Feel the track ×3 Feel the track ×3 Feel the track ×3 Feel the track×3 Baba mbona ukanikimbia Maisha magumu ndo yaliyochochea Nakukumbuka na nna kulilia yaaah aaaaah Ukweli ningependa we kunirudia Baba mbona ukanimbia Maisha magumu ndo yaliyochochea Nakukumbuka na nnakulilia yaah aaah Ukweli ningependa we kunirudia Dingi sio vizur hivo tazama verse nacheza Unaleta kiu ya fedha na ulishatudekeza why! Enzi hizo kipindi mheshimiwa serikalini Katibu wizara ya fedha miguu haitoki mezani ofisini Fanya kaz zaidi ya 20 za wafanya biashara kwa ujumla Wakiomba msamaha kodi shika hii moja nusu unauchuna Siku Understand mtoto wa jirani kukomaa sura Wengine wamekonda mfano wa???? Astaghfillah Ningekua vipi sugu nunda Na!!!! Sikuzifahamu tabu Ni aibu kufikilia mke wapili na kumfukuza babu Pale tulipokueleza ukatujia moto juu "Watoto mkome subirini wakati wenu sio huu" Sikilikapita lindandasi rahisi kuvunja baraza Aibu kutufahamisha mbaka habari ilipotangazwa Siku hyo tulishtushwa kidogo maza afe kwa presha Alitambua mapema kitakacho fata mkataa pesa Ukawa na sura yakujificha uliandamwa na vikwazo Ukawa mtu kilabu vilevi kupotezea mawazo POMBE INASAHAULISHA MADENI nam mimi mtunza tungo hautosaza usposari Chini ya jua kali wengine hawafahamu utamu wa ugali Ikafika kipindi hatukubaki na senti mfukoni Ukipiga rekod baba hajarud unajificha chooni Ukaanza. Kua na makuzi sikusifii hizi ni kejeli Sina chakuwa tell akawa mfujuzia ma house girl Kwakua walikua wadogo kiumri uliwadanganya kirahisi nakutimiza yale yote Aliyokutuma wako ibilisi Tukaona isiwe tabu tulipofaham hayo unatenda Akaletwa mtu mzima kumkomoa nae akamtia mimba Kwa uchungu mzima ndugu kumjadili vikali Tukikumalizia msosi sufuria unazitia msumari Akija asubuhi hofu tumbo joto home akai Baada ya dakika chache hodi hodi za wanaomdai Sina imani nae namchukulia tu father mkatili Kwasasa anatoa kudozi anatutazama sehemu za siri Haitosaidia kuinama chini majini yake yanavo mtuma Huyu mzee hashibi yeye anachoka tu kutafuna Alishatutia aibu mbele ya rafiki zake mother huyu kalost Kaja seblen na taulo ndan hana hata kost Katika kumvumilia sindo radhi akamwaga KAMA ALIVYOZALIWA WAGENI IKABIDI KUAGA Yakafanywa malipizi mama akafanya mgomo baridi Nkashangaa vipi ukacha home matatizo yamezidi Tukaanza angamia pumzi zangu hazitoi jema sikuyapili nkiwa kijana mdogo sio mtumzima Mama hana kazi familia ingeendeshwa vipi Mbaka nilipoanza kaba walevi kona ya msikiti Kaptula nshauza sana kumsevu mother mzazi Nilimfikisha hospitalini usiku alipougua maladhi Upepo ulivuma kichizi sikuhiyo kabla ya kunyesha mvua Popote ulipo sikia mwanao nashuka hizi hatua nikachana nyuzi za gitaa nashushia na shairi Ukichambua kiufasahaa utaonekana mkatili siunakumbuka imani hamna na tabia haibadili Ingawa ni mkosefu nitakufanya uwe rafiki kukosa mapenzi ya baba kumeniathiri kiasi flan Cheki leo nna kesi ya bangi kesho narudi mahakamani Kesi juu ya kesi mkanipa jina mtaani Wamwisho kunishauri masela wangu maskani Kipaji ndo chanzo cha kuniandikisha hili pini Mbaka naingia studio bado sijakutia machoni Nashindwa kujimudu ukosefu waakili kichwani ningetoa wapi shuleless school fees jamani Sikumaliza elimu ya msingi ntapata kazi unazan Ndomaana nakulilia tafadhar baba rudi nyumban Saivi mambo safi kidooooogo kutokana na fani Shukrani kwa mika na dj hii track ipo hewan Shukran kwa mpenzi wangu alieniletea amani maishani Kuna Wakati nilikumisi nasisitiza yaan Heri utujurishe upo hai hapa duniani Au umetutoka mungu akulaze pema peponì Ameeeeeen Baba mbona ukanimbiaaaaah Maisha magumu ndo yaliyochochea Nakukumbuka na nnakulilia aaaah yaaaah yaaah Ukweli ningependa we kunirudia Baba mbona ukanimbia Maisha magumu ndo yaliyochochea aaah Nakukumbuka na nnakulilia yaaah aaaah Ukweli ningependa we kunirudia Mandojo na Domokaya Dingi
Da miaka inakimbia sana wakati hii ngoma inatoka nilikuwa primary school pale Magereza tabora ilikuwa kila jioni lazima niisubirie ipigwe kwenye tv isipopigwa nilikuwa najisikia vibaya 😂 na ukweli kuna baadhi ya mistari ndio miaka ya karibuni naelewa kiliimbwa nn mi nilikuwa napenda beat na wale wahusika wa kwenye video. Ila asanteni sana brothers kwa kutubariki na ngoma kali zinazoishi Respect.
Mandojo nimekuja tena tizama hii video baada ya kupata taarifa za kigo chako.. Ilikuwa bonge la ngoma enzi za channel five. Na pale star tv... Pumzika kwa amani legendary😢
Kama umeangalia baada ya kusikia taarifa za msiba wa Mandojo gonga like
Acha tu kaka jamaa katutoka kweli
😢😢😢😢
Ndio hivyo
Like za nn shog wewe
Acha tu 😢😢
Nani anasikiliza hii track 2024
Mm hapa march 2024
🔨💯
Still here March 25 2024
Still here April 14 2024.
Hapa
Kama unaskiliza hii ngoma 2025 gonga like 👍 ❤
Eeeeh bana old is gold hii nyimbo mistari yake haitakufa milele maaana Ina ujumbe na melody tamu sana
Kma umeangalia nyimbo zake baada ya kusikia msiba aise mungu akupe kaul thabit😢😭😭
Pa1 2024 weka like❤
kama nawewe uliposikia kifo chache umekuja kufata hii nyimbo gonga like
nani anasikiliza hii track 2024❤
nipo
Naitwa Chines
@@marthamwilongo4470 tupo pamoja one love
@@mtumzito2627 unyama sana
Pini kali tupo pamoja RIP Dojo
It's 2023 still listening to this Masterpiece 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Together here
Sitaki kukumbuka hizo enzi, nahisi ni km machozi yatanindoka
Together
yeah this song is a lifetime..
❤❤❤😢😢😢❤❤
Tunaomtakia pumziko jema Dojo like hapo
Ukiona hii comment, I like ili notification inirudishe hapa kusikiliza mziki mzuri
Feel the track ×3
Feel the track ×3
Feel the track ×3
Feel the track×3
Baba mbona ukanikimbia
Maisha magumu ndo yaliyochochea
Nakukumbuka na nna kulilia yaaah aaaaah
Ukweli ningependa we kunirudia
Baba mbona ukanimbia
Maisha magumu ndo yaliyochochea
Nakukumbuka na nnakulilia yaah aaah
Ukweli ningependa we kunirudia
Dingi sio vizur hivo tazama verse nacheza
Unaleta kiu ya fedha na ulishatudekeza why!
Enzi hizo kipindi mheshimiwa serikalini
Katibu wizara ya fedha miguu haitoki mezani ofisini
Fanya kaz zaidi ya 20 za wafanya biashara kwa ujumla
Wakiomba msamaha kodi shika hii moja nusu unauchuna
Siku Understand mtoto wa jirani kukomaa sura
Wengine wamekonda mfano wa???? Astaghfillah
Ningekua vipi sugu nunda
Na!!!! Sikuzifahamu tabu
Ni aibu kufikilia mke wapili na kumfukuza babu
Pale tulipokueleza ukatujia moto juu
"Watoto mkome subirini wakati wenu sio huu"
Sikilikapita lindandasi rahisi kuvunja baraza
Aibu kutufahamisha mbaka habari ilipotangazwa
Siku hyo tulishtushwa kidogo maza afe kwa presha
Alitambua mapema kitakacho fata mkataa pesa
Ukawa na sura yakujificha uliandamwa na vikwazo
Ukawa mtu kilabu vilevi kupotezea mawazo
POMBE INASAHAULISHA MADENI
nam mimi mtunza tungo hautosaza usposari
Chini ya jua kali wengine hawafahamu utamu wa ugali
Ikafika kipindi hatukubaki na senti mfukoni
Ukipiga rekod baba hajarud unajificha chooni
Ukaanza. Kua na makuzi sikusifii hizi ni kejeli
Sina chakuwa tell akawa mfujuzia ma house girl
Kwakua walikua wadogo kiumri uliwadanganya kirahisi nakutimiza yale yote Aliyokutuma wako ibilisi
Tukaona isiwe tabu tulipofaham hayo unatenda
Akaletwa mtu mzima kumkomoa nae akamtia mimba
Kwa uchungu mzima ndugu kumjadili vikali
Tukikumalizia msosi sufuria unazitia msumari
Akija asubuhi hofu tumbo joto home akai
Baada ya dakika chache hodi hodi za wanaomdai
Sina imani nae namchukulia tu father mkatili
Kwasasa anatoa kudozi anatutazama sehemu za siri
Haitosaidia kuinama chini majini yake yanavo mtuma
Huyu mzee hashibi yeye anachoka tu kutafuna
Alishatutia aibu mbele ya rafiki zake mother huyu kalost
Kaja seblen na taulo ndan hana hata kost
Katika kumvumilia sindo radhi akamwaga
KAMA ALIVYOZALIWA WAGENI IKABIDI KUAGA
Yakafanywa malipizi mama akafanya mgomo baridi
Nkashangaa vipi ukacha home matatizo yamezidi
Tukaanza angamia pumzi zangu hazitoi jema sikuyapili nkiwa kijana mdogo sio mtumzima
Mama hana kazi familia ingeendeshwa vipi
Mbaka nilipoanza kaba walevi kona ya msikiti
Kaptula nshauza sana kumsevu mother mzazi
Nilimfikisha hospitalini usiku alipougua maladhi
Upepo ulivuma kichizi sikuhiyo kabla ya kunyesha mvua
Popote ulipo sikia mwanao nashuka hizi hatua
nikachana nyuzi za gitaa nashushia na shairi
Ukichambua kiufasahaa
utaonekana mkatili siunakumbuka imani hamna na tabia haibadili
Ingawa ni mkosefu nitakufanya uwe rafiki
kukosa mapenzi ya baba kumeniathiri kiasi flan
Cheki leo nna kesi ya bangi kesho narudi mahakamani
Kesi juu ya kesi mkanipa jina mtaani
Wamwisho kunishauri masela wangu maskani
Kipaji ndo chanzo cha kuniandikisha hili pini
Mbaka naingia studio bado sijakutia machoni
Nashindwa kujimudu ukosefu waakili kichwani ningetoa wapi shuleless school fees jamani
Sikumaliza elimu ya msingi ntapata kazi unazan
Ndomaana nakulilia tafadhar baba rudi nyumban
Saivi mambo safi kidooooogo kutokana na fani
Shukrani kwa mika na dj hii track ipo hewan
Shukran kwa mpenzi wangu alieniletea amani maishani
Kuna Wakati nilikumisi nasisitiza yaan
Heri utujurishe upo hai hapa duniani
Au umetutoka mungu akulaze pema peponì
Ameeeeeen
Baba mbona ukanimbiaaaaah
Maisha magumu ndo yaliyochochea
Nakukumbuka na nnakulilia aaaah yaaaah yaaah
Ukweli ningependa we kunirudia
Baba mbona ukanimbia
Maisha magumu ndo yaliyochochea aaah
Nakukumbuka na nnakulilia yaaah aaaah
Ukweli ningependa we kunirudia
Mandojo na Domokaya
Dingi
🤛🤔
Noma sna Mzee umetisha hii Ngoma iliandikwa kwa hasila Sana sidhan na sikumbuki hapa bongo Kama ipo nyingine Kama hii
Aliyepiga Hilo guitar 🎸 la base katisha 2024 still hot
Produced by Micca Mwamba MJ record 🔥
Guitar alipiga mandojo tumuombee tuu apmzike
08.03.2024 WANAWAKE DAY, NIKIWA NCHINI MISRI MASOMONI
Tulio kuja kuangalia baada ya kusikia R I P mandojo tujuane hapa
Nimekuja apa baada ya kusikia taarifa za kuumiza 😢😢😢
Hawa jamaa walikuw na kipaji kwel daah👏
Nipo hapa 2024 tarehe 1 mwezi wa 2❤❤❤❤❤❤
U😢
😅8jmm 2:43 oooooplp
Ngoma kali sana story nzuri naisikiliza 2024 /3/30
Hello it's 2030
Huyu jamaa kaimba verse moja tu kwny hii ngoma.
Verse kali sana halafu ndefu mno salute nyingi kwa domokaya, very powerful 💪
yaani ndefu balaaa pumzi kama zoote
Chuma hiki hakiwezi kupoa daima, hongera sana broo
nilipenda hizi nyimbo kipindi nikiwa mdogo nilikua sijui kiswahili nikiwa primary nchi kwetu Burundi
Ulikuwa waziskia kwa tv au radio
@mathiaszakaria7052 tv
Dahhh R.I.P mandojo imebidi nije kuangalia Ngoma kwa mara ya mwisho
Yani nimeumia mnooo
Ata mim pia
Mi pia imeniuma sana😢
Ata mm asee imeniuma sana
Rip kamanda
Mungu akulaze mahali pema kamanda man dojoo 😢😢
Its march 2024 still listening to this beautiful masterpiece from mandojo ft domo🔥🖐️
Daaah inauma sana. RIP . Tutakukumbuka Daima Milele..... all the way from KIGALI -Rwanda.
Hawa jamaa walikua wanaimba sana mashairi yameshiba
Mkenya nipo mwenyewe tu, au wapo wakenya, kutoka mombasa tujuane, hizi ndo nyimbo tulokua nazo utotoni🔥🔥🔥
Nipo bro...wa Mombasa hapa😁
@@CoachHafidh Nakubali mwana, bamburi moja hii sijui wewe anga zipi
South Coast moja hioo tuko pamoja 🎉
Mmoja amefatiki mandojo
twende mbele turudi nyuma huu mdundo wa guitar ni hatari sana, 2024 bado ngoma kali
Na gitaa alikua analipiga sana yeye
Wenye music mzuri hupotea hivyo tu 😢
Ngoma inaishi na itaendelea kuishi kwenye watu waelewa.."
Tugonge like kama tumetoka facebook baada ya kuskia kifo cha legend😢😢
Aisee mungu amlaze mahal pema pepon mandojo ,,tutaonan siku Moja 🙏🙏🙏🙏
Pumzika kwa amani mandojo🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2024 hii trak 🏆🏆🙌🙌
Ngoma kali sana ,kuna kipande kinasema "sikusifi hizi kejeri"
Nyimbo yangu bora ya mda wote dahhhh bonge moja la ngoma
Hii dunia hii ushetani ni mwingi kuliko hofu ya Mungu 😭😭
Naisikiliza mida hii. Walifanya kazi nzuri
Nani anasikiza hii track 2022
Mimi na sikilizia hiyo nyimbo always na kumbuka maisha baadhi za familia za kibongo muda wote inafanya nikumbuke East Africa
Even me
Mimi hapa
Tuko wengi.Hii na ile niaje collabo yao na Juma Nature,noma Sana and classic.
Tuko wengi
Hii December 2024, nmekaa nkakumbuka hili Goma from nowhere.Kizuri hakiozi
One of the most lyrically conscious song ever written in Bongo Flava hIstory..Hats Off..
Sku understand mtoto wa jirani kukomaa sura
Wengine wamekonda mfano wa astaghafirulah 😂😂
Tulikuja kuisikiliza huu wimbo baada ya man mandojo kuumaliza mwendo tujuane kwa like 2024
Yoooh! 2025
🎉😂❤gud songggg
Pumzika kwa amani mandojo
2024 listening and many years to come
Kutoka kw3nye mahojiano ya wasafi leo 13/12/2024
Nimekuja 12:36 PM (Ijumaa)
Da miaka inakimbia sana wakati hii ngoma inatoka nilikuwa primary school pale Magereza tabora ilikuwa kila jioni lazima niisubirie ipigwe kwenye tv isipopigwa nilikuwa najisikia vibaya 😂 na ukweli kuna baadhi ya mistari ndio miaka ya karibuni naelewa kiliimbwa nn mi nilikuwa napenda beat na wale wahusika wa kwenye video.
Ila asanteni sana brothers kwa kutubariki na ngoma kali zinazoishi Respect.
Ilikua mwaka Gani Ngoma inatoka
@@habarikaonlinetelevision4142mwaka 2007
Dah! Hili PINI HILII✊👊!!!
Nipo hapa leo 2024❤❤❤
wahuni wametupiaa full kombatiii
2024 STILL LISTEN THIS BEAUTIFUL SONG ya verse 1
Daaah pumzika kwa amani mwamba mandojo ila kazi zako bado zinaishi
Ngoma nzuri sana
Verse moja tuuu ila ujumbe kila mstari this generation was blessed.
Hawa ndio WANAMUZIKI wa kweli. Wanatunga, wanaimba na wanapiga vyombo vya muziki.
R.I.P Mandojo 😢😢😢😢
Jamaa ni wakali wa storytelling... Hatari sana
Good job, thanks, mpaka leo nalia!
Kipindi mziki ukiwa mziki, pure talent!
Ila hawa jamaa walikuwa waaandika sana. Digalaaaa dingii eeee babaaaa
Hii ngoma irudiwe! MASTERPIECE
Nilkuwa na miaka 8 .2009 iyoo
Daaah R.I.P mwambaaaaa😢😢😢😢
Mandojo ni fundi na sijui kapotelea wapi😓😓😓
Ngoma izi zitaishi milele
He was a really good guitarist❤
Till the bright morning!
Watanzania tuache roho mbaya yan mtu unampiga raia mwenzako mpaa kifo dah!
Rest easy legend
Ngom kariiii r.i.p mandojo
Daaah inauma sana...fan wako mkubwa kutoka Nairobi Kenya. Rest eazy braza
Mungu ailaze roho ya marehemu mandojo mahala pema peponi😢😢😢
Dah!! Brothers kweli miaka inaenda hii ngoma nilikuwa shule!! Mungu awabarik kaka zangu!! Nyimbo zenu zitaish
Amen 🙏
@@Domokayakunikumbusha mbali sana walai 😢😢😢😢😢😢 maisha magumu sanaaa😢😢😢😢😢😢😢
Absolutely the most lyrical poetry masterpiece from bongo land😮❤
Jamaa ameuawa 10 August 2024
Baba mbona ukanikimbiaa🙌🙌🙌🙌
Tarehe 14 january 2025 naitazama hii vintage song
Mika mwamba aligonga beat humu daaah
R.I.P mandojo sijawah kuacha kusikiliza nyimbo zao toka enzi hizo tuko na moringe na mdogo wako
2024 huu wimbo bado uko fireeeee
Pumzika kwa amani kaka tunashukuru kwa wimbo mzuri 😢
Asante domokaya ... nimerudi hapa baada ya wewe kutoka studio leo asubui ya wasafi 13/12/2024
Aisee watu walikuwa naimba zamani na siyo siku izi wahuni wamejaa kwenye music industry
Enzi hizo gwanda za jeshi unavaa tu
Hii nyimbo ina vibe yakee ina penya adi kwenye moyoo an..... Nakubal sanaaaa
Mandojo nimekuja tena tizama hii video baada ya kupata taarifa za kigo chako.. Ilikuwa bonge la ngoma enzi za channel five. Na pale star tv... Pumzika kwa amani legendary😢
R.I.P mwambaa ngoma adimu sanaaa 2024
Yembo yenye uahai na ujumbe Kwa kila mtu dahhhh nakusikiliza muda sana iliwatoto wangu wasijepitia maisha niliyo pitia
Asante sana 🙌
Bro ulipotea wapi nyinyi na mabanga fc@@Domokaya
Mwanangu unajua saana zaidi ya hawa wauza sura
Ngomq bora ya muda wote
Hio verse ya kwanza ni noma sana,ndefu nzur
Chuma hii hapa 2025.. Nyimbo pendwa sana ya baba yangu
Saa hii amelala pahali pema pemoni(2022)
Now ni ngoma yangu pendwa.
From Nairobi Kenya... Siii hii ngoma ilikuwa Kali... Still a banger!!
nipo nausikiliza now basi bhana mungu ache aitwe mungu
Your combination was good brother doh
Daah mex wamoto sana hiyo beat kali sana
What a song ... They don't songs like these nowadays, wote wanaishia na nyimbo za tambo na mademu.
🎉🎉🎉jamaa alkuwa anajua kiukwelii
Mziki mzuri unaishi, kazi nzurii❤
Memories back in the days beautiful song... listening 2023
Bongee ya ngoma na haitokaa itokee