Aslm km warahmatullahi wabarakatuh, ustazi wangu mpendwa Allah aku hifazhi Naitwa Al-kindy Abubakar kutoka DR.CONGO muji wa Lubumbashi Ninani ulizo : kuhusu damu ya hedhi kwa Wanawake mwanamke alie funga mwezi wa ramadhan kwa masiku 28 imebaki siku 2 yenye inabaki, anaona damu ya hedhi kuamkia hiyo siko ya 29 Swali : je inaswihi anywe dawa ya kuzuia hio damu isitoke ili amalizie hio siku 2?
It's nice seeing him with sheikh Bahero.
Mashallah.
Allah awahifadhi nyote pamoja na sheikh bahero. Mi humuita umar ibnil khatwab kwa msimamo wake mkali wa dini.
Allah awafazi ma shekh wetu
جزاك الله خيرا
Jazaaka Allaahu Khyra
Masha Allah !💐
Aslm km warahmatullahi wabarakatuh, ustazi wangu mpendwa Allah aku hifazhi
Naitwa Al-kindy Abubakar kutoka DR.CONGO muji wa Lubumbashi
Ninani ulizo : kuhusu damu ya hedhi kwa Wanawake
mwanamke alie funga mwezi wa ramadhan kwa masiku 28 imebaki siku 2 yenye inabaki, anaona damu ya hedhi kuamkia hiyo siko ya 29
Swali : je inaswihi anywe dawa ya kuzuia hio damu isitoke ili amalizie hio siku 2?
ما شاء الله تبارك الله