Dada hongera sana unaimba nyimbo za utukufu kwa Mungu sio nyimbo za mipasho tafadhari usibadirike dada hata kama wapambe wako ni wachache kwa kuwa unaimba kweli ya Mungu subiri ujira wa Mungu wanadamu hatuna mbingu wala hesabu yako hutoitoa kwetu .
nakufuatilia sana shemeji, hakika MUNGU aliye juu akuinue ktk uimbaji na uinjilisti. ufike mbali mno, big up na mpe salamu mdogo wangu Nazareth, mwambie kaka yako anakupa hai
Nimeutafuta sana huu wimbo ...be blessed exceedingly ... nice song ❤❤❤
Dada hongera sana unaimba nyimbo za utukufu kwa Mungu sio nyimbo za mipasho tafadhari usibadirike dada hata kama wapambe wako ni wachache kwa kuwa unaimba kweli ya Mungu subiri ujira wa Mungu wanadamu hatuna mbingu wala hesabu yako hutoitoa kwetu .
Ukweli kabisa Na aendelee hivyo, Kwa utukufu wake Mungu .
God bless you so much my sister in Christ, huu wimbo hunibariki Sana, kila ninapo usikiliza mm hunibariki Sana. Mungu wa mbinguni akubariki.
Ameeen
nimeurudia mala nyingiii sana yatosha kusema hufananishwiiii Mungu nimebarikiwa na huu wimbo ww bint Mungu akuinue viwango vyajuu zaidiii
Ameeen
😭😭😭😭😭😭🙏naomba corabo dada
So powerful my sister be blessed
Ubarikiwe kwa wimbo huu uli beba ujumbe mkubwa sana wa MUNGU
uko vizuri sana sister Mungu hawezi kukutupa
Kyala nkota ndaga dada wa Mimi
Haleluyaa
Dada, endelea kuomba kwa MUNGU, maombi yawe msingi.......nyimbo zako zina nguvu ya MUNGU sana
Mungu akubaluk San akuinue uwe viwango vya juu wimbo mzuri San umenipa Farah san
Ameeen
Huvumi lakini ulipaswa uwe zaidi y akina rose nyimbo imetulia unapokea baraka za Mungu ubarikiwe sana
Hakika hulinganishi utabaki kuwa MUNGU.
Bwana aendlelee kukuinuwa Kati yote.Nimebarikiwa
Nyimbo ambayo ni faraja ya maisha yangu kila nikipitia magumu🙏🙏🙏 mungu akubariki dada
Ameen
Hakika utabaki kuwa MUNGU tu MUNGU akuinue na kukupaka mafuta zaida
Mungu akubariki sana kwa wimbo huu 6:49
Hallelujah hallelujah atabaki kuwa mungu tu
Ameen
POWERFUL. BLESSSS YOU
❤❤
Mungu ni Mungu hakika atabaki kuwa Mungu 😭😭
Ameen
Kila nikisiliza huu wimbo najikuta nalia😭😭
Haleluyaa
Naomba nikuone siku moja unapatikana wapi dada angu @@victorianazah
Asante dada kwa ujumbe nzuri
Unaimba kwel, ndani yako kunauzima, powerful song
Ubarikiwe sana kwa kazi unayoyifanya mungu mkubwa akutie nguvu zaidi
Kumbe bado Mungu
amejisazia watumishi wake wenye upako, ahsante Jehova
Niko mgonjwa nimepata uwepo ndani Yangu Dada endeten Unikate tama
Kiukweli wimbo unanibariki tu sana hongera sana dadayangu ubarikiwe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hulinganiswi mungu, wimbo wabariki huu🎉❤
Hulinganishi Mungu wetu ,nanyenyekea miguuni mwako
Aki be blessed nyimbo zako zinatubariki sana
I blamed my RUclips for taking long to capture this nice song.Imagine updated I yr ago.
Amen
i love the second verse..... be blessed mke wa schoolmate wangu
Pete ya ndoa iko wapi?
Kwakweli dada unaimba,Mungu azidi kukupa kibali
Ameen
Nakupenda dadangu since sayuni bendi mwenyezi Mungu aendelee kukupandisha kihuduma
Utuluzwe milele bwana , kwakuwa unabaki kuwa mungu tu
Ni Mungu wa kipekee
❤❤❤ wimbo huu nabarikiwa sana mungu akuinue kwa viwango vya juuu
Yaan nilikuwa natafutaga jina lako mpk nimelipata
Aiseee ww dada unaimbaaaa🙌🏻una sauti ya kusisimua mpk rahaaaa,Mungu azidi kukutumia vyema NAKUPENDA❤️😍
Ahsante Sana ubarikiwe
Hakika unanibaliki sana huu wimbo
Powerful taching song hogera keep it up ❤❤❤❤
Kweli haringanishwi na hafananishwi mungu wetu: barikiwa sana mtumish kwa ujumbe mzur
Dada V. Bwana akuzidishe,akuonue na akubariki kwa vyote sauti na mashairi yananitoa machozi kwa mapito na nilipo leo hongera
Uwiiiiiii napona uku
Nakufuatilia mnooo nakupenda snaaa natamani nikuone siku mojaaa nyimbo zako huwa zinaponya majeraha mengi snaaa
Naupenda sana huu wimbo! Una ujumbe mzuri sana! Mungu akubariki sana Dada yangu; na aendelee kukuinua kwa viwango vya juu zaidi
Ameen ameen
Ameni mungu azidi kukuinua❤❤
Ewe dada, mwimbaji, nyenyekea sana mbele za Mungu, kila kuitwapo leo
Asante sana nmebarikiwa mno kama umenigusa
Amen, utukufu umurudie mungu
Wewe ni muabudu wa kinabii
Mungu akubariki dada kwa wimbaji
Sauti yako inanguvu za Mungu najua hujaipata kiurahisi....skufahamu ila najua umepitia tanuru la Moto.......Mungu akulipe maumivu yako ameeni
Unalikiwe sana dada
Nakufuatilia dadangu, Kuna Mahali unatoka na Kuna Mahali unaenda, Mungu halinganishwi na Chochote
Ameeen
😭😭❤❤🎉🎉
Barikiwa sana dada victoria nabarikiwa sana na nyimbo zako Mungu akuinue zaidi
Unafika mbali saana
Mungu wetu wa mbinguni azidi kukuneemesha dada Victoria ! Nyimbo zimejaa upako na jumbe zinazomtukuza Mungu! Hongera sana ! Nimebarikiwa sana !
Daaa nimeupenda huu wimbo umenibariki sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤hulinganishwi Mungu
Dada mungu akuinua juu sana Kati ka unduma hii
😭😭kila ninapousikiliza wimbo hu huwa unanissmua mno najikuta nalia hakika mungu hafananishwi na Chochote mungu akubariki dada
Ameeen
I don't know how I can like this song hundred times
Mmmmmh Mungu akupe neema ustawi zaidi
Wimbo mzuri sana wakubariki sichoki kuusikiliza mara Kwa mara Barikiwa sana Dadangu
Ameeen ameen
Good voice 🎤 good message ❤️❤️Mungu akubariki sana.
Ameeen
Waaa glory powerful songs
Dada yangu unaimba vizuri sana dada yangu
amen. Utukufu niwakobaba
Be blessed, nice and uplifting songs ❤
Glory to almighty God has done so much for us
Dada unaimba nyimbo nzur mungu akuzidushe kila kuitwapo leo
Balikiwa sana
Unaimba vizuri mungu akubariki
nakufuatilia sana shemeji, hakika MUNGU aliye juu akuinue ktk uimbaji na uinjilisti. ufike mbali mno, big up na mpe salamu mdogo wangu Nazareth, mwambie kaka yako anakupa hai
Ameen
Nmeingia RUclips nakutana na nyimbo zako nmezidownload cm yang nmejaza nyimbo zako ubarikiwe unaimba nyimbo za utukufu
Una sauti mzuri dada umenibariki sana
Kweli Mungu halinganishwi na chochote🙌
Neema tele dada🙏😍🇰🇪
Ameen
Ubarikiwe dada , na Mungu akupe nguvu za kuendelea kumtumikia
Ameen ameen
Amen Amen Amen 🙌🙌🙏
Wooow...❤️❤️❤️I feel blessed
Dada barikiwa sana
Nguluvi yilakuleka
kwali Mungu hulinganishwi
Songs mbele sana
Ameeen
God bless your work
Kazi nzuri my dada, sifa zote na utukufu arudishiwe yeye kwa kazi na matendo yake mana ni kweli halinganishwi.
Ameen
Thank you very much for the English translation of this song. It increases my love for song to 95%.
Ameen
Kila nikisikiliza huu wimbo nabalikiwa sana naamini ipo siku,shida taabu, dhiki zitaiaha
Ameen
God bless you 🙏🙏❤
From TikTok May God bless you am blessed 🙏🙏🙏🙏 and I must download it oooh More Grace
Ameen
Ameen
We dada Nakupenda mnoooooo!! Nakuelewaaaa Sana dada🙏.Mungu akubariki songa mbele mtoto wa YESU 💪
Ameeen ameeen
Be blessed my dear frnd
Ameen
Nakupenda sana dada nimekusikiza kutoka kitambo ukiimba na Emmanuel mgogo.keep going dada mungu akuzidishie dada.nice song nice voice.
Ameen ameen
Hakika mungu we ndye mganga mkuu ,,barikiwa Sana Victoria kazi nzur
Ameen
Am always blessed when I heard this song 🙏
Amina mtumishi
Ubarikiwe Sana kwa wimbo huu, umenigusa!!
Ameen
U will remain t b God.Amen Amen
Amen 🙏🙌
Nabarikiwa
Ameen