Tafakuri ya Hali ya Siasa-Uchumi, Kuelekea Uchaguzi | Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 24

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 19 часов назад +5

    Mzee jenerali hongera sana kwa uzalendo wenu na mzee warioba mpo vizuri Mungu awalinde

  • @EdwardJonas-og9xi
    @EdwardJonas-og9xi 16 часов назад +4

    Wewe mzee wangu nakukubali sana wewe nimwanga wa tanzania

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay 19 часов назад +3

    Mzee Jenerali Ulimwengu ni Mmoja wa wazalendo ,waadilifu na wasemakweli nchi hii !

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 18 часов назад +1

    Remarkable brief on current affairs around Tanzania 🇹🇿

  • @frankSamwel-rg3lz
    @frankSamwel-rg3lz 18 часов назад

    Tulikumiss sana Mzalendo wa kweli. Welcome back. Tusubiri vipindi vyako siku usoni kwa hamu

  • @nkombejonathan2858
    @nkombejonathan2858 6 часов назад

    Wishing you all the best and good healthy

  • @hassanlubola414
    @hassanlubola414 10 часов назад +1

    Ni kiu yangu kukutana na watu mhimu kama hyu mzee pamoja na jaji Warioba

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 12 часов назад +1

    VIVA JENERALI ULIMWENGU....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU....UTAWALA WA CCM WA MIAKA HII 'WANAWAOGOPA' WAZALENDO KAMA NYINYI!

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 11 часов назад

    Nakubali generali

  • @charlesjishuli4355
    @charlesjishuli4355 11 часов назад

    Umetaja :-
    1) Kamali/vetting
    2) pool
    3) Bodabod
    4) ***Haujataja wapiga debe/wanaojiita mawakala wa mabasi/wanaosimamisha private cars, wakaomba cha juu kwa msafiri na mwenye car

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 20 часов назад

    Well said

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 2 часа назад

    >Lazima tukiri kwamba Waafrika kwa ujumla tumepitia madhila makubwa sana kutoka kwa Wakoloni Wazungu na wabia wao!
    >Lakini kama mateso hayo hayakutosha Waafrika bado tumeendelea kuteseka chini ya utawala wa Waafrika wenzetu..Wakoloni weusi!
    >Hivyo basi Umajumui wa Kiafrika (PanAfricanism) ni eneo muhimu sana la elimu ya siasa inayotuunganisha Waafrika ambao tulipaswa/tunapaswa kuifahamu ituwezeshe kujitambua kwanza ndipo tuweze kupigania uhuru wa kweli wa jamii yetu..Waafrika!
    >Ni kazi ngumu na nyeti sana anayoifanya shujaa Jenerali Ulimwengu!

  • @peterkisanga8089
    @peterkisanga8089 20 часов назад

    The brain is talking

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 18 часов назад +1

    serikali inajiita sikivu lakini tuna wazee wetu wa busara kama huyu anatoa ushauri mzuri lakini ndiyo hivyo

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 12 часов назад

    ●nyakati za mwisho za dunia ●¡¡¿¿

  • @songombingo108
    @songombingo108 19 часов назад

    Kama wakiamua kufanya chaguzi zote kwa mara moja itakuwa ngumu kuwa na muda wa kuwaengua wale wa upande wa pili.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 17 часов назад

      Hivi democracy ipo wapi sasa. Just lip service😢😢😢

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 20 часов назад +1

    😢😢KUBETI ILI UWE TAJIRI 😢SAD😢

  • @BoBo-kg1me
    @BoBo-kg1me 20 часов назад +1

    Hata ukisema hawatasikiliza

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 17 часов назад

      It is unprecedented. Kitu kipo wazi kabisa lakini hawakubali kama wamekosea. Ni uwongouwongo tu

  • @michaelhaule2864
    @michaelhaule2864 19 часов назад

    Unatupa mawazo mazuri na kwa mambo muhimu. Wanaosimamia wanapenda?

  • @WilliamKileta
    @WilliamKileta 20 часов назад

    Nilikuwa najiuliza sana yupo wapi generali ulimwengu mbona Kuna mengi na yupo kimya?, nashukuru umerudi napenda kukusiliza ni muwazi na huna woga wa kusema ukweli wewe ni hazina Kwa taifa

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 19 часов назад

    Jeneral ulimwengu kati ya wazee wachache wenye akili kwenye nchi hii,lakini hasikilizwi inasikitisha sana

    • @asukilekajuni526
      @asukilekajuni526 17 часов назад

      Good to have you back and let us pass on the baton to a new generation of youth leadership with inetgrity and God fearing