BRENDA FASSIE MALKIA wa MUZIKI alieishia kwenye UTEJA na USAGAJl.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 дек 2023
  • КиноКино

Комментарии • 57

  • @zairaisaid6389
    @zairaisaid6389 6 месяцев назад +6

    Mimi uyu mdada brenda nilikua namkubali sana kutokana na nyimbo zake kalbia ya nyimbo zake zote nazipenda ata ukiniamsha usingizini ukiniambia nitaje majina ya wasanii kumi bora kwangu uyu mdada brenda akosi katika list hiyo ya kumi bora

  • @veronicanyakire9807
    @veronicanyakire9807 6 месяцев назад +25

    Mambo yakutuma salamu yananikera mno binafsi, ndiyo maana nasogezaga mbele ukifika kwenye hizo salamu zako!!!

    • @christinamwangoc4779
      @christinamwangoc4779 6 месяцев назад

      😂😂😂😂

    • @yassirgiya6743
      @yassirgiya6743 6 месяцев назад +1

      Salamu ziwe mwisho wa video

    • @hassanmoalimmuse6014
      @hassanmoalimmuse6014 6 месяцев назад

      Wazamin jamani

    • @felixrumisha5132
      @felixrumisha5132 6 месяцев назад +3

      stay positive tu, unajua nn, kifupi unapata stor nzur bila kulipia chochote, so kuna mbinu nying waandaaji wanafanya ili kujipatia kipato cha kusogeza maisha yao pia

    • @kingsika8138
      @kingsika8138 6 месяцев назад +1

      So lazma uangalie kama hutak acha watu wanatfta hela

  • @Bigcharque
    @Bigcharque 6 месяцев назад +3

    Mm nakubali sana VUNDLELA

  • @sheebahchichi492
    @sheebahchichi492 6 месяцев назад +1

    I just love the way talk I love voice those two things they made me to follow you

  • @user-op7zl7fo1r
    @user-op7zl7fo1r 6 месяцев назад +5

    Ninaomba story inayoeleweka na ya ukwel kuhusu RKELLY

  • @sijaolomi
    @sijaolomi 6 месяцев назад +2

    Vumbile kama nimekosea nakuomba unisahihishe tumeucheza sana mwaka 2000 kwenye maarusi mwingi na ubarikio tusimuukumu kwa Matendo yake inawezekana kwa kuachika mama yake kupoteza maisha akakosa mtu wa kumshauri na kumpa ujasiri ndo akajikuta amepata msongo wa mawazo ukampelekea kufanya vitendo vichafu sodoma na gomora na uraibu wa drags tumuombee apumzike kwa amani Amina

    • @AlfredSenkondo-mi3wf
      @AlfredSenkondo-mi3wf 6 месяцев назад

      Vullindela wena mangiyabiza msubanoomona eee ujongile this time Maghadifelle usenzo see ezemshwaden

  • @geoffreymuriithi1279
    @geoffreymuriithi1279 5 месяцев назад +1

    Salamu jiwekee mwenyewe, ni za upuzi

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 6 месяцев назад +1

    Soon very soon ndo wimbo wangu pendwa

  • @marsdidas5733
    @marsdidas5733 6 месяцев назад +2

    Jamani mars didas ndio mimi, nimezipokea salam

  • @oceankid4336
    @oceankid4336 6 месяцев назад +1

    Nice

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 6 месяцев назад +1

    Nice✌

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @abduldjay3034
    @abduldjay3034 5 месяцев назад

    ag a shame lovely , nomakanjani ngoma nazikubali sana hzo kutoka kwa malkia brenda fassie Mungu aendelee kumrehemu

  • @martinfrancis9808
    @martinfrancis9808 6 месяцев назад +1

    Bongofasta sichokiii kuisikiliza Ishi Sana Justin shed

  • @Time_Traveller2094
    @Time_Traveller2094 6 месяцев назад +2

    Justine is a beast

  • @deekendi191
    @deekendi191 6 месяцев назад +2

    Usihukumu watu, you never know watu wanapitia nini, comments comments

  • @Paschalmachang
    @Paschalmachang 6 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 6 месяцев назад +1

    👊✌👍.

  • @OmarMasud-yx8ls
    @OmarMasud-yx8ls 6 месяцев назад +2

    f1

  • @emmanueldionismbena3461
    @emmanueldionismbena3461 6 месяцев назад +1

    Dah! Jaman huyu dada ndio amekuwa hivyo

  • @jumahalifa6436
    @jumahalifa6436 5 месяцев назад

    KERO NI MATANGAZO NA KUTUMA SALAM MKUU HAYO HATUANGALII NIKEROTU

  • @GasperDanielkulaya-jf7ct
    @GasperDanielkulaya-jf7ct 6 месяцев назад +2

    Sas twende kazi 🔥🔥🔥🔥

  • @abdultandala6576
    @abdultandala6576 6 месяцев назад +1

    Jastin uwe unaweka kionjo chochote cha wimbo wake unaposimlia story ya msanii ili kuweza kumjua kiurahisi ,,

  • @MoanaMunirah
    @MoanaMunirah 23 дня назад

    Naombaaaa salamu ziongezewe mudaaaaa 😂😂

  • @user-xl9oi3cl9c
    @user-xl9oi3cl9c 6 месяцев назад +5

    Maranyingi nikikuomba utengeneze marlezo kuusu movie yalimbali unanilenga kama nimalipo twambiyr

    • @malkiawafizi2394
      @malkiawafizi2394 6 месяцев назад +1

      Kweli na mimi napenda nijuwe kuusu filamu ya Limbali.

  • @JoachimuJoejo-lk4cr
    @JoachimuJoejo-lk4cr 5 месяцев назад

    Mimi naupenda nyimbo yake ya baby ukiusikiliza uwo wimbo bado ni wa moto mpka sasa

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 5 месяцев назад

    Madawa ya kulevya yamekuwa tatizo jamani

  • @sylasmusic6773
    @sylasmusic6773 Месяц назад

    Vulindella inatisha sana

  • @zainabuliza2664
    @zainabuliza2664 4 месяца назад

    Hivi kwanini uliamua hivyo mrembo

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 6 месяцев назад +1

    Ndoo faida ya dawa bado chidi benz

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 6 месяцев назад

    VULINDLELA

  • @gracenjeri1311
    @gracenjeri1311 6 месяцев назад +1

    Vulindlela

  • @user-xl9oi3cl9c
    @user-xl9oi3cl9c 6 месяцев назад +2

    Sawa sawa

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 6 месяцев назад

    Wewe usio penda salam basi imekula kwako

  • @yonamwakamele
    @yonamwakamele 6 месяцев назад +2

    Daah kwa maon yangu salamu ingewekwa mwishon kabisa mwa story

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 5 месяцев назад +1

      Uliona wapi kwenye harusi mnaanza kula kwanza

  • @dikodikson559
    @dikodikson559 6 месяцев назад

    Sogea nikupambe

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 6 месяцев назад +2

    Ninaomba utafute stori kuhusu jastini kalikawe

    • @ramadhanmasiku4105
      @ramadhanmasiku4105 6 месяцев назад +1

      yaan huyu mwamba hakuwa na bahati kabisa hazungumzwi wala nyimbo zake hazpigwi wala hamulikwi

    • @innocentkomba243
      @innocentkomba243 6 месяцев назад

      Ni kwel kabc yan ndug

    • @innocentkomba243
      @innocentkomba243 6 месяцев назад +1

      Me natafuta sana nyimbo zake

    • @innocentkomba243
      @innocentkomba243 6 месяцев назад

      Km unanyimb zake naomb unitumie kaka

    • @ramadhanmasiku4105
      @ramadhanmasiku4105 6 месяцев назад

      @@innocentkomba243 Nipe no ya wasap nikupe- ningekuwa na mabawa ningeruka kama ndege......