Wazungu waliamua kumaliza mbegu za mimea hasa yalio muhimu kwa afya ya mwanadamu ili kuleta njaa siku za usoni. Waafrika turudi kwa matunda yenye mbegu.
Hii dunia heri ukutane na wanyama utajua jinsi ya kuwaepuka lakini sio binadamu binadamu tumekua zaidi ya wanyama mnyama anaweza hata akakuacha ukaenda lakini sio binadamu mwenzio
Umenikumbusha mbali we baba, mi na mdogo wangu hanipendi hadi ananitafutia watu wanizuru kisa nampita kimaisha , na ukiangalia tumetoka familia ya kimasikini sana, mi mungu kanibaliki riziki nimemjengea mama yumba ya kisas@, ya vyumba 7 kila kitu mama haangaiki, lakini mama kama mama anampenda sana mdogo wangu kuliko Mimi, na ukiangalia mdogo wangu hana nyuma wala mbele na wote wako kwenye nyumbaang, lla wananichukia so powa sa mi nalazimika nikae kwenye mikoa ya watu tu wasijenifanyia kitu kibaya wanangu wakapta shida, ila inaniuma sana wapendwa, ingali kuna msemo wanasema hakuna kama mama ila kwangu daaa, mungu anitangulie jamani
Ktk Dunia hii usimuamini mtu yoyote yule hata ndugu WA damu. Kama wewe umejaliwa na mwenyezi Mungu basi weka mikono yako kwa Mungu na umutegemee Mungu peke yake na umuombe akuongoze. Na kama una ndugu wabaya Hama kabisa na wasijue kabisa ulikohamia nenda huko wewe na mke wako na watoto wako tu na usihangaike kabisa na ndugu. Wewe na Mungu wako tu. Kila mtu na maisha yake na kila mtu alizaliwa peke yake. Wazazi watumie tu pesa kwa simu na kuwasiliana kwa simu basi wasijue uliko maana wao wakijua ndugu wanajua. Nenda kajenge maisha yako. Life is too short!
Pole sana kaka kwa mitihani mikubwa uliopitia,kweli binadamu tunapitia mengi aiseee jaman ndugu wa damu anafanya mambo kama hayo daa wakati tulio nao sio wa kumwamini mtu
MBONA ILO JINA LA MUUWAJI MUNALI FICHA? SEMENI JINA WATU WAMJUE WACHENI KUFICHA MAJINA YA WAIWAJI MUONYESHEGE ATA SURA NDIO WATU WAMJUE AMA MWAFURAIYA JU SIRLEWI KWANINI MWALIFICHA.

Uchawi mtamu wenye uweO ni damu ya Yesu na maji yaliotoka bavuni mwake korogo vizuri .... Na neno lake pamoja na maombi,vanya imani kijikonkula usibe uome hata setani hatakueza.
WEWE AUTAPATA UTAJILI WA KISHILIKINA PESA UKAE NAZO KIMAISHA BABA YAKO AJAKUSINGIZIA KUFANYA MAPENZI NA MAMA MZAZI UMEFANYA KWELI KUTAFUTA UTAJILI MPUMBAVU WEWE 🇹🇿🇬🇷
Kutazama part 02 ya Kuti Kavu bofya link 👇👇👇
ruclips.net/video/FoGgDQ_rFmg/видео.html
Kuwa na moyo mkuu.
Kaka hata mm unanitoa choz kua mgumu.
Wazungu waliamua kumaliza mbegu za mimea hasa yalio muhimu kwa afya ya mwanadamu ili kuleta njaa siku za usoni. Waafrika turudi kwa matunda yenye mbegu.
Hii story inafundisha, Inachekesha, Ina huzunisha, mimi nimeipa No 1 🙏.
Wa kwanza leo naombeni like zangu jsmani
Mtihan
Sanaa
Pole sana aisee kwa mitihani
Daaah🙊🙊🙊
Hizi like uwa mwazipeleka wapi ❓❓❓❓❓❓
Daaah😞😞
Daaahhhhh subhana llah adui yako hatoki mbali
Dunia simama nishuke khaaah 😳🤔
Hii dunia heri ukutane na wanyama utajua jinsi ya kuwaepuka lakini sio binadamu binadamu tumekua zaidi ya wanyama mnyama anaweza hata akakuacha ukaenda lakini sio binadamu mwenzio
Nihuzuni kwa kweli
Kweli kabisa
😂😂😂😂Mtangazaji una moyo wa kujikaza hicho kilio tu mm mbavu sina mzee muongeaji huyu MashaAllah
😂😂😂😂😂😂
Hadi na mm nimepia aisee😭😭😱
Umenikumbusha mbali we baba, mi na mdogo wangu hanipendi hadi ananitafutia watu wanizuru kisa nampita kimaisha , na ukiangalia tumetoka familia ya kimasikini sana, mi mungu kanibaliki riziki nimemjengea mama yumba ya kisas@, ya vyumba 7 kila kitu mama haangaiki, lakini mama kama mama anampenda sana mdogo wangu kuliko Mimi, na ukiangalia mdogo wangu hana nyuma wala mbele na wote wako kwenye nyumbaang, lla wananichukia so powa sa mi nalazimika nikae kwenye mikoa ya watu tu wasijenifanyia kitu kibaya wanangu wakapta shida, ila inaniuma sana wapendwa, ingali kuna msemo wanasema hakuna kama mama ila kwangu daaa, mungu anitangulie jamani
pole sana
Hao ndio binadamu, pole na Mungu akulinde na watu wabaya. Wema wako Mungu atakulipa kwa upande mwengine.
Mungu akulinde wazazi kama hao wapo kaanao mbali
Pole sana ndio maisha jamani
Daa asanteni sana kwa like zenu najiona siko pekeangu
Tamaa mbaya
Pole Sana kakangu Ila Kev wewe nkupeda
Asante bro kelvin Shayo tuko pamoja unafanyakazi nzuri sana my role model
Kwa Hali hii lazima ujutie utajiri me ndo mana naonaga heri uwe masikini lakini unaamani na furaha na maisha yako
Kweli kabisa unakua na amani
Kabisa watu wengi wapumbavu wakiona watu wanamali wanashikwa na tamaa zakijinga
Kabisa dadangu
Ukweli kabisa,,utajiri wa majuto haufai
Sio kweli dear tuombeni mafanikio kwakweli
Habari Tiki TV tuko 🤝
Tunawafuatilia kwa ukariibu zaidi
A good story teller indeed. One love from 🇰🇪
Wueh..huyu akuje churchill show japokuwa amepitia magumu.
Leo mie wangapi namba yangu like muweke Kwa wingi
tumechelewa aziza,wameisha tuwahi😆
@@emanuelmbaga6848 nikweli hbb
Inalillahi wainairahi rajuun.... Polesana kaka Allah akupesubra ww ni muislam swari muombe Mungu atakufanyia wepesi
Kama ulikuwa ulikwenda kwa wagaga basi ndio maana umefeli maisha ungemtegemea mungu maisha yangekuwa mazuri mpaka sasa
Mhh lakin babu upo vizur
Nashangaa mie
Sina haja, Kidogo changu na YESU MOYONI vyanitosha.
Tuko pamoja Yesu atosha kabisa maishani kama akiamua kukubariki atakubaliki kwa wakati wake ulio sahihi
@@esterjeremiah4700 Exactly.!!!
Upo sahihi
Ktk Dunia hii usimuamini mtu yoyote yule hata ndugu WA damu. Kama wewe umejaliwa na mwenyezi Mungu basi weka mikono yako kwa Mungu na umutegemee Mungu peke yake na umuombe akuongoze. Na kama una ndugu wabaya Hama kabisa na wasijue kabisa ulikohamia nenda huko wewe na mke wako na watoto wako tu na usihangaike kabisa na ndugu. Wewe na Mungu wako tu. Kila mtu na maisha yake na kila mtu alizaliwa peke yake. Wazazi watumie tu pesa kwa simu na kuwasiliana kwa simu basi wasijue uliko maana wao wakijua ndugu wanajua. Nenda kajenge maisha yako. Life is too short!
Kweriiii mungu wangu inauma
Pole kwa mitihan
Dunia hii dah 🤲🤲🥱
Inamambo makubw sana aiseeh🙌
We Acha tuu
Kunawatu wanamikasa duniani 🙊🙊
Hadi anatia huruma maskini dunia hii nihatari kuliko tunavyoiona asisww
Mmmmm nilijua yangu migumu kumbe ni midogo
Pole sana kaka kwa mitihani mikubwa uliopitia,kweli binadamu tunapitia mengi aiseee jaman ndugu wa damu anafanya mambo kama hayo daa wakati tulio nao sio wa kumwamini mtu
Kabisa huwezi jua mbaya wa maisha yako ni nani
😳😳😳😳😳😳
Polesana
Hii nayo Kali jamani
Pole sana kakaang jmn😭😭😭😭ndg hawa jmn dah
Kuti kavu nakupenda buree,jamani nimelia pamoja na wewe.Mungu akubariki akuinuwe tena,na tafadhali kumbuka wajane na yatima ukifanikiwa tena.wachana na ushirikina nyota unayo mwenyewe.❤❤❤
nimependa story za mwanzo dah
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kulia kwako kunanivutia kucheka aki. Huyu anaweza kuwa good actor kabisa. 🇰🇪
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamn m pia ananivutia kulia kwake ahahahahah jamn mkasa unasikitisha ila kulia sasa
Aahhh ndio wa sema mkenya mwenzangu ata mimi nimecheka sio kukalibia kucheka
@@nanyymsoo1921 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
yaani ana kipaji cha kuigiza ila hajui 🤣🤣🤣
MBONA ILO JINA LA MUUWAJI MUNALI FICHA? SEMENI JINA WATU WAMJUE WACHENI KUFICHA MAJINA YA WAIWAJI MUONYESHEGE ATA SURA NDIO WATU WAMJUE AMA MWAFURAIYA JU SIRLEWI KWANINI MWALIFICHA.
TIk Tv best in town
Asante kwa kuichagua nakuendelea kuifuatilia tiki tv
Kweli kabisa tiki ni 🔥🔥
Tiki Tv Kiakili Zaidi hii ya leo ni 🔥🔥🔥🔥
Hawa jamaa wanastory nzuri sana
👏👏👏
mussag
ila huyo mdogo wako anaroho ngumu sana Sasa hii dunia tutamwamini nani kama hadi ndugu wasaliti kiasi hiki
Sana watu wanajali pesa kuliko utu
heee, mbona kuna maandko yansema ,
Aisee huyu baba anaongea duuh
Wazaramoo sisi Kwa kuongea khaaaa!! !tupeni sifa zetu story ya dakika 30 tunasimulia dakika 10 tu🤣
Hongeren
Mko vizuri kwa kuongea
yan we acha tyu tunaongea sana sisi
Jamani bwiga kovwizila
@@sophiapaulo7859 wazaramo oyeeeee💃💃💃💃💃
Tiki Tv nawapenda San keep the good work brother unatekimisha sana kupitia Mikasa yako ❤️🔥🔥
Hata mm nawàpenda kiukweli wanajitahidi sana kufanya kazi zao sio kama online nyingine
Kumbe ulikua mshilikina uliziki na Allah alivyo kupa ndiyomaana vimepotea ukipewa lizika tu shukuru Mungu fanyakialali tu utanyookewa
mafundsho makubwa sana
EVERY ONE HAS A STORY TO TELL IN LIFE
MUCH LOVE FROM UGANDA
Thats right. you understand swahili?😄
Ktk Dunia hii usimuamini mtu yoyote yule hata ndugu WA damu. Kama wewe umejaliwa na mwenyezi Mungu basi weka mikono yako kwa Mungu na umutegemee Mungu peke yake na umuombe akuongoze. Na kama una ndugu wabaya Hama kabisa na wasijue kabisa ulikohamia nenda huko wewe na mke wako na watoto wako tu na usihangaike kabisa na ndugu. Wewe na Mungu wako tu. Kila mtu na maisha yake na kila mtu alizaliwa peke yake. Wazazi watumie tu pesa kwa simu na kuwasiliana kwa simu basi wasijue uliko maana wao wakijua ndugu wanajua. Nenda kajenge maisha yako. Life is too short!
@@jedidahbintidaudi8241 yes darling
I did swahili in
my high school
@@aminasminaamina4200 oh nice. no wonder you can listen to such clips. Karibu kwetu Tanzania
Tunaosoma comenti tujuane me mkinipa like 50 tu zinatosha kabisa
Iyo ni kawaida yangu😀😀😀😀😀
Utazipeleka wapi kisha
@@ruuspicyasmr1694🤣
jamani 😭😭😭😭😭
Nipe like zangu Leo mi wakwanza
Sasa ww na Sasha nani wa kwanza😂
Huyu mzee anaongea jaman heee....
Sio siri
Wueh! He can tell a long story in a short time.
😂😂😂yah amemeza computer
Ana sauti ya Zembela😁😄
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'un.
Kweli msiba mzita
👏👏
eti ushirikina 🤣🤣
Hili nifundisho kubwa sana kwa wote wenye tamaa ya Mali na utajiri wa kichawi
Kubwa sana
Kabisa
Muombe mungu achana shirki mwenyezi mungu ndio kila kitu kwetu
Ehhh shayo Leo ,hoi ni interview ya kipekee,Ako saw huyu Mzee shayo? From🇰🇪
Huyu sasa pacha ake na Mchungaji Richard Hananja, a.k.a. bilionea. Maneno kama yote hata huchoki sikiliza.
🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu jamaa pia usanii upo ndani 😂😂😂😂😂lijamaa ni comedian
Pole bro
Maisha ndivyo yalivyo kaka
Kwanini wajuta.akuna cha bure kwa shetani.pole rejea mungu.
Kilio sasa hatari mmmh pole sana
kaka kelvi mwambie huy baba nahitaji kufanya biashara nae kama atakuwa teyal
Dadaangu mm mama mmoj baba mmoj kanikasirikia kisa pesa zangu kudai had anasem hatak undug namm 😢😢😢😢😢
Anavyo lia kama anacheka anacheka ananikumbusha kipindi kimoja cha Mpoki original comedy 🤣 😆 😂. Ila pole sana mzee
Polee kaka yote maisha tunapita
Allah anataka umrudie yy tu
ila Kev kazi yako hii mhh unaona mengi
Nimecheka kwenye hicho kilio🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu mzee tapel kwel
🤣🤣🤣🤣eti mbona hasikitishi anachekesha kilio kikavu alafu anaongea kana chelehani
Ungefungua ac bank. Wasingekuwa wanakuibia hivyo
pole Sana, bado waweza kufanya zaidi ndg, mwenyenzi mungu akupiganie,
Imenifundisha mengi hii stori hata mimi nina ndg zangu 2 tumbo moja wananiandama balaa kisa kuwazid kipato.pole sana babaangu Allah atakulipia 😭😭😭
Jamaa kameza memory 64 GB
Waalai ni comedian
At first I thought this guy was blind
Mimi mwenzenu siaminigi mtu hata mama yangu simuamini leo nikuamini ww mtu mzima tumekutana ukubwani sahau kabisa hicho kitu
Kabisa ata mimi aisee siamini mtu
Mhh jamani humu duniani kuna mambo mengi ya ajabu sana. 04.02.23.
Jaman wazaramo sikwakuongea uko khaa.
Wakat mwingine ukiwa na tatizo la pesa usiangalie cha mwenzio na kukitaman na kukuta unaangukia pabaya mungu atupe uvumilivu to
Mmmmmh kwani anacheka analia 😁😁😁😁😁😁😁
😱😱😱🙊🙊
Rafiki na ndugu wa kweli ni Mungu tu wanadamu hata ndugu wa kuzariwa tumbo moja akikuzidi kitu unawishi ungekua wewe tu Mungu atuhurumie.
Yan nimefrahi ...Nimeenjoy
Waah mwaka 84 nilikua na miaka inne nakubuka hio mwaka Dio ilikua wakati WA ukame🙆
Pole kaka Mungu yupo😭😭😭😭😭😭😭
Pore san kaka
Mahisha ni shule kunakufaulu n kufeli, ila yote kwa yote kila hatua duwa ni mungu pekee w kumtegemea...Ndugu wabaya sana
mussag
Ila uyu baba inabidi achukuliwe na lamata
Usilie babaangu 😢😮😮😮
Jaman duh
ha ha ha ha mzalamo kwa kuongea balaa,,dah pole sana
Sijui ni cheke si jui nilie maana mzee simuelewi
😂😂😂😂😂😂 taniua
Jane doe umenivunja mbavu zangu
😂😂huelew kama analia au anacheka
Ilinifudisha kabisa ndugu wabay
Sasa hela si uweke bank jamani?? Ila anaongea haraka haraka sana aiseee🤣🤣🤣🤣😂😂
Bank wanakata hela aise daaaaah
Uchawi mtamu wenye uweO ni damu ya Yesu na maji yaliotoka bavuni mwake korogo vizuri .... Na neno lake pamoja na maombi,vanya imani kijikonkula usibe uome hata setani hatakueza.
Dear future husband wazaramo ndio mpo hivi
Bondia wa Mabibo tunamjua
Sasa huo utajili wizi? . Utapandaje Gari bila kulipa. Mijanaume mingine bwana, uchawi tuu. Ndo maana vifo haviishi Tanzania.
WEWE AUTAPATA UTAJILI WA KISHILIKINA PESA UKAE NAZO KIMAISHA BABA YAKO AJAKUSINGIZIA KUFANYA MAPENZI NA MAMA MZAZI UMEFANYA KWELI KUTAFUTA UTAJILI MPUMBAVU WEWE 🇹🇿🇬🇷
😅😅😅 jamani huyu baba analia nini Sasa😅
Emotional
Jamma kiswahili acha tu
TATIZO PIA JINA LINA NAFASI KUBWA SANA KUTI KAVU MMM