Daaahh....huyu jamaa ana akili kubwa sanaaa, kwani kwa namna alivyozungumza na kuchanganua/kueleza kwa kina namna ambavyo wafanyabiashara wanavyokumbana na hizo changamoto za kodi, ni elimu tosha kwa kila mwananchi na hususani wadau wote katika suala zima la ufanyaji wa biashara. Mungu aendelee kuwatetea ndugu zetu wafanyabiashara kwani sekta hii ni muhimu mno kwa maendeleo katika nchi yetu pendwa, Tanzania.
Kodi ni mzigo kwa Raia Lakini pia ni Aibu kwa Nchi za Africa kutegemea kodi kama vyanzo vya mapato ya serikali Nchi hizi zina Kila aina ya resource.Lakini Resource hizi zinachukuliwa na Mataifa ya Magharib wanajenga nchi zao
Aisee wewe jamaa ungelikuwa unaishi nchi za ulaya ndio ungesema maisha yetu kumbe ni rahisi na kulipa Kodi ulaya inajengwa na kodi za majimbo, tatizo kubwa African ni elimu ya Kodi na hizi Kodi ndogo ndogo umiza , ulaya unakosema hakuna hata kitu kimoja usicholipia unachokijuwa wewe tena ndio maana mishahara yao mikubwa ila makato mengi,
Serikali nilazima ichukue hatua maofisa wa TRA wahawazurumu sana wahanchi wanaotaka kufanya biashara na wafanya biashara, sasahuvi vijana wengi yawataki kozi nyingine vyuoni wanataka masomo ya biashara na wakimariza chuo wanaweza hata kuuza nyumba za wazazi wao ilimradi wagonge kwa mameneja wa TRA ilimradi wapate ajira TRA kwasababu wanajua TRA wanaibia wananchi nakweli nyumba inauzwa kweli na kijana akipata kazi guko nikweli zitajengwa nyumba zaidi na zaidi, na magari chungunzima kwa mapato ambayo niyakuwaibia wananchi ‘na wafanya biashara! Hebu chukulia mimi nilienda TRA kinondoni ofisi ya mwenge shamba nataka tin namba nikaagizwa niende na reseni ya biashara nimekwenda kukata reseni nafika ukaniuliza nataka kufanya biashara yenye samani ya tsh ngapi? Nikawambia mimi nataka kufungua biashara ya uwakala wa m-pesa na tigo pesa na hayo makampuni yote kila moja wamentaka niweke kaki 600.000 Vodacom? 600.000 tigo hivo kama nimtaji? Basi nitakuwa na mtaji wa milioni 1.200.000 basi nilichajiwa hapohapo kodi ya mapato hivi nimepata lini wakati ndo nafanya porosesi zakufungua hiyo biashara?
Mm mwezi wa Tisa mwakajana nilikuwa na laki nne kama chanzo cha biashara, lakini nikakadiliwa 100,000 nikaenda jiji 130,000 nikajikuta mtaji 170,000 hapo natafuta leseni iliniweze kupata laini za uwakala. Unakadiliwa kabla ujafanya biashara aiseee sikiaga tu kwa mtu hiyo
Mr. Fred umejitahidi. Nikuongezee mzizi mwingine kwa mtatizo haya: ni hekima ya msingi tu: baba akilala watoto watakuwa na jeuri na watafanya wanachotaka ndani ya nyumba. Hivyo bwanamdogo Fredi hata kama yatafanyika masahihisho kama ulivyopendekeza, baba akalala usingizi tatizo litakuwa palepale na kwa sura nyingine yaani kwa sura ya kwenda sambamba na mfumo mpya uliorekebishwa!
Kaka point kubwa uliyosema ni elimu ya kodi, hata wewe huna elimu hiyo Fred! VAT inalipwa na mteja siyo mfanyabiashara, wewe unaipata ile vat yako mwisho wa mwaka. Elimu jambo la umuhimu sana, mimi nawachukia wabunge, wao ndiyo wanapitisha hizo sheria! Mfano mil 100 turnover kusema ni mfanyabishara mkubwa ni upuuzi! Milioni 100 turnover kwa mwaka ni 275,000tsh tu kwa siku… sasa mtu mwenye mzunguko wa 275,000 kwa siku ni mfanyabiashara mkubwa?
unabiashara yenye vat? nenda pale tra kaangalie kama Kuna mfanyabiashara asiekua na malimbikizo ya kulipa vat...utitiri wa Kodi na tozo mbalimbali,mtaj,family,Kodi ya pango,unategemea mfanyabiashara apeleke iyo vat aliyolipwa...ndo maana wanasema Sheria azitekelezeki...tatizo lipo kwenye income tax laws,customs laws,tax administration laws...wanatunga kuongeza mapato tu.....na ao wanaotunga, akuna mwenye experience ya biashara...
bwana ed lumala..nimekupa elim ndogo kuhus kiini Cha tatizo...izi Sheria zote zinatakiw zifanyiwe mapitio..bado finance act inayotoka kila mwaka...unafah Aya mambo..kulipwa vat na mteja sio solution...remember mfanyabiashara yupo kwa ajili ya kuexpand biashara...ela azipelekwi kirahis kijana
@@hashimjumahassani5268 unaongea kwa mihemko ndiyo tatizo! Sheria za kodi zinepitishwa na bunge siyo TRA! Mbona hamuwalaumu wabunge? TRA wanatekeleza sheria zilizopitishwa na bunge! Mimi nafanya biashara na nina vrn, napeleka kila mwezi hiyo 18% ya sales nazofanya kila mwezi, napata refund kila mwisho wa mwaka wa mahesabu! Fred anasema yeye anaumia kwa kuwa analipa vat na wengine hawalipi, anayeumia na vat ni mlaji wa mwisho ambaye ni mwananchi wa chinj kabisa! Solution ni kubadilisha sheria za kodi siyo kuwalaumu tra! Mfano, kusema mtu mwenye mzunguko wa biashara mil 100 kwa mwaka ni mfanya biashara mlubwa na alipe vat, sheria hii ilipendekezwa na waziri wa fedha na bunge wakapitisha! Wanaotuumiza ni wabunge wetu kupitisha sheria kandamizi!
@@hashimjumahassani5268 nd'o hujui kabisa...Wafanyabiashara wa K'koo ni wezi sana Wa VAT,wao pale humuibia mlipaji ambaye ni mteja wa mwisho na pia serikali kwa kuitaka hiyo 18/%...Wananchi mnaoshabikia haya ni vile hamjui jinsi Wanavyoiba kwenye risiti kwa kuficha thamani halisi ya kitu ulichonunua wao wanaita 'risiti za njiani'..Ukinunua mzigo wa laki moja 18% yake ni 18,000/= na yake ni 82,000/= sasa ukidai risiti anakuambia achana nayo atakupunguzia 5,000 ktk laki ile nawe utaona kakusaidia hivyo unaiacha 13,000 kwake mara watu 10 anaingiza 130,aliyowapiga wateja na serikali NI WAONGO SANA.
Ili mpate kuibiwa msipate elimu ya hiyo kodi na hapo hamta pata chochote kwa sababu na yeye huyo ni mwizi mwizi hamhukumu mwizi mwezake au umeona wapi ?
Apo ndio utajua tofauti ya aliyesoma na asiyesoma HONGERA MR VUNJA BEI NAKUONA MBALI SANA BRO
Point sana mkuu pia hongera sana kaka vunja bei mungu azid kuwa nawe
Hongera zako Mr vunja bei Fred Kwa maelezo yakinifu umetiisha mnoooo
Daaahh....huyu jamaa ana akili kubwa sanaaa, kwani kwa namna alivyozungumza na kuchanganua/kueleza kwa kina namna ambavyo wafanyabiashara wanavyokumbana na hizo changamoto za kodi, ni elimu tosha kwa kila mwananchi na hususani wadau wote katika suala zima la ufanyaji wa biashara.
Mungu aendelee kuwatetea ndugu zetu wafanyabiashara kwani sekta hii ni muhimu mno kwa maendeleo katika nchi yetu pendwa, Tanzania.
Umeongea kitalaamu. Safi sana
Uyo ndiye angekua msemaji anaongea kwa hekima ametulia sana bigap kwa waziri mkuu wewe ni zaidi ya baba
Bless you My Brother Vunja Bei.
Kumbe FRED ni Genius
Ana masters ya mambo ya fedha na alikuwa muajiriwa wa serikali widhara ya fedha akaacha
Hongera brother, ni kweli bila elimu utekelezaji utakuwa zero, hasa mambo mengi kama hiyo VAT ina masharti zake na unafuu wake.
Fred kanyoosha sana 🏃🏿🏃🏿
This guy atazamwe kama miongoni mwa watu wanaoweza kutafuta solution ya masuala ya kibiashara, he's so smart
Uko sawa sana ngajiro umefunguka wakuelewe tu. Unisemea na mimi
Huyu Fredy anatakiwa awe waziri either wa ajira au fedha
Atakuwa kaka demu wake ni mkuu wa wilaya na yeye ni mhasibu mkuu wa chama Cha mapinduzi hiyo ni given
Vunja bei kaongea kisomi wengine mbwembe
Fred gombea ubunge halafu uwe waziri wa fedha,, mi naona wewe upo active sana
Huyu jamaa anajua kuongea sana
Umetisha broo
Akili iyo
Kodi ni mzigo kwa Raia
Lakini pia ni Aibu kwa Nchi za Africa kutegemea kodi kama vyanzo vya mapato ya serikali
Nchi hizi zina Kila aina ya resource.Lakini Resource hizi zinachukuliwa na Mataifa ya Magharib wanajenga nchi zao
Aisee wewe jamaa ungelikuwa unaishi nchi za ulaya ndio ungesema maisha yetu kumbe ni rahisi na kulipa Kodi ulaya inajengwa na kodi za majimbo, tatizo kubwa African ni elimu ya Kodi na hizi Kodi ndogo ndogo umiza , ulaya unakosema hakuna hata kitu kimoja usicholipia unachokijuwa wewe tena ndio maana mishahara yao mikubwa ila makato mengi,
vunja mauwa yako leader
Nice vunja bei
Vunja bei your so amaizing
Upo vzr sana kuongea vunja bei wakuweke nawewe
Asante VB kwa maelezo ya akili na yanaeleweka
Very genius
shida kubwa ni ELIMU kwa wafanyabiashara haiotolewi hivyo mkanganyiko wa ki fikra kati ya watoza kodi na mlipa kodi hauepukiki
Big up Vunjabei
Vunja bei kuongea vizuri na kwauelewa mkubwa sana anafaa kuwa msemaji wa wafanyabiashara
Serikali nilazima ichukue hatua maofisa wa TRA wahawazurumu sana wahanchi wanaotaka kufanya biashara na wafanya biashara, sasahuvi vijana wengi yawataki kozi nyingine vyuoni wanataka masomo ya biashara na wakimariza chuo wanaweza hata kuuza nyumba za wazazi wao ilimradi wagonge kwa mameneja wa TRA ilimradi wapate ajira TRA kwasababu wanajua TRA wanaibia wananchi nakweli nyumba inauzwa kweli na kijana akipata kazi guko nikweli zitajengwa nyumba zaidi na zaidi, na magari chungunzima kwa mapato ambayo niyakuwaibia wananchi ‘na wafanya biashara! Hebu chukulia mimi nilienda TRA kinondoni ofisi ya mwenge shamba nataka tin namba nikaagizwa niende na reseni ya biashara nimekwenda kukata reseni nafika ukaniuliza nataka kufanya biashara yenye samani ya tsh ngapi? Nikawambia mimi nataka kufungua biashara ya uwakala wa m-pesa na tigo pesa na hayo makampuni yote kila moja wamentaka niweke kaki 600.000 Vodacom? 600.000 tigo hivo kama nimtaji? Basi nitakuwa na mtaji wa milioni 1.200.000 basi nilichajiwa hapohapo kodi ya mapato hivi nimepata lini wakati ndo nafanya porosesi zakufungua hiyo biashara?
Mm mwezi wa Tisa mwakajana nilikuwa na laki nne kama chanzo cha biashara, lakini nikakadiliwa 100,000 nikaenda jiji 130,000 nikajikuta mtaji 170,000 hapo natafuta leseni iliniweze kupata laini za uwakala. Unakadiliwa kabla ujafanya biashara aiseee sikiaga tu kwa mtu hiyo
Huyu jamaa kumbe ana akili eeh
Tra ni matapeli wakubwa na serikali inajua vizuri hapo wanajifanya hawajui na huku wanajua
Wewe vunjabei unajua kuongea sana
Mpangwa anaruhala huyo ni hatarii
Analuhala kweli..modzili
Mpangwa wawapi
Mr. Fred umejitahidi. Nikuongezee mzizi mwingine kwa mtatizo haya: ni hekima ya msingi tu: baba akilala watoto watakuwa na jeuri na watafanya wanachotaka ndani ya nyumba. Hivyo bwanamdogo Fredi hata kama yatafanyika masahihisho kama ulivyopendekeza, baba akalala usingizi tatizo litakuwa palepale na kwa sura nyingine yaani kwa sura ya kwenda sambamba na mfumo mpya uliorekebishwa!
Huy anatakiwa awe wazir ok
Nakupenda bure vunja bei
Huyu jamaa kafunguka kwa mantiki sana, hapigi kelele, ni point kwa point. Anastahili kuwa tajiri
Kumbe huyu ndiye Vunjabei Ala!Tiyari nimepata Certificate ya Biashara.Nimekuelewa Vunja posho
Nice
Kaka point kubwa uliyosema ni elimu ya kodi, hata wewe huna elimu hiyo Fred! VAT inalipwa na mteja siyo mfanyabiashara, wewe unaipata ile vat yako mwisho wa mwaka. Elimu jambo la umuhimu sana, mimi nawachukia wabunge, wao ndiyo wanapitisha hizo sheria! Mfano mil 100 turnover kusema ni mfanyabishara mkubwa ni upuuzi! Milioni 100 turnover kwa mwaka ni 275,000tsh tu kwa siku… sasa mtu mwenye mzunguko wa 275,000 kwa siku ni mfanyabiashara mkubwa?
Kumbe we ndio hujui
unabiashara yenye vat? nenda pale tra kaangalie kama Kuna mfanyabiashara asiekua na malimbikizo ya kulipa vat...utitiri wa Kodi na tozo mbalimbali,mtaj,family,Kodi ya pango,unategemea mfanyabiashara apeleke iyo vat aliyolipwa...ndo maana wanasema Sheria azitekelezeki...tatizo lipo kwenye income tax laws,customs laws,tax administration laws...wanatunga kuongeza mapato tu.....na ao wanaotunga, akuna mwenye experience ya biashara...
bwana ed lumala..nimekupa elim ndogo kuhus kiini Cha tatizo...izi Sheria zote zinatakiw zifanyiwe mapitio..bado finance act inayotoka kila mwaka...unafah Aya mambo..kulipwa vat na mteja sio solution...remember mfanyabiashara yupo kwa ajili ya kuexpand biashara...ela azipelekwi kirahis kijana
@@hashimjumahassani5268 unaongea kwa mihemko ndiyo tatizo! Sheria za kodi zinepitishwa na bunge siyo TRA! Mbona hamuwalaumu wabunge? TRA wanatekeleza sheria zilizopitishwa na bunge! Mimi nafanya biashara na nina vrn, napeleka kila mwezi hiyo 18% ya sales nazofanya kila mwezi, napata refund kila mwisho wa mwaka wa mahesabu! Fred anasema yeye anaumia kwa kuwa analipa vat na wengine hawalipi, anayeumia na vat ni mlaji wa mwisho ambaye ni mwananchi wa chinj kabisa! Solution ni kubadilisha sheria za kodi siyo kuwalaumu tra! Mfano, kusema mtu mwenye mzunguko wa biashara mil 100 kwa mwaka ni mfanya biashara mlubwa na alipe vat, sheria hii ilipendekezwa na waziri wa fedha na bunge wakapitisha! Wanaotuumiza ni wabunge wetu kupitisha sheria kandamizi!
@@hashimjumahassani5268 nd'o hujui kabisa...Wafanyabiashara wa K'koo ni wezi sana Wa VAT,wao pale humuibia mlipaji ambaye ni mteja wa mwisho na pia serikali kwa kuitaka hiyo 18/%...Wananchi mnaoshabikia haya ni vile hamjui jinsi Wanavyoiba kwenye risiti kwa kuficha thamani halisi ya kitu ulichonunua wao wanaita 'risiti za njiani'..Ukinunua mzigo wa laki moja 18% yake ni 18,000/= na yake ni 82,000/= sasa ukidai risiti anakuambia achana nayo atakupunguzia 5,000 ktk laki ile nawe utaona kakusaidia hivyo unaiacha 13,000 kwake mara watu 10 anaingiza 130,aliyowapiga wateja na serikali NI WAONGO SANA.
Huyu jamaa "Vunja Bei" akigombania ubunge nampa kura
Hawa Tra wanataka wafanyabiashara wasiwepo,na wao watafute kazi za kufanya
Jamaa kazungumza maneno makali na mazima na ni dalili tosha kwamba amefahamu vyema anavyovizungumzia
Fred ulipaswa uwe ndiye mwenyekiti ama katibu wa wafanyabiashara.
Up just no up no no no. My lip no no go o
Poakea Mauwa yako vunja bei
Mpigeni mawe aliyesema tuishi burundi
Ili mpate kuibiwa msipate elimu ya hiyo kodi na hapo hamta pata chochote kwa sababu na yeye huyo ni mwizi mwizi hamhukumu mwizi mwezake au umeona wapi ?
Jaman tir mtatuuwa yan mim sitak ata kusikia
Kaongea, hajapiga kelele