RC MAKONDA AJIBU TUHUMA ZA KUHUSIKA NA SHAMBULIO LA TUNDU LISSU "SIKUWEPO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 47

  • @danielmwanjali2449
    @danielmwanjali2449 2 часа назад +3

    Mh. Makonda anaweza akawa anadhani ni siri yake. Mungu anaona sirini

  • @RamaHRIzmaelov
    @RamaHRIzmaelov 2 часа назад +7

    MAZUZU mnacheka tu

  • @adamhashayro3133
    @adamhashayro3133 2 часа назад +4

    We hata ujitetee vip umma hauwez kukuelewa

  • @deborahlagila6351
    @deborahlagila6351 2 часа назад +4

    Sasa kama Lisu mwongo wewe kamshitaki mahakamani

  • @mesharothuman2443
    @mesharothuman2443 3 часа назад +5

    Hakuna uhalisi wala ushawishi kwenye hili.Mwenye nguvu usibishiane naye. Mwenayeakili ameshaelewa.

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks 2 часа назад +2

    Mnajiona Mungu watu lakini mtakumbuka siku moja kuwa ninyi si kitu

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 2 часа назад +3

    Nyie wote mmekaa mnasikiliza maelezo hayo na suti zenu 😅

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 часа назад +3

    Usiyejulikana lakini nafsi inakusuta mswalie mtume huma lolote mahakama ya mafisiemu

  • @makobamasawemangu4122
    @makobamasawemangu4122 3 часа назад +6

    Kwa maongez yako tu kwa mtu mwenyeakir akikuangalia tu anajua tu umehuska

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 2 часа назад

      Aisee umetumia kipimo gani

  • @ifonlyiknew619
    @ifonlyiknew619 3 часа назад +4

    Huyu Mpuuzi Atajibu Kweli Kuwa anahusika Zaidi ya Siasa🚶

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 2 часа назад +3

    Uwe umehusika au hujahusika sio kesi, ila wote walihusika malipo ni hapa hapa duniani. Over.

  • @VailethKaali-hx8yh
    @VailethKaali-hx8yh 2 часа назад +4

    Jibu swali uloulizwa porojo nyingi za nin

  • @mesharothuman2443
    @mesharothuman2443 3 часа назад +3

    Mmembeba sana leo

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 3 часа назад +4

    Ipo siku ukweli utajulikana

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 3 часа назад +4

    Huwezi kukubali

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 3 часа назад +5

    Mahakama gani? Ya Tanzania??

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 часа назад +2

    Kwa nini ulipigwa marufuku kukanyaga USA?

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 2 часа назад +4

    yaani akutaje wewe kwa lipi nadhani huu mkutano upo kukusafisha

  • @mesharothuman2443
    @mesharothuman2443 3 часа назад +4

    Kwakuwasisi hatuna akili si ndio

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 3 часа назад +3

    Ningekuwa mzani ningepima uzito wa majibu.

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 3 часа назад +3

    Kamela mlizingoa ushaidi gadi tena

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 3 часа назад +3

    Hapa ni duniani, subiri mbinguni.

  • @CharlesMaghembe
    @CharlesMaghembe 2 часа назад +1

    Mh. Joseph Sinde Warioba, maoni ya wananchi kuhusu katiba mapya

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 часа назад +2

    We dini yako ni ipi hiyo tutajie kama una dini

  • @SelemanBilaly
    @SelemanBilaly 2 часа назад +1

    Ww ndo unamatatizoo cy lisuu

  • @jameskunogoleka5805
    @jameskunogoleka5805 Час назад +1

    Muongo huyu

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 3 часа назад +2

    Jibu sijalielewa.

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 3 часа назад +2

    Maji kulukaluka kwenye maharage

  • @JacksonMhali-s6o
    @JacksonMhali-s6o 2 минуты назад

    Ajui kujibu maswari

  • @andrew29468
    @andrew29468 2 часа назад

    at least Makonda ana ujasiri wa kutoka hadharani na kujibu maswali ya wa wana habari dalili njema za kiongozi anayejiamini

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 33 минуты назад

    Hata ajitetee vipi mpaka atoe na machozi watanzania wanajua fika mhusika mkuu ni yeye na hao wenzie

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Час назад

    Kumbe unashirikiana na ndugu Mbowe na Dr Slaa.
    Makonda kumbe uko na kati ya wana Chadema. Unashirikiana nao kuchafua Chadema. Kwa hiyo ndugu Lisu yuko sahihi ccm imewarubuni kati ya viongozi wa Chadema.
    Ningependa niwasikie ndugu Mbowe na Dr Slaa kuhusu alilolinena huyu Makonda. Katoa tamko lake kuhusiana na Mbowe na Dr Slaa . Ukweli ni ipi.

  • @mesharothuman2443
    @mesharothuman2443 3 часа назад +2

    False story

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 2 часа назад

    Majibu😂😂😂

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 29 минут назад

    Makonda huna aibu! Kwanini huruhusuwi kukanyaga USA?

  • @WilsonMtagwaba-h4d
    @WilsonMtagwaba-h4d 34 минуты назад

    Utabainika ukweli nifanye kichwa cha wendawazimu

  • @Babyvai-l2u
    @Babyvai-l2u 2 часа назад

    WANDISHI WENGINE MUSITUMIKE NA VIONGOZI WENGINE WA UPINZANI WA KISIASA 😂😂🇹🇿🇬🇷

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 12 минут назад

    Hamna lolote utetezi hauna mashiko!..

  • @MahanjiSanga
    @MahanjiSanga 34 минуты назад

    Makonda wewe ni mkrsto unavyo ongea .ujue IPO siku Kaka itajurikana

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 11 минут назад

    BWANA MAKONDA.....WATANZANIA SIO WAJINGA!

  • @adinanimohamed895
    @adinanimohamed895 2 часа назад

    Jibu swali wacha porojo

  • @BarakaWiliam-hx9nk
    @BarakaWiliam-hx9nk 5 минут назад

    Makonda kuma mama yako

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 30 минут назад

    Mi ccm mipoyoyo kibao

  • @evelina9621
    @evelina9621 3 часа назад

    Ww