MWENDA AWAKIMBILIA AZIZI KI NA PACOME KUWAPONGEZA KWA MNARA WA 5G

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии •

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 5 дней назад +8

    Wachezaji wetu tunataka warudi kambini sio majumbani kwa sasa tuna kazi ngumu viongozi msiwaache wachezaji sasa mtatuuwa na presha tunaumiya mno tunapoona Tim inafanya vibaya

  • @WilonjaHatua
    @WilonjaHatua 5 дней назад +4

    Hii hatari sana kama kutawanyika wangekua watawanyikia kambini kwa usalama zaidi mm hii sijaipenda hata kidogo kwa usalama wao lakini na kutunza utimamu walionao

  • @PrinxZechariah11
    @PrinxZechariah11 5 дней назад +3

    Hawa watu walipewa mapumziko ya siki Moja kwahio tusi walaumu wao ama viongozi

  • @YangaIbra
    @YangaIbra 5 дней назад +3

    Kwakweli huu utaratibu sio mzuli sisi mashabiki tupaze sauti kupinga wachezaji wetu waondoke na basi pamoja wakatawanyikie kambini
    Sasa mbona bado kama utaratibu wa gamond unaendelea sio sawa injinia hersi badilisha hilo

    • @selemanAbdallah-tg1ib
      @selemanAbdallah-tg1ib 4 дня назад

      Itakuwa walipewa day off baada ya mech hii then labda kesho yake ndo warud kambin ndo maana Kila mtu akaondoka kivyake,....

  • @AziziLiwago
    @AziziLiwago 5 дней назад +1

    Hiyo mbinu mpya yakivita,wanaenda kukutana mbele,!hawaendi nyumban

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 5 дней назад +3

    Wachezaji wanatoka kienyeji sanaa kama wanacheza ndondo cup asee sio poa kabisaaaa haijakaa sawa enginier angalia sanaa hilo tatizo

    • @ahmedalsaadi7108
      @ahmedalsaadi7108 5 дней назад

      Uoni walinz hao?

    • @Bm_Mwakalobo
      @Bm_Mwakalobo 5 дней назад

      Ndio utoe ushauli kwa tff waweke packing viwanjani

    • @AishaMagwiza
      @AishaMagwiza 5 дней назад

      Sio kila kitu muelewe, hebu aminini viongozi wenu, kila kitu. Wanafanya kwa faida ya yanga! Hizo ni mbinu tu, nawanachofanya wanaijua kina mana gan!

    • @husseinmgalula5864
      @husseinmgalula5864 5 дней назад

      Wamepewa mapumziko siku mojA

    • @zakiakondo2849
      @zakiakondo2849 2 дня назад

      Uwanja umejengwa vp na wewe huoni 😮

  • @aminangano2670
    @aminangano2670 5 дней назад +1

    Hii sio poa kabisa😢

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 5 дней назад +2

    Sijapenda wqchezaji kutoka uwanjani kila mmoja kivyake Tim kma yanga kama kuwaqcha basi lingewqbeba hadi avic than mkafanya hivo hapo wanatoka kama vile Tim za vichochoroni sihapenda enginiya vipi tena wachezaji wanasambaa kama madagaa baada mechi?

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 5 дней назад +2

    Miamba irudi Avick town aisee

  • @chrissantkaunda9958
    @chrissantkaunda9958 5 дней назад +2

    Mimi binafsi huu utaratibu huwa siupendi sana,mngekua mnaenda kutawanyikia kambini ndo magari yenu yanaenda kuwasubili huko, ila hapo hapo uwanjani imekaa kienyeji sana aseee

  • @MubarakaRamadhani-vy1et
    @MubarakaRamadhani-vy1et 5 дней назад

    Kweli inabidi wakae kambi maandalizi na game ya kunguru wa lubumbashi jumamosi inshallah Allah awajalie afya njema na maandalizi mema !!!!

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 5 дней назад +1

    sasa trh 4 kna gemu home watu wanaenda kfanya nn warudi haraka kambini

  • @ShiftLeader-q9b
    @ShiftLeader-q9b 5 дней назад

    Eng team itakushida hawa inabid warud avic kama magari yao bora yawafate uko

  • @RichardAmos-s6x
    @RichardAmos-s6x 5 дней назад +1

    Jamani viongozi mnawaacha tena wakatafunwe na wakina mabeto mngewaacha baada mech na tp mazembe mwee

  • @MikaeraKihomwe
    @MikaeraKihomwe 5 дней назад +1

    Wamezingua

  • @LucasOscar-n8q
    @LucasOscar-n8q 5 дней назад +1

    Mbona ww shabiki unarudi kwako Acha kamdomo walipe ww sasa

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 5 дней назад

    Angalieni na Msimamo msije mkajisahau tuu

    • @JuliethLughuyu
      @JuliethLughuyu 5 дней назад +1

      mllikua mnaringia magoli saivi mmehamia kwenye point 😅😅😅😅😅 hiyo mbona tutaichukua hata kwenu

    • @AlhajiBayakas
      @AlhajiBayakas 5 дней назад +1

      Msimamo unann ww shinda mpaka mwisho nass ndo tunashinda gem zetu 2takutana ss sio milima kk

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 5 дней назад +1

      Screenshot huo mcmamo Ili iwe kumbukumbu kama ulivyofanya mcmu uliopita

    • @chrissantkaunda9958
      @chrissantkaunda9958 5 дней назад +1

      Sasa hiyo point moja si tunaichukua kwenu au

  • @JafarsimaouchuJumbe
    @JafarsimaouchuJumbe 5 дней назад

    Mbona wachezaji wanatokea majumbani sio kambini .. tunataka kambi sisi Mpira wetu Bado amateur..

  • @MigaboJohn
    @MigaboJohn 5 дней назад

    Hawa wachezaji tena wanaenda mageton