KAMALI MOVIE PARTY 2 STARLING - MKOJANI, KINGWENDU, MWALUVANDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • #kamali #mkojani #movie

Комментарии • 52

  • @sidemelodytz6487
    @sidemelodytz6487 Год назад +1

    Baba mimi dam dam mkojan nakukubali sana kazi zako

  • @timothysirengo1
    @timothysirengo1 Год назад

    Mzee mzima kingwendu siku sote anacheza kubwa

  • @ibnmasuod2184
    @ibnmasuod2184 Год назад +1

    mkojani sasa ntakua sifatili movie zako mnatuzengua sana umbaa mbaa mbaa,mbona mnatufanyia hivi kambe hatuna kazi za kufanya, umbaa mbaa mbaa ndio ilishia hivoo au

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 Год назад +1

    Jamani musikhofu kuhusu umbambamba ipo jikoni inapikwa bila shaka mkojani hawezi kutuacha njiani naamini hilo

  • @tayk4745
    @tayk4745 Год назад +3

    Wamegombana na samofi hawa naoo aaaah

  • @eliyanorobeth8567
    @eliyanorobeth8567 Год назад +1

    Maaana usipo badilika kesho utaskia kamgisha nae kachomoka

  • @UmmyChilumba-ph7gw
    @UmmyChilumba-ph7gw Год назад +1

    Tunamtaka samofi wetu 😢

  • @LukmanAbdalla-qd8sn
    @LukmanAbdalla-qd8sn Год назад

    Mkojani my blood

  • @abdalalugo5851
    @abdalalugo5851 Год назад

    Mkojani wayumba kaka umbambamba mbn umesimama wacha kutuzingua ww pamoja na meneja wako

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 Год назад

    Kamari ikikolea chado master na Baruti wanatoka

  • @amriyyahamad3946
    @amriyyahamad3946 Год назад +2

    Haha kamar nice

  • @Wizy_store
    @Wizy_store Год назад +2

    Mkojan unazingua

  • @nasraally4740
    @nasraally4740 Год назад +2

    Mkojani napenda sana kazi zako ila naomba unijibu swali langu umbambamba ndo basi tena ama?

  • @najmajoneke7413
    @najmajoneke7413 Год назад +3

    Tunaonbeni Umba mbamba wetu

  • @muniraahmedawadh2619
    @muniraahmedawadh2619 Год назад +3

    Mkojani sisi mashabiki wako tulikupenda sana lakini sasa hatuelewi tutaamia kwa tin white

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 Год назад

    Jamani mkojani tunaomba mwendelezo WA umbambamba mbona kimyaa

  • @suleimanjumahassan3240
    @suleimanjumahassan3240 Год назад +1

    Mkojan umbambamb Iko wap tunataka umbambamb

  • @salminmaulidi7597
    @salminmaulidi7597 Год назад

    Jamani umba mbamba tutulie Kuna matatizo yakiufundi kidogo

  • @FranchescoNachipyangu
    @FranchescoNachipyangu Год назад

    Rahma Kacheza Kama Pele Credit Kwake Sana

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 Год назад +2

    Umepiga baba kingwendu

  • @mrishoomary7941
    @mrishoomary7941 Год назад +3

    Pamojaaaa

  • @eliyanorobeth8567
    @eliyanorobeth8567 Год назад +1

    Badilika mkojani

  • @Officialvplat
    @Officialvplat Год назад +1

    Jamaa wako sahihi hii series waliianzaga muda san kuipromo so ilikaa 2 ndani

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 Год назад +1

    kali sana

  • @saidilome-ue2df
    @saidilome-ue2df Год назад +2

    Isiwe ankali umegombana na Sanofi pia

  • @masoudfundiumeme8892
    @masoudfundiumeme8892 Год назад

    Inasemekana mkojani utapeli kauanza tangu anafanya kaz za ujenzi.

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili Год назад +4

    ❤❤❤

  • @karamasaahmed5026
    @karamasaahmed5026 Год назад +1

    Twasubiria muendelezo wa umbambamba. Alafu muhusika wa ku post video aangalie herufi anazoandika. Hapo ni PART.. SIO PARTY

  • @eliethjoswam3522
    @eliethjoswam3522 Год назад

    Ukopa mkojani

  • @dtv6734
    @dtv6734 Год назад +3

    Part 1, Part 2, Part 3 • 'PARTY' ni sherehe....... 'PART' ndo sehemu ....

  • @iddiiqram3323
    @iddiiqram3323 Год назад +1

    Mnazingua bwana umbambamba vp jaman

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 Год назад

    Jifunzen kwa MarkAngel,,, pendanen

  • @chancelebonndayishimiye9010
    @chancelebonndayishimiye9010 Год назад

    Movie iko powa lakini!!!! KAMA HAMUWEZI KUTAMKA MANENO YA KISWAHILI VIZURI, SASA MSHINDWE HATA KUYAANDIKA? NI KAMALI AU KAMARI?

  • @VictorinaPetro-rb9yt
    @VictorinaPetro-rb9yt Год назад

    😊😊

  • @mrishoomary7941
    @mrishoomary7941 Год назад +1

    Si mchezooo

  • @Oohjay254
    @Oohjay254 Год назад +8

    jamani timu mkojani mwa2changanya Sana hii episode mwaeka haraka sn mbona umbambamba umekwama

    • @stephenzerozero
      @stephenzerozero Год назад

      Samofi kajitoa bn

    • @jamilayona6770
      @jamilayona6770 Год назад

      Yaan kweli yanatuchanganya sana sizan hazimaliz wanaleta mpya wanatuacha njia panda .manake umbambamba sahv wanatuchanganyia habar wanaweka picha zao mchezo cy hata cwaelewi hasa ah .

    • @binsportsonline5348
      @binsportsonline5348 Год назад

      KUNA MAMBO HAYAPO SAWA NDIO MAANA UMBAMBAMBA IMESIMAMA SAMOFI KAJIENGUA NA YEYE

    • @hajirajabu
      @hajirajabu Год назад

      Umbambamba umenunuliwa asaiv inaluka wasafi tv

  • @allymasms4140
    @allymasms4140 Год назад +2

    Yaani na hata kutupa feedback hataki

  • @Fununu933
    @Fununu933 Год назад

    Sasa samofi yuko wapi ama na yy ashatoka mkojani ngang sasa kilamtu awe na TV yake itakuaje jaman kwani unawafanya nn mkojani Mpaka wanatoka mmoja mmoja ss utabaki na nan🇰🇪🇰🇪🇸🇦

  • @salimaziz9858
    @salimaziz9858 Год назад +1

    Viatu si umebetia wwe sasa mbona upo navyo hpo

  • @Shazamarashasha_creation
    @Shazamarashasha_creation Год назад +1

    🌝🙄🤣

  • @BenjaminClavery-lt6sq
    @BenjaminClavery-lt6sq Год назад

    🤣🤣

  • @aliyshemweta9753
    @aliyshemweta9753 Год назад

    😂😂😂

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @malilacollins11
    @malilacollins11 Год назад +1

    😂😂😂🤣😅😅

  • @kenesikomba9882
    @kenesikomba9882 Год назад

    ❤❤❤

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 Год назад

    😂😂😂😂😂