DUDU BAYA AWATAJA WALIOMLOGA, SIWEZI KUSIMAMA, AMSIFIA ALIKIBA, HARMONIZE,AMELALAMIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2023
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 114

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 7 месяцев назад +8

    Hapo kwa Alikiba umetisha sanaaaa...🤴 👑

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 7 месяцев назад +12

    Dudu nakukubali sana kusema jina la yesu mwanangu we mihaka 4 alipona kifafa .Mimi.kumutegemeha mungu wetu ...naaminisana .kwa damu ya yesu

  • @marafikistation
    @marafikistation 7 месяцев назад +30

    SEMA HUYU JAMAA UKIMSIKILIZA VIZURI YUPO SAHIHI SANAA 💪 ila kama huelewi hivi vitu utaona kama hajitambui

  • @user-ut2oj5wd1o
    @user-ut2oj5wd1o 7 месяцев назад +58

    Mwaka huu alikiba anapewa kiki kibao kweli nimeamini kauli ya alikiba kuwa yeye hafanyi kiki kwasababu yeye mwenyewe nikiki wanaomkubali alikiba agonge like hapa

    • @davidmwasa
      @davidmwasa 7 месяцев назад

      Like zanyokoooooo

    • @merckmdamu2942
      @merckmdamu2942 7 месяцев назад +3

      ​@@davidmwasa😂😂Broo makasiliko yanini bana? Ee! Shidanini😂😂😂Unamchukia mtu kakukosea niniss

  • @KimbilimaSocial-dy9cl
    @KimbilimaSocial-dy9cl 7 месяцев назад +15

    Kaka dudu auzeeki
    Daah kudadadek
    Bado strong sana mzee
    Umekuwa very kabisa
    Umekuwa kama chaliii
    wa myaka 32 hivi

  • @sijaonalujinama
    @sijaonalujinama 7 месяцев назад +14

    Dudu baya on top

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 7 месяцев назад +7

    Huyu mwamba anajikubali sn napenda the way anavyokua mkweli saafi 👊🇶🇦

  • @BaltazalBusanya
    @BaltazalBusanya 7 месяцев назад +4

    True is remain to be true❤❤❤❤❤ one love for Dudu baya zuri kwa mama

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 7 месяцев назад +17

    Kweli alikiba anaishi kwa amani nilikulewa vibaya mwanzo

  • @jozeeshirima9231
    @jozeeshirima9231 7 месяцев назад +5

    intervew safi sana, ludia tena

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 7 месяцев назад +8

    Dudu kafanya vizuri kinyoa zile dready

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 7 месяцев назад +2

    Mimi mtoto wa Mungu.
    Mimi nimeponyeshwa na Mungu.
    Mimi nimemeza dawa za aina tofauti za hospital na sikupona.
    Nikaanza kutumia Mwalobaini,....nikaanza kuona nafuu.
    Hapa ukiunganisha ....utajua kua Kapona kwakutumia miti shamba lakini anapinga kua Mungu ndo kamponyesha

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 7 месяцев назад +6

    Point juu ya point❤❤❤

  • @emmanuelmwasyoge2053
    @emmanuelmwasyoge2053 7 месяцев назад +4

    Amina broo,pole kwa Matatizo

  • @user-wu5lb7ds2g
    @user-wu5lb7ds2g 7 месяцев назад +3

    Pole sana kaka sebe akotongele opele gete

  • @user-kc2zm6vh4v
    @user-kc2zm6vh4v 7 месяцев назад +4

    Duduuuu nakupendaga sanaaaa

  • @jamiinaafyanjema2966
    @jamiinaafyanjema2966 7 месяцев назад +11

    Kweli Damu Ya YESU ni ulinzi

  • @elijahsaro6611
    @elijahsaro6611 7 месяцев назад +1

    Huyu Jamaa akiokoka nitampa zawadi mungu anakupenda sana maneno yako yamenigusa sana brother nakukubali sana

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 7 месяцев назад +5

    Uchawi upo jaman sema tuu mamamba hatusumbuliwag

  • @hakizimanamoosa1157
    @hakizimanamoosa1157 7 месяцев назад +10

    Interview yahuyu mwamba sijawai ipita kiivo ivo

  • @AlexKanuya-fs2vr
    @AlexKanuya-fs2vr 7 месяцев назад +11

    God love’s you brother

  • @nairaidid4936
    @nairaidid4936 7 месяцев назад +3

    Brother Konki 🙌🙌🙌

  • @umojamedia4167
    @umojamedia4167 7 месяцев назад +4

    Part2

  • @fredybanda2861
    @fredybanda2861 7 месяцев назад +10

    You speak the truth God is everything to our life

    • @hilarykimario5075
      @hilarykimario5075 7 месяцев назад

      Kaka wewe ni msema ukweli Una ak7li sana natamani ungekuwa Rais wa tanzania tungekant mbali

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 7 месяцев назад +2

    Tulikuw tunakuombea uponee MUNG,YESU na roho mtakatfuu amekuponyaaaa

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 7 месяцев назад +8

    Amekuwa msafi bila rasta

  • @user-kp6lz7zs1w
    @user-kp6lz7zs1w 6 месяцев назад

    Yn Dudu baya Unaongea vitu pwenti cn big up

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 7 месяцев назад +3

    Pole san mzee ila hlo jna Mamba huwa nacheka san😂

  • @immabahatiimmabahati2373
    @immabahatiimmabahati2373 7 месяцев назад

    Nakubali kaka kubwa🙏🙏

  • @njiaya6833
    @njiaya6833 7 месяцев назад +7

    nimependa maneno yako juu ya kristo

  • @armandoleonardo6966
    @armandoleonardo6966 7 месяцев назад +1

    Konki master falou bonito hoje

  • @michaelmwasenga8265
    @michaelmwasenga8265 7 месяцев назад +3

    we love you

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 7 месяцев назад +4

    Dudu bayaa umependeza

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 7 месяцев назад +1

    Dudu Baya BWANA Yesu akusaidie ukawe upande wake ili naye akae upande wako na asikuache (2Nya 15:2); na endelea kukemea matapeli kwenye tasnia yenu (Mit 24:24-25)

  • @samsonsanga4368
    @samsonsanga4368 7 месяцев назад +1

    Kweli hii oili chafu,,,,, umeongea point San yan, kwanza nimefrahi afya yke inaonekana kuja vzr kwa kasi

  • @user-kp6lz7zs1w
    @user-kp6lz7zs1w 6 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤ dudu bayq

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 7 месяцев назад +1

    Leo kka umekua kivingine. Myere umezikat upo vizurii

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 7 месяцев назад +1

    Dudu baya Kawaka😂 kawa msafi

  • @babawatotobabu7229
    @babawatotobabu7229 7 месяцев назад +1

    kumbe shetani unakunywa damu na unageuza chakula mwili wa yesu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 7 месяцев назад +1

    leo kaongea ukweli

  • @naimamansourinaimamansouri8790
    @naimamansourinaimamansouri8790 7 месяцев назад +6

    Leo umeongea ukweli kuliko Siku zote

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 7 месяцев назад +2

    Dudu baya😂 daah huyu mwamba alkuwa mbabe kwel

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 7 месяцев назад +2

    Hivi damu ya yesu bd ipo na kama alikufa na dhambi za wa2 kwann wa2 wanaenda kuabudu au wanaogopa kufanya dhambi wakati tayari hawana dhambi

    • @elhadjbakar7060
      @elhadjbakar7060 7 месяцев назад

      Upuzi tu wa hawa wayahudi

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 7 месяцев назад

      ​@@elhadjbakar7060tusipangiane kwenye imani nyie ndo mnaoeneza chuki za kidini dini isiyokuhusu ya nn? Magaid nyie

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 7 месяцев назад

    Kuna mahali kagonga nyundo 😂aliesikia na asikie 😂😂😂

  • @yamaletax6769
    @yamaletax6769 7 месяцев назад +2

    Dudu baya uko sahihi ufikie peponi

  • @JosephMwanga-ew4lj
    @JosephMwanga-ew4lj 7 месяцев назад

    Mamba Yupo Vizuri Keshabadilika Swali Ni Je Vileo Kaacha?

  • @user-mt2pu8kt7h
    @user-mt2pu8kt7h 7 месяцев назад +3

    Mbna kawa vizuri tena

  • @bahatimalundi3593
    @bahatimalundi3593 7 месяцев назад +1

    Bado hujajibu swali

  • @ImmaThelonewolf-bk2cx
    @ImmaThelonewolf-bk2cx 7 месяцев назад +2

    Huyu ku

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 7 месяцев назад +1

    mbona urikua morogoro huyu jaama muongo sana

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 7 месяцев назад

    We kama ulirogwa bimkubwa kakuponyesha na mganga yesu sawa ila umeipotezea

  • @samsonsanga4368
    @samsonsanga4368 7 месяцев назад

    Huyu jamaa kaongea Mambo ya msingi san

  • @johannmaloda6027
    @johannmaloda6027 7 месяцев назад

    Mnampaga hela lakini mana interview hizi zinaingiza hela nyingi sana RUclips

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 7 месяцев назад +1

    Itabidi ufungue kanisa sasa

  • @user-iv1df1gb4e
    @user-iv1df1gb4e 7 месяцев назад

    12:56 12:58

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 7 месяцев назад +2

    Bwege wewe huyo mama kakukosha kwa lipi

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 7 месяцев назад

    ndio maana diamond anavuta unga

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 7 месяцев назад +5

    Ugonjwa anaomwa Dudubaya unaitwa Muscles Disorder, ambao mara nyingi husababishwa na sumu zilizozalishwa na alcohol, Tiba yake hata asingetumia dawa, angeendeleea kupata muda wa kupumzika bila kutumia kilevi chochote angepata relief. Lakini anatakiwa abadili mfumo wa maisha aachane kabisa na pombe, hasa pombe Kali. Aachane kabisa na vileo vya Aina yoyote alarm imeshalia

    • @hamismfungo5190
      @hamismfungo5190 7 месяцев назад

      True said bro.

    • @user-ts6fh4si3m
      @user-ts6fh4si3m 7 месяцев назад +1

      Amesema vipimo vyote alipima,usijifanye unajuwa Sanaa kuliko madoctar waliompima, kenge maji wewe, mwakatobe,ujuwaji tuu hakuna lolote shenzi wewe pumbu ya beberu.

    • @njiaya6833
      @njiaya6833 7 месяцев назад +2

      lengo lako ni kupinga juu ya uweza wa yesu wewe ushindwe

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 7 месяцев назад

      ​@@user-ts6fh4si3msasa mpaka utukane? Unajua km kuna desorder hazionekai kwa hivyo vipimo alivyofanya,,dah kuna watu matusi tu, ndio maana huishi shida

  • @user-ij2lp1om6i
    @user-ij2lp1om6i 5 месяцев назад

    Ali ameanza interview akiwa dgo mpaka kakua mbaba

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 7 месяцев назад +2

    Dudu bayaa ushanza uchawa kwa Samia hahahahhahahah uchawa wa mziki umekushinda saivi unataka shobo kwa mama

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 7 месяцев назад

    Konki dizaini kama Nina muelewa hivi na kitu ambacho anakiongelea.

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 7 месяцев назад +1

    Konki Master, umekuwa Hafidhi konkoni😅😅😅😅

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 7 месяцев назад +13

    Huyu brother anahitaji treatment mental health issues

    • @michaelaloyce2072
      @michaelaloyce2072 7 месяцев назад

      Aache kunywa pombe kwanza kabla ya matibabu

    • @mtani_tv
      @mtani_tv 7 месяцев назад +3

      Nyie ndo mazezeta empty box kichwani mnaitaji mental health treatment mtu anaongea reality mshazoea uchawa tatz hamtaki ukwel

    • @charlesgideon4725
      @charlesgideon4725 7 месяцев назад +2

      Are you expart on mental health?

    • @richardpembe606
      @richardpembe606 7 месяцев назад +1

      Dudu Baya anaongea point sana kwa mtu usie na ufahamu mkubwa na exposure huezi muelewa kabisa utabase kwenye ulevi wake na kusahau point zake

    • @kasimumughuna201
      @kasimumughuna201 7 месяцев назад +1

      Nahis umecomment bila kusikiliza anacho ongea

  • @lusetheshadow2821
    @lusetheshadow2821 7 месяцев назад

    Ameongea utumbo tu..... Eti kusiwe na uchaguzi?

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 7 месяцев назад

    aliyokuloga nikwisa washilawadu

  • @user-iv1df1gb4e
    @user-iv1df1gb4e 7 месяцев назад

    Ulitibiwa na dawa gani sasa

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 7 месяцев назад +3

    Hawa watu wa yesuyesu sio wa kuwaamini sana maana mda sio mrefu atakuambia anamiliki biashara

    • @josephvenus3259
      @josephvenus3259 7 месяцев назад +1

      Kwahiyo mtu wa YESU hatakiwi kumiliki biashara 😂😂😂😂😂

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 7 месяцев назад

      @@josephvenus3259 sio biashara tuu biashara ya kanisa

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 7 месяцев назад +2

    Pombe zimemaliza 😂😂😂 kachoka

    • @revocatuspaulo6716
      @revocatuspaulo6716 7 месяцев назад

      😅hapo anatupiga jamaa pombe kali zimemchapa

  • @AishaSalaga-rv7sb
    @AishaSalaga-rv7sb 7 месяцев назад

    Sema chooni sio washroom,choo chako cha kuchuchumaa sa unaotaje washroom?

    • @JumaJuma-fu7ji
      @JumaJuma-fu7ji 7 месяцев назад

      Kwani kuna mtu anaekwenda aja kubwa bila yakuchuchuma

  • @baoussenesombair8007
    @baoussenesombair8007 7 месяцев назад

    Uyu atikombolê mwaknho

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 7 месяцев назад

    Unaongea vitu vyamungu mpka nasisimka mwili

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 7 месяцев назад

    muongo huyu😂😂😂,,, Teja hili

  • @alphalungele-479
    @alphalungele-479 7 месяцев назад

    Alikuwaga wapi izi siku?

    • @jamesamanimasalu503
      @jamesamanimasalu503 7 месяцев назад

      Alikuw kisesa kwao ..alikuw anaumwa xn jamaa serious tulikuwa tunamchek kitaa hp

  • @user-yn7mt4mh8n
    @user-yn7mt4mh8n 7 месяцев назад +1

    akuna kinacho kinacho shindikana kwa YESU

  • @user-to1it9hk2z
    @user-to1it9hk2z 7 месяцев назад

    24/7 wakt umejisifia unakunywa pombe kali

  • @georgelusana2346
    @georgelusana2346 7 месяцев назад +1

    Mhhhhhh katoka kisesa lini huyu

    • @justinemangari2890
      @justinemangari2890 7 месяцев назад

      Huyu jamaa huwa akikaa pale kisesa ni pombe na fujo tu, siku Moja nilimkuta hapo krbu na ofisi ya mwl juma,duuuu alikuwa chipombe sana

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 7 месяцев назад +2

    Mbuuzi uyoo alikiba akuloge ili iweje😊

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 7 месяцев назад

    😅😅😅😅

  • @StephanoCharles-nq8tf
    @StephanoCharles-nq8tf 7 месяцев назад +1

    Umejiloga mwnyewe

  • @edwardimaana8827
    @edwardimaana8827 7 месяцев назад +7

    U r ending to trenches.
    Kazi yako is just to portray Harmonize in bad light.
    To hell with petty analysis.

    • @m___ck799
      @m___ck799 7 месяцев назад

      He is an a**😏

  • @visusajonas4354
    @visusajonas4354 7 месяцев назад

    Part2

  • @gabrielayubu3417
    @gabrielayubu3417 7 месяцев назад +1

    Muuongo huyu alikuwa geita analewa konyagi tyu