DIAMOND NA ZUCHU WALIVYOTINGA PAMOJA KWENYE UZINDUZI WA ALBUM YA BARNABA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 авг 2022
  • DIAMOND NA ZUCHU WALIVYOTINGA PAMOJA KWENYE UZINDUZI WA ALBUM YA BARNABA...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 108

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 Год назад +2

    Nawapenda nikiwaona mond na zu hura nawaona mbali sana ❤️

  • @bokele
    @bokele Год назад +18

    Nimependa alicho kifanya Diamond, Adabu mbele kwanza, safi sana Big

  • @lillianatieno5362
    @lillianatieno5362 Год назад +1

    Dah! Suti ya diamond jamaani looking smart and sharp🙏🏻❤❤

  • @topistawanjiku8279
    @topistawanjiku8279 Год назад +5

    Zuchu my best 👌 👍 😍 🥰

  • @queenlizzyplatnumz4942
    @queenlizzyplatnumz4942 Год назад +6

    Nawapenda Hawa watu jmn💙💙

    • @yustayusuph9101
      @yustayusuph9101 Год назад

      Haunishindi mimi walai, nawapenda mpaka naumwa

  • @CHIROJACKSON2
    @CHIROJACKSON2 Год назад +2

    Amazing 😍😍

  • @swagztv6754
    @swagztv6754 Год назад +4

    Heshima ya Bigg n hatr sn💥♥️

  • @deohcivilian
    @deohcivilian Год назад +1

    👏👏👏maqin diamond

  • @user-gu3gd9dc1o
    @user-gu3gd9dc1o Год назад +2

    اوووووووو والله مشتاقين والله ي فنان مفصل تسلم ياغالي ربنا يخليك لينا يارب

  • @lulumalima1739
    @lulumalima1739 Год назад

    Mumependezaaa Saba you couple beautiful

  • @estheramisiofficiel8304
    @estheramisiofficiel8304 Год назад +4

    Mimi mpaka nawalota diamond kamuowe zuu nampenda sana mpaka mume wangu anauliza uyo zuchu ni nani

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili Год назад +2

    🔥❤️🔥

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 Год назад +1

    Subhana Allah Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab wanaume wana jistiri na wanawake wana kaaa uchi. Mwenye Enzi Mungu atustiri na atu hidi sisi pamoja na wao na jamii Islam. Allahumma Ameen yaarabil Aalamiin

    • @maureendzame1200
      @maureendzame1200 Год назад

      Kwani ulionapi show ikafanywa na buibui?😏tafuta mawaidhi uangalie basi jamani😎

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 Год назад

      @@maureendzame1200 kwani uki fanya show lazima ukae uchi mbona wanaume wana jistiri

  • @fedsonmagoti9258
    @fedsonmagoti9258 Год назад

    I appreciate

  • @hassanisaimon1531
    @hassanisaimon1531 Год назад

    Big up

  • @paskaliangoto2849
    @paskaliangoto2849 Год назад +1

    Nawapenda bureeee miee zuuu na Simbaa

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Год назад

    Oyoooo Zuchu na Dai kama mmasai kuvaa shuka!

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Год назад +6

    Kelele 50 kwa zuchu

  • @azizamohammed583
    @azizamohammed583 Год назад

    zuchuuuuu 🔥🔥🔥

  • @lee81721
    @lee81721 Год назад +5

    Zuchu should hire an image consultant to teach her how to graze the red carpet.
    Wanatembea tu fwaaaa kwa red carpet,kusimama fwaaaa .Yaani kila kitu fwaaaa

    • @nurseboastine9036
      @nurseboastine9036 Год назад

      Atleast some one has seen this..buy i guess she is always uncomfortable while with simba

    • @athumaniamiri880
      @athumaniamiri880 Год назад

      Aahaaaa🤣🤣🤣

    • @nurseboastine9036
      @nurseboastine9036 Год назад

      She is superstar,very confident akiimba but akiwa na simba,anachezesha vidole na mguu kama ka 16yrs old..ni aibu ya kuwa na mpenzi boss ama.look at there video in france,anacheza mguu kwa aibu hadi naaibika kwa niaba yake.ma si hate speech..nakapemda zuchu sana,.look at simba very confident..

    • @nurseboastine9036
      @nurseboastine9036 Год назад

      How old is she?

    • @cedo.director
      @cedo.director Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bienfaitamani7833
    @bienfaitamani7833 Год назад +1

    💐🥰

  • @user-gu3gd9dc1o
    @user-gu3gd9dc1o Год назад +2

    ضايمون نمبر وان

  • @collinsmalilap6380
    @collinsmalilap6380 Год назад +2

    👍🔥👍🔥👍🔥🔥🔥

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 Год назад +1

    Ammy girl leo umewaka

  • @Atotibabe
    @Atotibabe Год назад

    Haiya..zuchu

  • @Nikita_8017
    @Nikita_8017 Год назад +8

    Zuchu is looking beautiful and hot

  • @amanihussein6148
    @amanihussein6148 Год назад +1

    Wabongo mbona huwa wanafki sana

  • @nassoursalum7982
    @nassoursalum7982 Год назад

    Kapendeza kavaaa kigauni cha elfu 2

  • @arafaomari1832
    @arafaomari1832 Год назад +2

    Hiyo ya zuchu

  • @melkiadgangai994
    @melkiadgangai994 Год назад +3

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏❤

  • @edwinekatundu6844
    @edwinekatundu6844 Год назад +5

    Kumbe zuchu kazur hiv,ana shape zur hv,mamaeee😲😲

    • @imanibakili8028
      @imanibakili8028 Год назад

      Gym inalipa kabisa sana shape inakaa vizuri 🥰

  • @plumbingandtilesservce5271
    @plumbingandtilesservce5271 Год назад

    Mda wote Jana shika vifole

  • @luwagobakari8809
    @luwagobakari8809 Год назад

    💯💯

  • @salmasowafynilsson6715
    @salmasowafynilsson6715 Год назад

    Diamond kwaviyoto yote Tz uka come out with those ☹️🙄

  • @lastsimbatv1497
    @lastsimbatv1497 Год назад

    Mond upande wa kuongea hajui yni hujui kuongea vzrii

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 Год назад

    Mlisema tanasha ana vaha uchwi SASA zuchu anava Madera

  • @teddylameck3355
    @teddylameck3355 Год назад

    Daimond zinga la msanii ila ajui kuvaa dah

    • @naomi8860
      @naomi8860 Год назад +1

      As if unajuwa ku vaa wewe

  • @zunirasalim7660
    @zunirasalim7660 Год назад +3

    DIAMOND YUWAJUA KUWACHEZEA AKILI 😂 AAH HUYU KIBOKO

  • @taustaus2737
    @taustaus2737 Год назад +4

    Naona zuchu mambo sio mabaya kishep kinaanza kujileta taratibu zamani ulikua hatanyuma hugeuki kuonyesha shep .shep shikamoo

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Год назад

    Mke wa diamond huyo

  • @bintmwadarashi5177
    @bintmwadarashi5177 Год назад +1

    Diamond arudi kwa wema sepetu tu

  • @jafarisaidi9528
    @jafarisaidi9528 Год назад

    Muone Hugo boy chibu

  • @davidoscooper237
    @davidoscooper237 Год назад

    Kama mmasai kuvaa shujaa😁😁😁😁😁😁

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Год назад +1

    Nchi matamasha kila sikuuu ehh

  • @thekennedy2002
    @thekennedy2002 Год назад

    Iyo trousers👖 diamond jomoni😅

  • @kulway4669
    @kulway4669 Год назад

    ho

  • @lizashagilliard2336
    @lizashagilliard2336 Год назад +4

    Zuchu hajapendezaaaa🤪

    • @lillianndinda8046
      @lillianndinda8046 Год назад +1

      Anayevalisha zuchu, afutwe kazi

    • @asmahassan5661
      @asmahassan5661 Год назад

      @@lillianndinda8046 sikachagua mwnyew mshonaj ana kosa nn

    • @lillianndinda8046
      @lillianndinda8046 Год назад

      Mwimbaji mkubwa huyo tunamtambua huku kenya,she should be stunning heaven any time any hour,,anyway all the best for her,twampenda

  • @aisharamadan3620
    @aisharamadan3620 Год назад +5

    Kanajishaua ako kazuchu kabaya

  • @mrpresidentmsafi2685
    @mrpresidentmsafi2685 Год назад

    Poa kaka

  • @telesiakaovera4381
    @telesiakaovera4381 Год назад +1

    Huyo zuchu alisema eye muisilamu hatangazi pombe sasa mbona kanavaaa uchi

    • @issazambiko6489
      @issazambiko6489 Год назад

      Sasa uchi ni pombe mbona ww unazini lakini mwingine ufanyi

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 Год назад +1

    Fashion ndo zimetubeba kwa kweli hiyo nguo ya nanii ndo ikoje sasa jmn

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Год назад +1

    Haja design hamisa hii sut Maana huko chn ingetengenezwa veeereee 🤣🤣

  • @Dnt4kwtm
    @Dnt4kwtm Год назад +4

    They keep denying that they have a thing going on🙄🙄🙄🙄 so childish

    • @ellyemily4234
      @ellyemily4234 Год назад +1

      Maisha ni yao wewe ishi yako ...

    • @Dnt4kwtm
      @Dnt4kwtm Год назад

      @@ellyemily4234 na nimekuadress saa ngapi falaski? Get the heck out of my comment b!tćh

  • @sadkazinbaya9791
    @sadkazinbaya9791 Год назад +1

    BARNABA amesema yeye anafanya kazi na ZIKI siyo Diamond amempeleka BARNABA kusaini MKATABA na ZIKI siyo kweli acheni uongo nyinyi WCB

  • @jei_Ibrahim
    @jei_Ibrahim Год назад +2

    Uyu ndio yule zuchu alikataa dili la pombe kisa muislam 😂😂 binadamu wana mambo ww ungekula tu helaa usilamu usilamu huo mavazi hayo 😂😂😂 sheikh ungekulaa helaaa ww kuni tu huna lolote

    • @bimkubwaali1605
      @bimkubwaali1605 Год назад

      mpuuzi huyuuu anajifanya muislamu anavaaa uchi wa mnyama

    • @mrssaidaisha4736
      @mrssaidaisha4736 Год назад

      Pombe ime imeharamishwa
      Mavazi ni ma swala ya ngine
      Well done zushi

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim Год назад

      @@mrssaidaisha4736 mavazi hayo pia yame haramishwa ewh aisha ww kwio

    • @user-wi6uk1vz1h
      @user-wi6uk1vz1h 2 месяца назад

      ​​​@@bimkubwaali1605t
      Et pourquoi tu insulte les gens la nudité est interdit mais Les insultent sont permis espèce 4:46 d'hypocrite😂

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Год назад +1

    Ila zuchu mbaya jaman khaaa dia Rudi south Afrika aiseee.. hapo🤷

  • @agneskalayu4648
    @agneskalayu4648 Год назад

    Huyo atakuacha tu ni fisi am sure he's sick too

  • @manifestationmastermindset6518
    @manifestationmastermindset6518 Год назад +1

    Hatutak kutangaza pombe pombe haram😄😃🤣

  • @byaombealoys5967
    @byaombealoys5967 Год назад

    Diamomd mwaribifu,,, sasa ivi ameshindwa nakuowa hata kutambulisha mausiano yake hadharani amebaki kutoka na mtoto wa watu kiivyo ..

  • @mwamvuachiko2396
    @mwamvuachiko2396 Год назад

    Mdogowangu kila lakheri fanyaunachoona kinafaa inshot dadaako nawapenda ote zari mama watoto Zuchu pia wewe muislam na alrujaru owa ote

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 Год назад

      Dai hawezi kumuoa zari anamtumia

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 Год назад

      Kama ni muislam wa kweli na anaamin sheria za kiislam hana mtoto ata mmoja