Kweli ni kwa neema na kazi mzuri ila huyo baba wa visuko ndo amenitowa mu mood yangu juu ya wimbo huu ila ani samehe kwani mwana ume mtumishi kama yeye kweli hastahili I’m so sorry for saying that but I have to say 😢
Najua shetani kuzim kavurugwa kupitia huu wimbo,,ni moja ya wimbo mkal sana kwa Sasa Tz na ni moja ya kwaya inafanya vzr sn,kiufup mko vzr na mnaweza kabisaa Sina wivu naomba mpokee maua yenu
Hii nyimbo imeniganda hatari. Haitoki kichwani aisee. Wimbo mzuri sana ila anayeimbisha sauti yake imepoa vizuri inaninogesha wimbo Sanaa. Mbarikiwe sana
Nikisikiza huu wimbo najikuta moyo wangu unabubujika san kutokana na matendo makuu Mungu aliyo nitendea, ooooooh asante YESU kwa kwanipa neema wala haikuwa rahisi🙏🙏🙏
This is beyond repeat mode.... I love this song its my testimony as i walk out of hospital with my baby after 5 days on oxygen. God healed her, all by grace. Glory to God most High
Jamani mumenibariki ila sijui nimacho yangu nimemuona kijana mmoja kwenye kwaya hii amesuka nywere sijaerewa naomba niereweshwe sijaerewa kuwa ni mdada au nimwanaume?@@rejeoicegospelchoir
Mungu awabariki watumishi,kwa Mara ya kwanza nimesikia wimbo wenu upendo FM DSM.nikaguswa sana na kuufatilia you tube.Mubarikiwe sana.kazi yenu ina thawabu kubwa kristo,Mungu wetu na mwokozi wa ulimwengu
Wimbo mzuri sana dada vick, nimeupiga mala nyingi ilipofika saa sita usiku wa 01-01-2025 nimebalikiwa sana na wimbo wako, Mungu akutunze uendelee kuhubili kwa kupitia nyimbo
Nitazama nyimbo zote humu RUclips zingine wamezipamba kwa kwenda baharini kupiga picha wengine wamevaa vizuri ila hawa wameimba rohoni mbarikiwe wote waimbaji humu mnaposhuti embu ingieni maombi
Ave listened to this song with my tears shedding 😢😢,,kweli ni neema this far God has been faithful "Ni neema ya Mungu😢😢😢,sio akili😢😢wala ujanja wangu😢😢...Very impartful😢😢😢
Tangu nimeanza kuusikiliza huu wimbo usiku wa saa tatu hadi sasa ni kama mara ya 70 upako mkubwa sana hata kabla mwaka uishe mimi nimejipatia my best song of the Year
Kumbe nyumbani kwetu kabisaa huu wimbo nimeutafuta snaaaa niliusikia kwenye bus nikajikuta nalia nikija Mafinga nitawatembelea huu wimbo ni ushuhuda wa maisha yangu kabisaaaa😢😢😢😢bila Neema ningekua nimekufa zamani snaaaa@@rejeoicegospelchoir
Kwa kweli ni neema ya mungu imenibeba kufika mahali nilipo. Mungu atukuzwe kwa huu wimbo mzuri n azidi kuwabariki watumishi wake kwa kujitolea kufanya kazi yake
My song of the year and the whole life remain,ni neema ya Mungu,neema imeniweka mahal sikustahili,kuvunjwa moyo Kwa kiwango Cha juu,lakini neema ya Mungu ikanibeba mpk hapa nilipo,nashangaa,😭sina maneno mazuri ya kusema,ila hii neema imenibeba haswaa,Asante BABA Kwa neema Yako😭😭❤️💪💪

🙏
Nyimbo za Leo ni nzuri audio ila video Huwa mbaya ona mkaka alosuka alivyoharibu Radha ya wimbo kweli dunia imeingia kanisan
Mwache aimbe huwezi jua kama kaokoka lini Mungu hubadilisha watu taratibu na usiwe muhukumu wa wengine
Kwa wale wanashangaa 2023 tulivuka aje...ni neema ya Mungu.
Am blessed
Ameen
Nimerudia Zaidi ya Mara 100 Hadi watu wamechoka Bali Mimi napenda tu kuendelea
Ubarikiwe
Ni Neema ya Mungu, si kwa akili wala ujanja wangu, ni Neema ya Mungu
Najua shetani kuzim kavurugwa kupitia huu wimbo,,ni moja ya wimbo mkal sana kwa Sasa Tz na ni moja ya kwaya inafanya vzr sn,kiufup mko vzr na mnaweza kabisaa Sina wivu naomba mpokee maua yenu
Ameen
Hii nyimbo imeniganda hatari. Haitoki kichwani aisee. Wimbo mzuri sana ila anayeimbisha sauti yake imepoa vizuri inaninogesha wimbo Sanaa. Mbarikiwe sana
Ameen
Mnoo
Kweli ❤
Nikisikiza huu wimbo najikuta moyo wangu unabubujika san kutokana na matendo makuu Mungu aliyo nitendea, ooooooh asante YESU kwa kwanipa neema wala haikuwa rahisi🙏🙏🙏
Amen
Sasa huyu ndiyo anafaa kuja Kenya siku ya date 31 wachaneni na Christina shusho❤❤❤
Wimbo ulitungwa Kwa MAOMBI huu siyo Kwa akili tu Mungu awabariki sana
Amen
Walipo tutupa shimoni ili tuliwe na Simba, kumbe tunaye Simba wa kabila la yuda amen. Wimbo huu unanibariki , kongole .
Ameen
This is now pure gospel, wimbo unamiminika kiroho Zaidi, wimbo una upako,🇰🇪
Ameen
@@rejeoicegospelchoir ,,
Nimekuwa mtu wa tano kucomment like zenu basi Mtumishi wa Mungu toka TEKU
Ameen
Nmewapenda bure Rejoice, huu wmbo umenigusa MUNGU awabariki na kuwainua kwa viwango vingine
Ameen
Moja ya nyimbo bora zaidi kuwah kutokea. Nyimbo haichoshi kuirudia rudia hata mara 10. Mbarikiwe sana nyinyi watu
Ameen
Wimbo wangu kabisa sijielewi kabisa nimefikaje hapa nilipo Oooh hallelujah ❤
Ni neema tu"
Eti jaman wanauliza tumefanyaje ni Mungu tu 🙏🙏
Ubarikiwe
Am a Ugandan but I can't get tired of listening to her songs
Be my friend pls
True it is beauty
This is beyond repeat mode.... I love this song its my testimony as i walk out of hospital with my baby after 5 days on oxygen. God healed her, all by grace. Glory to God most High
Amen, amen be blessed
Thank you very much my Sister your Gospel your voice
Huyu dada anasolo ni Yule alikuwa Sayuni band na kina Emmanuel Mgogo au namfananisha jaman,,,the song is powerful 😊
Yes ni mimi
Nakupenda bure Dada
Yani Aendelee kukutumia zaidi na zaidi yaaani daaah@@rejeoicegospelchoir
Ndio yeye anaitwa victoria
Haha mimi nimefrahi saana
Hakika ni neema 🙏
Amen
Nyiiewww huyuuu Dada anasautiiii huuu
Ameen
Wimbo huu umenigusa dada maana usiku wa kumkia jumapili hii ulikuwa mgumu sana kwangu,ata mimi nasema asante mungu
Victoria she's best all the time ♥️♥️
Ameen
What a song 🤩
Be blessed
I am among the one who repeated listening this song more than ten times..am Blessed through this song..👏👏
Ameen
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Concured with you❤
Jamani mumenibariki ila sijui nimacho yangu nimemuona kijana mmoja kwenye kwaya hii amesuka nywere sijaerewa naomba niereweshwe sijaerewa kuwa ni mdada au nimwanaume?@@rejeoicegospelchoir
Hongereni sanaa nimebarikiwa mnoo
Amen
Wimbo mzuri Sana ! Ni neema ya mungu tu kwa kweli ! Hii kwaya inapatikana wapi ni TANZANIA au nje ya TANZANIA
Tuko hapa Tanzania IRINGA MAFINGA
@@rejeoicegospelchoir hongereni Sana kwa kazi nzuri
@@rejeoicegospelchoirMungu awainue zaidi ya hapo
Niko hapa kwa simba wa kabila la yuda❤
Wow love this song so much ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nkwa neema tu. Song of the year 2024🎉
Mbalikiwe kwa wimbo mzuri
Amen
Amen. Kazi nzuri sana. barikiwa
Ameen
@@rejeoicegospelchoir Karibu
These are the kind of gospel music i want to listen to
Anina kwanza mmependeza maana kwaya kama hii zimepaki chache roho mtakatifu awaongoze kwa kila jambo
Hakika nineema ya Mungu
Amen
Who listened and still listening. Hawa wamenifanya nibarikiwe,total anointing
Ameen
@@rejeoicegospelchoiramiinambariwe sana
Ameen❤❤ Mungu hawabaki
@@rejeoicegospelchoir😊😊😊
Ameeeen
Mungu awabariki watumishi,kwa Mara ya kwanza nimesikia wimbo wenu upendo FM DSM.nikaguswa sana na kuufatilia you tube.Mubarikiwe sana.kazi yenu ina thawabu kubwa kristo,Mungu wetu na mwokozi wa ulimwengu
Nina imani ifikapo 2025 nitaitwa mama wawili
Ikawe kama ulivyotamka
Barikiwa
Amen
Amen amen
Naikawe kher
Shimoni wakatifukia lkn ulisimama na sisi
I have repeated listening this song more than ten times, be blessed servant of God
Ameen
This song is awesome
Mungu hawabariki
Amen
Hii inabarikia zaidi! Kwa kweli ni neema ya Mungu, sio akili wala ujanja bali ni neema ya Mungu. Amina!
Mungu abarki victoria❤
Amen
Yaani Vick neem Mungu aliyoweka ndani yako chulchumilia San huu kwa CK narudia 100
Ubarikiweee
Wimbo mzuri sana dada vick, nimeupiga mala nyingi ilipofika saa sita usiku wa 01-01-2025 nimebalikiwa sana na wimbo wako, Mungu akutunze uendelee kuhubili kwa kupitia nyimbo
Hongera sana,wimbo umenibariki
❤ wow a nice song mulifanyaje
Amen
Nitazama nyimbo zote humu RUclips zingine wamezipamba kwa kwenda baharini kupiga picha wengine wamevaa vizuri ila hawa wameimba rohoni mbarikiwe wote waimbaji humu mnaposhuti embu ingieni maombi
Amen
Ni neema ya mungu
Ubarikiwe
Ave listened to this song with my tears shedding 😢😢,,kweli ni neema this far God has been faithful "Ni neema ya Mungu😢😢😢,sio akili😢😢wala ujanja wangu😢😢...Very impartful😢😢😢
Ameen
Kwa kweli neema ya tosha be blessed mama 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dada ulie solo sauti yako nimeipenda bule mungu azid kukutunza awatunze na kwaya yt kwa ujumla❤❤❤
Amen
Jameni nyimbonzuri basi zaidi sauti jameni huyu mdadahuyu mubarikiwe❤
Hongereni sana mmeimba vizuri sana kwa kweli ni Neema ya Mungu tu Hallelujah 🙏🙏
Amen
Romans 9:16 So then it is not of him who wills, nor of him who runs, but of God who shows mercy.
Ameen
Tangu nimeanza kuusikiliza huu wimbo usiku wa saa tatu hadi sasa ni kama mara ya 70 upako mkubwa sana hata kabla mwaka uishe mimi nimejipatia my best song of the Year
Amen
Sijawahi lala njaa😢😢😢😢ni neema ya mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Haleluyaa
Ni nzuri hii nyimbo balaaa
Waoo!! Very anointed song!! Hongereni sana hii kwaya ipo mafinga sehem Gani pale? iwish one day nikienda nifike adi ibadani kwao.
Ameen mafinga kinyanambo c
Kumbe nyumbani kwetu kabisaa huu wimbo nimeutafuta snaaaa niliusikia kwenye bus nikajikuta nalia nikija Mafinga nitawatembelea huu wimbo ni ushuhuda wa maisha yangu kabisaaaa😢😢😢😢bila Neema ningekua nimekufa zamani snaaaa@@rejeoicegospelchoir
@@rejeoicegospelchoirkanisa linaitwaje
Victoria apewe maua yake 🎉❤❤❤🎉
Ameen ameen
Well done brethren God is the Lion ofJuda. A song with excellent content
Amen
Mbarikiwe sana,na mmependeza
Amen
Nawapenda sana ndugu zangu,,, mmeupiga mwingi MUNGU awabariki sana. wimbo unabariki kila mtu BIG UP TO YOU.
Ameen
Kwa kila Jambo NI Neema ya Mungu 🙏🙏kamwe sitochoka kulitaja jina lako Mungu 🎉
Ni neema tu ya mwenyezi Mungu🙏
Amen
Kwa kweli ni neema ya mungu imenibeba kufika mahali nilipo. Mungu atukuzwe kwa huu wimbo mzuri n azidi kuwabariki watumishi wake kwa kujitolea kufanya kazi yake
Ameen
Mko vizuri watumishi wa MUNGU 🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwe
Very nice May GOD bless you guys
Hii ndiyo ladha halisi ya nyimbo za injili tz ❤
Ubarikiwe
Hakika ni neema ya mungu mubarikiwe Sana nimewapenda Sana mungu awabariki
Amen
Ni neema ya mungu ubarikiwe dada
Nimekuwa mraibu miaka kumi na nne ni neema ya Mungu ni kapata uwezo kujitoa katika uraibu
Mko sawa. Kwa sauti
Mungu awabariki sana,victoria mwl Mungu azidi kukubariki karibu Arusha na rejoy.
Amen
Powerful worship,wow nice♥️👏
Ameen
Mungu akubariki dada bado sauti yako imesimama vema kabisa unanikumbusha kwa EMMANUEL MGOGO🙏
Ameen
Mimi nasikia uwepo wa MUNGU
Dada Rejoice Bwana akubari pamoja na Kandi lote.Tumebarikwa vyakutosha hapa Namibia.
Amen
I feel very comforted when I hear this song, congratulations servants of God, be blessed🎉🎉🎉
Ameen
Huu wimbo ni hatarii saana na niwimbo ni utunzi amabo utaishi daimaa, wala hakuna mashaka kabisaa umegusaa mioyo ya tuliowengi👏👏👏👏🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
This song struck me deep to the core. More grace in your ministration❤
Ameen
Imenibriki mnooo Mungu alinde san snaa
Ameen ameen
Finally the video is out, song of the year. It always bless me anytime I listen to this song.
Ameen
Wow ;Wimbo bora wa mwezi mungu awabariki kazi nzurii nimeusubiri sana hatimaye umetoka 🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen
The song that starts my morning and ends my day....❤❤❤❤ It's God's Grace.... Amen
Ameen
Mungu awabariki sana wapendwa,ujumbe umetulia sana kweli ni neema ya Mungu.
Ameen
amen .amen. amen
Ubarikiwe
Ni neema ya mungu tuu...more grace ❤
This is one of my favourite gospel songs 🎵 God bless Rejoice choir
Barikiwa sana mpendwa penda sana wewe na kazi zako🥰
🙏
Hongereni Sana kwaya nzuri na zaidi kwenu watumishi Bwana na Bibi Nazareth
My favourite
Always on repeat mode 🎶
Ameen
Aisee wimbi mzuri hatari mbarikiwe Wana wa Mungu
Amen
❤❤❤2024 nice song
Mungu azidishe kipaji hicho kwako uliyetunga huu wimba maana umekuwa baraka kwangu sana❤
Listen to this song over and over without getting bored
Ameen
Amen Amen kazi nzuri, inatufanya tushukuru sana neema ya Mungu tu wala si kitu kingine
Ubarikiwee
Mm niko mbeya
Ubarikiwe
Mubarikiwe
Amen
nampenda uyu dada hatar anapokuwepo lazima pabarikiwe mungu akuzidishie bonge la wimbo
Since the release of this song..I can't get off it nice ...South africa am here...
What a beautiful song. Wapi likes za wakenya?
Ameen
My song of the year and the whole life remain,ni neema ya Mungu,neema imeniweka mahal sikustahili,kuvunjwa moyo Kwa kiwango Cha juu,lakini neema ya Mungu ikanibeba mpk hapa nilipo,nashangaa,😭sina maneno mazuri ya kusema,ila hii neema imenibeba haswaa,Asante BABA Kwa neema Yako😭😭❤️💪💪
Amen,amen
Hallelujah it is by the grace of God we are still a live neema Amen