Tiki mmejuaje Yani hapa nilikua sina hata usingizi nikawa najiambia Yani wangeoosti part 2 niangalie gafla naingia nakutana nayo haki nimefurahi sana 👏👏👏👏
Ktk Dunia hii usimuamini mtu yoyote yule hata ndugu WA damu. Kama wewe umejaliwa na mwenyezi Mungu basi weka mikono yako kwa Mungu na umutegemee Mungu peke yake na umuombe akuongoze. Na kama una ndugu wabaya Hama kabisa na wasijue kabisa ulikohamia nenda huko wewe na mke wako na watoto wako tu na usihangaike kabisa na ndugu. Wewe na Mungu wako tu. Kila mtu na maisha yake na kila mtu alizaliwa peke yake. Wazazi watumie tu pesa kwa simu na kuwasiliana kwa simu basi wasijue uliko maana wao wakijua ndugu wanajua. Nenda kajenge maisha yako. Life is too short!
Mfalme YESU Kristo aishi milele na milele. Mimi naona anaitaji YESU KRISTO awe BWANA na Mwokozi wake, amuweke huru na atakuwa huru huru kweli. Kwa waganga na wachawi hakuna kitu chochote huko. Lakina ukipa YESU KRISTO unapata vyote. Huwezi kutajirika inje ya mapenzi ya MUNGU ambaye ni YESU KRISTO. Kitabu cha ufunuo : 3:7 inasema YESU KRISTO ndie iko na ufunguo na akifunguwa hakuna wakufunga na akifunga hakuna waiufunguwa. Na yohana :1:1-10 inasema passport YESU KRISTO hapakufanyika chochote. Asante sana na mubarikiwe na Bwana wetu YESU Kristo.
Subhanallah Allah atustiri, tumtegemee Allah anatosha na sio ushirikina Subhanallah Allahu akbar, na ndio maana Mali zimekupotea, so kwa sasa rudi kwa Allah na kumuabudu yeye ty na kumtegemea yeye tu na mambo yatakua sawa biidhnillah . Kevin ukisoma hii comment na aifanyie kazi kama yy hana smart phone.
Subhanallah mtihani ndio mana usililie utajiri wa mtu hujui siri ya mtu watu ni washieikina balaa na utajiri huu hauna mwisho mwema tumtegemee Allah ambae yupo hafi milele pole kwa mitihani nimejifunza mengi
Kumbe umewekwa Kinga ndio ukayaona hayo misukure kwa yule bibi WA mkaa. Sasa nakwambia umebalikiwa na Mungu kwa kuwa na mkono WA biashara lakini mala unaibiwa mala kisa hiki na kile harafu huendelei, hiyo nikwasababu unahiyo Kinga ya kukulinda ambayo ni ushirikina hutakiwi kuwa na Mungu na Kinga ya ushirikina ndio maana hufanyikiwi. Muombe Mungu akutakase na umfuate Mungu peke yake ndiye mwenye nguvu na uwezo. Mbele ya Mungu washirikina wote wanashindwa na utafanyikiwa Sana Kwa mikono ya Mungu peke yake. Nenda kautakase mwili wako.
Nikajua imeisha kumbe ndo kwanza story imeanza Yani huku ndo kutamu zaidi kuliko mwanzo kinachonifurahisha kelvin unaulizaga maswali yote na tunapata majibu Yani big up sana kwa hilo hatubaki na maswali kabisa yote yanajibiwa
Kweli wewe baba unabusala ambayo imetoka kwa Mungu. Ulifanya la maana kuacha mke asiyeoenda watoto wako. Wanawake WA jinsi hiyo ukiwa haupo nyumbani watoto wanateswa kuliko hata mtumwa na wananyimwa chakula. Na wengine wanakwenda kwa waganga ili kuwaua watoto wako. Na wengine wanaenda kwa waganga kuwafanya watoto wako wasifanyikiwe. Wanaume wote mlioa wamama WA kambo kwa watoto wako Ukiona tu kitu kidogo achana na huyo mwanamke
Natamani uokoke umpatie YESU CHRISTO nafasi ya maisha yako akukomboe. Ukifanyiwa deliverance utakuwa sawa kabisa. Sababu, nguvu ulizokuwa unatumia ukifanya kazi niza kishetani na lazima shetani akujie Mali zake. Mpe YESU KRISTO maisha yako na utafauru katika maisha.
Ni kweli hayo masharti nilishawahi kwenda kwa mganga nikaambiwa nisitoe mkono kwa mtu yeyote nikakutana na mzee nikatoa mkono dawa ikaharibika kilichonikuta Siri yangu
Ubaya wa haya maisha ni kwamba tu natoka familia duni lakini wengi wanaotamani tusifanikiwe ni haohao ndugu zetu Yani ukipiga tu hatua kidogo wao ndo maadui wako namba moja eeh mungu tusaidie
Sema Alhamdulillah hayo ni mapito mungu anakupangia kitu kizur usijute mungu anakupitisha yote huyo unakuamgalia je utashukuru au utakufuru sema Alhamdulillah
Masikini daàaaah polee sana kitu kilichokuponza ni waganga na ulitakiwa kufanya biashara yako ya machungwa ungefika mbalii ulianza kwa kasi sana na kujionesha kwa watu
Pole sana kaka yangu. Pamoja na bahati mbaya, ila pia mambo ya madawa ya kishirikina, baba alinionya sana. Kwani aliniambia hizo dawa za kishirikina zinaambatana na changamoto kama hizo. Zinakuwa zinawavuta sana maadui kwamaana zile nguvu zinakuwa zikitaka kuonesha activeness. Baba yangu aliniambia kama nikusaka nisake pesa tu maana anayetoa na anayelinda ni Mungu. Pole sana kaka yangu.🙏🙏🙏
Ata saa hii hujachelewa dugu unaweza jifunza driving aki pole sana shukuru mungu uko hai kuna watu wako na pesa ni wagojwa lakini wewe uko mzima bila ugojwa kwa ukweli kuanguka sio mwisho WA maisha mungu atakuinua tena 🙏
@@janeshayo1667 Kabisa shetani mjanja sana aliona mtu huyo ana nyota yamafanikio na yeye akaingilia kati na kwakuwa na yeye hana elimu ya dini ndio akapatikana, mtu huyo angelimshika Mungu tangu alipoanza bishara ya machungwa basi yote hayo yasingemkuta
Hao majini ndiyo wanatoa taarifazamtu ww unafikili walewaganga ndiyo wamjuemtu habarizao waowakinanani mpakawajue .. Usiende tena kule kwa waganga ni zambi utakufa sasa kwani unsogopa nini kuswari ukatubu kwauliyoyafanya ni mengi juaumemkufuru Mungu saana waganga kibao ushilikina umekuzidi unaonekana unaiiman na Dini yako na usipojilekebisha utajuta kuzaliwa kwani mganganae anaomva Mungu wenzio wanakuchukuliapeszako kwanjia zakishikina. Nakuonea huruma ila jilekebishe
Pole sana mzee WANGU kilichokuharibia ni ushirikina mzee lakini unawwza kutubia mzee na MUNGU ni mwingi wa kusamehe lakini huyo bro wako inasikitisha sana
Historia zake zinachekesha 😂😂😂 Ila nimrudishe nyuma pati 1 alisema yeye ni mshirikina na utajiri wa kishirikina ukikosea mashart umekwisha akichunguza ataona
Bwana kuti kavu don't regret. Wewe ni mpambanaji sanaaa na wala hukati tamaa na huyaoneii aibu maishaa. Kuna watu nawajua walikamataa pesaa sana na walipoanguka walikufa kwa stress,walipata stroke lakini wewe bado afya nzuri haya ni maishaa ila usikate tamaaa kabisaa kupata,kukosa na kupoteza ni sehemu ya maisha
Pole sana ila kwa sasa ungeachana na ushirikina hakika ushirikina ni kati ya dhambi kubwa mshirikina kusamehewa kwake ni kuacha shirk utubu kabla ya umauti kinyume na hapo ukipatwa na umauti ukiwa mshikina mtihan jitahidi kumuomba Mwenyeez Mungu ili upate kufauru hakuna kinachoshindikana kwake
Kwakweli nimejifunza mengi kupitia wewe , maisha ni kupanda Na kushuka , usiende kwa mganga muombe mungu msamaha Na anza upya wewe bado❤ unanafasi , na unavyosimulia bila hata hao waganga ulibarikiwa mkono wa kufanya😂 biashara , waganga ndo wamekuharibu ndo maana unayumba , mungu alishaweka neema kwako kulikua hamna haja😂 ya waganga , shida ni kutokuridhika Na kutaka mambo ya haraka haraka , lakin tunashukuru kwa story nzur inayofundisha Na pia mwandishi wa habari unaijua kazi yako mimi ningecheka mpaka ningesahau maswali ya kumuuliza maana anafurahisha akilia anahuzunisha akiadisia hatujachoka kwa kweli 😂
Yaan apewe hela Tena aende kwa waganga😳? KWANZA anatakiwa kuomba Toba na reheme juu ya dhambi ya mashtaka kutoka kwa baba yake ndo chanzo Cha kuharibikiwa kwake kimaisha ili Mungu amuondolee hiyo laana anaweza Kweli akawa hajatembea na hao wake za watu lakini hii ni vita ya kiroho
KASEMA MSHILIKINA NA ANAPENDA USHILIKINA SASA PESA ZA KISHILIKINA ZITAYAYUKA KAMA ULIVYOZIPATA MWAMBA KUTEMBEA NA MAMA YAKO MZAZI KUTAFUTA UTAJIRI WA MAJINI 🇹🇿🇬🇷
Kutazama part 01 ya Kuti Kavu bofya link 👇👇👇
ruclips.net/video/ZLxRzZQ5OtE/видео.html
Huyu baba ni storyteller mzuri sana Yani ni full package aisee sijutii bando langu one of the best story 2023
Kwakwer
Huyu baba story yake haichoshi kabisa Yani inachekesha inaburudisha na inasisimia this is the one of the best story
Hachoshi hata kidogo
@@kalistamtanzania7220 a
Hii story nzuri sana aisee Yani sijutii kabisa bando langu naenjoy tu
Hata mm
Tiki mmejuaje Yani hapa nilikua sina hata usingizi nikawa najiambia Yani wangeoosti part 2 niangalie gafla naingia nakutana nayo haki nimefurahi sana 👏👏👏👏
Nikajua ni mm tu peke yangu kumbe tuko wengi 💃💃
Gooood
Ktk Dunia hii usimuamini mtu yoyote yule hata ndugu WA damu. Kama wewe umejaliwa na mwenyezi Mungu basi weka mikono yako kwa Mungu na umutegemee Mungu peke yake na umuombe akuongoze. Na kama una ndugu wabaya Hama kabisa na wasijue kabisa ulikohamia nenda huko wewe na mke wako na watoto wako tu na usihangaike kabisa na ndugu. Wewe na Mungu wako tu. Kila mtu na maisha yake na kila mtu alizaliwa peke yake. Wazazi watumie tu pesa kwa simu na kuwasiliana kwa simu basi wasijue uliko maana wao wakijua ndugu wanajua. Nenda kajenge maisha yako. Life is too short!
Mzee ushauliwangu Rudikwa Allahufanye ibada achana na kupenda utajili omba ukipata pakulala unaAfyanzuri na unakula ukipata shukuru tulia kwani Dunia mapito
Kunawatu mko chapu jamani Yani kidogo niseme wa kwanza naombeni like khaaa🙌😳
😂😂😂🏃
Kweli pombe sio chai hadi baba yako anakusingizia umetembea na mama yako Allah atusaidie
Kweli pombe sii chai yaani ww😄
Mfalme YESU Kristo aishi milele na milele.
Mimi naona anaitaji YESU KRISTO awe BWANA na Mwokozi wake, amuweke huru na atakuwa huru huru kweli.
Kwa waganga na wachawi hakuna kitu chochote huko.
Lakina ukipa YESU KRISTO unapata vyote.
Huwezi kutajirika inje ya mapenzi ya MUNGU ambaye ni YESU KRISTO.
Kitabu cha ufunuo : 3:7 inasema YESU KRISTO ndie iko na ufunguo na akifunguwa hakuna wakufunga na akifunga hakuna waiufunguwa.
Na yohana :1:1-10 inasema passport YESU KRISTO hapakufanyika chochote.
Asante sana na mubarikiwe na Bwana wetu YESU Kristo.
Tulioangalia part one njooni ruendelee na uhondo jamani naona story inazidi kua 🔥🔥🔥
Tuko hapa hatupoi Wala hatuboi😆😆
Hatujabaki nyuma we are gere
Mm Nisha fika 😂😂🙏
Poresana kaka umepitia nanengi
Me nikiambiwa nisimulie sijui hata nasimulia nn hee kunawatu wanamikasa huku duniani 😞
Shukuru Mungu kama huna mkasa duniani
EVERY ONE HAS A STORY
TO TELL IN LIFE
BIG UP GUYS
MUCH LOVE FROM UGANDA
Subhanallah Allah atustiri, tumtegemee Allah anatosha na sio ushirikina Subhanallah Allahu akbar, na ndio maana Mali zimekupotea, so kwa sasa rudi kwa Allah na kumuabudu yeye ty na kumtegemea yeye tu na mambo yatakua sawa biidhnillah . Kevin ukisoma hii comment na aifanyie kazi kama yy hana smart phone.
Ushauri mzuri sana nimeupenda👏👏👏
Pole Sana, Binadamu wabaya, Mimi naomba mnipatie namba ya huyu baba nahitaji nionane naye.
Story tamu sana hii kama kawaida tunaendelea tulipoishia 👏👏
Tamu mno aisee Yani story nzuri na msimuliaji nae anajua kuisimulia vizuri sana yani
Tamu mno Yani nilivyoiona nikasema silazi damu,nikaenda kujaza na bando kabisa lisije nikatikia njiani
Subhanallah mtihani ndio mana usililie utajiri wa mtu hujui siri ya mtu watu ni washieikina balaa na utajiri huu hauna mwisho mwema tumtegemee Allah ambae yupo hafi milele pole kwa mitihani nimejifunza mengi
Achana na waganga... mwamini Yesu
Duh pole sana baba binadamu wabaya sana kikubwa usikate Tamaa tu muombe mungu yupo atakusaidia na kujibu maombi yako pole sana sana 😭😭
History hinaendeleya Pole na tumejifunza mengi 👍👍👍😢😢
ilibaki kidogo nikuulize kelvin muendelezo lini daah umenifurahisha sana aisee👏👏👏
👏👏
Kumbe umewekwa Kinga ndio ukayaona hayo misukure kwa yule bibi WA mkaa. Sasa nakwambia umebalikiwa na Mungu kwa kuwa na mkono WA biashara lakini mala unaibiwa mala kisa hiki na kile harafu huendelei, hiyo nikwasababu unahiyo Kinga ya kukulinda ambayo ni ushirikina hutakiwi kuwa na Mungu na Kinga ya ushirikina ndio maana hufanyikiwi. Muombe Mungu akutakase na umfuate Mungu peke yake ndiye mwenye nguvu na uwezo. Mbele ya Mungu washirikina wote wanashindwa na utafanyikiwa Sana Kwa mikono ya Mungu peke yake. Nenda kautakase mwili wako.
Huyu baba snajuhudi sana ya kazi bado anaweza kufanikiwa kikubwa nikutokukata tamaa tu
Nikajua imeisha kumbe ndo kwanza story imeanza Yani huku ndo kutamu zaidi kuliko mwanzo kinachonifurahisha kelvin unaulizaga maswali yote na tunapata majibu Yani big up sana kwa hilo hatubaki na maswali kabisa yote yanajibiwa
Daaah 😔😔
Asante tiki tv kwa muendelezo
Kumbe umefurahi kama mm
Kweli wewe baba unabusala ambayo imetoka kwa Mungu. Ulifanya la maana kuacha mke asiyeoenda watoto wako. Wanawake WA jinsi hiyo ukiwa haupo nyumbani watoto wanateswa kuliko hata mtumwa na wananyimwa chakula. Na wengine wanakwenda kwa waganga ili kuwaua watoto wako. Na wengine wanaenda kwa waganga kuwafanya watoto wako wasifanyikiwe. Wanaume wote mlioa wamama WA kambo kwa watoto wako Ukiona tu kitu kidogo achana na huyo mwanamke
Natamani uokoke umpatie YESU CHRISTO nafasi ya maisha yako akukomboe. Ukifanyiwa deliverance utakuwa sawa kabisa. Sababu, nguvu ulizokuwa unatumia ukifanya kazi niza kishetani na lazima shetani akujie Mali zake. Mpe YESU KRISTO maisha yako na utafauru katika maisha.
Kabisa, bado madhabau ya miungu inamuandama
Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wa jambo.una nafasi nyingine ya kutengeneza ila kwa Yesu tu pekee inawezekana.Mkenya ila nko warabuni pamoja
@@lilianmbeyu AMEN AMEN AND AMEN TO THAT. YESU KRISTO NI MUWEZA WA YOTE.
Bodaboda wengi wanakua na kasfa ya kutembea na wake za watu pole sana kwa yaliyokukuta kwa kweli
Ni kweli hayo masharti nilishawahi kwenda kwa mganga nikaambiwa nisitoe mkono kwa mtu yeyote nikakutana na mzee nikatoa mkono dawa ikaharibika kilichonikuta Siri yangu
Mkome mnaendaga huko kutafuta nn🤣🤣
My brother Shayo you never disapoint
Storry hata haichoshi na msimuliaji hachoshi na Mtangazaji pia💞💞💞💞💞💞
Ukiona mtu mzima analia ujue kunajambo
Kweli sana
Mambo kama haya ndo huwa nayapenda bandika bandua tumemaliza part one tinabandika part two mmenikosha sana 👏
Tupo wengi hua sipend kabisa kusubilishwa muendelezo
Ubaya wa haya maisha ni kwamba tu natoka familia duni lakini wengi wanaotamani tusifanikiwe ni haohao ndugu zetu Yani ukipiga tu hatua kidogo wao ndo maadui wako namba moja eeh mungu tusaidie
Utakunywa soda gani dear
Sema Alhamdulillah hayo ni mapito mungu anakupangia kitu kizur usijute mungu anakupitisha yote huyo unakuamgalia je utashukuru au utakufuru sema Alhamdulillah
Okoka tu...
Dah mthn inaskitishaapole sana mzee Allah akufanyie wepes ikiwa mungu hajapanga ww kufa hufi
Tiki Tv mambo ni 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Mdogo wake mwenye chuki yuko wapi na ana hali gani kimaisha?
😂😂😂Alipokua analia mi nilijua anakufa Mbavu kwa Kucheka 😂😂😂 Duuh
Hatari Sana
Kama mimi 🤣😍🤣
Pole sana ndugu yetu Kutikavu. Kwa kweli unatia huruma lakini Mungu yupo atakukumbuka tena. Pole sana
Pole waukae
Usijute maisha ungekuwa dereva ungeshapata ajali Mungu anajua mapito yako. Mikosi YAKO chanzo ni waganga achana na waganga utafanikiwa
kelv mm naomba namba huy kaka
Pole sana baba kwa misukosuko ya maisha hiyo story yako inafundisha sana tufanye kazi kwa bidii na kumtegemea mungu
Masikini daàaaah polee sana kitu kilichokuponza ni waganga na ulitakiwa kufanya biashara yako ya machungwa ungefika mbalii ulianza kwa kasi sana na kujionesha kwa watu
Pole sana kaka yangu. Pamoja na bahati mbaya, ila pia mambo ya madawa ya kishirikina, baba alinionya sana. Kwani aliniambia hizo dawa za kishirikina zinaambatana na changamoto kama hizo. Zinakuwa zinawavuta sana maadui kwamaana zile nguvu zinakuwa zikitaka kuonesha activeness. Baba yangu aliniambia kama nikusaka nisake pesa tu maana anayetoa na anayelinda ni Mungu. Pole sana kaka yangu.🙏🙏🙏
Mungu akusaidie
Ata saa hii hujachelewa dugu unaweza jifunza driving aki pole sana shukuru mungu uko hai kuna watu wako na pesa ni wagojwa lakini wewe uko mzima bila ugojwa kwa ukweli kuanguka sio mwisho WA maisha mungu atakuinua tena 🙏
I love ur job kevin
Huyu mtu ananibamba😂😂
❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hapakwabiy balaa
Maisha haya ni kama daftari. Ninafwatilia simulizi kutoka Kenya .
Ushirikina ndio uliokusababishia yote hayo yakakupata
Aamrudie tu mungu tamaa za Mali za kishirikina hazinaga mwisho mwema
@@janeshayo1667 Kabisa shetani mjanja sana aliona mtu huyo ana nyota yamafanikio na yeye akaingilia kati na kwakuwa na yeye hana elimu ya dini ndio akapatikana, mtu huyo angelimshika Mungu tangu alipoanza bishara ya machungwa basi yote hayo yasingemkuta
Hata mimi bahis😥
Na mimi nianze ibadaa tuuuh
Shida yetu wakenya hasaa mm , kiswahili hiki kinanipita , hadi aongee polepole ndio nitaelewa , 😂Tz mko na lugha ngumu
Mimi mkenya mbona naelewa vizuri tu
Pole pole utaelewa
Muombe mungu atakufungulia njia upya kabisa kwa kua hakuna jambo gumu lisilowezekana kwake mungu 🙏
🙏
Hao majini ndiyo wanatoa taarifazamtu ww unafikili walewaganga ndiyo wamjuemtu habarizao waowakinanani mpakawajue .. Usiende tena kule kwa waganga ni zambi utakufa sasa kwani unsogopa nini kuswari ukatubu kwauliyoyafanya ni mengi juaumemkufuru Mungu saana waganga kibao ushilikina umekuzidi unaonekana unaiiman na Dini yako na usipojilekebisha utajuta kuzaliwa kwani mganganae anaomva Mungu wenzio wanakuchukuliapeszako kwanjia zakishikina. Nakuonea huruma ila jilekebishe
Na mm nilitaka nishauri lakini kwa huu ushauri wako unatosha kabisa aufanyie tu kazi👏👏
@@habarikamili9408 Umeonaee
Pole sana tubia kwa uliofanya na tafuta mwalimu akusomee
Pole sana mzee WANGU kilichokuharibia ni ushirikina mzee lakini unawwza kutubia mzee na MUNGU ni mwingi wa kusamehe lakini huyo bro wako inasikitisha sana
Historia zake zinachekesha 😂😂😂
Ila nimrudishe nyuma pati 1 alisema yeye ni mshirikina na utajiri wa kishirikina ukikosea mashart umekwisha akichunguza ataona
Umejilogeka mwenyewe kwa waganga, tafuta Mtu akutoe hayo mauchafu ya waganga uanze upya na Mungu
Kwa kweli uyu baba story yake inafundisha sana pole sana babaang
Kitu cha kwanza alikame Ilo jina la baskeli. Koti kavu kuanguka....
Bwana kuti kavu don't regret. Wewe ni mpambanaji sanaaa na wala hukati tamaa na huyaoneii aibu maishaa. Kuna watu nawajua walikamataa pesaa sana na walipoanguka walikufa kwa stress,walipata stroke lakini wewe bado afya nzuri haya ni maishaa ila usikate tamaaa kabisaa kupata,kukosa na kupoteza ni sehemu ya maisha
Ushirikina ndio umemuangusha
Hicho kisa Cha hao waliovaa sanda nimeshawahi kukisikua kumbe ndo kilitokea maeneo ya huko kwenu
😱😱😱
Basi zile zilienda wapi
Hii ya Bia nimecheka mpaka basi, Allah atufanyie
Toa hizo chale walizokuwekea waganga ndio zinazokuletea nuksi, zinaitwa chale tochi zinamulika maisha yako popote.
Achana na waganga
Pole sana ila kwa sasa ungeachana na ushirikina hakika ushirikina ni kati ya dhambi kubwa mshirikina kusamehewa kwake ni kuacha shirk utubu kabla ya umauti kinyume na hapo ukipatwa na umauti ukiwa mshikina mtihan jitahidi kumuomba Mwenyeez Mungu ili upate kufauru hakuna kinachoshindikana kwake
Jameni ukiona mwanaume akilia sio mchezo woiye 😭
Story nzur sana lakin kitu kinacho nichekesha hapo Anapo lia tu 😄😃
Yani mwenzio analia we unacheka daahh😆🤔
Na mm kwa kweli nimecheka nisiwe muongo🤣🤣
Mi nimemuonea huruma😪
@@habarikamili9408 Unajua sijacheka kwakutaka voo Huo uliaji wake vihekesho🤣🤣
@@sabinakilian3176 🤣🤣🤣🤣Umeona eee
Da! simulizi laguza nafsi.
Kevin hongera Kwa kazi nzuri, watching from Nairobi Kenya ✌️
Natamani nikuchukue nikupeleke veta ukasome udereva alafu ukatoe izo Kinga zako ukasomewe kisomo
hahahahhahahahahahha...kuti kavu kakalia kuti kavu kwel...pale kwa mganga ndipo aliposhusha mafanikio yake..
Bro huna pesa lakini huko hai nguvu unayo mungu Ako pamoja na ww
Biashara yamadawa ikisambaratika juwa imeisha omba mungu yeye ndiye mweza wayote
We baba😂 una akiri yani tukuchangie uende kwa mganga umri wako ni wakumrudie mungu achana na ushilikina
👏👏👏👏safi sana
Kwakweli nimejifunza mengi kupitia wewe , maisha ni kupanda Na kushuka , usiende kwa mganga muombe mungu msamaha Na anza upya wewe bado❤ unanafasi , na unavyosimulia bila hata hao waganga ulibarikiwa mkono wa kufanya😂 biashara , waganga ndo wamekuharibu ndo maana unayumba , mungu alishaweka neema kwako kulikua hamna haja😂 ya waganga , shida ni kutokuridhika Na kutaka mambo ya haraka haraka , lakin tunashukuru kwa story nzur inayofundisha Na pia mwandishi wa habari unaijua kazi yako mimi ningecheka mpaka ningesahau maswali ya kumuuliza maana anafurahisha akilia anahuzunisha akiadisia hatujachoka kwa kweli 😂
Kumbe hadi ngende umeshafika kweli ww ni hatari
Waswahili upenda Sana ushirikina lakini hauwasaidii kuondoka na umasikini
Yaan apewe hela Tena aende kwa waganga😳? KWANZA anatakiwa kuomba Toba na reheme juu ya dhambi ya mashtaka kutoka kwa baba yake ndo chanzo Cha kuharibikiwa kwake kimaisha ili Mungu amuondolee hiyo laana anaweza Kweli akawa hajatembea na hao wake za watu lakini hii ni vita ya kiroho
Achana na waganga .pole sana kaka
Rudi kwako ukaendelee na kilimo
Hmmm! Miskule !!!! Zombies do not exist mzee umehangaika sana na maisha, mpka umechanganyikiwa. Mungu akusamehe bure🙏
Ipo siku utajua, hivyo vitu vipo ohooo
KASEMA MSHILIKINA NA ANAPENDA USHILIKINA SASA PESA ZA KISHILIKINA ZITAYAYUKA KAMA ULIVYOZIPATA MWAMBA KUTEMBEA NA MAMA YAKO MZAZI KUTAFUTA UTAJIRI WA MAJINI 🇹🇿🇬🇷
Kidole kimelowa kimelowa
Nimecheka ulivyo beua
Duh
Ngende pasikieni tu jamni msitamani kufika ndugu zangu kuna balaa zito huko
Kuna nn habu tuambizane mwenzangu tusije jichanganya bure
Ipo wapi iyo
Kuna mambo ulifanyiwa diyo walikuchanganya dawa yenye ulipewa isikusaidie yaani ukachanganyikiwa kufuata magizo woiye pole dugu
Utajiri wa ushirikina itakuwa sasa umekwisha nguvu
Nani kasikia komfidesho
Mimi naitwa levina je umeisha oha mimi natafuta mme
Tutafute kupitia +255 654 980 556 @tikitv
mwsndishi yani hujui kuwa ndo mchawi
Kama una nioe mimi
😭😭😭😭
Ndio sisi wanawake ni micharuko kweli hatuna dogo tunachambua km karanga
Mmh
demu ugonjwa wako 🤣🤣
mwandishi mgumu kuelew ssna
🤣😂🤣😂
I