PAUL MAKONDA APEWA ONYO NA VIONGOZI | VIDEO HII YAMPONZA AKIMDHALILISHA MTU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • #paulmakonda #makonda

Комментарии • 31

  • @matatamatatatours3237
    @matatamatatatours3237 21 день назад

    Huyo mama anatumika na mafisadi
    Makonda kaza kaza sanaa

  • @matatamatatatours3237
    @matatamatatatours3237 21 день назад

    Hayo ni maneno mazuri tu
    Huyo dada anazarau

  • @chalespamagila4783
    @chalespamagila4783 21 день назад

    Hawa watumishi wa ardhi washezi sana kila mkoa wizara ardhi ni shida dar hivyohivyo mungu atujalie tupate viongozi wakutusaidie sisi tusiyojua sheria na umaskini unatuumiza na hawa watumishi wa ardhi wanapata nafasi ya kutuumiza

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 21 день назад

    Huyo mama inawezekana katumwa sio bure. Mimi sijaona ubaya wa makonda Sema sikuzote wanawake ni sumu ya uchochezi. Hawa alimdanganya Adam. Wa awake tuache uchochezi fitina na husda. Kwani waheshimike wanawake tu vp kwa wanaume.. Makonda hajamdhalilixha
    Makonda Mungu akulinde akupiganie uchape akusimamie piga kazi.

  • @chalespamagila4783
    @chalespamagila4783 21 день назад

    Mi naona sawakabisa mtu yupo kazini unaulinzwa maswali unaleta mapozi tena kwangu mi alikosea mi ningetukana kabisa kumbuka unalipwa kwa kodi zetu akitimiza majukumu yasingemkuta haya makonda mdogo wangu nyoosha wezi sana kwenye miladi ya serikali

  • @dominickrukokelwa1284
    @dominickrukokelwa1284 22 дня назад

    Ukifanya kazi ya nchi/umma hovyo hustahili heshima.
    Mtu unachezea rasilimali za nchi/umma bado unataka uheshimiwe.
    Siku CCM na serikali yake ikijua kuwa raia/wapiga kura ndiyo waajiri wao itafanikiwa sana.

  • @matatamatatatours3237
    @matatamatatatours3237 21 день назад

    Huyo allizarau wananchi

  • @chalespamagila4783
    @chalespamagila4783 21 день назад

    Kama kachukia aache kazi awpishe wengine mdogo wangu tena hiyo nafasi alikupa mama anakupima kuna sehemu unastahili kweli kuna baadhi viongozi hawana maamuzi sahihi unasikia wanasema tuunde tume tume yanini mtu ameharibu unasema uunde tume walipwe wtu wakujadili we mwizi

  • @salomenashon5864
    @salomenashon5864 22 дня назад +1

    Atuombe radhi watanzania au huyo dada ?

  • @salvinmsaky224
    @salvinmsaky224 21 день назад

    Uyo dada mnae mtetea amepungukiwa nanini

  • @matatamatatatours3237
    @matatamatatatours3237 21 день назад

    Wanakera

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 21 день назад

    Wacha ubaguzi kwani wanaume sio watu kwaiyo hiyo dada ni nani

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 21 день назад

    Kadhalilishwa nn

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 21 день назад

    Aliteleza

  • @laurentndichaye1445
    @laurentndichaye1445 21 день назад

    Mwacheni achape KAZI hatuna sababu ya kusikiliza hizo video.

  • @costantinejohn-xn6lw
    @costantinejohn-xn6lw 20 дней назад

    Tuanze kwa samsoni na delila chanzo ni mwanamke, nenda kwa adam na hawa chanzo ni mwanamke, kwa hiyo sishangai hyo mama kusema kuwa mwanamke mwenzke kadhalilishwa, hata kwenye vitabu vya dini vinasema tuishi nao kwa akili!!!!

  • @salvinmsaky224
    @salvinmsaky224 21 день назад

    Makonda piga kanzi acha nahao

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 22 дня назад +1

    Waachie kufanya kazi kimazoea ni lazima Kila mtu awajibike kwenye kazi makonda hataki ujinga kwenye kazi Wala mazoea ondoeni huo ujinga wenu mkiambiwa ukweli mnasema anawazalilisha acheni ujinga mwacheni makonda afanye kazi kunawanawake wangapi wanazalilishwa mbona hamjitokezi kuongeza pumbavu kabisa nyie

    • @costantinejohn-xn6lw
      @costantinejohn-xn6lw 20 дней назад

      Kaniudhi mno huyo mwanamke Tena ningekuwa Karibu yake ningemlambo kofi fala kweli..... Wanapewa nafasi halafu wanachezea

  • @matatamatatatours3237
    @matatamatatatours3237 21 день назад

    Haki za wananje ni nyyingi kulliko
    Haki yake moja ya mwwanamke
    Huyo amezzarau wannawake walioo wengi
    Hiyoo alistahili
    Makonnda uusirudi nyuma

  • @Mwk77
    @Mwk77 20 дней назад

    Sasa Makonda atuombe radhi watanzania,kwani ametukosea nini mpaka umtwike jambo kubwa hivyo la kutuomba radhi? Mimi kama Mtanzania,sioni kitu alichonikosea Makonda.

  • @costantinejohn-xn6lw
    @costantinejohn-xn6lw 20 дней назад

    Kwa hiyo hata kama ni mwanamke ndio awe mbadhilifu? Je mwanaume hana haki? We mwnamke nakuchukia..... Mkipewa nafasi fanyeni kazi!!!

  • @matatamatatatours3237
    @matatamatatatours3237 21 день назад

    Jomoioy

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 22 дня назад

    Katumwa huyo ,makonda yupo sawatyu

  • @IsayaMvanga
    @IsayaMvanga 15 дней назад

    Kiongoz jembe piga kazi zidisha moto

  • @ThomasfrancisMvella
    @ThomasfrancisMvella 21 день назад

    Hivi jaman hamuoni kuwa poul makonda, tushampitisha....tunahitaji viongoz wengi kama poul makonda....wànaokuwa wakali lkwenye maslahi ya nchi na wananchi wake.....na makonda huwa hanafokea hata wanamme wanaozingua...hamuhibuki hata cku moja kumpongeza kwa anayoyafanya mnakaa kuviziavizia tu mtafute mtakapohisi amekosea ili mpate pa kuongelea....very stupid.....hatutashangaa kwa makonda kupingwa na viongoz wengi,,,,,na hata leo hii tukisikia ametenguliwa pia tutaona ni kawaida,,,maana kuna watu wenye nguvu wapo kwenye mifumo,,,,ambao wanakerereketwa na watu kama poul makonda....ila cc wananchi ametuteka mazma ....ongeeni , andamaneni,,,,,lkn tupo pamoja na poul makonda......

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 20 дней назад

    Apo kamzarau vp nyie amuoni akizawananch mbona amjali ilo mnatumika vibaya nyie eshimuni anachofanya mkuu wa mkoa

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 21 день назад

    Acha ujinga ww na midia yako amemdhalilisha nani yule mama hahitatambui amemvua nguo achani ujinga marofanyia tunakatwa kodi zetu lalafu mm tumishi.anachekacheka tu

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 22 дня назад

    Mwacheni makonda afanye kazi yake,ninyi kazi yenu ni kutetea ushoga tu,

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 20 дней назад

    Peleka uko

  • @chalespamagila4783
    @chalespamagila4783 21 день назад

    Mi naona sawakabisa mtu yupo kazini unaulinzwa maswali unaleta mapozi tena kwangu mi alikosea mi ningetukana kabisa kumbuka unalipwa kwa kodi zetu akitimiza majukumu yasingemkuta haya makonda mdogo wangu nyoosha wezi sana kwenye miladi ya serikali