PART 03: NAJUTA KUPATA UTAJIRI I MKE WANGU AMEPASULIWA TUMBO LA MIMBA NDUGU YANGU AMETUMA WATU KU..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 114

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 2 года назад +8

    Duhhh

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 2 года назад +9

    Wow.. nilimisi sanaaa muendelezo hongereni tiki Tv siku hizi hamucheleweshi muendelezo

  • @lujuomjanja2866
    @lujuomjanja2866 2 года назад +13

    Huyu mzee anaamini sana ushirikina, itakiwa aachane na hvyo vitu ndio vinamtesa

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 2 года назад +8

    Shkamoo mapenzi

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 2 года назад +8

    Kazi iendelee

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 2 года назад +9

    Dahh nkajua yameisha kumbe wengine walikuloga kabisa kisa mapenzi

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 2 года назад +10

    Duhh pole sana mzee kuti kavu

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 2 года назад +10

    Duhh Kelvin Shayo unajua kweli kumchimba mtu hadi anafunguka yamoyoni

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 2 года назад +11

    Huyo mdogo wako kumbe alikuwa muuaji kiasi hicho, thanks brother Kelvin Shayo kwa interview ya faida.

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 2 года назад +10

    Pole sana brother, kwenye mapenzi wanawake hawajui utani wenyewe wanachukulia seriously

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 2 года назад +12

    Nikajua nimemaliza hii story kumbe ilikuwa ndo kwanza ngoma mbichi daahh acha niendelee kujipatia uhondo mie

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +3

    Subuhanallah huyo nduguyako mtihani sana na anajua ww hujui kama yeye kawatumawatu wakuue. Polesana ila Rudikwa Allah utulie uwache zinaa na ushilikina utaona raha ya Dunia soma Azkalikwawingi acha tantalila mdomoni hapo maana maashaallah

  • @davidwaziri8176
    @davidwaziri8176 2 года назад +7

    Kweli Tiki Tv Mwaka huu mmekuja kivingine hongereni sana

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 2 года назад +6

    Nawapata vizuri kutokea Arusha hapa

  • @davidwaziri8176
    @davidwaziri8176 2 года назад +8

    Hiyo kesi ya mdogo wako wa damu kukutumia watu wakukuuwa na hadi ikajulikana dahh ningekuwa mm sijui ningekuwa wapi leo

  • @janeshayo1667
    @janeshayo1667 2 года назад +12

    Kuti kavu napenda sana hii habari yako haichoshi halafu kuna mengi najifunza

  • @dianadaudi3380
    @dianadaudi3380 2 года назад +7

    Kweli nmeamini uchawi upo

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 2 года назад +5

    Kelvin Shayo ndiyo mtangazaji wangu namba moja kwa kuhoji hapa Africa mashariki big up Tiki Tv mna mtangazaji mzuri sana.

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 2 года назад +14

    Yani tunaishi katika dunia ambayo ukifanikiwa ndugu zako wadamu wanakutumia watu wakuue kikatili namna hiyo😭😭😭😭

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 2 года назад +7

    Mie wapili

    • @janeshayo1667
      @janeshayo1667 2 года назад

      Duhh nyie mafanyaje jamani hadi unakuwa wapili? Hongera sanaaa sanaaa kwakweli

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 2 года назад

      @@janeshayo1667 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂

  • @davidwaziri8176
    @davidwaziri8176 2 года назад +8

    Kuti kavu 🔥🔥🔥🔥

  • @sammasadika9598
    @sammasadika9598 2 года назад +2

    Pole sanaaa kakagu yani kuaziya mm nianze kufatiliya Tiki TV sijaguswa kama kisa cha huyu baba nimeuzunika sana nakumwaga machozi yani yuwaeleza kwa hisiya sana Allah akupe subra kaka

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 2 года назад +8

    Hicho kisa cha kuachana na mke wako wakwanza nmecheka kweli kama mazuri vile ila dahh nyumba za kupanga zina vimbwanga nyie.

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣na uzuri imepata msimuliaji hapo kwenye mkaa minimecheka sana eti ndio uuzazi gani uo wa mkaa na iyo midonge ya nn🤣🤣🤣🤣😁😁😁😊

  • @dianadaudi3380
    @dianadaudi3380 2 года назад +6

    Kwahiyo ukaahidi kuoa halafu mwenzio kafukuza mume ili umuo halafu ukaoa mwingine hata mimi ningekufanyia hivyo.

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 2 года назад +10

    Nmependa kweli ulivyobananisha hapo kwa hakimu 😆😆😆😆😆😆

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 года назад +2

    Asante sana kwa mwendelezo

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 2 года назад +2

    Namshaur tu aende kufanya comedy anaweza Sana nahivo alivo na maisha sio mazur

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 2 года назад +6

    💃💃💃💃💃

  • @tatumzelela5515
    @tatumzelela5515 2 года назад +25

    Leo wakwanza naomba like zangu jamani

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 года назад +4

    Mzeee tubu kwa mola wako
    Maisha yako umepitia sana ktk ushirikina sana
    Milango ya toba ipo wazi

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 2 года назад +2

    Assalamualaikum, leo nimechelewa kidogo ila siyo sana 👏👏👏

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 года назад +2

    Duh pole sana Kuti kavu haya ndo maisha

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي 2 года назад +2

    Huyu baba anachekesha , akilia na hapo kwa talaka , hawajui wanawake , yaan anaongea to akikasirika 😂😂😂

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 2 года назад +3

    Ww baba usi ende tena kwa waganga

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 2 года назад +3

    Ya nne

    • @kalistamtanzania7220
      @kalistamtanzania7220 2 года назад +1

      Hata mimi nasubiri party 4 jamani maana imeninogea kwakweli

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 года назад +1

    Napenda sana story zako Kuti kavu lete part 4

  • @deneagrofarms5884
    @deneagrofarms5884 2 года назад +2

    Duuuuh. Tuwekee hiyo part 4 haraka.

  • @ibramrzebra1675
    @ibramrzebra1675 2 года назад +1

    Tanzanian people mnajuwa kujieleza hongera sana mzee

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 года назад +2

    Pole Sana Mzee usilie.

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 2 года назад +2

    AZANA INAKUSUTA KWA USHILIKINA ULIYOUFANYA PESA ZA MAJINI NDIYO LAZIMA ZILUDI KWA MAJINI UNAPENDA SANA USHILIKINA MTU MZIMA NA WAKE ZAKO WENGINE PENGINE UMEWATOA KAFALA FANYA UTUBU WEWE MZEE🇹🇿🇹🇿🙋

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 года назад +3

    Huyu mzee akilia mimi 🤣🤣🤣🤣🤣stori huzuni lkn kucheka lazima

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 2 года назад +1

      Umeona enhh mi nacheka halafu na huzunika kama story ilivo tangu mwanzo🤣🤣🤣🤣😂

    • @henrymassawe699
      @henrymassawe699 2 года назад

      Me too aiseeee

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 года назад +2

    Mahakama za Kiswahili miyeyusho

  • @dearmama4336
    @dearmama4336 2 года назад +3

    Anasauti kama zembwela

  • @aziza9093
    @aziza9093 2 года назад +2

    Kwakwza mm nimewah

  • @kikiswahili
    @kikiswahili 2 года назад +4

    🙊🙊🙊🙊🙊🙊

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 2 года назад +2

    Jamani huyu tuleteeni mpaka ya 10 mana mana tunae dana na story akilia tunahuzunika akiendelea tunafrahi kama kawaida ila tumejifunza pia

  • @Kekee9595
    @Kekee9595 2 года назад +3

    I wish huyu mtu anaweza kubali kuokoka afanyiwe deliverance kabisa. Ni mtu Ana Vision kubwa sana

  • @fatmakipingu1310
    @fatmakipingu1310 2 года назад +2

    Tiki tv Kia akili zaid

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 года назад +3

    Kilicho muuwa ni malipo ni hapahapa duniani ahera ni esabu.

  • @aziza9093
    @aziza9093 2 года назад +2

    Hastara ni insurasan

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 2 года назад +1

    Hata kama umeandika talaka 3na kumpa kwa siku moja hiyo ni inahesabika talaka moja kwa sheria ya dini

  • @janejombo4966
    @janejombo4966 2 года назад

    Poleeee babangu umepitia mitihani lakini mutegemee MUNGU YOTE YATAKUA SAWA

  • @DeboraUrassa
    @DeboraUrassa Год назад

    mungu akubarki shayo,upo vzur

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 2 года назад +1

    Ivii Kwan mtu akiwa wakwanza anapewa nin🤣Isjekuwa mm nakosa sijui.🤣

  • @lilianberitha9915
    @lilianberitha9915 2 года назад +1

    This is a good story teller...... 👏

  • @nelsonpatricioestanislaus7144
    @nelsonpatricioestanislaus7144 2 года назад

    Pole sana Kondoo.

  • @zaitunimwinuka6650
    @zaitunimwinuka6650 2 года назад +1

    Asante

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад

    Huyu mzee kwenye comedy upande wa kulia atafaa sana

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 2 года назад +2

    Makubwa

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 2 года назад

    Mzee nae anaonesha maneno mengi pia anauswahili sana

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 года назад +3

    Babu ananichekesha anavyolia bana

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 года назад

      Mi namuonea huruma jamani 😪

  • @mwakivoice4788
    @mwakivoice4788 2 года назад +1

    Et we ulikua nimepigwa na jembe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +1

    Pesa zote ujajenga Dar ww au ulikua kiwembe chini huko. Tylia hi Dunia kutikavu utaungua moto usipoacha

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 года назад +1

      😂😂 Halikuwa hana huo ujanja

    • @aishaabrahaman9957
      @aishaabrahaman9957 2 года назад +2

      Nimejifunza kitu ukipata hela wekeza ataa kwenye viwanja vitakusaidia

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 года назад +1

      @@Mpakauseme ujanja pamdomotu tantalila. Na wagangatu hahaa mtihani hadinamuonea huruma ila mmm badorohobyakutaka waganga anayo

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 года назад +1

      @@aishaabrahaman9957 Ndiyo hivyo nibola kuliko huyo alivyo fanya mabilioni eti anapanga kaibiwa malambili anapanga bado sibola angenunuanyumba angepangisha leo anaambuliakilio aliekula nao wamemkimbia vitoto vya miaka 19 mzeenoma

  • @aminasminaamina4200
    @aminasminaamina4200 2 года назад +1

    Guys I don't y am ever late

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x Год назад

    Mimi nimejifunza mengi kwako kaka

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 2 года назад

    Uyu baba yuko vizuri nimecheka xn mwanzo, pia kunauzuni xn

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад

    Wezi ni washirikina sana

  • @yasminathman7917
    @yasminathman7917 2 года назад

    This guy has gone through so much may our God see you through,with prayers everything will be okay, even if starting from zero, all the best bro!

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 2 года назад

    Ndugu wabaya sanaaaa 🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @mamananga2849
    @mamananga2849 2 года назад +1

    Maisha ya kuabudu waganga mabaya sanaaa

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 2 года назад

    Nimechoka kweli duh!

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 2 года назад +1

    Kaenda kufua chupi yake 🤣🤣🤣

    • @TradersEasyWay
      @TradersEasyWay 2 года назад +1

      uswazi hakufai walai...hahaaa! mtu ana anika michupi mchana kweupe 😂😂😂

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 Год назад

    Au kaka ulikua nguvu za kiume ndogo?

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 Год назад

    Story niyakwake aminituuuu

  • @maimunaabdallah1294
    @maimunaabdallah1294 2 года назад

    Huyu baba kinachomtesa ushirikina na umalaya.mpaka vimemtoa akili atupu kwanza milango ya toba ipo wazi

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 2 года назад

    Nawe pia unakiherehere cha mdomo nae

  • @akwilaisseri5312
    @akwilaisseri5312 Год назад

    Ukiamini uchawi kiasi hichi huwezi toboa kwy maisha

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Год назад

    Sasa utajiri gani wakati huna hata nyumba? Unatakiwa ukipata hela jenga nymb vitu vingine starehe

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 Год назад

    Mbona una muliza nikama haumuamini?????

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 2 года назад

    Stori tamu auchoshi

  • @vedastusnestory6060
    @vedastusnestory6060 2 года назад

    Kumbe adui ni ndugu yako !!!!

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Baba_Ben.
    @Baba_Ben. 2 года назад

    @tikitv tumeni basi part 4

  • @funnycomedyvines1467
    @funnycomedyvines1467 2 года назад +3

    Duhhh

    • @calisteremily6321
      @calisteremily6321 2 года назад

      Nakupa shauri njoo kwa yesu akupe maisha ya sasa na ya baadae kuurithi uzima wa milele..achana na ushirikina kabisa.