kaka sikupingi, kayakoroga acha ayanywe ww ndo killer bana yaani mwana kulifollow ndo mwana kuliget so asilete habari zakuomba msamaha huyo khali maonjozi yaani ataka afunike harufu huo niujinga!!!😂😂
bro hii ilikua yenu kitambo... sai kenya wamewang'aria na sichocha.....yangu inadrop majioni na mtakosa pa kuzificha sura zunu nyi mabombo #young_killer
🎉🎉🎉❤❤ bado ajaseema mbwa yeyee umemalizaa baba
haya ndo mambo tumapenda
Sina haja ya kusubiri kma hatuendi njia moja😢😢
Kaka Mimi ni Mkenya naitwa Ebby na pia Nachana sana lakini kazi yako nmeipenda tangu utoto big up my brother Young killer
Young killer 🎉🎉🎉🎉🎉🎉on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma xn 🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉
✊🇹🇿
piga nyau huyoooo
This one 🔥🔥🔥💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hamna kitu
Sasa naamini uvimbaji wa mwili siyo ukubwa Ila ukubwa ni kuwa Na akili young killer endelea kumufunza Uyo bonge , mimi ni Mr Kaneke kutoka DRCongo
Fimbo kwa khali
Gonga like twende pamoja❤❤
10000
kaka sikupingi, kayakoroga acha ayanywe ww ndo killer bana yaani mwana kulifollow ndo mwana kuliget so asilete habari zakuomba msamaha huyo khali maonjozi yaani ataka afunike harufu huo niujinga!!!😂😂
Yenye tusi ndo tunaitaka sas mzee wa kaz killer
Young killer kujibu nirahisi kuliko kuandika
bro hii ilikua yenu kitambo... sai kenya wamewang'aria na sichocha.....yangu inadrop majioni na mtakosa pa kuzificha sura zunu nyi mabombo #young_killer
Kwendraaaa 😅🇹🇿
Bado bongo hakuna hip hop kujeni Kenya 🇰🇪
Huyo fara atajua ajui
kolasi ndio nini 🤣🤣🤣 watanzania mna mambo
Bado sana, OG bdo yupo juu
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿