Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Ahsante soso 100 wanakula mifuko mingapi ya sitata kwa mwizi moja
Nimekuelewa vizuri,nimefurahi pia kwa ratiba yako ya Ibada,ubarikiwe.
@@STEPHENKIJANGA 😁😁🥰🥰🙏🙏
Shkamoo teacher bonge👏
@@ambokileosward8850 unanikosea sana sio jina langu
Mimi naombla namba
❤❤❤❤❤❤❤
Mzima dada! Nahitaji vifaranga vya saso nitapataje
Asante sana kwa darasa
@@edwardmwankemwa3877 🙏🙏❤❤
Nimekupenda dada asante
Nawapenda wooote pia🥰🥰🥰
Asante umenisaidia sana
@@elizamartin2150 🙏🙏❤❤
Nitakupigia unielimishe vizuri madam ,Mungu akubariki sana
🙏🙏🙏
Nakupenda sana madam
Nakupenda sana
Sasso na Kuroiler ni gani wanataga vizuri zaidi
Kuroiler
Unaeleweka sana my dear ❤❤❤
Thankyou madame,
@@evancekimath7405 🙏🙏❤❤
Asante kwa elimu,nahitaji vifaranga vya SASO nipataje mwasiliano yenu?
Unapatikana wapi mm nataka saso vifaranga
@@ummuhassan2268 Tafuta kampuni ya wazalishaji
Asnte dia
🙏🙏
Asante sana kwa darasa tunasubiri darasa la dawa na vitamin za kutumia kwa sasso halafu nifanyeje sasso wangu waache kukandamizana maana napata vifo vingi kwenye kukandamizana
Nafasi ya kutosha na joto kwenye chumba♥️♥️
@@KADALAtv255 sawa asante sana na vitimin nzuri ya kutumia ni ipi
@@mustafajuma-i6g Angalia video zilizotangulia
Namba jamani
0752734210
Haya hiyo hapoufurahi sasa uache kunung'unika🥰🥰🥰 niliitoa kwa sababu ya makwazo🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿
❤ namba za cm wapi, hata za WhatsApp nikuonyeshe nilivyoandaa pakufugia sasso jaman
@@RamadhanKitama hapo juu
Naomba namba ya simu iliyopo whatsap naitwa Mch Stephen Kijanga Asante
@@STEPHENKIJANGA ipo hapo juu
Asante 🥰 nafuga Sasso huku Kenya. Je watumia broiler grower pellets ama kienyeji grower pellets ?
Ya Broiler ile utumie♥️♥️
Unaweza kuwapa grower wakiwa na wiki tatu
Caroline pia nami natoka Kenya kampuni Gani inatoa Sasso hapa Kenya? Nahitaji
Naomba vipimo vya kuchanganya chakula cha miezi 3
Wewe fanya hesabu bwana
Tuandikie vipimo (ratio) ya kuchanganya chakula cha miezi 3
Sikiliza video zilizotangulia
Au unapatikana wapi?
Tunaomba mchanganyiko Wa chakula Wa miezi 2
Hiyo hesabu ufanye tu mwenyewe
Namba dada tuje kukutembelea
Ipo hapo juu.
Dada kwa mfano nikiwa na kuroila 500 kwa wastani naweza kupata mayai mangapi kwa siku??????
@@abbywaziri7725 Hilo swali mtambuka fanya hesabu mwenyewe
ASANTE KWA SOMO ZURI.NAOMBA KIPIMO CHA KULISHA CHAKULA KUKU SASO 100 KUAZIA MIEZI 3 NA KUENDELEA
@@filipinadaud885 Hicho Sina fanya mwenyewe Ila wape session mbili tu asubuhi na joining wasishinde wana kula kuwa no ukiwapa na wakimalize chote
Ukizima taa panya.wanashuka sio hatari
😁😁😁kwani unafuga panya?
Kati ya sasso na Kuroiler ni gani wanataga vizuri?
Tupe bajeti ya kuku sasso 100
@@amanzuberi2138 😭😭😭
Unaongea sana
Je kwa kuku mia moja unarisha mifuko mingapi stata na grower mifuko mingapi?
Scrow down kwenye Sasso utakuta idadi ya chakula
Wiki tatu uweza kuwachanganyia chakula
Fanya hesabu tu

ASANTE KWA SOMO ZURI.
NAOMBA KIPIMO CHA KULISHA CHAKULA KUKU SASO 100 KUAZIA MIEZI 3 NA KUENDELEA