Nakukubali mwl Ally injinia kabisa na mkufunzi malidadi mwenye taalum kamili darasa lako halichoshi na hautamani hata kwenda break dah allah azidi kukuimalisha katika taaluma yako
Baba mlezi Ally nimekuelewa vema Sana na naomba Sasa kupendekeza kwamba kipindi hiki ni muhimu kuliko kawaida kwani hii ni elimu kubwa kwa watumia barabara hvyo muda uongezeke walau uwe unazungumzia hata vipebgere vitatu kwani hapa Mimi binasfi umeniacha njiani nilitegemea kuendelea na safari mkuu🤣🤣
Baba mlezi Ally nakuamini Sana upande huu kwa umahiri ulio nao hiki ni kitu muhimu na Bora Sana na nimefurahi kukutana nawe humu. Mapendekezo kipindi kiongezwe muda kwani muda ni mchche Mimi nilishaanza kufunua daftari nianze kuandika nashangaa kipindi kimeisha mkuu🤔
Asaante mwalimu uko vzr
Mwalimu wangu Ally wewe Ni MTU Sana Tunakutegemea ili Tupunguze ajali za ovyo nchini kwetu
Tunàshukuru sana na nimekupata vizuri teacher ALLY naomba video zaidi na zaidi
Nakukubali mwl Ally injinia kabisa na mkufunzi malidadi mwenye taalum kamili darasa lako halichoshi na hautamani hata kwenda break dah allah azidi kukuimalisha katika taaluma yako
Safi Sana mwl,dereva yeyote akija Chuoni NIT Lazima atakuona tuu,kila laheri mkuu
Teacher @Ally ni mekuelewa vizur sana Big up 💪💪
Nimekuele sana Mr kilimila Asante kwa elimu
Hongera Mwalimu kazi nzuri
Big up, Mwalimu Ally
Pamoja kaka @Ally big up
Mwalimu wetu Ally ni mtu na nusu asee🙏🙏🙏🙏🙏,,.
Big up teacher Ally nakupata vizur
welcome
Asante mkufunzi, ila mtangazaji tamka vizr GARI SIO GALI, zingatia matamshi
Pamoja Sana mwalimu Ally
Nimekuelewa vyema .mwalim Ally
Teacher unapenda kazi yako,mungu akuzidishie
Amina
@@kyandotv1468teacher naomba no zako
Asante kwa elimu ndugu.
Pamoja sana sir ally
Amina
Teacher Ally...Amesomeka
Mimi na kukubari mwalim
Shukrani eng ally unazidi kutuelimisha
Teacher nawakubali sana mnatoa vituvizuri
Baba mlezi Ally nimekuelewa vema Sana na naomba Sasa kupendekeza kwamba kipindi hiki ni muhimu kuliko kawaida kwani hii ni elimu kubwa kwa watumia barabara hvyo muda uongezeke walau uwe unazungumzia hata vipebgere vitatu kwani hapa Mimi binasfi umeniacha njiani nilitegemea kuendelea na safari mkuu🤣🤣
Good 👍
🚗🚗🚗
Yanga
Namba ya huyo mkufunzi naiihitaji tafadhali
Huyo mwalimu kanitren kwenye mtihani wa NIT pale mbalizi mbeya intake ya 390 yuko vizuri Sana huyo
Mistari myeupe iliyochorwa kwenye barabara ina maanisha nini?
tutafanya kipindi soon
Naitaji number ya kyando
0762244647
Good
Baba mlezi Ally nakuamini Sana upande huu kwa umahiri ulio nao hiki ni kitu muhimu na Bora Sana na nimefurahi kukutana nawe humu. Mapendekezo kipindi kiongezwe muda kwani muda ni mchche Mimi nilishaanza kufunua daftari nianze kuandika nashangaa kipindi kimeisha mkuu🤔
Tunamaswali jamani tuweke wap?