😂😅😅😅hii n kubwa kuliko ugaigai trock umbambamba ndaaani y mkojani timu nmekuvali xx nmemuona mibuzi pia jamani hii imeenda from Mombasa kenya nipe like zote
Mkojani unaharibu sana mkojani gang chumvi nyingi kaondoka samofi nae kaondoka yani hapa soon hiyo gang itakufa unambiwa ukitaka mambonyaende sawa weka watu wako sawa sawa mambo ya panya road hakufai mambo yakizamani mambo yote tini white gang funga kamba mkojani
Kweli mtakuwa munatokoseya sana mashabiki wenu kama hamutaendelesha series za umbambamba...farakano halikose katika kazi ila Mkojani tunakosa nini haliendeki!!!
Mkojan akitoka mtu kwenye gang unamwacha aondoke ww endelea kusonga mbele ata kwenye umbambamba ungeweka samofi kafa nafasi akaishika mtu mwingine epsd ikaendelea acha nae uyo samof kaka ss tunakukubali ww na ndio tukawajuwa ao wakina samof chumv na mabwende
Daaaah ni kweli kamali sio kazi tutafute kazi za halali
Mabuzi, bhana hapo mkojan gang wasikuache unakuwaga seriously kwenye kazi safii kabsa
😂😅😅😅hii n kubwa kuliko ugaigai trock umbambamba ndaaani y mkojani timu nmekuvali xx nmemuona mibuzi pia jamani hii imeenda from Mombasa kenya nipe like zote
Mkojani unaharibu sana mkojani gang chumvi nyingi kaondoka samofi nae kaondoka yani hapa soon hiyo gang itakufa unambiwa ukitaka mambonyaende sawa weka watu wako sawa sawa mambo ya panya road hakufai mambo yakizamani mambo yote tini white gang funga kamba mkojani
😅😅😅 ety lak 7 yani mnautani 😂 ngoja na mimi baba angu acheze kamali 😂😂
Kazi nzur mie silalamik et nikwanin amjamalizia umbambamba.cjar wala nin manake ndo mlivyoamua simalize frest tu...
Baba muhuni kweli ety sijalikubali 😂😂😂🇶🇦
Mkojan unaznguwa samofi umemprleka wap unayumba sio maisha hayoooooo
Tunataka swaumu zetu season2 na Ramadhan hiii😂😂😂😂❤
🤣🤣🤣🤣 mkojani kwenye hela 🤣🤣🤣 mzee wa ganji🤣🤣🤣
Mumunikwaza sana kutoendeleza umbambamba sina hamu yakufatilia tena
Baba Mkwe Jazii Bendi 😅😅😅
Kwahyo hyo jmaaa anaitwa hovyo😂😂😂
Mkojani mrudishe chumvi dogo alikua anakupambania sana aisee
Haha mkojani tapeli kinoma haha kamari nuksi kweli
Uzuri binii yangu mambo mengi anayajua hamna lipia
Hii movie imeenda kasi sana
Mrudishe SAMOFI Kwenye GANG... Mkojani unani Disappoint.ila SAMOFI akirudi atulie awache kutoa Siri za Ndani ya Gang
Mchezo mzur
Kweli mtakuwa munatokoseya sana mashabiki wenu kama hamutaendelesha series za umbambamba...farakano halikose katika kazi ila Mkojani tunakosa nini haliendeki!!!
Hivi kweli huyu ni mambwende?au macho yangu
Baba mkwe gan mhuni😂😂
Lkn apo mmekosea kidogo sikuoni mwa 4 jmn
Kwmba ongeza laki tatu Ile nmelipa den
Mkojani banaaa kubwa kuliko
Hakuna kitu
❤❤❤
Umbambambaaaa
Mkojani tunaomba umbambamba jmn
Kwakweli
Kama hakuna Umbambamba funga channel
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆Mkojani
Ukiniletea laki saba leo kesho njooni mchukue mke mwanangu fundi
Unajiaribia
Umbambambaaaaaa
Mkojan akitoka mtu kwenye gang unamwacha aondoke ww endelea kusonga mbele ata kwenye umbambamba ungeweka samofi kafa nafasi akaishika mtu mwingine epsd ikaendelea acha nae uyo samof kaka ss tunakukubali ww na ndio tukawajuwa ao wakina samof chumv na mabwende
Samofi sijamuona
Ilidude ninoma
Mkojni untuwek kinyong san mashbik wko
Tunataka swaumu zetu season 2
Umbambamba
Brother mbona umbambamba haijafka mwsho
Ushafeli wewe umemuondoa samof Apo akuna mzuka tena
Mkojan umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
UMBAMBAAAAAAAAAAAA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bure musitowe ma movie na umbambamba bada haijakwisha
Umbambamba