STRESS FREE) KHALI MAJONZI - Msodoki Young Killer|REACTION

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 155

  • @YusuphDotto-kr2mb
    @YusuphDotto-kr2mb Год назад +51

    Wanaomkubali young killer tujuane Kwa like

  • @MANING41
    @MANING41 Год назад +13

    Nimekubali hapo jamaa amejibiwa kama alivotaka!!!💪💪 Big up kwa dogo msodiki!!!

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Год назад +8

    Hii ndio maana halisi ya jina #youngkiller...yaan anauw kila seemu, flow zake ziko poa zinaskilizika very big up to him...👊👊

  • @mrbio48gamingyt
    @mrbio48gamingyt Год назад +7

    Hapo sawa nismekusoma Twend kwa songa ametisha wapo wengi handi waishe 💪 tz 🔥

  • @Peterwiz_254
    @Peterwiz_254 Год назад +16

    Young killer is on another level 💯
    Maintain kwa game 🎮

  • @juniorkyando3546
    @juniorkyando3546 Год назад +9

    Msodoki moto wakuotea mbali🔥🔥🔥🔥

  • @nicolasernest4663
    @nicolasernest4663 Год назад +11

    Young killer mmoja ni, Kaligr... 10

  • @kingcole60
    @kingcole60 Год назад +13

    Chuki zao wanaziweka kwenye utani 🔥

  • @yussbreezy918
    @yussbreezy918 Год назад +7

    MY BEST RAPPER 🙌 Msodookiiii❤

  • @AmosHashaka
    @AmosHashaka Год назад +9

    Woow...... woow.....wooo, this is my favourite 😍 😮. The writing and the beat 🔥 📛

  • @eugineangira2670
    @eugineangira2670 Год назад +4

    Namkubali Msodoki siku zote✊🏾

  • @spiaemason5490
    @spiaemason5490 Год назад +7

    Msodoooooki 🔥

  • @eugineangira2670
    @eugineangira2670 Год назад +4

    Nikimalizia kizazi sana.... Msodoki punch line kalikali🔥

  • @briankalasho5521
    @briankalasho5521 Год назад +6

    kali sana,,,,,love from kenya

  • @kingswilliams5412
    @kingswilliams5412 Год назад +9

    OG will come back and you won't like it at first it wasn't personal but he is coming.

  • @ChrisMuchui-jw7ng
    @ChrisMuchui-jw7ng 9 месяцев назад

    🎉kusema kweli hiyo msee afikii khaligraph hata kidogo.respect OG

  • @celifpower4993
    @celifpower4993 Год назад +10

    Mbali na kichwa kizuri cha mashairi anacho young killer kitu kingine anajua kutereza kwa beat

  • @NiyongaboPhilipo
    @NiyongaboPhilipo Год назад +2

    Killer anahatar

  • @ShaibuMahundu
    @ShaibuMahundu Год назад +2

    Killer on fiRe

  • @officialjeffthepoet
    @officialjeffthepoet Год назад +5

    BREEDER LW killed the challenge🔥🔥🔥

  • @ShalomShalom-hl4ii
    @ShalomShalom-hl4ii Год назад

    Noma sana

  • @AbidaniMusa
    @AbidaniMusa Год назад

    Dah baba umetisha. Saanaaaa so poa unajua

  • @NiyongaboPhilipo
    @NiyongaboPhilipo Год назад +1

    Killer noma sana

  • @YushinaSimon-sz2ot
    @YushinaSimon-sz2ot Год назад

    Msodoki noma sana

  • @JumaRashidi-hh3qr
    @JumaRashidi-hh3qr Год назад

    Hahahaa😂😂😂mimi binafs yangu yang kille kitambo tu msodok huna baya

  • @Tacticgoals
    @Tacticgoals Год назад +3

    Yan young killer kaua sana 🔥

  • @muranisalim3572
    @muranisalim3572 Год назад +1

    Young killer nimoto wakuotea mbali 😂😂❤ 11:53

  • @RashidAbdulrahman-j4f
    @RashidAbdulrahman-j4f Год назад

    Oy Young killer aachiwe tu uo 🔥 ni wakuotea mbali kabissa

  • @DekelvaSoujaboy
    @DekelvaSoujaboy Год назад

    Khali majonzi taba pande zako pande zetu autambi fuck you sio kama atukupendi ila atutaki mazoea ❤❤❤❤ young killer msodoki always likolo from Drc congo lubumbashi

  • @BarakaJum-hr9jm
    @BarakaJum-hr9jm Год назад +2

    Unyma mwngi.. young killer 💪✊🔫

  • @TazanFather
    @TazanFather Год назад

    Msodoki💪🇹🇿

  • @waziliramazan5352
    @waziliramazan5352 Год назад

    Mwamba anatisha 😅😅👍

  • @keishababy-fh2dy
    @keishababy-fh2dy Год назад

    " hivi uhali gani sahii ? Hii haina tusi ila yenye tusi yaeza fuata baada ya hii . I never so the rhyme coming .high creativity . Msodokiii !!

  • @JosephLadislaus-n4f
    @JosephLadislaus-n4f Год назад

    Unyama✊

  • @FabianMbughi-qb8jw
    @FabianMbughi-qb8jw Год назад

    Wowo

  • @abrahamhabarugira2483
    @abrahamhabarugira2483 Год назад +3

    Wa kwanza Naomba like zenu😅

  • @califanskid1326
    @califanskid1326 Год назад

    Wuuuuuuuh ya nn unaharibu na wuuuuúuuh yko

  • @rashidkhamisiray603
    @rashidkhamisiray603 Год назад +1

    You see difference between Bongo Favour reaction and Khali majonzi ...ila sikulaumu haya si mambo yako wewe endelea kureact kwa ngoma za mapenzi. Both songs are heat....#Respect OG #Msodoki

  • @nelsongodbless192
    @nelsongodbless192 Год назад +1

    Mbona ujaweka y motra the future

  • @abdulswamadzubeiribrahim4779
    @abdulswamadzubeiribrahim4779 Год назад +1

    Motra the future kauwa pia bro

  • @SwahiliAITanzania
    @SwahiliAITanzania Год назад

    baaarz 😬

  • @candythetrap-lordsmobile5313
    @candythetrap-lordsmobile5313 Год назад +2

    nlimjua van isikaka though reaction ya khaligraph jones...skua nakujua....

  • @EricNinkijije
    @EricNinkijije Год назад

    Kbx msodok number one kbx

  • @SalimuMnangwa-yn3ro
    @SalimuMnangwa-yn3ro Год назад +1

    yankira msodoki 🐅

  • @SteveStevo-p1k
    @SteveStevo-p1k Год назад

    Van isikaku au whatever ur name is acha kusema "Kenya hamwezi kabisa"😮

  • @soundmale
    @soundmale Год назад +2

    Young killer muuza supu 😋😋😋😁🇹🇿

  • @youngroti733
    @youngroti733 Год назад +5

    but still Rosa Ree on top of my list kwenye diss response

  • @omaryrashidiboga4651
    @omaryrashidiboga4651 Год назад +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @rashidhamad6782
    @rashidhamad6782 Год назад +2

    vani kuna na huyu Motra The Future - ARAP MOI JR (Official Music Audio)

  • @RajabAbdallah-z6c
    @RajabAbdallah-z6c Год назад +1

    😢 motra the future kaka ❤

  • @Peterwiz_254
    @Peterwiz_254 Год назад +2

    Mi si fan wa hizo ngoma mpya mnatoa🤣

  • @selemanirobert1820
    @selemanirobert1820 Год назад

    oya kamkubwa seremani hapa kibaigwa sopw msodoki noma sana

  • @mellow-l3g
    @mellow-l3g Год назад +1

    Mwambie ajifunze kingereza broo poa.alafu mm n mwalimu wakingereza na weza mfunza bure aaqa😂😂😂🤞

    • @MussacharlesSongo
      @MussacharlesSongo 6 месяцев назад

      Young killer anaishi ulaya .unajua hilo lakini

  • @dicksonjuma5910
    @dicksonjuma5910 Год назад +1

    Still young in OG

  • @yussbreezy918
    @yussbreezy918 Год назад +3

    "Chuki zao wanaweka kwenye utani"🙌

  • @ShamimuSham
    @ShamimuSham Год назад

    Msodoki apo amepiga hamna,,,😅😅

  • @FabianMbughi-qb8jw
    @FabianMbughi-qb8jw Год назад

    Mimi namukubalisan

  • @Bobbrownjumbo
    @Bobbrownjumbo Год назад

    Mazing man

  • @moudrikmrmobo6739
    @moudrikmrmobo6739 Год назад +2

    mimi nasubiri ya motra the feature

  • @PulisicZepe
    @PulisicZepe Год назад

    Fanya ya masta vk

  • @furaasajile6552
    @furaasajile6552 Год назад

    ayaasasa mwamba uyuapa msodoki msipomjua yie atawajuanan😅

  • @TimothyMwaura-mp6qe
    @TimothyMwaura-mp6qe Год назад

    OG deh no ONE bt namkubali K jiulize k gn killer na Khali wote wko chungu moja

  • @26_DRAGON
    @26_DRAGON Год назад +2

    😂😂😂

  • @kato7047
    @kato7047 6 месяцев назад

    Bado kabisa, Lyric follow ako chini sana, hebu sikiza vile OG anaflow vitaratibu

  • @hovsback1405
    @hovsback1405 Год назад +1

    Ya Motra the future ndio jibu sahihi

  • @deewam__741
    @deewam__741 Год назад

    Kabla m'bonge sana, go check elisha elai's version..mtanyamaza.

  • @hillarykipruto833
    @hillarykipruto833 Год назад +4

    Hizo bars ziko chini sana unafaa kukumbuka OG went easy on them, just wait on bongo favour2

    • @candythetrap-lordsmobile5313
      @candythetrap-lordsmobile5313 Год назад

      ya khaligraph haikua dis ilikua ukweli

    • @berthatz
      @berthatz Год назад +1

      @@candythetrap-lordsmobile5313no..Alileta madharau yake ya kikenya..Angekuja kwa heshima angeheshimiwa..

  • @insecQr
    @insecQr Год назад +1

    Duuh kweli TZ hamna marappa. Nyimbo bovu flow mbovu mistari ya kitoto sana. Killa amtafute dula makabila waimbe kibao kata. Alafu vile wabongo munamkubali kweli rap sio ya bongo

  • @abuurayaan4740
    @abuurayaan4740 Год назад +1

    Me Sio Fan Wa Hizo Ngoma Mpya Unatoa

  • @franklinakiba7880
    @franklinakiba7880 Год назад

    Atleast wamepata ujumbe wabongo wacha waamke sasa Pfunk majani apate Rizki

  • @TaufiqLisanga
    @TaufiqLisanga Год назад

    😢😂😊

  • @yusuphikram7906
    @yusuphikram7906 Год назад +2

    Malizia na ya songa brother iko poa

  • @IrakozeMorati-qm1yf
    @IrakozeMorati-qm1yf Год назад +1

    Kweli ni killer ni muuwaj Og

  • @ANNEADEDE-k8w
    @ANNEADEDE-k8w Год назад

    Hakuna any hapa! Van uko super one sided....anyway,tumewaamshaaaaa! Respect the Og...so far,only Rosa Ree tunamkubali

  • @keishababy-fh2dy
    @keishababy-fh2dy Год назад

    Ether part 2 !!

  • @yaduniajeandedieu9349
    @yaduniajeandedieu9349 Год назад +2

    Vanny nakubali sana lakini nataka ufanye reaction nyimbo inaitwa nitatokaje by founder tz ni msani mdogo natena anaimba vizuri

  • @UPWIRUTv
    @UPWIRUTv Год назад

    The killer

  • @wildlife6922
    @wildlife6922 Год назад

    Wakenya hawaelewi hip-hop bongo inahitaji bars sio tu unarukaruka kwny beat 😂

  • @talebanistudio4513
    @talebanistudio4513 Год назад +1

    Young killer ni mbad sana ila nasmsubiri dizasta vina respects kwa motra the future. rosa ree .killer ......van embu nisaidie kumdim dizasta mwambie tunaomba afute rap ya kwenya yote yani awapitie wote tuna tambua uwezo wake

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx Год назад

    Young killer ana malizaga utata mauwa kwa young killer

  • @KellyAbdul-iq9wh
    @KellyAbdul-iq9wh Год назад +2

    MOTRA THE FUTURE ARAP MOI JR

  • @nicholausalexander5131
    @nicholausalexander5131 Год назад

    Wa Kenya mko wap? Mmeingia pori?

  • @jameswaweru4063
    @jameswaweru4063 Год назад +1

    OG movie ya series tulieni ndo ameanza

  • @KellyAbdul-iq9wh
    @KellyAbdul-iq9wh Год назад +2

    motra the future arap moi jr 👈🙏please nasubiri reaction

  • @Bekita-nz7bq
    @Bekita-nz7bq Год назад

    Keep moving but OG is still on it, respect lazima 😂😂😂

    • @ricklandennis
      @ricklandennis Год назад +2

      We don't care Abt Kenyan music, we only care Abt our music. Mnachuki na Tz thn mnaact km utani😂😂

  • @jameswaweru4063
    @jameswaweru4063 Год назад

    Katambee😂

  • @silverstienedaria2023
    @silverstienedaria2023 Год назад +4

    React to khalicollapse by orbit makaveli tz its lit🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @legendkiller8548
    @legendkiller8548 6 месяцев назад

    Fanya bad dreams ya khaligraph jones

  • @princessplatnum4416
    @princessplatnum4416 Год назад

    Oya enheee killer kaua rosa reee mkali lkin sema alitukana mle ndomana imebamba atakiller kasema hyo ngoma ainatusi yatusi inakuja😂😂

  • @calvinkay6555
    @calvinkay6555 Год назад +3

    Rosa ree is the only bongo artist who understood the assignment and she’s barely bongo

  • @bennjogu1421
    @bennjogu1421 Год назад +5

    Bado, ongea ukweli, diss track iko chini! Rosa ree ndo anafika bei.

    • @Josamjosam8
      @Josamjosam8 Год назад

      Ujui maana hip hop so kaaba kimya

    • @bennjogu1421
      @bennjogu1421 Год назад

      @@Josamjosam8 ushamba yenu imejaa unasifu vitu viko chini.

    • @THEEND-cg7bc
      @THEEND-cg7bc Год назад

      Kuma tz og Ni noma sana

  • @sebbywekesa2933
    @sebbywekesa2933 Год назад

    Young killer ni mnomaa...bt level ya OG bado sana

  • @yussbreezy918
    @yussbreezy918 Год назад +1

    Killer mmoja ni akina Khali 10 😁🙌

  • @candythetrap-lordsmobile5313
    @candythetrap-lordsmobile5313 Год назад +1

    iyo hiphop ata mtoto kenya anatoa

  • @talebanistudio4513
    @talebanistudio4513 Год назад

    Van mwambie dizasta haja sikia tanzania 🇹🇿 ime tajwa tunajua huja tajwa kwenye diss tanania imetajwa simama upande wa tanzania 🇹🇿 mjibu

  • @sisinimedia1677
    @sisinimedia1677 Год назад

    Kali ameamsha watu

  • @Footballavenue23
    @Footballavenue23 Год назад +1

    Inaboa hamna kitu baba

  • @gharibhabib7747
    @gharibhabib7747 Год назад

    Natamn fid q majibu

  • @toshwatson7165
    @toshwatson7165 Год назад

    Mbona hutaki kureact Reply ya BREEEDER LW😏

  • @slimlamar9513
    @slimlamar9513 Год назад +1

    @ VanIsikaka react to Edrin fininity diss to Tz..Bongo lala