Mungu azidi kukutunza mtumishi wa Mungu huwa nabarikiwa sana sana nikikufuatilia....kupitia wewe sijawahi kujutia wokovu ...najengekea kiimani kila iitwapo leo...
Napenda sana mahubiri yako yamenibadilisha sehemu kubwa sana.... Wewe ni Mtumishi umeitwa ili utufumbuwa macho ya kiroho...... achana nahao wengine wanatumikia ndoto zao hawajaitwa na Mungu hata... Nimeona mmoja hapa Kenya anajiita mtumishi wa Mungu.. Mwanzoni niliona kama anaongea kweli nikamufuatiliya.... Badae nikaona ameposti kipindi kimoja.. Anapingana na Watumishi akiwemo PASCHAL CASSIAN MTUME MALI YA BWANA NAWENGINE.. Nikatama nikamusikiliza kipindi hicho sikumuelewa... Namshukuru Mungu badae nikaona kipindi kingene ameposti akiwa anamtetea MAKENZI huyu aliye sababalisha vifo vyawatu wengi hapa Kenya ati MAKENZI ni mtumishi wa Mungu ametumwa kabisa na Mungu eti wamwache wasipo mwacha Kenya itapata shida maana Mungu amekasilika sana wanamtesa mtumishi wa Mungu naye ametumwa na Mungu... Nikasema huyu anampinga PASCHAL Cassian alafu anamkubali MAKHENZI nikasema basi huyu ni shetani mwenyewe sasa ninaye mufuatilia... Nahapo nikakoma kufuatilia watumishi wengine ovyo ovyo. Kwahio Mtumishi wa Mungu endelea kutufumbuwa macho ya kiroho. Mungu aendelee kukuvuviya nguvu za kiroho zaidi, na azidi kukutenga na roho ya uoga maana ukweli wako unatusaidia sana wengi. Umebarikiwa sana.
Jina lake Yesu Kristo lihimidiwe kupitia mahubiri na maono makuu kama haya. Zidi kuinuliwa katika viwango ki imani mchungaji. Hapa Kenya tunasema Neno la Mwenyezi Mungu lizidi kuendelea
Sijuwi nisemaje pascal mtumishi wamungu mungu akubaliki sanaaaaaaaaaaaaaa 🙏🙏🙏 asante sana nitakufatilia maisha yangu yote ilu nipone kwajina layesu mungu akulinde akupe maisha utuokoe na uziokoe familia zetu nakupenda sana mtumishi wamungu kwasababu unaihubili kweli yamungu ubalikiwe mchungaj ubalikiwe sana sana sana sana yesuuuuuuu mpe maisha marefu anusulu vizazi vyetu kwanjia yainjili asante sana sana sana sana ameeen kubwaaaaaaaaaaaaa
Mungu atusaidie sana maana mambo ni mengi, majaribu pande zote duniani... Wakristo wajiepushe sana na mafundisho potovu... Ni kawaida kwa mtu kuwa dhaifu, au kuwa na uhasi ndani yao, au kukosa uwazi juu ya mapenzi ya Mungu au njia yao ya kutenda. Lakini katika hali yoyote, lazima tuwe na imani katika kazi ya Mungu, na tusimkane Mungu... tusimame imara katika Bwana... Vituko vinavyoendelea mitandaoni ni maovu tu... na ndio watu wengi wanafuatilia ni kuwaombea mungu awakomboe wasiangamie. Mungu akubariki sana mtumishi kwa kazi njema unayofanya.... zidi kuwatoa wengi gizani...
Kwanza kama kweli tunataka kuwa na mwisho mwema hatuna budi kujitenga kabisa na entertainment zote za kidunia. Jamani Mbingu ipo na jehanam ipo na vyote ni halisi. Jehanam hata yule unayemchukia huwezi tamani aende huko ni hatari tutaponaje tusipotii !?
Na kwa kweli umepitia MAENEO mengi ktk ulimwengu huu, na ndo maana data nyingi unazo, ubongo wako unabeba viingi, hongera na kumbukumbu unazo pia hurudii rudii! Pongezi kwa muumba wako kabisa. AMEEN.
Ni kweli baba wanawake hawaoni shida kuonyesha maungu Yao shetani ameteka fahamu zao wanatembea vitovu pasipo kuogopa siku hizo wasichana hawaogopi hata wazazi wao MUNGU atusaidie katika kizazi hiki kilicho potoka
Mtumishi mungu ukubariki sasa kwa mafunuo ya mambo ya dunia hii na azidi kukufunuria mengi iri sisi tuzidi kujuwa nasi tuweze kujiepusha nayo> nabarikiwa sana na mafundisho yako kwa sababu yanatuweka uweponi mwa mungu wetu
Mmmm! tusaidie YAWE pekeyetu hatuwezi,duniani mambo mengi ni hatari sana kwa ajili ya maisha ya mtu kiroho, wapendwa roho mtakatifu awe kiongozi wetu siku zote
Wana mwaga roho za kutosha,ushoga,uzinzi,usagaji kila aina ya roho hizi nyimbo zina achilia,zina kausha na kuuwa watu kiroho watu wa rohoni kiukweli tukiwaangalia hawa wasanii tunaona shetani mzima mzima ndani yao
Kipimo.cha muhubiri wakweli wa. Mungu ni uleutitili wamafundisho yashetani nawahusika wamahubiri hayo kujitanua nakujisifu ilihali wachungaji wa kweli kama akinapaschal autanzania tuna miamoja au Hawafiki kumi nafatiliasana wachungaji nawanaojiita manabiinamitume sipatijibu kama wanamuwakilisha Mungu wokovu ni njianyembamba kama ville akinapaschal walivyowachache hongelasana evangelistic kutupa kweli yaMungu.
Shetani anaitumia fedha kama silaha ya kuiangamiza dunia. Mimi hujiuliza shetani hajawahi kuumba chochote na Hana kitu chochote cha kumpa mwanadamu isipokuwa vile vilivyoumbwa na Mungu ambavyo sisi tulipewa tuvimiliki. Imagine tajiri kama Reginald Mengi pamoja na umaarufu wake yuko wapi leo huo utajiri wake unamsaidia nini hivi Sasa? Nimetoa mfano tu ingawa sijui kama naye alikuwa na mkataba na Ibilisi
Wewe nawe umechaguliwa na mwenyezi mungu wetu, inanikumbusha wakati wa kambalage nyerere alikuwa ataki wananchi wake waone vidoe na wakati wa pombe magifuri alikemea wote waocheza uchi....
MAANA YAKE NI KWAMBA, WALE AMBAO NI WACHAFU NA MACHUKIZO; HAO KULE KUZIMU WANAPEWA JINA LA WASAFI. LAKINI WALE AMBAO NI WATAKATIFU, KULE KUZIMU, SHETANI ANAWAPAJINA LA WACHAFU. HIYO NDIYO TAFSIRI YAKE
Sijuwi nisemaje pascal mtumishi wamungu mungu akubaliki sanaaaaaaaaaaaaaa 🙏🙏🙏 asante sana nitakufatilia maisha yangu yote ilu nipone kwajina layesu mungu akulinde akupe maisha utuokoe na uziokoe familia zetu nakupenda sana mtumishi wamungu kwasababu unaihubili kweli yamungu ubalikiwe mchungaj ubalikiwe sana sana sana sana yesuuuuuuu mpe maisha marefu anusulu vizazi vyetu kwanjia yainjili asante sana sana sana sana ameeen kubwaaaaaaaaaaaaa
Mungu azidi kukutunza mtumishi wa Mungu huwa nabarikiwa sana sana nikikufuatilia....kupitia wewe sijawahi kujutia wokovu ...najengekea kiimani kila iitwapo leo...
Napenda sana mahubiri yako yamenibadilisha sehemu kubwa sana.... Wewe ni Mtumishi umeitwa ili utufumbuwa macho ya kiroho...... achana nahao wengine wanatumikia ndoto zao hawajaitwa na Mungu hata...
Nimeona mmoja hapa Kenya anajiita mtumishi wa Mungu.. Mwanzoni niliona kama anaongea kweli nikamufuatiliya.... Badae nikaona ameposti kipindi kimoja.. Anapingana na Watumishi akiwemo PASCHAL CASSIAN MTUME MALI YA BWANA NAWENGINE.. Nikatama nikamusikiliza kipindi hicho sikumuelewa... Namshukuru Mungu badae nikaona kipindi kingene ameposti akiwa anamtetea MAKENZI huyu aliye sababalisha vifo vyawatu wengi hapa Kenya ati MAKENZI ni mtumishi wa Mungu ametumwa kabisa na Mungu eti wamwache wasipo mwacha Kenya itapata shida maana Mungu amekasilika sana wanamtesa mtumishi wa Mungu naye ametumwa na Mungu... Nikasema huyu anampinga PASCHAL Cassian alafu anamkubali MAKHENZI nikasema basi huyu ni shetani mwenyewe sasa ninaye mufuatilia... Nahapo nikakoma kufuatilia watumishi wengine ovyo ovyo. Kwahio Mtumishi wa Mungu endelea kutufumbuwa macho ya kiroho.
Mungu aendelee kukuvuviya nguvu za kiroho zaidi, na azidi kukutenga na roho ya uoga maana ukweli wako unatusaidia sana wengi. Umebarikiwa sana.
Jina lake Yesu Kristo lihimidiwe kupitia mahubiri na maono makuu kama haya.
Zidi kuinuliwa katika viwango ki imani mchungaji.
Hapa Kenya tunasema Neno la Mwenyezi Mungu lizidi kuendelea
Ninakuelewa sana Mtumishi.Mungu Anakutumia vyema sana usiwe kama shusho anayejiita mtumishi na kumbe ni kahaba wa diamond
Hatari sana
Sijuwi nisemaje pascal mtumishi wamungu mungu akubaliki sanaaaaaaaaaaaaaa 🙏🙏🙏 asante sana nitakufatilia maisha yangu yote ilu nipone kwajina layesu mungu akulinde akupe maisha utuokoe na uziokoe familia zetu nakupenda sana mtumishi wamungu kwasababu unaihubili kweli yamungu ubalikiwe mchungaj ubalikiwe sana sana sana sana yesuuuuuuu mpe maisha marefu anusulu vizazi vyetu kwanjia yainjili asante sana sana sana sana ameeen kubwaaaaaaaaaaaaa
Mutumishi wa Mungu ubarikiwe Mungu akuzidishiye Neema ya kuishi na akulinde
Barikiwa sana mtumishi waambie ukwer
Mungu akulinde na kukuweka mbali na maadui zako ili mradi neno lienee popote.
Mungu akubaliki sana mtumishi binafsi nimejifunza kitu
Mungu atusaidie sana maana mambo ni mengi, majaribu pande zote duniani... Wakristo wajiepushe sana na mafundisho potovu...
Ni kawaida kwa mtu kuwa dhaifu, au kuwa na uhasi ndani yao, au kukosa uwazi juu ya mapenzi ya Mungu au njia yao ya kutenda. Lakini katika hali yoyote, lazima tuwe na imani katika kazi ya Mungu, na tusimkane Mungu... tusimame imara katika Bwana...
Vituko vinavyoendelea mitandaoni ni maovu tu... na ndio watu wengi wanafuatilia ni kuwaombea mungu awakomboe wasiangamie.
Mungu akubariki sana mtumishi kwa kazi njema unayofanya.... zidi kuwatoa wengi gizani...
MUNGU akulinde mtumishi unachukiwa kwaukweli unaotoa Mungu atuponye
Asante sana appreciate you so much without fear wawache zahovio warudi kwa mungu🇰🇪
Wewe kweli mtumishi wa mungu.atamane unayo ongea nikweli kabisa mptumishi.upoongea yanaingia.kaa nikwei nauzima
Ukweli kabisa mtumishi wa MUNGU ubarikiwe kwa mafunzo mazuri amina
True mtumishi Mwenyezi Mungu atusaidie katika Jina Kuu La YesuAmina
Mungu akubariki mtumishi wa mungu.
Mungu azidi kukulinda mtumishi maana somo unalotupa ni watumishi wachache wanaoweza kujitosa na kuongea,🙏
Kwanza kama kweli tunataka kuwa na mwisho mwema hatuna budi kujitenga kabisa na entertainment zote za kidunia. Jamani Mbingu ipo na jehanam ipo na vyote ni halisi. Jehanam hata yule unayemchukia huwezi tamani aende huko ni hatari tutaponaje tusipotii !?
Amen 🙌🙌 ubarikiwe sanaaa
Hakika ww ni mtumishi wa Yesu Bwana aendelee kukulinda na kukupaka mafuta ya Roho mtakatifu kila siku.
Ee Mungu katika Kristo Yesu tupiganie Kwa hili. Mlinde na huyu mtumishi wako mwinjilisti Pascal Kasian
Nimekuelewa mungu akubariki
Na kwa kweli umepitia MAENEO mengi ktk ulimwengu huu, na ndo maana data nyingi unazo, ubongo wako unabeba viingi, hongera na kumbukumbu unazo pia hurudii rudii! Pongezi kwa muumba wako kabisa. AMEEN.
Ubalikiwe mtumishi wa Mungu
NAMSHUKURU MUNGU ANANIPENDA NA KUNIEPUSHA NA MAMBO MENGI YANAYOONEKANA
MEMA KUMBE KUNA MTEGO
NYUMA YAKE❤.
Ni kweli baba wanawake hawaoni shida kuonyesha maungu Yao shetani ameteka fahamu zao wanatembea vitovu pasipo kuogopa siku hizo wasichana hawaogopi hata wazazi wao MUNGU atusaidie katika kizazi hiki kilicho potoka
Barikiwa Sana Pascol
Amen ubarikiwe nakupenda sana.
Sauti ya mtu aliae nyikani.nakufatilia sana kaka
Hamuelewi dunia imepasuka na kuporomoka... yesu yukaribu kufunuliwa jiwekeni tayari
Ahsante mtumishi kwanza juu ujawah kuwa mwoga kwa neno la mungu
Haswaa
@@LucyKapinga-fg4dk kweli
àmina 🙏
Ukweli mtumishi wa mungu endelea kuelimisha jamii
Mtumishi mungu ukubariki sasa kwa mafunuo ya mambo ya dunia hii na azidi kukufunuria mengi iri sisi tuzidi kujuwa nasi tuweze kujiepusha nayo> nabarikiwa sana na mafundisho yako kwa sababu yanatuweka uweponi mwa mungu wetu
Kweliii kabisa Mtumishi tunapotea sana jamani tunaangamia vibaya
Mmmm! tusaidie YAWE pekeyetu hatuwezi,duniani mambo mengi ni hatari sana kwa ajili ya maisha ya mtu kiroho, wapendwa roho mtakatifu awe kiongozi wetu siku zote
Mungu akutunze siku zote
Wana mwaga roho za kutosha,ushoga,uzinzi,usagaji kila aina ya roho hizi nyimbo zina achilia,zina kausha na kuuwa watu kiroho watu wa rohoni kiukweli tukiwaangalia hawa wasanii tunaona shetani mzima mzima ndani yao
Haswa kabixa kabixa ni makuhaani,mawakala
Bwana yesu kristo asifiwe
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Mtumishi nimerejea tena Kwa mda kiasi nimekua out but am back sema kweli mwenye siko asikue barikiwa nawe pia
True
Yaani mutumishi nakuombea tena nakupenda bure,nikiingiya tuu RUclips, cha kwanza nachotafuta ni mafundisho yako...Mungu akutunze
Nakupata mtumishi Mungu akulinde
Nakukubali mnoo kwa kuwa ulitoka huko unajua kila kitu
Mungu akubariki sana sana nima ombi yangu
Enda mbele baba tuko pamoja tutashinda Niko kenya nakuelewa sana
Nakupenda sana mtumishi wa MUNGU
Dunia inazidi kuwa tambara mbovu. Asante kwa uelimisho.
Ee Mungu naomba nifikishe mwisho mwema ili niuone ufalme wa mbingu nami niimbe pamoja na malaika hao wanne wenye uhai na watakatifu wengine
Sema ukweli baba mungu akutunze
Kipimo.cha muhubiri wakweli wa. Mungu ni uleutitili wamafundisho yashetani nawahusika wamahubiri hayo kujitanua nakujisifu ilihali wachungaji wa kweli kama akinapaschal autanzania tuna miamoja au Hawafiki kumi nafatiliasana wachungaji nawanaojiita manabiinamitume sipatijibu kama wanamuwakilisha Mungu wokovu ni njianyembamba kama ville akinapaschal walivyowachache hongelasana evangelistic kutupa kweli yaMungu.
Mtumishi Bwana akupe nguvu zaidi
Kweli kabisa .asante mtumishi wa mungu
Amina mtumishi
Acha kifatilia ya watu fata yoko,Yako yamekushinda😂😂😂
😂😂😂😂😂 kweli alafu huyu jamaaa ni kigeugeu😅😅😅😅
Pole Sana,huyu ni mtumishi wa Mungu ukimfatilia utapona
karibu nuruni utaelewa MUNGU akusaidie 🙏🙌
Pole sana Mungu akufunue
Shetani anaitumia fedha kama silaha ya kuiangamiza dunia. Mimi hujiuliza shetani hajawahi kuumba chochote na Hana kitu chochote cha kumpa mwanadamu isipokuwa vile vilivyoumbwa na Mungu ambavyo sisi tulipewa tuvimiliki. Imagine tajiri kama Reginald Mengi pamoja na umaarufu wake yuko wapi leo huo utajiri wake unamsaidia nini hivi Sasa? Nimetoa mfano tu ingawa sijui kama naye alikuwa na mkataba na Ibilisi
Kweli kabisa
Umenena kweli mtumishi, ni wasafi kidogo wa mavazi wachafu wa nafsi,< nafsi wameuza kwa shetani>
Aminaumenib 12:24 adirisha
Thanks sana
😭😭😭😭😭😭😭happy for what you are doing
Don’t stop but then we should not hate evil doers
Pray for them but don't join unrighteous men in doing evil
Hakika MUNGU azidi kukulinda
Tatizo watu tumeshikwa ufahamu hatuelewi hatusikii
🙏🙏
Ee Mungu utunusuru waja wako.
Amen
Leo 🤝🤝🤝😳
MUNGU Atusaidie Mtumishi
Yes sir
jamani hii hatari
Tufanye kazi jamani umasikini huleta uongo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kweli 😂😂😂😂😂😂
ukiwa nuruni utaelewa,,, MUNGU akusaidie
Mwenye TV mwenywe aeleweki.kama wakuzim
Uyo msani ni shetani wa kuzimu BWANA ATUSAIDIYE KWELI
Muda ni mchache mambo ni mengi
N kwel kabisa, watu wajue ukwel
WENGI WAPE! BASATA IPOGO SIYO! HABARI NA UTANGAZI, UTAMADUNI, VIJANA NK , TUOMBEANE MEMA TUFIKE PAZURI MUNGU APATE UTUKUFU WAKE DAIMA! WASAFI NA DINI!
Kweri kabisa
ameni kk utukufu kwamngu wetu
Mchungaji endelea kupiga vita
Nikweli baba sema tupone
Ni hatari kweli 🤔
Amen
Twende tuondoke safar ya mbinguni
Vipi kuhusu vaimba kwaya ntunsikilize nani?
Ameen
Wewe nawe umechaguliwa na mwenyezi mungu wetu, inanikumbusha wakati wa kambalage nyerere alikuwa ataki wananchi wake waone vidoe na wakati wa pombe magifuri alikemea wote waocheza uchi....
🎉🎉
Maskiniii
Mimi niende kanisa gani??
Njoo msikitini
Mtafute Mungu na uende mahali sahihi ambako hawatumii Maji wala mafuta ila jina la Yesu ndilo linalo hubiliwa na kutukuzwa Tu mpendwa wangu
Kwan kuangalia TV ni zambi au kuwa na TV n zambi ni eleweshen
sio dhambi inategemea na unacho tazama dada🙏
Tv inatumika kuendeleza aganda ya Shetani
Wewe mwenyewe fake unaonekana tu
Na wewe onekana tukuone na kukutambua u wanani wewe.
Polee
Wewe naweee.....mfyuuuu
MAANA YAKE NI KWAMBA, WALE AMBAO NI WACHAFU NA MACHUKIZO; HAO KULE KUZIMU WANAPEWA JINA LA WASAFI.
LAKINI WALE AMBAO NI WATAKATIFU, KULE KUZIMU, SHETANI ANAWAPAJINA LA WACHAFU.
HIYO NDIYO TAFSIRI YAKE