Kwa Kweli nimepata elimu kwa hii video mama asante sana, mungu akupe moyo zaidi ufanikiwe katika Shughuli zako za Kila siku na akupatie afya nzuri daima.
Asante Dada. Nime subscribe. Naomba kuuliza umelinganisha kuroiler na kuku wa kisukuma. Mimi napenda kienyeji naomba msaada . Kuna shida nikiduga wa kisukuma badala ya Kuroiler? Naomba msada
Nitashukuru pia ukifuatilia hiyo kampuni ya vifaranga kama wataweza kuniletea Hata kama ni fertile eggs niweke kwa incubator yangu hapa nyumbani. Niko na incubator ya mayai 200 Hizo itakua takriba tray 7 . Niko Tayari kununua mayai Pia maana usafirishaji wa vifaranga naona itakua changamoto maana pia huku kenya niko maeneo ya mbali mkoa wa pwani sehemu inaitwa Lamu. Mayai yanaeza Nifikia kwa siku 3
Thank you, they can send you firtile eggs so this is my WhatsApp number come on my WhatsApp. so that I can connect you to the company. +225752734210 massage me any time.
Napenda sana jinsi unavyoelezea. Unaelezea vizuri sana
Kweli? Nashukuru kama mnanielewa🌹🌹❤️❤️🇹🇿🇹🇿
Hongera sana kwa good explanation
Asante.
Kwa Kweli nimepata elimu kwa hii video mama asante sana, mungu akupe moyo zaidi ufanikiwe katika Shughuli zako za Kila siku na akupatie afya nzuri daima.
👏👏👏Ameeeen.💕💕💕💕
Naomba namba yako je pillet ukilisha kuku na start yakawaida je niwapi wanakua araka
@@natashamwenera2874 pellet
Asante kwa elimu my dear
@@HusnaMaridadi 💕💕🙏🙏
Shukran dada. Nimejifunza mengi sana
Asante nashukuru nafurahi kusikia hilo.🌹🌹🌹🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Asante
@@sararutonda2072 🙏🙏🙏
Mama Asante kwakuelimasha jamii
@@edisonkivike8368 🙏🙏
Asante dada
Asante❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ume upga mwingi mama rao
Mungu akutunze👏👏👏👇👇
Umeelezea vizuri hizi tofauti za kuki.
@@pendosailo1989 🙏🙏🙏🥰🥰
Samahan. Naomba namba ya mawasiliano. Zaad.
@@StephanoStephanochanga IPO hapo juu kwenye picha👆
❤️
@@astidijakashemeile1918 🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰
Mimi niko dar nawapataje hao kroila
@@MaryKaale-ek6fn hukohuko Dar
Uko vizuri sana Nakushauri Anzisha Group la what's App la Wafugaji kuku
Asante dear,👏👏🧎🧎lipo group Kwa kiingilio
@@KADALAtv255 kiingilio group lako la watsap ni bei gan?
Na ukikuta hali hiyo kwa aliyepandwa akashindwa kuamka utampa huduma gani
Mawasiriano nipe namba zako
Naomba darasa la kujifunza
Karibuuuuu♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nimekuelewa
Asante saaaana♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Big up nimepata somo zuri sn
Asante
Asante madam
Naomba no yako madame
☝️☝️☝️
Mm ninafuga kuku wa kienyeji nakichotara dawa ya trimafarm na amin total au kunanyingine
@@JasmineLwangisa Sikiliza video vizuri bana. Hizo hizo
Somo zuri dd
Asante sana Bry
Hongera sana Dada uko vizuri sana unapatikana wapi hapa Dar
M9ROGO
Morogoro
Kilombero Morogoro karibu🌹🌹🌹🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏
Kwa nini hutoi namba yako dada
Nimechoka kushambuliwa kwa simu utadhani wanalipa ada kwangu
Asante Dada. Nime subscribe. Naomba kuuliza umelinganisha kuroiler na kuku wa kisukuma. Mimi napenda kienyeji naomba msaada . Kuna shida nikiduga wa kisukuma badala ya Kuroiler? Naomba msada
@@alexntahiraja2974 Hakuna shida wewe kujua nini hasa unataka kupitia ufugaji huo
Wow sister. Nashukuru kwa kusoma swali langu mapema namna hii. 🙏
@@KADALAtv255 nilitaka mayai na nyama.
@@alexntahiraja2974 🥰🥰🥰🙏🙏🙏
@@alexntahiraja2974 okey
Uko vizuri ila hututendei haki hutaki kutoa no yako
@@ZubedaAbdallah-s5p Ipo hapo juu my dear
Kama nitawapa chanjo ya tatu moja haitoshi kila bada ya miezi minne
@@harithpusuleiman1472 jaribu
Samahani mimi nafuga saso lakin lengo lilikuwa mayai.. kwahio unanishauri nibadili nichukue kloiler?
Kama shida ni mayai ya kuuza basi fuga Layers. Kuku wa mayai♥️♥️
Dcp ni nini hicho
@@abdulhabibu1011 Sikiliza video vizuri utaelewa.🥰🥰
Na mimi nipo morogoro nahitaji saana kukuona kwa ushauli naomba namba yako tafadhari sisi ni wadau wako kwa nini hutoi namba,shida ni nini?
@@ZubedaAbdallah-s5p ☝️☝️
Kadala una maelekezo mazurictatixo upatikanaji wa namba yako ni mgumu saana
Kwasababu watu wananitumia vibaya na kudai ni lazima niwahudumie kwa simu ni kama wananilipa
Nahitaji sasso Mia moja vipi ni sh ngapi vifaranga?
@@annafesto4932 Sijui mimi sina kwa sasa tafuta kampuni🥰🥰
Namba yako ni muhinu lakini hutoi namba
Watu wananioa ndio maana nimeitoa
Naomba kujua aina ya mabanda kwaajili ya ufugaji wa kuku sasso
Angalia huko chini utaona MABANDA yanajengea
Angalia huko chini utaona MABANDA yanajengea
Nitashukuru pia ukifuatilia hiyo kampuni ya vifaranga kama wataweza kuniletea Hata kama ni fertile eggs niweke kwa incubator yangu hapa nyumbani. Niko na incubator ya mayai 200 Hizo itakua takriba tray 7 . Niko Tayari kununua mayai Pia maana usafirishaji wa vifaranga naona itakua changamoto maana pia huku kenya niko maeneo ya mbali mkoa wa pwani sehemu inaitwa Lamu. Mayai yanaeza Nifikia kwa siku 3
Thank you, they can send you firtile eggs so this is my WhatsApp number come on my WhatsApp. so that I can connect you to the company. +225752734210 massage me any time.
@@KADALAtv255 nimekutext WhatsApp lakini message haziingi upande wako
Ndugu ulio LAMU upo sehemu gani?
Naomba namba yako
Angalia kwenye reply ya comments zilizotangulia kwenye video hii hii utaiona mpenzi. Karibu
Bibieee upo vizuri nakufatiria vizuri youtube
Nachanganya DCP kiasi gani kwenye maji mpendwa wangu
Mimi Niko DRC nafwata Sana darasa Yako ya ufugaji wa kloiler n'a sasso
Bamba Yako ya simu afadhali
Ipo hapo juu kwa profile☝️☝️☝️🥰🥰🥰
Ninaomba msaada
🥰🥰🥰
Kroila wanataga muda gani. ?? Na je. Wana atamia au wanataga muda wote??bila kupumzika??
Sikiliza videos
Habari na mimi nipo morogoro wewe morogoro upo kwa wapi?
🥰🥰🥰
kuku wangu wana miezi miwili naona wanashida miguu wanakula wamelala
Kupooza
@@KADALAtv255 Niwafanyeje sasa au niwape dawa gani
@@bellakwayson4982 Mimi sio Daktari nenda dukani ukawaeleze hiyo hali mapema watakupa dawa . Uwatenge wale ambao tayari wameathirika
Unapatikana WAP mama!?
Nipo Morogoro Kilombero Sugar
Karibu
@@KADALAtv255 naomba namba tafadhali
Asante kwa elimu nzuri sana
Nimependa sana elimu