Waalaykum Salam. Maashallah jazakallahu kheyri. Tunamuomba ALLAH subhanahu wat'ala akupe akuhifadhi, na akupe afya njema na nguvu usikate tamaa katika ulinganiaji wako. Allah atujaalie mwisho mwema na atukutanishe peponi kwa sote aamin.
Ndacha mungu azidi kuwafahamisha haki duniani ili siku ile usije hukumiwa kwa kutowambia wailamu haki na wawe wakristo ,,,the spirit of philip apostle be with you and baptise many as you can
As salaam Alaykum wa rahmatullahi wa barakatuh, Allaah azidi kukupa afya uzidi kumshirikisha maisha marefu uzidi kuitangaza dini ya Allah dini ya hakki
2 yohana 1:7 Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani wasiokiri ya kuwa yesu kristo yuaja katika mwili huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga kristo.
Hongera sana kw kujua hawa watu mm mlikuwa muislam bt nkatoroka juu nlipo soma maisha ya mohammad utoton kabla hajakuw mtume alitokewa na watu wasiojulikana na wakampasua tumbo wakatia kitu ndani bada alipopata utume hichokitu kilimsaidia kule Alkabah kuvunja sanam zote na kubakisha moja tu nayo ndio kalma ya Ashahadhu nayo ndio siri kubwa pale Merca pamoja na siri ya Tashbih Yule sanam ndie Allah pale Merca na Tashbih ndio isabu ya siri kw mafanikio ya muislam anapo isabu na kunuia kitu anacho taka nayo n mafundo 70 ya mnyororo wa Tashbih unahesabu 36 halafu unauanza upya huo mnyororo ukiendeleza hesabu kwa kuuzungusha huo mnyororo mara 9 km huna alama ya swala juu yakipaji cha uso wako nahio hesabu n 36+(70×9)=666 na hii ndio Mark and the beast kutoka huko Mercah Soma Ufunuo 13:15-18
Ndio mara ya kwanza kumsikiliza Sheikh Ibrahi pastor halimfai. Yaani yupo vizuri mashallah Kafundisha vizuri, km mtu ana akili timamu hajaona ukweli alioelezea basi ni mkaidi tu, kwa sababu kila kitu kaweka wazi kulingana n vitabu.
Mtu yeyote asijihesabue haki, nikijisikia kwenda msikitini naenda nikijisikia kwenda kanisani naenda nasali na Amani tele. Dini ni Imani moyo safi na matendo yaliyo mema.
Ndugu zangu,,,,,,,Mungu mwenyezi ni mmoja kwa ukristo,kwa waislamu,,,,,we all believe in creator, provider, protector, (God the Almighty),,,,they all don't bow for idols,,,let's do good and avoid what is haram and mungu wa rehma na nehma,atatukumbuka,,,,,,,,
Ndacha ni mbishi Subhanallah!!!yani anajitahidi kupinduwa Aya na Hadithi ilimradi tu aone Kama atashida,vitu vipo wazi Ila a nataka kubishana na Koraan,Ndacha hata makafiri wezenu wazaamani walishindwa,waliishia kusilim.
Waislam kw mujibu wa Qur'an mtume mohammad anaamini bibilia mana kabla ya kuja mohammad alitabiriwa ktk Torati na injili ila Wahay wa Qur'an alioteremshiwa mtume mohammad ni Uongo mtupu kutoka kwa Dajal mpinga kristo kafiri mkubwa lakn mohammad hakujua mana ni Nabii alie Umi hajui kusoma wala kuandika so hii Qur'an ilifaa ipigwe marufuku mana ni kufru 1Yohana 2:22-23 📖Nani alie muongo ila yule amkanae mwana na baba huyo ndie muongo na ndie mpinga kristo 23 amukubalie mwana ana baba ndani yake na amkataaye mwana hana baba ndani yake. Qur'an Sura Thul-Jinn(72:1-3) ikaja ikapinga hio injili bt Mohammed haikuwa matamanio yake juu hakujua yeye n Nabii alie Umi ndio maana alipokufa roho yake akaiweka mikononi mwa mtoto wa Maryam yani Yesu juu Yesu anajuw Qur'an ni maneno ya Majini walio mchezea mohammad juu hajui kusoma
Usilete porojo zako, Lete hoja za kitabu watu watakufahamu. Qur'an haijataja bibilia abadan. Imetaja vitabu vya kale n ikataja pia ndani ya hivyo vitabu yamebadilishwa maneno zamani sana na binaadamu, kwa hiyo kuna maneno kweli ya mungu na maneno ya watu, na ndio mana Allah ametoa ahadi kitabu cha Qur'an atakilinda n kukihifadhi. Ukitaka aya ya hayo niliokueleze nitakupa. Lkn nataka na ww ulete aya ya hayo unayoyasemq. Tatizo nyinyi mnadanganywa n wachungaji wenu.
Kweli mtume ametabiriwa sisi tumeshaambiwa kwenye Qur'an, Sasa ww lete aya inayosema dajjali ndio kamteremshia Qur'an mtume Muhammad km ww unasema kweli. Ww kweli mwanafunzi w ndacha unayosema n matamanio yako tu
wapilipi 2:5-7 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya kristo yesu; ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu naye hakuona kule kuwa sawa na mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; bali alijifanya kuwa hana utukufu akatwaa namna ya mtumwa akawa ana mfano wa mwanadamu;
Heri kugongwa nagari kuliko kuwa kondoo tena Alie pote. Jina halisi la mungu wako yesu ni batistuta mcezaji wa zamani timu y taifa Portugal. Amesha staafu sasa ivi na mcoro wa pica za yesu zote ni pica ya muingereza nayupo hai na amesha wakana mara nyingi tu sasa ww shughulika tu na ajali zagari
Mazinge huna akiri maneno hayo kayasema nani mungu au nikawa wewe unavyo dandanya watu tunataka aseme mungu sio mwanadam mazinge unarazimisha jumrisja iwe msaraba
Kwani mtu huoa mara ngapi mke mmoja? The man is the head in the legal family setup akiongoza jamii yake kumcha Mwenyezi Mungu mbona wasiingie wote peponi? Hio sio kuoa ni MUME na MKE wameingia wote peponi sio mmoja peponi na mwengine peponi. Mfano kama wakristo wangekua wanaenda peponi na mume ni mlevi na mke ni mama kanisa haweingia wote wawili
Kazipo Allah akupe nguvu shekhe wetu huyo ndacha ajaenda shule anadhani Quran inasomwa kwa mistari ya kurukaruka et duu allah mlipe shekhe Ibrahimu insha Allah.
Huyu ndaca nimbishi mzoefu tu hana lolote anafurahia kubisha Hata mie nilipokua mkristo nilikua mbishi ila sio kiasi hico nashkuru mungu badae nikaona ukweli.
Anasoma Bibilia ipi ikiwa tayari karamu ya uongo ya waaandishi imetumika hata pata jibu kwakuwa torati,zaburi ,injili hakuna kitabu (Bibilia) ilchakachuliwa akienda ktk uislamu Hana elimu juu ya uislamu
Hapa ni ukweli dhidi ya roho ya mpinga ukweli, kupatana ni muujiza tu. Yaani Muhamad amepotosha haki namna hii? Yesu alikuja kuokoa akajitoa kufa ili tuokolewe, halafu mtu anakuja miaka 700 baadae na kupinga wokovu huu mkuu!! Adhabu ya mtu kama huyu Muhamad ni hii Mathayo 18:5-14; Yoh 3:16-21; 5:42,43; 12:44-50. Rev 21:7,8; 22:12,13.
@@alsamali6964 Ndg huu ni ufahamu tu wa rohoni ambapo wakristo wa kweli wametiwa nuru kuelewa, si ajabu kuona mwislamu haelewi. Kama anaamini kuwa dhambi zako zinaondolewa kwa kubusu jiwe jeusi, utaelewaje Kuhusu damu ya Yesu kuondoa dhambi. Kwamba Yesu alifanyika mwili akaonekana ni mwanadamu huku asili yake ni ya uungu. Ukiamini katika ahadi ya Mungu wa kweli kupitia kisa cha ukombozi kwa damu ya Mwanawe, basi nuru huangaza nafsini mwako na hivyo uungu wa Yesu na ubinadamu wake utaweza kuupambanua vyema. Msingi mkubwa ni kwamba kila atakaeamini katika Kristo Yesu atakuwa na mwangaza wa kiroho
Hujafahamu ww. Ukifuatilia vizuri utajua muisilamu wakwanza ni nani. Adam then watu wakaanza kukhitalifiana Allah mdio akatuma mutume akawapa vitabu, na nabii Ibrahiim ndio baba w imaan, yaani una uisilamu ulipoanza. Hiyo mwanamke alikuja kusilimu sio aliouleta wala kuamzisha. Usiseme kwa matamanio yako km ndacha n ww utakuwa mpotovu. Fata kulipokiwa n haki
Your disappearing and silence 🔕hits me so different Sir EX PASTOR you join a wrong faith and even your body language ur look ur ways ur characters and humility says it all..just come back to the right faith
Hey 👋Mr handsome soul Ex pastor..When will you stop ✋believing in this man made faith from makha in Allkabaa..You will soon be singing Jesus christ's song 🎵That... they told me but I never listen 🎶
and not all but also you're selfosh indeed ,, because you saw truth but the truth is from some obe you heart because he come from makka but the true is not depnd where is come from but you to look how it work
@@thuwaybahamyd9896 Thunder ⛈fire your left kidney I'm here for what I need and I go for what I want..And also don't forget that hell is waiting for you..
Mashaa-Allah Allah azidi kukupa nguvu na afya ya kuitangaza dini ya haki
Ndacha mungu akupe hafya na maisha marefu
Ndacha nina imani utasilimu karibuni.
Shukran sheikh wetu Allah akupe kila la kheri apa n kesho akhera
Mashaallah sheikh Ibrahim mungu akuzidishie nguvu na afya njema na akujalie na mwisho mwema inshaallah
Waalaykum Salam.
Maashallah jazakallahu kheyri. Tunamuomba ALLAH subhanahu wat'ala akupe akuhifadhi, na akupe afya njema na nguvu usikate tamaa katika ulinganiaji wako. Allah atujaalie mwisho mwema na atukutanishe peponi kwa sote aamin.
Masha'Allah ❤ Allah azidi kukupa shifaa na afya njema Sheikh Ibrahim. Allah akujali mema hapa duniani na kesho akhera.
Ameen
Sheikh Ibrahim Allah will give you big reward well done
Ndacha mungu azidi kuwafahamisha haki duniani ili siku ile usije hukumiwa kwa kutowambia wailamu haki na wawe wakristo ,,,the spirit of philip apostle be with you and baptise many as you can
💪💪💪💪ALLAH pamoja nawe sheikh Ibrahim
As salaam Alaykum wa rahmatullahi wa barakatuh, Allaah azidi kukupa afya uzidi kumshirikisha maisha marefu uzidi kuitangaza dini ya Allah dini ya hakki
Thank you shiekh Ibrahim ❤️
Maashallah jazakallahu kheyri. Tunamuomba ALLAH subhanahu wat'ala akupe akuhifadhi, na akupe afya njema na nguvu
Huyu sheikh ni noma namkubali saanaa.
MashaAllah..ndacha kapata moto... huyu sheikh Ebrahim mungu amjazee...ndacha hataki kubali kushindwa...tabia ya kifirauni
Asalam alykum www sheikh wetu Iblahim mungu akupe afya nanguvu zakupambana nama kafiri
Aamin
MashaAllah mungu akupe afya sheikh Ibrahim
2 yohana 1:7
Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani wasiokiri ya kuwa yesu kristo yuaja katika mwili huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga kristo.
Hongera sana kw kujua hawa watu mm mlikuwa muislam bt nkatoroka juu nlipo soma maisha ya mohammad utoton kabla hajakuw mtume alitokewa na watu wasiojulikana na wakampasua tumbo wakatia kitu ndani bada alipopata utume hichokitu kilimsaidia kule Alkabah kuvunja sanam zote na kubakisha moja tu nayo ndio kalma ya Ashahadhu nayo ndio siri kubwa pale Merca pamoja na siri ya Tashbih Yule sanam ndie Allah pale Merca na Tashbih ndio isabu ya siri kw mafanikio ya muislam anapo isabu na kunuia kitu anacho taka nayo n mafundo 70 ya mnyororo wa Tashbih unahesabu 36 halafu unauanza upya huo mnyororo ukiendeleza hesabu kwa kuuzungusha huo mnyororo mara 9 km huna alama ya swala juu yakipaji cha uso wako nahio hesabu n 36+(70×9)=666 na hii ndio Mark and the beast kutoka huko Mercah Soma Ufunuo 13:15-18
🙏🙏
Shukran sheikh wetu ibrahim kwan hukufuru atakavy mfuate aliko asipoteze watu.Allah akupe afya njema n hekm n akupe pepo kesho akhera
ISLAM will win 🤍 in shaa Allaah 🤲🏼🤍❤️❤️
Ma Sha Allah sheikh Ibrahim
Yaani ndacha kashindwa wazi wazi kabaki ukaidi wala hana hoja.
Ndio mara ya kwanza kumsikiliza Sheikh Ibrahi pastor halimfai.
Yaani yupo vizuri mashallah
Kafundisha vizuri, km mtu ana akili timamu hajaona ukweli alioelezea basi ni mkaidi tu, kwa sababu kila kitu kaweka wazi kulingana n vitabu.
Yaani Qur'an ni kitabu hakijaacha kitu na kina muongozo hakina utata.
Shekh Ibrahim. Mashaalah mbaka ndacha ame jificha
Masha Allah nikija kenya insha Allah nitakuletea camera na ma speaks insha Allah from US mwalimu long life
Aamiin na Allah akufanyie wepesi katika nia yako ni kweli hapo kwa Camera na vyombo ni mtihani kweli. Baraka Allahu Fik
@@ibrahimxptv insha Allah nwalimu by next year vyombo vitakuwa tayari
@@newgreeneaglestudio3089 In Shaa Allah Baraka Allahu Fik
Thanks sheikh Ibrahim
Karibu sana Sheki wangu
Mtu yeyote asijihesabue haki, nikijisikia kwenda msikitini naenda nikijisikia kwenda kanisani naenda nasali na Amani tele. Dini ni Imani moyo safi na matendo yaliyo mema.
M.a sheikh Ibrahim mungu akupe penye peponi
Allah akbr
Ndacha ni hopless hajuii chochote ni muhuni2 kama wahuni wengine
Upendo na amani ndio dini ya kweli..kama uko na chuki wewe umepotea..Yesu akusaidie.
Hapa ni ss waislam tumuwezeshe kwa michango maana anatumia gharama malazi chakula usafiri maana anafanya kaz kubwa nduguzangu waislam
Bjr kuwenye kujuwa kiswahili tusahidiye tafsiri ya ili Andiko : 5 : 48 Natumekuteremushiya kitabo Kimeteremushwa nawangapi ? Ni Mungu Awo Niwatu Awo malayika aw Majini?
Wcs bro Ibrahim Allah akupe yaliyo mema katika maisha na family insha Allah
Haki inayotetewa kwa stahili hiyo siyo haki.
Mungu anajitetea mwenyewe
@1:13:37 Ndacha inakaa uwongo ilimlemea hapo mwishi...wooi msaidieni na maji
Ndugu zangu,,,,,,,Mungu mwenyezi ni mmoja kwa ukristo,kwa waislamu,,,,,we all believe in creator, provider, protector, (God the Almighty),,,,they all don't bow for idols,,,let's do good and avoid what is haram and mungu wa rehma na nehma,atatukumbuka,,,,,,,,
Ndacha ni mbishi Subhanallah!!!yani anajitahidi kupinduwa Aya na Hadithi ilimradi tu aone Kama atashida,vitu vipo wazi Ila a nataka kubishana na Koraan,Ndacha hata makafiri wezenu wazaamani walishindwa,waliishia kusilim.
Nipo dubai nafstilia sana nampenda sana Ndacha ❤ww ni kiboko ya waislamu😅😅 wanakosaga hoja kbs ❤❤
Yaani kiukweli n kiakili ndacha ndio hana hoja mbbaishaji tu.
MASHA ALLAH
Jenge oja yako kwanza my friend mwisliamu wacha kulalamika kwanza i
Ibrahimu wewe ni sheikh wa kweli🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Muslim, Allah is the creator, read surat 8:22 - 3 and he love no one earth surat 13:13
Ndacha ni kichwa kikali Sana
Ndacha Yuko juu Sana,
Awamuwezi😂
Waislam kw mujibu wa Qur'an mtume mohammad anaamini bibilia mana kabla ya kuja mohammad alitabiriwa ktk Torati na injili ila Wahay wa Qur'an alioteremshiwa mtume mohammad ni Uongo mtupu kutoka kwa Dajal mpinga kristo kafiri mkubwa lakn mohammad hakujua mana ni Nabii alie Umi hajui kusoma wala kuandika so hii Qur'an ilifaa ipigwe marufuku mana ni kufru 1Yohana 2:22-23 📖Nani alie muongo ila yule amkanae mwana na baba huyo ndie muongo na ndie mpinga kristo 23 amukubalie mwana ana baba ndani yake na amkataaye mwana hana baba ndani yake. Qur'an Sura Thul-Jinn(72:1-3) ikaja ikapinga hio injili bt Mohammed haikuwa matamanio yake juu hakujua yeye n Nabii alie Umi ndio maana alipokufa roho yake akaiweka mikononi mwa mtoto wa Maryam yani Yesu juu Yesu anajuw Qur'an ni maneno ya Majini walio mchezea mohammad juu hajui kusoma
Usilete porojo zako,
Lete hoja za kitabu watu watakufahamu.
Qur'an haijataja bibilia abadan.
Imetaja vitabu vya kale n ikataja pia ndani ya hivyo vitabu yamebadilishwa maneno zamani sana na binaadamu, kwa hiyo kuna maneno kweli ya mungu na maneno ya watu, na ndio mana Allah ametoa ahadi kitabu cha Qur'an atakilinda n kukihifadhi.
Ukitaka aya ya hayo niliokueleze nitakupa.
Lkn nataka na ww ulete aya ya hayo unayoyasemq.
Tatizo nyinyi mnadanganywa n wachungaji wenu.
Kweli mtume ametabiriwa sisi tumeshaambiwa kwenye Qur'an,
Sasa ww lete aya inayosema dajjali ndio kamteremshia Qur'an mtume Muhammad km ww unasema kweli.
Ww kweli mwanafunzi w ndacha unayosema n matamanio yako tu
Wallah cjutuii kuslim
wapilipi 2:5-7
Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya kristo yesu; ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu naye hakuona kule kuwa sawa na mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; bali alijifanya kuwa hana utukufu akatwaa namna ya mtumwa akawa ana mfano wa mwanadamu;
Toa ambapo yesu mwenyew ndo amesema hivyo mana apo ni amesemewa.
Hii campaign n kali sana lkn jibu kamili n siku kyama tuendelee kulinda imani zetu kwa kusali na kutenda mema yamupendezae mungu
Ndacha wewe ni kafiri no 1 duniani.wewe na nabeel kureishi jora moja,mwenzako ashafika akhera nawe jipange mungu atakufisha inshallah
Ibrahimm wewe ni chumaaaaaaaa,,, allah akupe umri mrefu huyu kafiri umteketezee mbalii
Ata Ndacha mwisho nae pia ataelewa na kusilimu, walikua kama yeye ata kushinda yeye
Ndacha ni mikwara mingi tu ile sauti ukiskia waeza tishika kama hujajipanga sawa sawa😃
Ndacha ukweli ubaki ukweli nikiwa Busia Bumala K
Kweli kuwa mwislam Ni sawa na kugongwa na ngari
Heri kugongwa nagari kuliko kuwa kondoo tena Alie pote.
Jina halisi la mungu wako yesu ni batistuta mcezaji wa zamani timu y taifa Portugal.
Amesha staafu sasa ivi na mcoro wa pica za yesu zote ni pica ya muingereza nayupo hai na amesha wakana mara nyingi tu sasa ww shughulika tu na ajali zagari
sheikh ex pastor Ibrahim ndacha asikimbiye umufate sehemu yote kwenye ataenda kundanganya watu nakucafuwa wislam nakumutukana mungu
Hakika ostazi umetisha ndacha SI mwarim nimbishi mzoefu ndacha kaziyako nilupotosja sikufundisha huna uwezo howo
Jina Ra keristo rimetoka wapi maana mungu aritoa majina mawiri Jana rakwanza ni imanwiri rapiri yesu ariro pewa na baba yake yusufu kristo niranani
Mazinge huna akiri maneno hayo kayasema nani mungu au nikawa wewe unavyo dandanya watu tunataka aseme mungu sio mwanadam mazinge unarazimisha jumrisja iwe msaraba
Ndacha kasema nani mungu au arie SEMA nimtu kama wewe tunataka maneno yamungu sio yamwanadam
Samahani nimemkosea profesa manzinge nirikua nahuyu mwendawazim ndacha
Hak kumbe ww Ibrahim nkm bibi ya mtu🤣🤣🤣🤣🤣😂 Mtu asilimishe bibi yake halafu ww nawe usilimishwe🤔
Ubishi wa ndacha ndo unafanya wakristo kuc,limu kwa kuiona haki
Ati peponi mnaingia nawake zenu asante, katika mji mpia hakuna kuoa au kuolewa ndugu yangu umepotea
Kwani mtu huoa mara ngapi mke mmoja? The man is the head in the legal family setup akiongoza jamii yake kumcha Mwenyezi Mungu mbona wasiingie wote peponi? Hio sio kuoa ni MUME na MKE wameingia wote peponi sio mmoja peponi na mwengine peponi. Mfano kama wakristo wangekua wanaenda peponi na mume ni mlevi na mke ni mama kanisa haweingia wote wawili
@@ibrahimxptv mke haesabiwi tena waliuliza yesu hivyo akawambia siku hiyo hakuna kuolewa Wala kuoa nandugu yangu tena hanaweza ingia ukoze wewe
Lzm kwa watakaopelekwa peponi watakutanish na wake zao na wasio na waume wala wake wataozeshwa hakuna shaka kwa waisilamu kwa hilo.
Sikuelewi
Wewe ndio kalagabaho usiejitambua .
Kazipo Allah akupe nguvu shekhe wetu huyo ndacha ajaenda shule anadhani Quran inasomwa kwa mistari ya kurukaruka et duu allah mlipe shekhe Ibrahimu insha Allah.
Aamiin
Uislam ndio dini pekee ya haki
Huyu ndaca nimbishi mzoefu tu hana lolote anafurahia kubisha
Hata mie nilipokua mkristo nilikua mbishi ila sio kiasi hico nashkuru mungu badae nikaona ukweli.
Anasoma Bibilia ipi ikiwa tayari karamu ya uongo ya waaandishi imetumika hata pata jibu kwakuwa torati,zaburi ,injili hakuna kitabu (Bibilia) ilchakachuliwa akienda ktk uislamu Hana elimu juu ya uislamu
Hapa ni ukweli dhidi ya roho ya mpinga ukweli, kupatana ni muujiza tu. Yaani Muhamad amepotosha haki namna hii? Yesu alikuja kuokoa akajitoa kufa ili tuokolewe, halafu mtu anakuja miaka 700 baadae na kupinga wokovu huu mkuu!! Adhabu ya mtu kama huyu Muhamad ni hii Mathayo 18:5-14; Yoh 3:16-21; 5:42,43; 12:44-50. Rev 21:7,8; 22:12,13.
Kwan yesu aliridhia kufa pale msalabani ili ww uokoke ?
@@alsamali6964 Ndio ndg. Alsam, Yesu aliridhia kufa msalabani kwa ajili ya yangu na yako
@@willymwaipaja6783 nipe andiko
27:45 mathayo
@@alsamali6964 Ndg huu ni ufahamu tu wa rohoni ambapo wakristo wa kweli wametiwa nuru kuelewa, si ajabu kuona mwislamu haelewi. Kama anaamini kuwa dhambi zako zinaondolewa kwa kubusu jiwe jeusi, utaelewaje Kuhusu damu ya Yesu kuondoa dhambi. Kwamba Yesu alifanyika mwili akaonekana ni mwanadamu huku asili yake ni ya uungu. Ukiamini katika ahadi ya Mungu wa kweli kupitia kisa cha ukombozi kwa damu ya Mwanawe, basi nuru huangaza nafsini mwako na hivyo uungu wa Yesu na ubinadamu wake utaweza kuupambanua vyema. Msingi mkubwa ni kwamba kila atakaeamini katika Kristo Yesu atakuwa na mwangaza wa kiroho
Uyo jamaa iko anabalisha mjibu wa bibiliya kw tafsiri
Napenda nifaamu Nini mguuni??
Huyu pastor mbabaishaji sana
Ak hupoteza watu maskini wamandiko nao wakirso hawasomi huskia tu
Ndasha ni mtu wa kukunja maandiki reformed s d a
Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatuhu my brother shiek ibrahim? Ndugu naona ulipata shida kuwa miguu pole brother yangu mungu akufutie danbi yako bro
Huyu chehe hana lolote kkkk
ma shaa Allah ndugu ibrahim
Simple tizama mavazi wkt wanapoabudu utajua wapi pana haq!
Na waislam naotusi Dio mnaweka mbele Jee sida yenu Inakuanga Nini? Maana Nyinyi Ni kama Hamjitambui kabisa
Ndacha uwongo Wako umekufanya umegawa u SDA
Asc my dear sister mtu huyu ndacha ni kelele tupu
Mmh waislam kiboko, yaani mslam wa kwanza mwanamke alafu mnasema manabii tena waislam mbona vitu vya ajabu ajabu, kulazimisha vitu viko wazi
Hujafahamu ww.
Ukifuatilia vizuri utajua muisilamu wakwanza ni nani.
Adam then watu wakaanza kukhitalifiana Allah mdio akatuma mutume akawapa vitabu, na nabii Ibrahiim ndio baba w imaan, yaani una uisilamu ulipoanza.
Hiyo mwanamke alikuja kusilimu sio aliouleta wala kuamzisha.
Usiseme kwa matamanio yako km ndacha n ww utakuwa mpotovu.
Fata kulipokiwa n haki
Muisilamu wa kwaanza ni mtu wa mwanzo kuumbwa nae ni Adam.
Imani ni moja tu tokea adam mpaka leo. Imani zote zilizobaki ni za kuumdwa.
Waka mising why is Muslim dini ya kweli kwanza
Ndacha ni shaitani mkubwa kupoteza watu kwa kusoma na kufahamu maandiko kiviyake. Atakuwa kuni nzuri pamoja na murtad Paulo jahanam.
Your disappearing and silence 🔕hits me so different Sir EX PASTOR you join a wrong faith and even your body language ur look ur ways ur characters and humility says it all..just come back to the right faith
I have not disappeared am still around
@@ibrahimxptv I have a Question about the both 🤔faith
@@ibrahimxptv But I have a feeling that you know..very well that you don't belong to the awkward faith and soon you will come back to your right track
@@ibrahimxptv I love how you handle this game 🎮
@@ibrahimxptv for sure you are a special soul to me and I don't know why am feeling sad 😞when I see you on the wrong faith 💔
Hilo ndo lipumbavu halijui chochote bora mazinge. Hilo ndo liisiram lipumbavu
Hey 👋Mr handsome soul Ex pastor..When will you stop ✋believing in this man made faith from makha in Allkabaa..You will soon be singing Jesus christ's song 🎵That... they told me but I never listen 🎶
the some one escape at dramatic religion you can not have abilities to ceduce him in order to return back in
and not all but also you're selfosh indeed ,, because you saw truth but the truth is from some obe you heart because he come from makka but the true is not depnd where is come from but you to look how it work
@margaret understanding?
@@thuwaybahamyd9896 you are very wicked soul But let's wait for the Embarrassing moment and the turn out
@@thuwaybahamyd9896 Thunder ⛈fire your left kidney I'm here for what I need and I go for what I want..And also don't forget that hell is waiting for you..
Yani kumbe walikuja kupotosha msikitin Sheikhe wangu Ibrahim wajina mungu akulipe
Alafu huyo msomaji anatia uongo sana umemkamata vizuli الله اكبر