1 Gari bora sio bora gari 2 Dereva bora na si bora dereva 3 Miundombinu bora na rafiki kwa kwa watumiaji wote wabarabara 4 usimamiaji bora wa sheria za usalama barabarani ikiwa ni pamoja na elimu ya kutosha kwa waliopewa jukumu hili kisheria 5 Maslahi bora kwa Mmiliki wa gari Dereva Msimamiaji wa sheria za usalama barabarani Haya niliyoyaandika yakitimizwa kwa 100% Hutasikia neno linaloitwa AJARI Kuna mengi Sana ya kujifunza na yanahitaji marekebisho kuhusu sekta hii ya usafirishaji
Asante sana kwa mafundisho yenu mazuri Mimi ni mwanamke ninataka niwe dereva WA magari makubwa itawezekana
Mafundisho mazuri sana
1 Gari bora sio bora gari
2 Dereva bora na si bora dereva
3 Miundombinu bora na rafiki kwa kwa watumiaji wote wabarabara
4 usimamiaji bora wa sheria za usalama barabarani ikiwa ni pamoja na elimu ya kutosha kwa waliopewa jukumu hili kisheria
5 Maslahi bora kwa
Mmiliki wa gari
Dereva
Msimamiaji wa sheria za usalama barabarani
Haya niliyoyaandika yakitimizwa kwa 100% Hutasikia neno linaloitwa AJARI
Kuna mengi Sana ya kujifunza na yanahitaji marekebisho kuhusu sekta hii ya usafirishaji