Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
YESU azidi kuwainua sana nawapenda sand wote na data vick MUNGU azidi kukupandisha juu
Ubarikiwe
Mnatubariki sana MUNGU awapandishe viwango vya juu zaid na zaid
Ameen
Da Vick uko vizuri, usijichanganye MUNGU amewekeza kitu kikubwa kwako kwaajili ya wengi
That soloist is powerful, she's doing it passionately
Amen
❤❤❤❤🇰🇪 sina mengi mbarikiwe 🎉
🔥🔥🔥🔥🔥🔥mbarikiwe nakupenda da Victoria nazah
Asante sana
God Bless You❤❤❤❤
Mavazi yenye utukufu ❤
Kwaya yenu inakuja juu sana mungu awe katikati yenu asiwepo wa kujiinua
Mungu akuinue zaidi Nazah na rejoice team ..am blessed from kenya...HAKIKA YU MWEMA KWETU.
Balikiwa sana nimependa na nimewaelewa mno mavazi uimbaji kucheza mungu aendelee kuwa Linda mnapatikana wap
Mkoa Irnga mji wa Mafinga kanisa linaitwa EAGT Irnga Road Kwa pastor Julius Donald Kikoti
Mkoa wa Iringa-mji wa Mafinga
Hyo Kwaya pale mafinga mjin Kwa pastor Julius kikot
Pafomanc za live Huwa ni ngumu lakin mmefanya vema kweli,tena mikoani ndo ngumu zaidi lakin mmefanya vizur sana, Mungu awainue sana
Amen, ubarikiwe
Mmemsema Yesu vile alivyo bila ubabaishaji itoshe kusema Yesu awakumbuke👍👍🙏🌹
Siyo kwa vibe Ilo aisee hongeleni sana
MY TEAM❤
Ubarikiwe mnoo
Mungu awainue viwango baada ya viwango. Mungu awabariki maana mumenibariki.🎉
Vick nilisema ,nitazidi kusema wewe ni Baraka hili eneo.....Mungu atakufanya zaidi hivi ....Mungu ibariki Reoyce Bariki mchungaji kikoti nawafurahia.
Amen amen
Hapa tuna zidi ongeza misuli ya Imani, asanteni Rejoice Gospel choir EAG(T)
Naskia sauti ya Gwamaka Mwakalinga kwa mbali hapo mwishon❤❤
Hapana mtumishi hakuwepo
Mungu azidi kuwainua viwango vya juu nawapenda sana hongera sana my Wii kwa kuparfom vizur jukwaan hakika mungu Yu mwema
marvellous , to God be the groly!!!! hakika ni mwema baba… victoria Mungu akuzidishe, rejoice muinuliwe sana sana sana
Nakupenda sana victoria
Hatimae imetufikia tulikuwa tunasubiri kwa hamu kubwa
God bless you
Nawapenda bureeeeee❤,Zaidi MUNGU awatunze sana mzidi kumtumikiaaa
Aminaa
Nakupenda tuu bure ...Umejawa upako wa Mungu❤❤❤❤🙏🙏🙏
Ameeen
Hii nzuri zaidi watu wa mungu , inanikumbusha nyimbo za south Africa , mmbarikiwe sana nawasikiliza nikiwa Saudi Arabia
Ubarikiwee
Am blessed by your music. May the good work that the Lord has started in you bring it to accomplishment in Jesus name. From Kenya 🇰🇪
Bwana awabariki, songa mbele mtumishi Victoria
Victoria barikiwa mno na your choir rejoice huduma tamu sana nyimbo zenu Ile wimbo wa ni neema umenisaidia kuvuka mwaka
Amen, hakika Mungu ni mwema
Ameeen rejoice
Woooow Glooory 🔥🔥 Mungu ahsante kwa ajili Rejoyce kwaya iliyofanyika Baraka kwenye mji na Taifa.
Ubarikwe
Mbarikiwe sana jaman lakin kama namuona happy kamili❤❤❤❤
Amen, huyo hayupo mtumishi
Hongera sana, 🙏 nawakaribisha kuimba MLIMA WA NEEMA 🙏🙏🙏
Amen tutafika huko pia
Bwana awainue viwango zaidi na zaidi
Dada vick nakupenda sana, natamani niwe naimba kee za juu km ww
Ameen ameen
Da Victoria nilikua najisikia vibay ulipoa sana kwe uimbaji Lakin Leo nmekuon Tena sifa Kwa Mungu
Jamani napenda huyu MUNGU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimependa bule uyo radis nampataje🎉
Yupi?
Victoria looo umenizamisha Mimi kwenye huu wimbo gumpalile fijo kyala gwitu Kwa majina mazito Hadi mbingu zimetikisika Mungu awabariki
Ubarikiwe mwalimu wetu @victoria
Ata mm nmpenda apo kwny kinyakyusa aseeeee👊👊💪,,,, Ubhagile kyara,,, ubhagile mwikemo😁😁😅
Sifa na utukufu zikuregelee wewe yesu kwa yesu Kuna vyote God bless u guys
Hakika u mwema sana katika maisha yetu Jehovah
Hakika
Kazi nzuri sana, Mungu awainue zaidi
Iringa mafinga live record Mungu wa ajabu ndio Kwa mara ya kwanza naona
Ni Mungu anafanya. Inawezekana
Hakika nimemwona Bwana kupitia nyie
Waoooooo nawapenda bure rejoice kwaya mungu awakuze zaidi 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
U mwema Baba ❤
Hongereni sana msiache maombi.
Mungu awatunze
God bless!!!???Kila Tua Bwana Yuko Nanyi,binafsi nawaombea Mwende Mbali zaidi.
Daaaaah nawapendraaaa mno hongera c*Victoria na shem naza❤
Tumeisubiri❤
Nimebarikiwa sanaa
Blessed more
MUNGU wa Mbinguni awabariki na awainue sana..nawapenda na nnabarikiwa nanyi
Hey rejoice sichoki kusemaa mbingu ziwainueee mnoo da viki shika sana ulichonachoo ur one member of praiseb in haven. 🎉🎉🎉
Wimbo una vibe kweli, hongereni sana Rejoice choir
Hadii mwilii umenisisimka lolii I wish ningekuwa nachezaaa hapooo😢 Mungu awabarikii
Hakika mmebarikiwa❤
Vicky wewe dada nakupenda sana naomba wimbo niimbe na wewe nitalipa kila kitu
Asante Kwa Mungu. Wakati tayari umewadia
Amen, amen
Mungu wa Mbinguni awabariki mno mtokapo na hata muingiapo nawapenda sana ❤️❤️💖❣️
Amina sana waimbaji nimebarikiw sana nanyimbo zenu mung azid kuwainua nakuwabarik sanaaaaa
Nimebariwa sana wanairinga wenzetu mungu awainue zaidi na zaidi
Waooo waiting is over
Hakika imetimia
Mmetisha sana ndugu zangu. Kwa kweli Mungu aendelee kuwainua zaidi na zaidi
KAZI NZURI MBARIKIWE ZAIDI NA ZAIDI
Mungu ni mwema kwelikweli,endeleeni kushuka zaidi mtainuliwa zaidi
Ameen pastor
Iyi nimeipenda sana Nitakuja tufanye tamasha Im waching from usa
Victoria ubalikiwe sanaaa umetoka mbali hata sasa ni ebeneza God bless u tunabalikiwa mnoo na huduma yako
Safi kazi iko vyema sana mataifa na wajue MEMA NI MMOJA
Mungu ni mwema sana
Hakika ni mwema
Mungu ni mwemaa...Utukufu na uweza uendelee kutangazwa daima...
Victoria u never disappoint God bless u my sister 🙏kwa kweli Mungu ni mwema
Mungu awabariki watumish wa Mungu
Kazi nzur barikiwa sana❤
Rejoice mbingu zinashangaaa kwa kas nzur utukufu kwa mungu am filling well ❤❤❤🎉🎉
Be blessed
Nampenda huyu dada mpaka basiiii
Mauaaaa yako yakufikie Vick ❤❤❤❤
Ni mwema mtakatifu
Maneno yanagusa amen
Naza Bwana yesu akupandishe kwa viwango vya kimungu
Haleleuuuuuya🙌🙌
Mambo ni motooo hongereni sanaaaaa
Amina ubarikiwe
Mbarikiwe chakwanz MAVAZI mliyovaa ni utukufu kwa MUNGU
Amen ubarikiwe
Dada Vicky🙌
God bless so much rejoice
Hongera sana Nazah na choir hiyo. Kutoka KENYA 🇰🇪 twawapenda. Mnge-upload huo wimbo ukiwa HD aisee, lakini bado twabarikiwa ❤
Waaaa ❤kwel umwema
Mungu awabariki
Umwema baba 😢😢🔥🙏🙏
Hakika ni Mwema
Wow! Hongera sana Pastor Kikoti mzee wangu kwa maono makubwa haya!
hakika yu mwema Baba❤
U mwema baaaaaaaaaaba u mwema Yesuu
Tamtaja ,yesu,tamtaja yesu, tamtaja yesu, tamtaja yesu
Ila Kuna Mambo Mungu anafanya mpaka tunaogopa
Hakika ni Mungu 🙌
Hakika Mungu u mwema ❤
Hakika Mungu ni mwema, Mungu awabariki Sanaa Rejoice choir🔥
U mwema baba wuhuuuh hallelujah glory to God 💪🔥🌏
Hakika Mungu ni mwema Mbarikiwe sana rejoice😅😅❤❤❤
I'm waiting
Done
Waoooooo hakika ni mwema
Wakati wa Mungu ni wakati sahhihi mno Mungu akubariki dada Victoria
Amen kwa niaba

Iyi nimeipenda sana
Nitakuja tufanye tamasha
Im waching from usa