Komando Wa Yesu - Amen (Official Video) Skiza*811*381# Booking +255679772248

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 451

  • @brianjohthebleesedone3375
    @brianjohthebleesedone3375 4 месяца назад +71

    Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 let's show love 💕 to our brother @komando wa yes 💕💕💕💗💐

  • @gorretbuteme7893
    @gorretbuteme7893 4 месяца назад +21

    Am 30 years today never been on the hospital bed my whole life❤Amen lord🙏🙏

  • @Deborahdepsy-qh4rj
    @Deborahdepsy-qh4rj 4 месяца назад +18

    Wow wow very sweet hii lazima itaheat 1m and above imenibariki sana 🎉🎉🎉Wacha niwache hii comment hapa nikihome ntashukuru na huu wimbo team Haman 2024 amefanya mungu nineema tu❤❤❤ 🎉🎉🎉😂🎉😂

  • @AlexanderLuka-fl5qp
    @AlexanderLuka-fl5qp 4 месяца назад +16

    Wimbo Bora ulitoka wakati sahihi be blessed man of God 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sedekiakiza
    @sedekiakiza 4 месяца назад +3

    Kazi kubwa sana hii mtumishi wa MUNGU

  • @jonasikigodi7345
    @jonasikigodi7345 4 месяца назад +9

    Ubarikiwe kwa kutuletea wimbo wa kufungia mwaka 2024 🎉
    Ni bonge moja la wimbo wa ushuhuda na mimi naungana na wewe Kumshukuru Mungu kwa yote aliyofanya kwangu AMENI

  • @AngelMoses-pd3bo
    @AngelMoses-pd3bo 4 месяца назад +31

    Jamani wimbo mtam balaaaa❤❤❤❤ naomba like kama umeludia zaidi ya mala moja🎉🎉

  • @maliatabuerenesti6681
    @maliatabuerenesti6681 4 месяца назад +4

    Ulakozee chanee mwenee wachuu wikigomaa ulakozee chanee inyimboo ilinezaaaa❤❤🎉🎉

  • @Mafikiri-x9p
    @Mafikiri-x9p 4 месяца назад +3

    Amen amen. Mungu wetu ni mwaminifu. Neeama yake ni kubwa kwangu. Amen amen

  • @masilajohn677
    @masilajohn677 4 месяца назад +2

    wonderful song. Nashukuru Mungu kwa ile kidogo amenibariki nayo. Amen🙏🙏🙏

  • @PendaelHagaiMRPH
    @PendaelHagaiMRPH 4 месяца назад +13

    Naungoja kwa Ham sana Brother Komando wa Yesu watanzania like apa

  • @joselynempawenimana6019
    @joselynempawenimana6019 4 месяца назад +7

    Waaaaooo nyimbo nzuri mutumshi hap 🇧🇮mini nakupna snaa hi song 🙏🙏

  • @janemwita2056
    @janemwita2056 18 дней назад +2

    Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @anisethsajent6373
    @anisethsajent6373 3 месяца назад +2

    Wimbo mzurii sana barikiwa kaka MUNGU aendelee kukupa utulivu

  • @bettyzent
    @bettyzent 2 месяца назад +1

    Kweli tumshukuru kwa chcochote anachotubariki nacho..KOMANDO wimbo mzuri sana

  • @bonsondavid5756
    @bonsondavid5756 3 месяца назад +2

    Hits song nyingine ukitoa mambo yamebadilika ft madam Martha, Kazi yako njeimaa ❤🎉

  • @CosmasMaweu-vl4qk
    @CosmasMaweu-vl4qk 4 месяца назад +6

    Amen 🙏 Nashukuru amefanya kweli hii

  • @rosyjerop4205
    @rosyjerop4205 3 месяца назад +1

    Wimbo Bora Sana ❤zaidi ya tote twashukuru mungu,keep up 🎉🎉🎉🎉hongera Sana keep the spirit of worship on higher ,may Almighty bless you more n more

  • @davisonyaa
    @davisonyaa 3 месяца назад +1

    Huyu Mtumishi wa Mungu ako na Kibali, na amekua akitoa nyimbo zenye baraka tele.....Mungu azidi kukuinua na kutubariki kwa nyimbo nzuri🙌🙏

  • @gladysmapenzi2089
    @gladysmapenzi2089 3 месяца назад +2

    Woow, wimbo mzuri sana. Barikiwa sana mtumishi mungu azidi kukuinua kiwango hadi kiwango

  • @wycliffekadweya401
    @wycliffekadweya401 4 месяца назад +6

    The gospel artist mistari za nyimbo utazielewa. Mungu Abarikiwe, anayemjua hatajuta

  • @fridayuda9577
    @fridayuda9577 3 месяца назад +2

    Akii akaa kawimbo kananibamba kumoyo, vile Mungu amenitendea ni kama ameniimbia Mimi🤗🤗🤗

  • @MercyKuria-g5f
    @MercyKuria-g5f 4 месяца назад +4

    Moto sana❤ love from kenya🇰🇪💞

    • @komandowayesu3642
      @komandowayesu3642  4 месяца назад

      @@MercyKuria-g5f 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏

  • @elizabethbethy7267
    @elizabethbethy7267 3 месяца назад +6

    All the way from TikTok 🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @DenisMathias-vj4ht
    @DenisMathias-vj4ht 4 месяца назад +3

    My brother good evening love you sana bonge la song Mungu akulinde kweli ni neema tumepitia mengi

  • @NgoshaNgosha-o3n
    @NgoshaNgosha-o3n 4 месяца назад +5

    Mtumishi wa MUNGU barikiwa Sana wimbo mzuri sanaa

  • @Barakajrnkwabi
    @Barakajrnkwabi 3 месяца назад +4

    Amen unanibariki sana mungu akutunze

  • @isaacyaang1985
    @isaacyaang1985 4 месяца назад +5

    We listen to your songs all the way in Ghana, west Africa. We don't understand the language but we enjoy the songs anyway😅. God bless you Sir ❤❤❤

  • @LorietMatilani-t8f
    @LorietMatilani-t8f 3 месяца назад +1

    Kweli amefanya Hadi mimi sikuwa na nyumba Sahi Niko kwangu am so happy

  • @amoskinyaba6114
    @amoskinyaba6114 4 месяца назад +2

    Hakika YESU ni mzur sana juu ya Maisha yetu

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 месяца назад +1

    Yaani nyimbo zako huwa zinanibariki sn zinagusa maisha yngu, hata mm Mungu amenibariki nyumba na magari

  • @HappynessJoshua-ru3mm
    @HappynessJoshua-ru3mm Месяц назад

    Huu wimbo wa kwangu jaman namshukuru Mungu amefanya kweli ,, naomba like hata mbili zinatosha

  • @charitymwendwa9535
    @charitymwendwa9535 3 месяца назад +1

    Amen amenifanyia kweli ❤❤❤ barikiwa sana from 🇰🇪 ❤❤

  • @MagrethDaudi
    @MagrethDaudi Месяц назад +1

    Mimi sizaidi ya wale wengine ni neema na kwayale niliyopitia nisingekuepo pengine ni neema na ninavyokuaga mnyonge nisingetoboa😭 bila wewe baba nisingetoboa 😭 Nashukuru yesu wangu 🙏 asante sana kwa huu wimbo mungu azidi kukuinua ktk huduma yako

  • @NaomNtabo
    @NaomNtabo 22 дня назад

    Toka nimujue mimi si wa kulialia ...Amen komando...love all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nkanenoel8357
    @nkanenoel8357 4 месяца назад +76

    Nimekuwa wa 401 embu bila wivu wekeni likes

  • @atuswegemposi1668
    @atuswegemposi1668 4 месяца назад +2

    Asante YESU hakika umefanya kweli🎉🎉

  • @wilkistermagaki9426
    @wilkistermagaki9426 Месяц назад +1

    What a beautiful song!!!! I have played it more than 5 times and still can't get enough of it. Barikiwa sana Komando🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MosesMlengera
    @MosesMlengera 3 месяца назад +1

    Hongera sana kwake, Bonge moja la truck! Ubarikiwe sana Mtumishi Komandoo wa YESU.

  • @moseabraham1551
    @moseabraham1551 4 месяца назад +2

    Amen amen 🙏, tujifunze kushukuru kwa vidogo tuna tunavyo barikiwa navyo maana wapo wengi wanangoja kupokea na bado hawajapata.wimbo mzuri kweli 🙌🙌🙌

  • @Gi2mbe
    @Gi2mbe 4 месяца назад +2

    Kama wimbo ni mzuri ni mzuri...... Iam eagerly waiting for it nibarikiwe

  • @MirriamNellie
    @MirriamNellie 4 месяца назад +2

    Naweza sema huu wimbo unaongelelea maisha yangu nashukuru mungu zaidi

  • @brianjohthebleesedone3375
    @brianjohthebleesedone3375 4 месяца назад +2

    Am waiting for it big up my brother ❤

  • @queenawiti2768
    @queenawiti2768 4 месяца назад +2

    Amen ... Amen ... Amen. Baraka ķaka

  • @kewashone3437
    @kewashone3437 4 месяца назад +8

    Wimbo mzuri sana 🔥🔥
    Kwa wale wa🇹🇿🇹🇿 nataka like zenu kama tumebarikiwa 🙏🏻🙏🏻
    AMEN🔥🔥

  • @emillygreatfavour3421
    @emillygreatfavour3421 4 месяца назад +2

    I am running out of patience...this is a banger....

  • @dorcasanyango5645
    @dorcasanyango5645 4 месяца назад +2

    Another banger 🎶💯 🔥🔥🔥🔥 much love ❤️❤️❤️

  • @b3falampendwa758
    @b3falampendwa758 4 месяца назад +3

    Honestly,The Lord Our GOD-Above All Has intervined into My life.
    He Has Truly Changed My Everything- It is by His Grace.He's an incomparable GOD... AMEN.

  • @Beny_Daniel
    @Beny_Daniel 4 месяца назад +11

    Si unaona kagari! Amen, mwanzoni sikuanako, Amen! Kasuti na tai, kale kanyumba kadogo dogo mwanzoni sikua nako, amen😂❤🎉

  • @PriscillaDamas-d7h
    @PriscillaDamas-d7h 12 дней назад +1

    Nimebarikiwa

  • @RuthMutua-b8h
    @RuthMutua-b8h 4 месяца назад +3

    Nashukuru🙏🙏amefanya kweli

  • @EdnaSteven-sr4tc
    @EdnaSteven-sr4tc 3 месяца назад +1

    Nashukuru Mungu amefanya kweli Mungu alibariki sana

  • @enockmasigwa
    @enockmasigwa 4 месяца назад +3

    Hii tunaanguka nayo kama wakenya🎉

  • @DedeboraIrakoze
    @DedeboraIrakoze 3 месяца назад +1

    Mungu akuinuwe zaidi sana kwenye udumu Yako. Wimbo uhu unanipa nguvu yakuonesha kwamba ni Mambo mengi ambayo Mungu atanipa ktk maisha yng. Kweli amefanya

  • @MoosaMd-h6b
    @MoosaMd-h6b 3 месяца назад +1

    Hata mie Mungu amefanya kweli.

  • @Amani-l7d
    @Amani-l7d 3 месяца назад +1

    Amefanya kweli kwangu mimi ahadi zake kwangu zimetimia kweli nimwaminifu AMEN❤❤❤

  • @emillygreatfavour3421
    @emillygreatfavour3421 4 месяца назад +1

    Finally ❤❤❤this is my song

  • @alexmwakikambako4743
    @alexmwakikambako4743 4 месяца назад +4

    Kaka WIMBO mzr sana mungu akuinue zaidi

  • @ubukombetv
    @ubukombetv 3 месяца назад +2

    woww nyimba nzuri sana

  • @chrismdawi3524
    @chrismdawi3524 4 месяца назад +1

    Hongela kaka kwa kazi nzuri🎉🎉🎉

  • @B.M.JMusic-pf1dn
    @B.M.JMusic-pf1dn 3 месяца назад +1

    Ubarikiwe sana kaka mana huu wimbo unanikosha sana

  • @annamsigwa-z4q
    @annamsigwa-z4q 4 месяца назад +3

    Kijana umeniimbia Mimi maana ndio mungu alivyo nitendea sikustahili kanipa Asante kwa kunifikishia shkrani zangu

  • @yvonnekhanili9583
    @yvonnekhanili9583 4 месяца назад +2

    Nashukuru amefanya kweli...kwangu Mimi amefanya kweli

  • @danielwere4052
    @danielwere4052 4 месяца назад +3

    Kazi nzuri kakangu 👏🏿👏🏿👏🏿🫶🏿

  • @OrooOffficial
    @OrooOffficial 2 месяца назад

    Tujalie Mungu Baba tupate kuishi sababu ya wengine❤❤❤

  • @nurusulley3276
    @nurusulley3276 2 месяца назад +1

    Wimbo ni mzuri sana kwa God' na Jesus ❤❤❤YA komando wa Yesu

  • @LUCYMOTATIRO-yh6qf
    @LUCYMOTATIRO-yh6qf 4 месяца назад +1

    Am here for waiting it😍😍

  • @nchilima_dcj
    @nchilima_dcj 4 месяца назад

    Tuko pamoja huku Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 you're stronger in this journey, never stop and never forget way's God. Amém nakupenda!

  • @RafikiKiza-b6u
    @RafikiKiza-b6u 3 месяца назад +2

    Aiseeeee❤❤❤ uwimbo umenibariki Sana bro na kukubali Sana nipo uku Mimi🇺🇲

  • @Kurutiange
    @Kurutiange 4 месяца назад +3

    Mungu asidi kuinuwa huduma hii

  • @NesterPeres
    @NesterPeres 3 месяца назад

    Kakaangu hongera sana mm Sikujua kama nakwenye kucheza humo🎉🎉🎉🎉

  • @claytonmmbehi
    @claytonmmbehi 4 месяца назад +1

    Lots of love from Kenya

  • @Migapogospel678
    @Migapogospel678 3 месяца назад

    Hallelujah mungu akuzidishie mibaraka ya kuishi🎉🎉❤

  • @Brotherkennedy3081
    @Brotherkennedy3081 4 месяца назад +4

    Amefanya kweli utukufu kwa mungu

  • @rozlysara-cy8qi
    @rozlysara-cy8qi 3 месяца назад

    mwimbo huu umenibariki vyakutosha shukrani sana brother 🙏🙏🙏Mungu akuzidishie 🙏Amen

  • @rozlysara-cy8qi
    @rozlysara-cy8qi 3 месяца назад +1

    amen 🙏 ubarikiwe sana

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642  4 месяца назад +44

    Hello ndugu zangu. nimewaletea tena wimbo huu mpya uitwao #AMEN naamini mtabarikia sana. Msikose kutazama na Mungu awabariki 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
    Booking +255679772248

    • @Alfredmusa24
      @Alfredmusa24 4 месяца назад +4

      Amen Papa 🎉

    • @Gi2mbe
      @Gi2mbe 4 месяца назад +4

      Iam eagerly waiting for it

    • @LauluneAmen
      @LauluneAmen 4 месяца назад +4

      Merci kommando. Tunakupenda congo

    • @NesterPeres
      @NesterPeres 3 месяца назад +1

      Nimependa mlivocheza barikiw mtumishi mm napenda sana kucheza

    • @Davinmoraa-k1k
      @Davinmoraa-k1k 2 месяца назад +1

      🙏🙏🙏🙏kali

  • @Cecilia-wm2qv
    @Cecilia-wm2qv 3 месяца назад +1

    Nashukuru amefanya kweli 😊😊😊❤

  • @neemadenno7297
    @neemadenno7297 4 месяца назад +1

    Finally is out I have been waiting nice song

  • @IssaOmary-w5y
    @IssaOmary-w5y 21 день назад

    Nabarikiwa sana na kazi zako mtumishi ni nzr kwa kweli mungu akusaidie usije acha kumtumikia yeye aliefanya kweli

  • @Reginah-oo8vn
    @Reginah-oo8vn 3 месяца назад +1

    Na shukuru mungu amefanya kweli amen 🙏

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 4 месяца назад +2

    I'm waiting for this 🔥🔥🔥🔥.... You are blessed Man of God 🙏

  • @hilahpeters2823
    @hilahpeters2823 4 месяца назад +1

    My favourite artist ❤
    Indeed God has done it

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 3 месяца назад

    Barikiwa sana ❤🎉 kua maneno matamu ya kuabudu.Sifa na shangwe kua Yesu❤

  • @lilianmutua103
    @lilianmutua103 4 месяца назад +1

    With every step I take, I’m reminded of God’s unwavering faithfulness. 🙏 Grateful for the progress, the challenges overcome, and the path ahead.

  • @RafikiKiza-b6u
    @RafikiKiza-b6u 3 месяца назад +1

    Kweli amefanya ❤❤❤❤❤

  • @Linet-h3g
    @Linet-h3g 3 месяца назад +1

    Hakika mungu hufanya matendo hayana mfano wa ya wanadamu watendao🙏🙏🙏

  • @victoirebatechi113
    @victoirebatechi113 3 месяца назад +2

    twende mpaka kuleeeee💪

  • @miriamlugwila564
    @miriamlugwila564 Месяц назад

    Mungu akubariki sana 🙏 wimbo umetoka kwa nyakati sahihi👏👏❤

  • @zipporahnyabuto7056
    @zipporahnyabuto7056 4 месяца назад +1

    Finally,be blessed 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Marsemo
    @Marsemo 3 месяца назад +1

    Hata kwangu amefanya kweli,amen😊

  • @NicholasKibet-ls4pb
    @NicholasKibet-ls4pb 3 месяца назад +1

    Pongezi mtumishi kwa wimbo mpya ya kubariki

  • @sarahndura6032
    @sarahndura6032 2 месяца назад

    Sina kagari but am health.....Amen.Amen amefanya kweli

  • @EvelynNgenda-po9vv
    @EvelynNgenda-po9vv 4 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤Sikuwa nacho amefanya kweri mungu mubarikiwe

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 3 месяца назад

    Nashukuru amefanya kweli ❤ kwa ici kidogo

  • @MercyKuria-g5f
    @MercyKuria-g5f 4 месяца назад +3

    Am eagerly waiting ❤

  • @sheilananjala7625
    @sheilananjala7625 4 месяца назад

    Kawimbo kazuuuriii jamennn...love it❤❤❤

  • @VeronicaAdhiambo-di9pq
    @VeronicaAdhiambo-di9pq Месяц назад

    All your songs inanifunza mambo mengi sana continue shinning komando wa Yesu

  • @fredykephacy5166
    @fredykephacy5166 4 месяца назад +2

    Daaaa upako sana🎉❤

  • @Esther-ds5fs
    @Esther-ds5fs 4 месяца назад +1

    Amen am from TikTok to here thanks bro ❤🙏🙏🙏🙏