ONA MEDIA
ONA MEDIA
  • Видео 239
  • Просмотров 828 889

Видео

MASHABIKI WA YANGA WAWATIMUA MASHABIKI WA SIMBA KUWAFATA MAZEMBE
Просмотров 84 часа назад
MASHABIKI WA YANGA WAWATIMUA MASHABIKI WA SIMBA KUWAFATA MAZEMBE
VITA YA KINDOKI NA MCHOME TP MAZEMBE NI WABOVU YANGA WAMECHEZA NA WABOVU
Просмотров 214 часа назад
VITA YA KINDOKI NA MCHOME TP MAZEMBE NI WABOVU YANGA WAMECHEZA NA WABOVU
MBOTO ATEMA CHECHE MZIZE MSIMU HUU ULAYA TP MAZEMBE WAMEONA CHA MOTO
Просмотров 974 часа назад
MBOTO ATEMA CHECHE MZIZE MSIMU HUU ULAYA TP MAZEMBE WAMEONA CHA MOTO
UCHAMBUZI WA MZIZE UBORA WAKE NI KAMA DROGBA/ TP MAZEMBE KAMA WATOTO KWA YANGA
Просмотров 1834 часа назад
UCHAMBUZI WA MZIZE UBORA WAKE NI KAMA DROGBA/ TP MAZEMBE KAMA WATOTO KWA YANGA
VITA YA MAZEMBE NA YANGA YAAMIA KWA SIMBA MZIZE NI BALAA
Просмотров 7214 часа назад
VITA YA MAZEMBE NA YANGA YAAMIA KWA SIMBA MZIZE NI BALAA
GODI YANGA GUSA ACHIA TWENDE KWAO LEO IMEANZA NA MZIZE NI BALAA TP MAZEMBE WAMEONA CHA MOTO
Просмотров 2564 часа назад
GODI YANGA GUSA ACHIA TWENDE KWAO LEO IMEANZA NA MZIZE NI BALAA TP MAZEMBE WAMEONA CHA MOTO
UCHAMBUZI WA DOGO HII GUSA ACHIA TWENDE KWAO YANGA IMEKAA KIBABE SANA TP MAZEMBE WANAZIDI KUPOTEANA
Просмотров 4214 часов назад
UCHAMBUZI WA DOGO HII GUSA ACHIA TWENDE KWAO YANGA IMEKAA KIBABE SANA TP MAZEMBE WANAZIDI KUPOTEANA
PACOME KUFATWA NA MATAJIRI WAKE MAGARI YA KIFAHARI USHINDI WA 5G KUMFRAHISHA TAJIRI
Просмотров 2,2 тыс.16 часов назад
PACOME KUFATWA NA MATAJIRI WAKE MAGARI YA KIFAHARI USHINDI WA 5G KUMFRAHISHA TAJIRI
MWENDA AWAKIMBILIA AZIZI KI NA PACOME KUWAPONGEZA KWA MNARA WA 5G
Просмотров 73 тыс.16 часов назад
MWENDA AWAKIMBILIA AZIZI KI NA PACOME KUWAPONGEZA KWA MNARA WA 5G
DICKSON JOB AWEKA WAZI MANENO YA MTENJE KUWATIA HASIRA AKAWAPONZA WENZIE
Просмотров 15719 часов назад
DICKSON JOB AWEKA WAZI MANENO YA MTENJE KUWATIA HASIRA AKAWAPONZA WENZIE
KAMDOMO KA MTENJE KUWAPONZA FOUNTAIN GATE MBELE YA YANGA
Просмотров 7719 часов назад
KAMDOMO KA MTENJE KUWAPONZA FOUNTAIN GATE MBELE YA YANGA
5G ZAMKOSHA GODI YANGA PIRA LA KOCHA MJERUMANI NI BALAA ZAIDI YA GAMONDI/MNARA KUPANDA TENA SIMBA
Просмотров 19919 часов назад
5G ZAMKOSHA GODI YANGA PIRA LA KOCHA MJERUMANI NI BALAA ZAIDI YA GAMONDI/MNARA KUPANDA TENA SIMBA
ALI KAMWE KAMDOMO KA MTENJE KAMEWAPONZA FOUNTAIN GATE BADO MNARA MWINGINE KWA SIMBA
Просмотров 8919 часов назад
ALI KAMWE KAMDOMO KA MTENJE KAMEWAPONZA FOUNTAIN GATE BADO MNARA MWINGINE KWA SIMBA
KUFUNGWA 5 NA YANGA SIO KITU CHA AJABU WENGI WAMEFUNGWA NA SIMBA AKIWEMO 5G MNARA KUSIMAMA
Просмотров 9419 часов назад
KUFUNGWA 5 NA YANGA SIO KITU CHA AJABU WENGI WAMEFUNGWA NA SIMBA AKIWEMO 5G MNARA KUSIMAMA
UMESIKIA! YANGA WANASEMA HASIRA ZIMEANZIA HAPA FOUNTAIN GATE WAMLAUMU SIMBA 5-0 KOCHA HANA MAKOSA..🙌
Просмотров 5419 часов назад
UMESIKIA! YANGA WANASEMA HASIRA ZIMEANZIA HAPA FOUNTAIN GATE WAMLAUMU SIMBA 5-0 KOCHA HANA MAKOSA..🙌
MAZOEZI YA YANGA KUWAVAA SINGIDA FOUNTEN GATE KESHO KATIKA UWANJA WA KMC COMPLEX...
Просмотров 7821 час назад
MAZOEZI YA YANGA KUWAVAA SINGIDA FOUNTEN GATE KESHO KATIKA UWANJA WA KMC COMPLEX...
AUCHO AELEZA MIPANGO YA KUONDOKA YANGA TETESI ZA KIUNGO MPYA KUMTOA YANGA
Просмотров 9621 час назад
AUCHO AELEZA MIPANGO YA KUONDOKA YANGA TETESI ZA KIUNGO MPYA KUMTOA YANGA
ALI KAMWE AMTAJA DUBE KUWA MFUNGAJI BORA WATAKE WASITAKE NA KOMBE WATALIKOSA
Просмотров 5521 час назад
ALI KAMWE AMTAJA DUBE KUWA MFUNGAJI BORA WATAKE WASITAKE NA KOMBE WATALIKOSA
DICKSON JOB ATOA NENO KWA TANZANIA PRISON TUTAWAKANDA KAMA WALIOTOKA
Просмотров 5614 дней назад
DICKSON JOB ATOA NENO KWA TANZANIA PRISON TUTAWAKANDA KAMA WALIOTOKA
#live KAGERE AINYOSHEA MIKONO SIMBA KAITABA, AMTAJA MUKWALA NA ELIA MPANZU UBINGWA SWALA MUDA...
Просмотров 95814 дней назад
#live KAGERE AINYOSHEA MIKONO SIMBA KAITABA, AMTAJA MUKWALA NA ELIA MPANZU UBINGWA SWALA MUDA...
MAZOEZI YA YANGA KUWAVAA TANZANIA PRISON KESHO KMC COMPLEX
Просмотров 2,7 тыс.14 дней назад
MAZOEZI YA YANGA KUWAVAA TANZANIA PRISON KESHO KMC COMPLEX
KIBU AKEMEA VURUGU UARABUNI TUTAWAFUNGA BILA KUFANYA VURUGU WAJIPANGE
Просмотров 21021 день назад
KIBU AKEMEA VURUGU UARABUNI TUTAWAFUNGA BILA KUFANYA VURUGU WAJIPANGE
KIBU DENIS AZUNGUMZIA MAGOLI YAKE 3 CLUB BINGWA WAARABU WAZOMEA WAKITOKA VYUMBA VYA KUBADILI NGUO..
Просмотров 32621 день назад
KIBU DENIS AZUNGUMZIA MAGOLI YAKE 3 CLUB BINGWA WAARABU WAZOMEA WAKITOKA VYUMBA VYA KUBADILI NGUO..
TAZAMA VITI VILIVYONG'OLEWA NA WASIOJULIKANA TAIFA VIBE SIMBA WASEMA HAWAAMINI MACHO YAO...
Просмотров 43921 день назад
TAZAMA VITI VILIVYONG'OLEWA NA WASIOJULIKANA TAIFA VIBE SIMBA WASEMA HAWAAMINI MACHO YAO...
MZARAMO TUMEWASHENYETA WAARABU LAKINI WALIONG'OA VITI NI YANGA KUMBE INAKERA EEEEH!!..
Просмотров 51721 день назад
MZARAMO TUMEWASHENYETA WAARABU LAKINI WALIONG'OA VITI NI YANGA KUMBE INAKERA EEEEH!!..
MWENDA AELEZEA USHAWISHI WA CHAMA KUMLETA YANGA, ATIMBA KAMBINI KIBABE
Просмотров 8821 день назад
MWENDA AELEZEA USHAWISHI WA CHAMA KUMLETA YANGA, ATIMBA KAMBINI KIBABE
AZIZ KI ATOA NENO KUELEKEA MECHI YA TP MAZEMBE "HII NI FAINALI KWETU"
Просмотров 30221 день назад
AZIZ KI ATOA NENO KUELEKEA MECHI YA TP MAZEMBE "HII NI FAINALI KWETU"
AMKENI! MASIKINI SHABIKI YANGA 2-0 ZA MTIA WAZIMU TUNAMICHEZAJI YA HOVYO HAIJITUMI...
Просмотров 1,8 тыс.28 дней назад
AMKENI! MASIKINI SHABIKI YANGA 2-0 ZA MTIA WAZIMU TUNAMICHEZAJI YA HOVYO HAIJITUMI...
AMKA! MANGUNGU AELEZA JINSI BARIDI LINAVYOWAATHIRI WACHEZAJI SIMBA AOMBA WA TANZANIA KUONGEZA MAOMBI
Просмотров 33 тыс.28 дней назад
AMKA! MANGUNGU AELEZA JINSI BARIDI LINAVYOWAATHIRI WACHEZAJI SIMBA AOMBA WA TANZANIA KUONGEZA MAOMBI

Комментарии

  • @judithkisavanga7244
    @judithkisavanga7244 6 часов назад

    Eehh kazi yake itakuwa kuwakimbiliaa tuu😂😂😂😂

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 День назад

    Huyu fala aliyesema kufungwa na kipa, kweli kuma! Makipa wengi hufunga magoli by free kicks, penalties,n corners!

  • @theresialfredybugalama5850
    @theresialfredybugalama5850 День назад

    Kibwana anamlinzi mmoja 😂

  • @hillarymuhidini5030
    @hillarymuhidini5030 День назад

    Mimi ni Simba ila kwa hili la wachezaji kutoka privately kurudi majumbani ni sawa kama kuna usalama wa kutosha hebu angalia mchezaji kama Aziz kii anatoka anasimama tu nje anasubori gari hao walinzi wawili wenyewe ikitokea vurugu hawawezi mudu vurugu, nchi za ulaya wanaruhusu sababu magari ya wachezaji yanakuwa katika maegesho maalum ambapo hata wakitoka hakuna mtu anaeweza kuwasumbua wanashtukia tu gar ya mchezaji fulani inatoka lakini kwa Tanzania yetu hii magar ya wachezaji yanakuwa nje uswahilini so siwashauri watani viongozi wao waliangalie hilo, wachezaji watoke na basi kwa pamoja warudi kambini waondokee kambini kurud majumbani mwao... Football inatuunganisha pamoja ❤

  • @ElizaMaico
    @ElizaMaico 5 дней назад

    Nyokooo kubebwa tu

  • @SalimMshihiri-g9d
    @SalimMshihiri-g9d 6 дней назад

    Wewe kweli ni mchungaji

  • @SalimHemed-q7e
    @SalimHemed-q7e 7 дней назад

    Subiriniiiii chuma na yangaaa

  • @SalimHemed-q7e
    @SalimHemed-q7e 7 дней назад

    Simbaaa Muna niniiiii

  • @PrinxZechariah11
    @PrinxZechariah11 7 дней назад

    Hawa watu walipewa mapumziko ya siki Moja kwahio tusi walaumu wao ama viongozi

  • @AziziLiwago
    @AziziLiwago 7 дней назад

    Hiyo mbinu mpya yakivita,wanaenda kukutana mbele,!hawaendi nyumban

  • @YangaIbra
    @YangaIbra 7 дней назад

    Kwakweli huu utaratibu sio mzuli sisi mashabiki tupaze sauti kupinga wachezaji wetu waondoke na basi pamoja wakatawanyikie kambini Sasa mbona bado kama utaratibu wa gamond unaendelea sio sawa injinia hersi badilisha hilo

    • @selemanAbdallah-tg1ib
      @selemanAbdallah-tg1ib 6 дней назад

      Itakuwa walipewa day off baada ya mech hii then labda kesho yake ndo warud kambin ndo maana Kila mtu akaondoka kivyake,....

  • @aminangano2670
    @aminangano2670 7 дней назад

    Hii sio poa kabisa😢

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 7 дней назад

    sasa trh 4 kna gemu home watu wanaenda kfanya nn warudi haraka kambini

  • @ShiftLeader-q9b
    @ShiftLeader-q9b 7 дней назад

    Eng team itakushida hawa inabid warud avic kama magari yao bora yawafate uko

  • @MubarakaRamadhani-vy1et
    @MubarakaRamadhani-vy1et 7 дней назад

    Kweli inabidi wakae kambi maandalizi na game ya kunguru wa lubumbashi jumamosi inshallah Allah awajalie afya njema na maandalizi mema !!!!

  • @chrissantkaunda9958
    @chrissantkaunda9958 7 дней назад

    Mimi binafsi huu utaratibu huwa siupendi sana,mngekua mnaenda kutawanyikia kambini ndo magari yenu yanaenda kuwasubili huko, ila hapo hapo uwanjani imekaa kienyeji sana aseee

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 7 дней назад

    Wachezaji wanatoka kienyeji sanaa kama wanacheza ndondo cup asee sio poa kabisaaaa haijakaa sawa enginier angalia sanaa hilo tatizo

    • @ahmedalsaadi7108
      @ahmedalsaadi7108 7 дней назад

      Uoni walinz hao?

    • @Bm_Mwakalobo
      @Bm_Mwakalobo 7 дней назад

      Ndio utoe ushauli kwa tff waweke packing viwanjani

    • @AishaMagwiza
      @AishaMagwiza 7 дней назад

      Sio kila kitu muelewe, hebu aminini viongozi wenu, kila kitu. Wanafanya kwa faida ya yanga! Hizo ni mbinu tu, nawanachofanya wanaijua kina mana gan!

    • @husseinmgalula5864
      @husseinmgalula5864 6 дней назад

      Wamepewa mapumziko siku mojA

    • @zakiakondo2849
      @zakiakondo2849 4 дня назад

      Uwanja umejengwa vp na wewe huoni 😮

  • @MikaeraKihomwe
    @MikaeraKihomwe 7 дней назад

    Wamezingua

  • @JafarsimaouchuJumbe
    @JafarsimaouchuJumbe 7 дней назад

    Mbona wachezaji wanatokea majumbani sio kambini .. tunataka kambi sisi Mpira wetu Bado amateur..

  • @WilonjaHatua
    @WilonjaHatua 7 дней назад

    Hii hatari sana kama kutawanyika wangekua watawanyikia kambini kwa usalama zaidi mm hii sijaipenda hata kidogo kwa usalama wao lakini na kutunza utimamu walionao

  • @LucasOscar-n8q
    @LucasOscar-n8q 7 дней назад

    Mbona ww shabiki unarudi kwako Acha kamdomo walipe ww sasa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 7 дней назад

    Sijapenda wqchezaji kutoka uwanjani kila mmoja kivyake Tim kma yanga kama kuwaqcha basi lingewqbeba hadi avic than mkafanya hivo hapo wanatoka kama vile Tim za vichochoroni sihapenda enginiya vipi tena wachezaji wanasambaa kama madagaa baada mechi?

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 7 дней назад

    Wachezaji wetu tunataka warudi kambini sio majumbani kwa sasa tuna kazi ngumu viongozi msiwaache wachezaji sasa mtatuuwa na presha tunaumiya mno tunapoona Tim inafanya vibaya

  • @RichardAmos-s6x
    @RichardAmos-s6x 7 дней назад

    Jamani viongozi mnawaacha tena wakatafunwe na wakina mabeto mngewaacha baada mech na tp mazembe mwee

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 7 дней назад

    Miamba irudi Avick town aisee

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 7 дней назад

    Angalieni na Msimamo msije mkajisahau tuu

    • @JuliethLughuyu
      @JuliethLughuyu 7 дней назад

      mllikua mnaringia magoli saivi mmehamia kwenye point 😅😅😅😅😅 hiyo mbona tutaichukua hata kwenu

    • @AlhajiBayakas
      @AlhajiBayakas 7 дней назад

      Msimamo unann ww shinda mpaka mwisho nass ndo tunashinda gem zetu 2takutana ss sio milima kk

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 7 дней назад

      Screenshot huo mcmamo Ili iwe kumbukumbu kama ulivyofanya mcmu uliopita

    • @chrissantkaunda9958
      @chrissantkaunda9958 7 дней назад

      Sasa hiyo point moja si tunaichukua kwenu au

  • @MigaboJohn
    @MigaboJohn 7 дней назад

    Hawa wachezaji tena wanaenda mageton

  • @brayani-i5i
    @brayani-i5i 8 дней назад

    Max mbona haonekan

  • @Ramasmoker45
    @Ramasmoker45 9 дней назад

    Kwa ww ndo mdog sajenti co kwer uwongo uwo

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 15 дней назад

    Watu .mmekuwa kama wanyama.mnasema uongo.utadhani hamjui dhambi ,ninyi na kuku afadhali ya kuku

  • @HamadRamadhanKhatib
    @HamadRamadhanKhatib 15 дней назад

    Acheni comedy tunahitaji matokeo mazuri ALI KAMWE ACHENI KILA TUKIO KUONYESHA CLIP

  • @AbuuBakari-pe5lu
    @AbuuBakari-pe5lu 20 дней назад

    safi kibu auna baya na ubaya ubwela

  • @EzromuBezaleli
    @EzromuBezaleli 21 день назад

    Acheni utoto mnaaribu rasilimsli za taifa

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 22 дня назад

    ALIKATALIWA KWA UMRI MKUBWA ALIDANGANYA

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 22 дня назад

    YANGA WAVUNJE VITI HALI YA KUWA MASHABIKI WENU WAMEONEKANA WANANG'OA VITI??

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 22 дня назад

    HILI NALO HUWA NI KUBWA JINGA TU GOLI LA ASANTE REFA NDO LINAMALIZA MANENO!!

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 28 дней назад

    Hivi heshima yako ndo nini salimia shikamoo acha ujinga

  • @user-ke7nb9rs5i
    @user-ke7nb9rs5i 28 дней назад

    Huyu rais hana tofauti na mzee wangu kule kijijini 😂😂😂

  • @Amosmakuba-r2k
    @Amosmakuba-r2k 29 дней назад

    usimfananishe mashine yetu mkwala

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 29 дней назад

    Mukwala mbona kama Dube tu anapoteza nafasi hovyo je mukwala karogwa na nani? Jamaa linaongea ujinga mtupu

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 29 дней назад

    Sasa sindo hali ya mpira tulieni

  • @EmanuelIsaya-j1b
    @EmanuelIsaya-j1b 29 дней назад

    Tupo pamoja na chama letu,popote pale ubaya ubwela unafanyika,ebwanae unyama unyamani,wanangu wa msimbaz pamoja cna.

  • @GodliestFred
    @GodliestFred Месяц назад

    MUNGU awabariki chama langu

  • @boniphacemwasambungu
    @boniphacemwasambungu Месяц назад

    Pambaneni na Hali yenu

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o Месяц назад

    Mangungu mwaka huu umepewa na wewe tkt

  • @frankbahati3959
    @frankbahati3959 Месяц назад

    Kila lakheri simba washabiki tuko nyuma yenu.

  • @allyhamisi-pq7yf
    @allyhamisi-pq7yf Месяц назад

    Jacob Zuma

  • @ramsonmugisha961
    @ramsonmugisha961 Месяц назад

    Ohooooo washaanza kutafuta sababu hawa

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v Месяц назад

    Umezeeka mno toka waje vijana ww mzee kalee wajukuu unatuma xa rushwa na ada xa wanachama baridi itakumaliza😂😂

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine Месяц назад

    Mungu ni mwema Asante yesu tutashinda