Hahahahha nimecheka mpaka mbavu zinauma joti nikiboko aise kazi nzuri sopa na mama dame big up wamefanya kazi vizuri km wazazi wa andunje nimecheka kwa kweli
kweli, baba akigoma mtoto asile chakula mama hufanya juu chini ili mtoto ale...na miongon mwa ujanja n huo wa kupewa ndoo ya maji ili ulete maji....big up sana
Imenikumbusha uwai wa mama angu kuna siku baba alinipiga akasema nisipewe chakura mama akanituma kisimani akaniwekea chakula kwenye ndoo daah akuna kma mama MUNGU akupunguzie hathabu ya kabri mama angu🤲🤲🤲😭😭
Kkkkkkkk nafurahi Sana Baba alivio kunasa hata mm ningekuwa Baba yako ao mama yako singekudekeza yaaani katoto kakorofi haki ya MUNGU 👌 kkkkkkk unaniuwaga mbavu sana ww Andudje
Hakuna Kama Mama ❤️❤️❤️
Heshima kwenu wamama wote Duniani 🙏🙏🙏
Mama Dame, unankumbsha mamaangu nahisi kulia nkikumbka alivoteseka kunilea, 😭😭😭, you guys deserve a present for sure.
Hakuna kama Mama kabisa! Yaani kaweka chakula kwenye ndoo mtoto wake apate kula . Mungu abariki wamama wote duniani.
Nakubali🙏🙏
Ishanitokeaga sana tuu hii ishu yakufichiw chakul ...Mungu awajaalie maisha marefu Mamazetu
@@isaazam8778 ❤ Mama yako ni super woman ,God bless her 🙏
@@innocentcoster5884 🙏🏾
@@Zawadi-1 🙏❣️
Big up sana broo kwa kazi unazofanyaaa unawatumia good actors and actress congratulation nacheka sanaaaaa mimi
Aisee, weeh ni MASTER.
BONGO NZIMA ,SIJAONA KAMA WEWE👏.
Kweli akuna Kama mama ilove you my mumy gonga like APA Kama unampenda mama!!🙏🙏❤❤❤
Huyu Ni Mamaangu Kabisa. Mungu Awatunze Sana Mama Zetu!
😅😅😅😅
2 Wathesalonike 3:10
Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.
Hahahahha nimecheka mpaka mbavu zinauma joti nikiboko aise kazi nzuri sopa na mama dame big up wamefanya kazi vizuri km wazazi wa andunje nimecheka kwa kweli
Nishai, , on 🔥🔥 sopa big brother...💯🙏💪
Ndo maana mama anaongoza nchi 😆😂😂😂
kweli, baba akigoma mtoto asile chakula mama hufanya juu chini ili mtoto ale...na miongon mwa ujanja n huo wa kupewa ndoo ya maji ili ulete maji....big up sana
Imenikumbusha uwai wa mama angu kuna siku baba alinipiga akasema nisipewe chakura mama akanituma kisimani akaniwekea chakula kwenye ndoo daah akuna kma mama MUNGU akupunguzie hathabu ya kabri mama angu🤲🤲🤲😭😭
Uko sawa bro mi namkubari Joti
Nani Kama mama 😍😍😍😍
Akuna Kama mama kwa kweli
Piga kelele kwa mama wote duniani💕💕💕💕
Uko Vizuri sana Bw. Mdogo, Nimecheka😂
Pumzka kwa amanii mama angu kipenzi maan ushanifichiag xana chakula kipenz chNgu
Aki u guys the best in comedy.. Big ups 🎉🎊
I love them too
Dah kiboko kwel namkubal Sana anafanya Kaz nzuri hajawah kukosea joti
Nawapenda wote sanaa mnanifrahixha kwer kama unapenda kama me love mama like APA💕💕💕💕💕
Kali hii zaidi ya hatare....all the way from Nairobi Kenya
Hahaaa nimeipenda hasa pale ukifuta naanza tena enzi za dingi yangu hizo hahaahaa na mama ndo kila kitu kwa kweli
Hajavimba matako huyo andunjee🤣🤣
Mama mungu amuweke
Amecheza kama p3l3
🤣🤣🤣🤣 andunje nyauu ww 🐈⬛
Nenda ukapewe pole 😂😂
🤣🤣🤣🤣 mtoto mwenyewe Hana nidhamu
Mama anajaribu kumtetea mwanae Andunje,,, hahahaaaa uchungu wa mwana
Nzuri sana
Hakuna kama mama, amemrushia CODE 😂😂😂😂
Kkkkkkkk nafurahi Sana Baba alivio kunasa hata mm ningekuwa Baba yako ao mama yako singekudekeza yaaani katoto kakorofi haki ya MUNGU 👌 kkkkkkk unaniuwaga mbavu sana ww Andudje
Njoo nikupe pole we njoo😂😂😂
Andunje anaonyesha kakorofiii 😂😂😂
Lucas mhuvile nimekuita jina lako la ujanani haaaa Mzee mrisho
😀😀😀 izoo Fimbo sopa unatukumbusha shule
Nami leo nataka like mbili tu
Honja kidogo upate raha🤣🤣🤣🤣
Oyaaaa hizi stiki zinaaa ingiaa kwli aseeh sio poaa.,
Kwli kuigiza ni moja ya kazi jmni
Polee San @andunjee daaah 😂😆
SOPA 🤳🏻🤳🏻Naona MLISHA SAHAU UMEMUITA MAMA DAME😂😂apo ni mama anduje bhna
Anawatoto wawili😂😂😂😂
Daddy Mjeshiii duuuh mimi Baba wahivyo simtaki hata bule😎😎😎leo na cheka kistar cheko la Eid MUBARAQA🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Always up
Sopa ana roho mbaya sanaaa.
Namimi naombeni like nilie sikuuuu
😲duu😂😁
We wakiume ujue
Oyooooo
Alierudia kipande cha mauno like hapa😅😅
Mna vituko nduji mwenyewe .hasikiyi
La saba mwakani 😂😂
😅😅😅😅 sio kwa uno hilo
Oyaaaaaaa hizo fimbo haziingii kweli mbona kama zinapenya 🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒 kuigiza staaaaki
Eti njoo huku nikupe pole 😃😃
Ila sopa😀😀😀
Sopa mm nakubali kaka
Duuuh joti kiboko 😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mnatisha sana
Jooooooo nikope koleeee😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣jotii senge kweliii
🤣🤣🤣🤣🤣joti ni kilaka
Big up sana Joti
Umetisha, mama katoa code
Hakuna kama mama nakupenda sana joti 💕💕
Mama pekee yake ika juhudi za baba zimetutia akili kutafuta pesa na kuwasaidia kina mama zetu.
Haha sijachelewa gonga like Kama umependa saut ya andunje
🤣🤣🤣🤣wamama. Wana huruma sana.
Sijachelewa sana 😂😂😂😂😂
Nishai. Anapendeza sana endapo akiigiza kama mtoto yani napenda sna
Tumemmis sana kipande
🤣🤣🤣🤣chakula kilimnyamazisha joti 🤣🤣
fresh Sana napenda
Mama ni mama tu❤️❤️❤️❤️
Safi sana hamjawai kukosea.
Andunje chini na mapigo ya paka chongo😅😃yaani ile ilee
Wapi kipande jamani tumwambie joti amrudishe kipande unga hoja kwa kulike
Yani ww uko juu
Joti umeanza kupoteza mvuto wako.Tunaomba shirikiana na mkojani katika vichekesho vyako
@judy theodory mwambie akuoe basi
Ila joti bwanaa 🤣🤣🤣🤣🤣 hiyo sitahili yakupigwa
Jot hii translation jarib kuiwekea rangi nyengine tofaut na hii haionekan vizr kwa wasiolewa
Naikumbuka post ya antonio Nugaz siku ya wamama duniani, ila joti kiboko
Kumbe mama kaniwekea mpunga😂😂😂
Njoo nakwambia 😁😁🔥🔥
Yaan imenfurahisha hii ni uhalisia mtupu
Jamanii mje mtoe movie ndefuu et
Hii story kama ile aloitoa stanbakora majuzi🤣😂😂😂😂😂😂😂😂ila nimeilewa
Safi mama wache aitwe mama watunzeni mama.zenu ambao wapo.hai
Baba kiboko mekubal silias dadeki, kachote majiiiiiiii msos huo, mama njoo nkule pole!!!!
Joti😄😄🤣🤣🤣
Nampenda sopa jaman
Baba kilichomtokea wakati anamfuata anduje 🤣🤣🤣🤣 naombeni like za mama 💪💪💪
Mbn kama fimbo za kweli hizo🤣🤣🤣🤣
Staki sauti staki kelele 😂😂
UKIGUSA UMEFUTA NAANZA UPYA! Hii Kauli Bado Naikumbuka....Nani Mwingine Anaikumbuka? 😂😂😂
Mm hapa mwalimu mponda 🙄🙄🙄🙄🙄
@@amour5535 Na Mwalimu Machibya! 🙄
@@mohamedslh5478 Unapigwa stiki mpaka makalio yanakufa ganzi. Hawa watoto wa sikuhizi hawajui shida tulizopitia 😒
Andunje bhana
We love all mums in the world
Hakuna kama mama Ila Andunje mjinga kweli kwenda kulia nyuma ya nyumba 😂😂
me mamaangu nilkua nikipigwa anamwambia baba mwongeze nyingine
Sopa siku hizi anakua soft 🙏🙏
Sopa big up bro👍
Hivi huyu joti hizi vdeo ni za hivi sasa ama zamani😂😂😂
mm nampenda sana mama damme
🤣🤣🤣🤣🤣 Me tumbo linaniuma 😂
My rove
Wangap wamesikia neno Njoo nikupe pole 😂
Mama ni mama tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Toto hata likosee vipi lazima atalionea huruma tu