#nenolasiku
HTML-код
- Опубликовано: 27 сен 2024
- JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV
Mungu akukumbuke Mtumishi. Tunakua kiroho Kwa mafundisho hata kama haupo nasi kimwili
Pastor Mungu akubariki,uliniobea nikapona,na nilikaa na hio shida for 20years lakini last year 2023 nikakutana na nguvu nza Mungu kupitia kwako.
Amen and Amen jina la Yesu lina nguvu
Amen glory to God
No yake jmn naipataje,, please
@@JackIbra-b3fnikutumie
Amen nimebarikiwa sana
Amina, Mungu akutunze pastor kwa mapenzi yake.
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa mafundisho mazuri.
Asante mtumishi ulinifunza jinzi shetan anasoma nyota anaiba anakuacha ukiangaika duniani
Ameeen
Asante
Mafundisho mazuri...Mungu akubariki sana Mch Katekela
Amen
Amen and Amen
Ubarikiwe
Amen 🙏
😂 Pamoja toka Kgm
Bwana Asifiwe naomba mawasiliano ya Pastor
Nakukumbuk 2016 ukiwa fpct hwaz kasulu
Tupo pamoja mch mambo ni mengi sana dah, tutapaje kupona sasa?
Pastor Amiel naomba namba
Bwana asifiwe! Pastor naomba namba yako
Naombeni namba za mawasiliano za pastor katekela
🙏🙏🔥💪
Pastor mbona mie hukupigia Sana simu na sikupati yaani hazipokelewi jamani nahitaji maombezi familia yangu ifunguliwe na Mimi pia nifunguke 🙏🙏
Jitoe mwaa umtafute kwa sim siraisi
Amen
AMENA 🙌🏾
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Napokea kufunguliwa leo kwa jina la Yesu kristo wa nazareth amen
Ubarikiwe
Amen ❤ pastor amiel