VIDEO RAIS SAMIA ALIVYOMPELEKA MWENYEJI WAKE PETER NYUMBANI KWAO KIZIMKAZI NA SHULE ALIYOSOMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии •

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 года назад +5

    Rais Ni kazi au Ni cheo.....
    Rais Ni taaluma au tuzo....
    Rais Ni elimu au Ni baraka....
    Inatafakurisha..... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @johnchiti9752
    @johnchiti9752 2 года назад +1

    Mm nimepeleke tukaongee kimalila changu siyo kuleta huyo chizi hata kula hakutoa

  • @robertmaginga6132
    @robertmaginga6132 2 года назад +1

    Hongera Rais, wenye ufahamu ndo wataelewa mtu kuonesha maisha halisi aliyoishi ni fahari sana kwani wanataka uonyeshe Nini, wao waoneshe Yao, hayo ni yako hongera mama.

  • @simoncharles683
    @simoncharles683 2 года назад

    Waoooooh president kazi nzuri

  • @africaonechannel1289
    @africaonechannel1289 2 года назад +2

    It is Very hard TEACHING HATE Than LOVE; As LOVE IS VERY Natural!.

  • @youngafricans7361
    @youngafricans7361 2 года назад +2

    Hadi hasira

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 года назад +1

    Awajawafundishwa kusalimia kwa kusimama duhh aibu sana jamani

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 года назад

      Saana wametia aibu mnoo🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @safinatourssafaris2519
    @safinatourssafaris2519 2 года назад

    hapo mama umejikanyaga ulimwengu wa Kislam haukubali urais

  • @alymansury
    @alymansury 2 года назад +4

    Tunatakiwa tuwasomeshe watoto ili na Sisi tujekufanya hayaa sio tuyaone kwa wenzetu tu

  • @elisharuhonkonya
    @elisharuhonkonya 2 года назад +2

    Mnamharibia Millard kwa kutokuwa weledi wa lugha katika Tittle.Eti MWENYEJI badala MGENI WAKE

  • @tatendamwari7890
    @tatendamwari7890 2 года назад +1

    Uko Vizuri Mama.

  • @salimshamis7263
    @salimshamis7263 2 года назад +2

    Wee Peter weee..haaya

    • @MunaMuna-tn3go
      @MunaMuna-tn3go 2 года назад

      Yuko na mama mbona unawasiwasi Salim

  • @mwamuziwaamani7608
    @mwamuziwaamani7608 2 года назад

    2.32... ah Huyu milard huyu ..

  • @josephmugala71
    @josephmugala71 2 года назад

    Bia tamuuu bia bia bia tamuuu

  • @abdulrahimomar_09
    @abdulrahimomar_09 2 года назад

    nice one❤

  • @jhfgbn87hshswj17
    @jhfgbn87hshswj17 2 года назад

    Safi mama

  • @siribrahonlinetv4489
    @siribrahonlinetv4489 2 года назад +1

    Watanzania tungeuia cd. Za royor tour

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 2 года назад

    Sasa hayo mazingira yarekebishwe bila kuharibu kumbukumbu kwani kutakuwa na wageni wengi wa kualikwa na wakujipeleka wenyewe. Hata tukipita tutaonyeshana kwa mbali.

  • @mockruoghnudree4864
    @mockruoghnudree4864 2 года назад +2

    Ukraine vita inaisha lini bongo maisha yawe bomba 🌞🌞🌞🇮🇨🇵🇾

  • @Cheffhood
    @Cheffhood 2 года назад

    Who's ready to answer my question🤣

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 года назад

    🔥🔥

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 года назад

    Mbn tutakoma sisi

  • @vickymgonja3007
    @vickymgonja3007 2 года назад

    Hongea mama kwa usanii sasa hii nikwaajili ya wa Tanzanian au nibiashara zako na wazungu ? Mbona inaongea kingereza wakati sisi tunaogea kiswahi? Hapo ni koi mzungu aelewe biashara y'ako ? Au mtazania.(. )?

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 2 года назад

    Mwenyeji wake au Mgeni wake ?

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 года назад +1

    Wasting resources big time/uzinduzi - what a joke?

    • @froma3732
      @froma3732 2 года назад

      Tatizo la kuelewa ndio linawasumbua watu

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 года назад +1

    She is lying, wot school taught rights? Big bullshit. It possible she will be president for life, wabongo akili zetu sawa na mbu

  • @ngeymo7311
    @ngeymo7311 2 года назад +4

    Kwani Hakuna Mambo mengine ya muhimu zaidi.. Halafu huyo Peter Mbona anatamba Sana TZ?

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 года назад

      Ujinga Umekutawala Sna Ingekuwa Si Ya Umuhimu Usinge yaona hpa

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 года назад

      @@sanoureyaliwadoakaroyo1696 unajua najiuliza magufuri alivyoanzisha sijui mbuga sijui ni inaitwaje kule chato mbona sikuzisikia hizi kelele kwani Ina faida gani kubwa kwa Tanzania kushida hiki alichokifanya Samia jamani

    • @emmanuelsimon545
      @emmanuelsimon545 2 года назад +1

      @@hadijamandanje6189 ile mbuga haikuanzishwa ili kuwepo ila wanyama baadhi walikua wamepungu alafu badala kujibu hoja ww unaleta vioja kwel unajielewa ww au corona ingeingia lipindi hiki si angetufungia nje ya nchi mtu mweusi husaminika wakati wa raha tena kidogo wakati wa taabu wanakuona kama mavi ndomana corona ulaya weusi walitaabika na hata sasa Vita hao filam wako kibiashara tu

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 года назад

      @@emmanuelsimon545 hoja gani nitakyojibu au wewe umrkurupuka na kisirani chako kwa Samia kwa hiyo Hilo aliloliendeleza magufuri ndo lilikuwa la maana kuliko hili alilolifanya Samia ndo maana nikamchagia kumuona mjinga alieona si la maana we mtafute au kumjubu sivyo andika comment yako si lazima ujibu usichokipenda

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 года назад

      @@hadijamandanje6189 Achana nao hao Ujinga ndio Umewatawala Wengi waoo Yni Bdo wana Mfumo Dume Kuona Kwamba Mwanamke Awez Kuongoza. Yni Hiii Nchii Inawajinga wengi Yni Mama Wa Watu Hana Zuli Ata Moja kila Atakacho Fanya kwao ni Kibaya Wanachosha Sna Ssa Mama wa Watu Afanye Lipi liwe La Kumsifia Ama mridhike. YULE Yesu. Wenu wa Chato Alitumia Mabilioni Ya Pesa Za Watz kujenga Uwanja wa ndege Chato Je uwanja uwoo Unaingiza pato Lolote kwa Serkali Ama mnajisahaulisha

  • @hamisiliton5893
    @hamisiliton5893 2 года назад +1

    Mume mzungu hkuna lolote

  • @musason1680
    @musason1680 2 года назад +3

    Hamna kitu hapa Bora ushoroba ya jokate mwegero hii n piter t anatamba nchi imekauka utadhani tna jangwa sa msikiti nao n kt Cha ktuonyesha Bora hata mngewaonyesha Miradi mikubwa inayoendelea vingereza t vmepamba moto utadhan hatuna lugha yetu

    • @nassirmohamed8492
      @nassirmohamed8492 2 года назад

      Hujui ukubwa wa mskiti

    • @nassirmohamed8492
      @nassirmohamed8492 2 года назад

      Ndio ukaongea mradi na mskiti kikubwa ni gani huna akili

    • @musason1680
      @musason1680 2 года назад +1

      @@nassirmohamed8492 mpuuzi ww ndo huna akili Kwan kusema msiki aliosal una umuhim gan

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 2 года назад +1

      @@musason1680 hahahahaha Yani hapoo Inakuwa kama Historia Yake .siyo kama Kuwa Katangaza tour kupitia kupitia Ikokipengele 😀😀😀😀😀

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 2 года назад +1

      Nahisii Ajakufaham umemaanisha Nini??

  • @k.d.m83
    @k.d.m83 2 года назад

    Hapo nani ndo mwenyeji wa mwenzake?

  • @afrahoman2844
    @afrahoman2844 2 года назад

    OIvyoooo

  • @Frazztraveller
    @Frazztraveller 2 года назад +1

    Too much islam

    • @Purrolito
      @Purrolito 2 года назад

      What are you talking about….!!

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 2 года назад

    7

  • @hassanmatata9335
    @hassanmatata9335 2 года назад

    Mwamba

  • @smfkingdom9944
    @smfkingdom9944 2 года назад

    Kamti pombe💿ruclips.net/video/EoUNzHZowFY/видео.html