furaha ya yesu kweli kweli.wakenya mko wapi
nyimbo ni nzuri sana kipenzi kupita maelezo Mungu aibariki sauti yako my dada ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
So nice song 🙏🙏🙏 God bless you for this song ♥️♥️♥️🌹🌹🌹🔥🔥🔥 Amen 🙏🙏🏾🙏🙏🏾
Amen tunavuka mahali ambapo kibinadamu haiwezekani ZABURI 46:1. Nafurahia sana kupata Neema ya kuchaguliwa na Mungu . Ubarikiwe sana mtumishi
Wakenya tupite na likes❤❤ from tik tok to here. More grace dada
Mungu amekutumia kutuletea huu ujumbe juu ni ujumbe mzito sana katika hali zote na changamoto zote ni kwa neema y Mungu tu😢 asante Mungu azd kkutumia 🙏🏽🙏🏽😢mimi mwenyewe najiliulizaga cjui imekuwaje ila ni Kwa neema yk tu inatosha 😢😭😭😭🙏🏽b blessed dear kwa hii nyimbo imegusa wengi jmn😭😭😭🙏🏽
Ni Mungu ametenda hongera sana mtumishi wa Mungu bwana awe nawe katika utumishi🎉
Tulisikiliza u wimbo Siku nzima tujuane♥♥♥
Indeed This far it's been God 🙏🙏 without God where Will I be🙏be blessed mum you're such a blessing 🥰🙏🙌🙌🙌
Sijui mbona hii ngoma naifeel ivo..God thank you for this song 🙏🙏😔
Wenye falaja ametoa tik tok tuko wapy❤❤❤❤
Am here😂
Mimi hapa😂
Niko hapa
Such a vibe, the good Lord has good and unique things for his children, may he receive all the glory to Jesus
This song is such a blessing to me.....sijui aki nlivukaje Thanks my God🙏🙏
Team strong mko wp?kama mungu amefanya weka like tukisonga jamani mungu anatenda😢😢😢😢
Ukwel kbsa nikisikiza huu wimbo machozi yananitoka
Tuko dear manatunayopitia n mungu tu anafanya🎉
Ata nikiulizwa ninemalizaje mkataba Mimi sijui na Yale yote nimepitia😢😢😢
Listening with my tears rolling down,mungu ametenda makuu
@@ZenabuKalamaunalia nn kasugue hamam habibi😂
Ni mungu ametenda ni mungu,keep going mtumishi wa mungu🎉
❤❤❤ wimbo wangu wa mwakaa 2024 navuka nao 2025 ubalikiwe kwajua his zangu yani kama umeniimbia mimi
Amenipigani,,,akanitetea,akanipa ushindi nasema ni Mungu tu,,so powerful be blessed Beatrice
Dada yangu unaimba nyimbo nzuri nyimbo zako zote zimenivutia sana mungu akuongezee Baraka mno
I'm blessed with this song may lord continue to bless you abundantly
Hang in there; I know things feel heavy right now, but remember that every storm runs out of rain. Take it one step at a time, and don’t forget that you’re stronger than anything life throws your way. You’ve overcome so much already, and brighter days are closer than they seem. Everything will be okay-you’ve got this, and I’m here with you every step of the way.🎉
Barikiwa sana dada yngu Mungu mwema akutunze kwaajili ya ufalme wake🙌
From western kenya😅nmekuja uku mbio sana.MORE GRACE MAN OF GOD❤🙏💯
Ubarikiwe dada nimejikuta nimetokwa namachozi nilipo usikiliza huu wimbo tiktok ❤❤
Huu wimbo umefanya nikalia nikikimbuka 2021 niliambiwa ikifika mwezi wa nne Nita chizi ama nife 😢😢😢 lakini mungu ni nani.... Kwa kweli ni mungu😢😢
Sijui sijui❤❤❤❤nimetokaje kwenye Yale madeni
Música incrível 👏🏾👏🏾 Amei ❤️❤️ as lágrimas escorre no rosto bateu a saudade de minha mãe que a dois anos e sete meses retornou a casa do pai pena que não descobri essas músicas de louvor antes tenho certeza que ela não cansaria de ouvir 😢😢
Wow wow this is now my wedding entrace song I like it...maana nikitafakar mambo nimepitia ndo nipate ndoa Aki Sijui
Sijui nilitokaje kwenye ule Moto salama,nikapita magumu Yale yote ,nikatoka salama theater na Binti,Asante mungu,barikiwa dada
KWELI NI MUNGU ANAFANYE NI MUNGU NI MUNGU ANATENDA NI MUNGU SINA CHA KUJIFUNA ACHAA NIIMBE NI MUNGU AMEFANYA NI MUNGU NI AMETENDA NI MUNGU KWA HII NA BARIKI NA RUDISHWA MUNGU UTUKUFU HESHISMA NA SIFA ZOTE NI ZAKE IMRUDIE KWA JINA LA YESU KRISTO NIMEBARIKIWA NA BARAKA ZA MUNGU MAKUBWA TELEE AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Balikiwa sana muimbaji na sisi hapa burundi tunabalikiwa sana tunapenda sana nyimbo zako❤❤❤❤❤
At first I thought its mwaipaja,girl,you have a golden voice.
Blessings
kweli kabisa Mungu ndio ulie nibeba ila wewe Mungu sijui ningekua wapi? acha nikushukuru kwa uponyaji huu na kunilinda usiku na mchana , barikiwa mtumishi kwa nyimbo zako nzuri nzuri mno ❤❤❤❤❤❤❤
😭😭😭God, eiiiiiii Mungu nlishindaje?? nlitamani kifo sikutamani kuishi tena lakini Mungu hukuruhusu,eiiii😭😭😭huu wimbo nmeimbiwa mm
Akii nimepitia magumu only God knows! But all in all mwenyez mungu ni mwaminifu
Wimbo wa kutuliza moyo,,barikiwa sana❤
Hallelujah, more anointing to you,be blessed sister Victoria 🙏 kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Tilio chelewa kupata vitu vitam Kam hiv
Gonga like
Ubarikiwe sana dada
Wimbo mzuri sana
Barikiwa Mumy,wimbo wa baraka Sana,Mungu azid kukuinua Mumy,tokea sayuni huwa nakukubali Sana
Sijui imekuaje,siwezi elezea jamani😢😢n mungu ametenda,such an amazing song,🙏🙏🔥💯
Barikiwa sana dada...Hakika ni Mungu tu ametenda
Nyimbo nzuri sana kwakweli... Mungu ametenda kweli na hata zidi kuktutendea 🙏
Barikiwa sana sana Dada, Kibali na Neema tele iwe sehemu ya Maisha yako
Amina dada yetu Mungu aendelee kukutumia Zaid akuinie kea viwango bus juu🙏🙏🙏💞
Huu wimbo ni ushuhuda tosha 🎉❤🎉❤
Tunaonao mkubali hom sister Vick twend pamoja Kwa like familia ya bwana
Ni Mungu amefanya 🙌 such a nice song am blessed to night
Ni.mungu tu mi sijui..dhoruba zilikua nyingi but mungu amenivusha..haki sijui.so blessed❤
Jameni nimetoka TikTok nipeeni like
Hongera Mwanangu mzuri kazi nzuri Sana
Kibali cha Kimungu juu yako❤
aky Mungu akuzidishiee ....wimbo waa baraka saanaa unanitoaa adii machozi kabisaa
Be blessed Victoria 4 blessing us with this song, it's so encouraging ❤❤❤❤❤
I recognise this song, I used to sing it while I was a little girl... Nicely done... ❤❤❤❤ Santeni for the memory refresh... Powerful message... 😊
From tik tok Hadi huku n nehema ya bwana,,hope tuku huku Sisi sote❤❤❤❤❤ without him. We are nothing 🎉🎉🎉🎉🎉❤
True indeed in all those tribulations God has come through. Glory to Jesus .
Wale tuliotoka TikTok tujuane🎉
Tupo hapo
Only Grace has carried has through....Glory to God.
Eeeeh huu wimbo umenitoa machozi ya furaha....nilikuwa tiktok mbio hadi hapa.ubarikiwe victoria🙏🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi wa mungu nyimbo zako huwaga zinanibariki sana hakika ni mungu ametenda mengi sana ktk maisha yangu👏👏
❤❤😢😢aki mungu hata wewe wajua sijui , Asante mungu ,dadagu barikiwa saana much love from Kenya 🥂
Daaaah nasikiliza wimbo uku machozi yananitoka, kweli Mungu amefanya kwenye maisha yangu
Wimbo mzuri unafikirisha sana namna Mungu anavyotupigania katika mambo yetu
Landed safely from tik tok,, what an amazing song ❤❤❤
Barikiwa sanaa dada Mungu azidi kukutumia
God bless you. Ubalikiwe sana. 🇺🇸 ❤ you
Love the song,makes me remember where God has taken me from,His mercies endureth forever
Barikiwa San dada Kuna nyakati tunapitia kwenye magumu alafu hata huelewi unatokaje kwakwel sijui huyuuu ni mungu acha abaki mungu
Dada victoria umejua kuniweza nmeurudia zaidi ya mara 10000❤ ni mungu huyu mungu nimshukukuru nini kwa makubwa haya
Siku nzima nausikiliza😂😂😂😂
Napenda sn nyimbo zako Zinabariki zinashusha uwepo was mungu
Keep going viccy..nice song may the Lord bless you
I can't have enough of this song,healing my heart as I sing it in prayer.Be blessed my dear sister
❤❤ wimbo mzuri kweli ubarikiwe dada
Kama umetoka tiktok after kusikia huu wimbo na faraja cute piga like plz 🙏
Nimeona binam amepost status ameuimba nikamuomba akanitumia ndo nikaja RUclips kuutafuta umenibariki sana kwa kweli maana kwangu mm kiuhalisia ni Mungu tu amefanya
Barikiwa san mungu aikuze zaidi huduma Yako viwango had viwango 🙏🙏hua nabarkiwa sana na huduma Yako ❤
From tiktok niko ndani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sijui nimeshindaje sijui.... feeling blessed aaaah Mungu wewe
My all time song,bila yeye hata sijui ningekua wapi ❤❤❤❤,NI mungu amefanya
Hakika ni Mungu amefanya,barikiwa sana mtumishi wa Mungu Mkuu
😭😭😭😭😭 after burial of dad,,nimevunjika moyo sana..but this song is rebuilding my strength,😭😭😭😭😭😭😭😭
😭🫂
Hugs dear😢😢😢
Hugs dear 🤗🤗🤗
Jamani wimbo ni mzuri sana ubarikiwe sana dada 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Waiting....... from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Walijua wamekutangulia na kukuacha kumbe mungu alikuwa anakusubilisha ili akuinue viwango vingine aiseee Mungu akuinue sana
Big up Dada mungu akuinue zaidi na zaidi
Hongera sana Mtumishi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunabarikiwa sana
Mungu akubarik sana wimbo umenigusa sana, sifa na utukufu apewe Mungu