Komando Wa Yesu - Ndio Mimi (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 217

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  6 месяцев назад +34

    KWA WALE MATAJIRI WA KESHO WENYE IMANI KUBWA NAAMINI WANAELEWA NINI NAMAANISHA 😆😆.

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  6 месяцев назад +34

    Hello Rafiki zangu. tukutane siku ya kesho saa 10 jioni. Naamini utabarikiwa sana

  • @JescahSimiyu-rm5qp
    @JescahSimiyu-rm5qp 6 месяцев назад +19

    Is there any kenyan here,show by liking.ndio mimi yule tajiri

  • @JosephMtambo-j4i
    @JosephMtambo-j4i 3 месяца назад +2

    Tunabarikiwa sana huku marawi

  • @ruthodomer2737
    @ruthodomer2737 4 месяца назад +3

    Kazi nzuri kaka, representing Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kewashone3437
    @kewashone3437 6 месяцев назад +11

    Sijaona wenzangu wa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @thewordofgod7309
    @thewordofgod7309 6 месяцев назад +7

    Iam here from kenya 🇰🇪, more love to komando ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @gidionsilayo5920
    @gidionsilayo5920 5 месяцев назад +2

    Barikiwa sana

  • @JudithSaumu
    @JudithSaumu 6 месяцев назад +6

    Eee komando WA yesu be blessed 😅😅 na nilikua nataka unitungie yangu Mimi Judith saumu kutoka Kenya but Kwa sasa Niko Saudi Arabia kikazi

  • @MeshackSadock
    @MeshackSadock 5 месяцев назад +2

    Hakika nyimbo mimi binafsi imenipa tumain kuona yule Tajili ndio mimi yule asante sana commando wayesu

  • @PerisChari
    @PerisChari 6 месяцев назад +4

    Naamini mimi ni mbarikiwa ni tajiri kwa jina la Yesu Kristo amen 🙏...umenibariki na wewe ubarikiwe maradufu Komando wa Yesu

  • @ibrahimuimaniofficial
    @ibrahimuimaniofficial 6 месяцев назад +3

    🎉🎉🎉huuuu! Hilo song brother liko poa sana God bless you hujawai kukosea ❤❤❤

  • @BarakaptzPtzprad-qx9ip
    @BarakaptzPtzprad-qx9ip 5 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU love so much 😂🎉🎉🎉❤❤

  • @davisonyaa
    @davisonyaa 6 месяцев назад +3

    Kibali cha Bwana kiwe nawe daima na kiendelee kunena mema maishani mwako. ubarikiwe sana

  • @JaneLaizer-tb6zl
    @JaneLaizer-tb6zl 2 месяца назад

    Mh huu wmbo nimeuskia Sana ila skujua ni WA komando,be blessed bro

  • @silvyakulinyi7150
    @silvyakulinyi7150 5 месяцев назад +1

    Wow am blessed with this song.This is my testimony song this year.powerful than ever.Listening from Kenya

  • @chrismdawi3524
    @chrismdawi3524 2 месяца назад

    Atupoi ndo mm yule namuna bro wangu dav kwa mbalii😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @kaisha617
    @kaisha617 5 месяцев назад +1

    Ndio Mimi yule tajiri ala poverty is not my portion I can't serve God and remain abegger

  • @SamsonZephania-e4u
    @SamsonZephania-e4u 5 месяцев назад +1

    Kati ya waimbaji ninao wafatilia ni wewe kaka kazi nzuli sanaaa🎉

  • @nurusulley3276
    @nurusulley3276 2 месяца назад +1

    Top song 🎵 It is the best and perfect song ❤❤❤

  • @Sarambikiofficial
    @Sarambikiofficial 6 месяцев назад +2

    Kama uliskia tajiri, basi yule tajiri ndio mimi yule🙏🙏

  • @yucabethdavis4072
    @yucabethdavis4072 6 месяцев назад

    🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 where are the likes of Komondo surely. Bila Yesu sisi bure. Komando, you’ve blessed me with this powerful message in your song. Am lifting up the Name of the Most High Heavenly Father for His everlasting promises. When He blesses His own, no one will change his plans. Likes 👍 for komndo from USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸❤❤❤❤❤❤

  • @cyndy9565
    @cyndy9565 6 месяцев назад +2

    Powerful 😢naona mimi ndo huyo tajiri sasa be blessed 🙏

  • @nyarugengeofficial3558
    @nyarugengeofficial3558 6 месяцев назад +1

    Sisi hapa Kigali Rwanda tunakupenda mtumishi wa Mungu balikiwa sana kwa wimbo mzuri tumefalijika sana

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 5 месяцев назад +1

    MIMI NI TAJILI WA KESHO NA NINASHUHUDIWA SITAKUWA NILIVYO LEO UBARIKIWE KWA UJUMBE HUU KOMANDO WA YESU

  • @MoosaMd-h6b
    @MoosaMd-h6b 6 месяцев назад +2

    You yule wa viwango vya baraka ndio Mimi sasa

  • @Liz-sc1sb
    @Liz-sc1sb 4 месяца назад

    "Mazingira hayafanani na nisemayo!"👍🇺🇸🇹🇿

  • @Lizpatricke
    @Lizpatricke 4 месяца назад

    Sauti nayo ulibarikiwa kaka... Endelea na kazi nzuri ya kumtukuza mungu

  • @rehemamatembo
    @rehemamatembo 6 месяцев назад +2

    Hongera sana kaka angu hakika ndio Mimi yule wimbo mtamu sana

  • @beatricenyiro5913
    @beatricenyiro5913 5 месяцев назад

    I like the song it's powerful be blessed man of God 🇺🇸

  • @stewartmwakasege
    @stewartmwakasege 6 месяцев назад +1

    Ameen Mtumishi wimbo mzuri

  • @MwanaidiSalum-db7xg
    @MwanaidiSalum-db7xg 6 месяцев назад +2

    Nyimbo zako zinanibariki sana mungu akubark❤

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 6 месяцев назад +2

    Ndio Mimi yule❤🇰🇪 powerful song

  • @kassebo
    @kassebo Месяц назад +1

    Ndiyo mimi yuleeeee!

  • @BlandineFaila
    @BlandineFaila 6 месяцев назад +1

    Amina ❤❤ ubarikiwe sana

  • @MaimunaPonera
    @MaimunaPonera 5 месяцев назад

    uko vizuri kupita vizuri komando safi

  • @nurusulley3276
    @nurusulley3276 3 месяца назад +1

    Mungu akubariki by Gisele

  • @anisetbutati
    @anisetbutati 6 месяцев назад

    Hiii ni moto kabisa 🔥🔥🔥

  • @PendaelHagaiMRPH
    @PendaelHagaiMRPH 6 месяцев назад

    Wimbo huu umenigusa sana umenijengea imani juu ya kesho njema ijayo ❤❤🎉🎉

  • @ShekkohGichuhi-524
    @ShekkohGichuhi-524 4 месяца назад

    Wooow, that's a nice one... Love it

  • @HondwaAndRachel
    @HondwaAndRachel 6 месяцев назад

    Hongera sana baba kazi nzuri sana, Ndo mimi yule, Ujakosea baba🙏🙏

  • @adelgotingingo8396
    @adelgotingingo8396 5 месяцев назад

    Paaa juuu ewe mwana wa bwana mataifa yazidikukujua

  • @etonyemyaesau1433
    @etonyemyaesau1433 6 месяцев назад

    Wahoooo Imani thabiti kakahangu nitakuwa Tajiri wakutupa❤❤❤

  • @PendaelHagaiMRPH
    @PendaelHagaiMRPH 6 месяцев назад

    Komando wa Yesu Mungu akupeleke viwango zaidi ❤❤

  • @uiptv365
    @uiptv365 6 месяцев назад

    Ndio Mimi Yule aliye barikiwa 🙌🏽🙌🏽❤️💯

  • @lucyvibesgermany
    @lucyvibesgermany 6 месяцев назад +3

    Ndio yule mimi 🎉

  • @justerkamala3933
    @justerkamala3933 6 месяцев назад

    Amen..sitabaki km nilivyo ndio Mimi yuleeee🎉🎉🎉

  • @MUNYOVICORNELIUS
    @MUNYOVICORNELIUS 5 месяцев назад

    Wooooooowow amazing komando❤❤❤❤

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 6 месяцев назад

    Wow! Kazi nzuri sana Mtumishi Bwana Yesu akubariki sana 🙏🏻

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 6 месяцев назад

    Yule muheshimiwa, bosi si ndo huyo mmi haaa congrulatulation

  • @kewashone3437
    @kewashone3437 6 месяцев назад +2

    Nilitamani niwe wa kwanza kulik

  • @kewashone3437
    @kewashone3437 6 месяцев назад +1

    Huo mda tutakuwa macho❤❤

  • @sarahyamungu3115
    @sarahyamungu3115 6 месяцев назад

    Ameeeeeeeni kubwa nimejion Mimi Sitobaki kama nilivyo

  • @calebnyamburi4212
    @calebnyamburi4212 6 месяцев назад

    Mmmh! Good song full of message.

  • @gidionsilayo5920
    @gidionsilayo5920 5 месяцев назад

    Nyimbo nzur sana shemeji

  • @peterkanji3830
    @peterkanji3830 Месяц назад

    Lakini ndani nashuhudiwa sitabaki nilivyo🙏🙏🙏haaha\aa😀😀😀😁😁that verse

  • @christinanjombi1830
    @christinanjombi1830 6 месяцев назад

    Meseji nzuri sana. Big up!

  • @erickkaberwa1
    @erickkaberwa1 6 месяцев назад

    Ndio Mimi, usitazame nilivyo

  • @MuwezaNathan
    @MuwezaNathan 6 месяцев назад +1

    Lik zenu wacongomani wenzangu kwa huyu mtumishi nyimbo nzuri

  • @neynicenkembo9513
    @neynicenkembo9513 5 месяцев назад

    Namim nimo kati ya ndo mimi yule👉👉

  • @jeremiahbulenge1856
    @jeremiahbulenge1856 6 месяцев назад

    Barikiwa sana kamanda ndiyo Mimi tajiri

  • @lumbulumbumulenda8496
    @lumbulumbumulenda8496 6 месяцев назад

    Very perfect for the fantastic song, put it up

  • @Lucy-g2v1k
    @Lucy-g2v1k 6 месяцев назад

    Wow napenda song yako 💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @byaombeyussufu5740
    @byaombeyussufu5740 6 месяцев назад

    Mwenyezi Mungu akuinuwe zahidi na zahidi ❤❤❤

  • @ananialijahe9957
    @ananialijahe9957 6 месяцев назад

    Fire 🔥🔥🔥🔥🔥 nilikuwa bado nainjoy

  • @CatherineKwamboka-fn4sj
    @CatherineKwamboka-fn4sj 6 месяцев назад

    Amazing song brother may God be blessed 🙏🙏🙏

  • @godblessakembe3913
    @godblessakembe3913 6 месяцев назад

    Sijachelewa bado ndio mimi yule najiona

  • @KewaAsukulu
    @KewaAsukulu 6 месяцев назад +1

    Sitobaki Nilivyo Kweli Kabisa 😥🙏🙏

  • @hondwamathias
    @hondwamathias 6 месяцев назад

    Hongera sana mkuu kazi nzuri sana baba👏👏👏 Ujawai kosea mkuu

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  6 месяцев назад

      Nashukuru sana ndugu yangu mimi 😆😆😆🙏🙏🙏

  • @djroja447
    @djroja447 6 месяцев назад

    Good music and touching vibez❤❤❤

  • @janestar7375
    @janestar7375 4 месяца назад

    Amina komando wa yesu ubarikiwe kwa wimbo mzuri wa kumtukuza mungu

  • @danmogoremusic24
    @danmogoremusic24 6 месяцев назад

    Ndo Mimi hapa nice jam bro🔥🔥

  • @PeterkenyaOfficial
    @PeterkenyaOfficial 5 месяцев назад

    Video Concept 🔥🔥🔥🔥😂
    Kazi Safi Kaka, From +254 I love your ministry 🎉

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 4 месяца назад

    Penda sana hii Ngoma 😂😂😂 ndio Mimi yule

  • @JailosuwezoDavid
    @JailosuwezoDavid 5 месяцев назад

    Barikiwasana ❤❤

  • @adophine1063
    @adophine1063 2 месяца назад

    I love your beautiful song.

  • @AmakamlondaniKabiona
    @AmakamlondaniKabiona 3 месяца назад

    Amina kwakutulisha neno

  • @shadrackosabil6354
    @shadrackosabil6354 6 месяцев назад

    Nzuri hii❤❤🎉

  • @davidtumaini5157
    @davidtumaini5157 6 месяцев назад

    Amena, Mungu akubariki sana kaka

  • @everlynmuli330
    @everlynmuli330 3 месяца назад

    Nashukuru Mungu❤

  • @ShabaniMwilu
    @ShabaniMwilu 6 месяцев назад +1

    Well done my brother 🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @Ravyboy6725
    @Ravyboy6725 6 месяцев назад +1

    Nice song brother

  • @keziahwanja3939
    @keziahwanja3939 6 месяцев назад

    Lots of love from Kenya.❤

  • @FloShiz
    @FloShiz 6 месяцев назад

    AmenAmen barikiwa sana

  • @thepowerofgorgiveness
    @thepowerofgorgiveness 6 месяцев назад +1

    Nyimbo zako zanibarika sana kaka

  • @JohnNditi-jg2me
    @JohnNditi-jg2me 6 месяцев назад +1

    Good song🙏🎧

  • @mwakisukuli2124
    @mwakisukuli2124 6 месяцев назад

    Hii imeenda na imekaa kiroho sana

  • @esthermbitheke
    @esthermbitheke 6 месяцев назад

    Sitobaki nilivyo. AMINA

  • @florenceokullo4037
    @florenceokullo4037 5 месяцев назад

    Amina amina amina mchungaji

  • @CarolyneKambi-ev5ov
    @CarolyneKambi-ev5ov 6 месяцев назад +1

    Powerful song🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤

  • @imatisatv9239
    @imatisatv9239 6 месяцев назад

    Nabarikiwa sana nikisikiliza nyimbo zako

  • @JanetMachuma
    @JanetMachuma 5 месяцев назад

    Waliobarikiwa katiyao mimi niko dani

  • @jacklinecharles2669
    @jacklinecharles2669 6 месяцев назад

    My conviction each and every passing day,,,

  • @kizaebangula5365
    @kizaebangula5365 6 месяцев назад

    Kitu kizuri kweli

  • @ev.vincentomusa1241
    @ev.vincentomusa1241 6 месяцев назад

    My brother from another mother I salute you bro kazi safi I know tutapafanya collabo one day (yule tajiri n Mimi)

  • @B.M.JMusic-pf1dn
    @B.M.JMusic-pf1dn 6 месяцев назад +1

    Tupo on kwajili yako kaka yangu

  • @FatumaHaji-k5j
    @FatumaHaji-k5j 5 месяцев назад

    Amina 🙏

  • @MultigracedWoman
    @MultigracedWoman 6 месяцев назад

    Commando am your forever fun ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @FistonIbrahim-y7r
    @FistonIbrahim-y7r 6 месяцев назад

    Ongereni kwa kazi

  • @nurusulley3276
    @nurusulley3276 3 месяца назад +1

    Ameen by Getrude