ILIKUWAJE PASCHAL CASSIAN AKAJIUNGA FREEMASON NA AKANUSURIKA KIFO BAADA YA KUJITOA!?AMEFUNGUKA YOTE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 191

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 10 дней назад +1

    BWANA YESU ASIFIWE WAPENDWA
    UFUNUO 4
    11 Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa.
    SIFA NA UTUKUFU KWA BWANA WA MABWANA HALELUYA AMEN

  • @SalomeKimambo-b7l
    @SalomeKimambo-b7l 2 месяца назад +2

    Pole sana mungu akusaidie akujalie neema ya kumshinda shetani

  • @theresiagisberth6197
    @theresiagisberth6197 2 года назад +4

    Ahsante Pastor kwa mafundisho na ushauri mzuri nimejifunza kurizika na tunachokipata, Mungu akutunze Daima, uendelee kuvuna roho zetu tusije tukaangamia.

  • @jentrixkadogo8300
    @jentrixkadogo8300 Год назад +3

    Pole sana kaka na mungu akujalie neema na kibali maana kwa kweli unapokuwa umepotea njia na kisha ujirudi Vita dhoruba huwa nyingi sana ni kama kutangaza Vita na maadui, hata Mimi nina wakati wa mgumu ila naamini mungu yu pamoja nami hataniacha kamwe, wingu lake likaendelee libidinous Amen

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga 4 месяца назад +1

    Ameeen sana mtumishi ubarikiwe na mungu akupiganie daima

  • @joannembaja6053
    @joannembaja6053 Год назад +4

    Yesu uturehemu mwana wa mungu..tuoshe kwa damu ya Yes

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 года назад +5

    Asante kwa ushuhuda Ila muhoji zaidi kama ana lingine zaidi kuhus kuzimu huko maana Mungu amemtoa mbali jaman huyu mkaka

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 3 года назад +8

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. Azidi kukulinda kwa damu ya Yesu

  • @Spark8Technoo
    @Spark8Technoo 4 месяца назад

    Pole sana mwana wa Mungu Mungu akusaidie akupiganie zidi ya aho mashetani

  • @UswegeRichard
    @UswegeRichard Год назад +2

    Ubarikiwe saana mtumishi

  • @iranzitv811
    @iranzitv811 3 года назад +3

    Munguwetu wambinguni Yesukristo asifiwe yeye ni Mwenyenguvu Nijjeshi Wamajjeshi Yesukristo aturinde Amen

  • @DanielRaphael-v7j
    @DanielRaphael-v7j 3 месяца назад +1

    Ameeeni ,yani mtu usijichanganye kwa shetani kutoka ni neema ya Mungu tu itokee

  • @mpmp3195
    @mpmp3195 Год назад +2

    Amen. Amen.utaishi tu kwajiri ya mung🇧🇮❤️

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 года назад +3

    Umeshakuwa maarufu na promover tv waendelee kukutumia kama wengine wanavyokuja kutoa shuhuda zao kwa nia ya kumtukuza mungu.

  • @joshuasamweli6139
    @joshuasamweli6139 Год назад +2

    Mungu akusimamie katika maisha yko ngosha

  • @rabinzsinoya1434
    @rabinzsinoya1434 Год назад +1

    Endelea kusimama na MUNGU na vyuma vitatoka katika Kristo YESU

  • @ruthsaita8582
    @ruthsaita8582 Год назад +1

    mutumishi wa Mungu Mungu akubariki nimekufwatilia mumbiri yako akikika unayo sema Ni ukweli mm pia nimefunguliwa sana kwa mumbiri yako akikika Mungu nimwema nakutie nguvu izindi kutufunguwa macho Na Mungu akutie guvu uduma yako izindi kwenda beli

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 2 года назад +10

    Mm sina utajiri ilah nina amani kua na Yesu, hata kwabahati mbaya sitamani kumuabudu shetani ashindwe kabisa.

  • @godloveabraham5088
    @godloveabraham5088 Год назад +3

    Hakika Mungu kakubakiza kwa kusudi la kuokoa kizazi hiki Cha nyoka Cha siku za mwisho

  • @A9TZ
    @A9TZ Год назад

    Polesana mtumishi mungu akujaze nguvu naufajamu naujasiri pia❤

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 9 месяцев назад

    Barikiwa sana mtumishi, Na usirudie tamaa Tena mtumishi barikiwa sana sana

  • @punnamalaba4445
    @punnamalaba4445 2 года назад +1

    Nami ninatokea magu huko huko kanisa la waadventista wasabato Bwana Yesu apewe sifaaa ameeen

  • @frankjames3457
    @frankjames3457 2 года назад +1

    Mungu wa mbinguni akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @isakambwelwa1327
    @isakambwelwa1327 2 года назад +3

    Barikiwa Sana mtumishi

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub 11 месяцев назад +1

    Eeeh, Yesu Kristo tuokoe sisi wana wako😢

  • @youngxella
    @youngxella 10 месяцев назад +1

    Mungu ana mpango nasi tusifuate ya Dunia tumtazame yeye tuombeane

  • @marymbodzembodze2707
    @marymbodzembodze2707 2 года назад +1

    Amen barikiwa ndugu mtumishi

  • @estherwilliam5125
    @estherwilliam5125 2 года назад +3

    Like Michael Jackson, piga kazi ya MUNGU mtumishi we love you👍🏽

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 2 года назад +3

    MUNGU azidi kukupa hatua zaidi ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 года назад +4

    Kama nimetumia mb zangu kujifunza NENO sijui! Nisema tu MUNGU AZIDI kukufungua zaidi. Upate mwendo mzuri.

  • @dawsonjoel82
    @dawsonjoel82 9 месяцев назад +1

    Amina

  • @fefedordjuma7093
    @fefedordjuma7093 3 года назад +6

    Ameeeeeena Ameeeeeena 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Asante Yesu Kristo nimekufahamu japokua nimechelewa 😭😭😭😭 asante baba

  • @juliawanjiru9234
    @juliawanjiru9234 Год назад

    Pole sana mutumishi we MUNGU 🙏

  • @benedictnjombe555
    @benedictnjombe555 Год назад +1

    Congrats pascal be gentle and streghht

  • @utawalarecordstudiosnairob5929
    @utawalarecordstudiosnairob5929 2 года назад +4

    mungu akisimamie kwa kila jambo barikiwa sana

  • @punnamalaba4445
    @punnamalaba4445 2 года назад +1

    Haleluyaaa, Mungu atukuzwe kwa kumrudia simama imara , simamia misingi ya imani ulojifunza tangu utotoni,Mungu bado anakusudi kubwa na wewe, japo ulifanya ya yona, na hilo kanisa unalokusudia limtukuze Mungu na kuzitii sheria zote 10 za Mungu ubarikiwe nimenitia moyo kwa ushuhuda mkuu uloufanya

  • @VicentJoseph-ss7ok
    @VicentJoseph-ss7ok 11 месяцев назад +1

    Kaka umetisha

  • @aikajeras4638
    @aikajeras4638 2 года назад +2

    Hongera kwa kazi kubwa unayo ifanya kwa ajiri yakukiokoa kizaz kipya

  • @betheltruetv2208
    @betheltruetv2208 Год назад +1

    Mungu atusaidie matamshi ya r. Yaani badala ya kutamka KURA tunatamka KULA badala ya kutamka SAFARI tunatamka SAFALI. Kwa kipindi kirefu sasa Watanzania tumeribu matamshi ya maneno mbali mbali. .....kama LIZIKA badala ya RIDHIKA LOHO badala ya ROHO. Nk

  • @amissiking2335
    @amissiking2335 2 года назад +1

    Ubarikiwe sana tena sana na zaidi ya yote Mungu wa mbinguni azidi kukulinda na kutunza daima

  • @henryosoro7696
    @henryosoro7696 3 года назад +12

    I like paschal songs, he is talented.

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 3 года назад +6

    Yesu ni Mwema sana. Barikiwa sana Jacktan.

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  3 года назад

      Amen

    • @danielimeshack3712
      @danielimeshack3712 3 года назад +3

      @@PromovertvTz mkutanishe na Emmanuel msukuma yule wa kahama aliyekuwa fremason

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 года назад +2

    Brother you said better

  • @bugumamawazo9400
    @bugumamawazo9400 2 года назад +4

    Mungu ni mwema kwa kila jambo

  • @amossbelsonabayo160
    @amossbelsonabayo160 2 года назад +1

    Asante kwa ushuhuda wa uponyaji

  • @lazuruswanjalawaswa8089
    @lazuruswanjalawaswa8089 2 года назад +1

    mungu ni mwaminifu apostle

  • @AKIMANAAfsa-ki3vk
    @AKIMANAAfsa-ki3vk Год назад

    Bwanayesu
    Asifiwe
    Mutumichi wamungu naomba
    Musada
    Nataka kuyingiya
    Tanzaniya
    Niponene
    Balikiwa
    Ni
    Lirogwa migu
    Upande wabega nachukuru
    Naomba
    Nawuli
    Yagali. 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
    Balikiwa.

  • @davidkengambi491
    @davidkengambi491 2 года назад +2

    Mungu akubariki Mtumishi Pascal Cassian Mungu akulinde miaka 100 na zaidi Ufalme wa Mbinguni ukulinde na Malaika wote wa Kiti Cha enzi Cha Mungu wawe nawe siku zote kukupa ulinzi mkuu usimame kuwakomboa walio fungwa na adui walio uza roho zao

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 года назад +4

    Kumbe ukitaka maisha mazuri ya haraka lazima upitie ushilikina kweli tunaitaji Mungu atusaidie kutambua

  • @sarahkapange252
    @sarahkapange252 2 года назад

    Ameni Mungu akubariki mtumishi

  • @zionembassytv5672
    @zionembassytv5672 2 года назад +2

    Ukweli ni kwamba pascal Cassian hakuwahi jiunga freemasons anatafuta umaarufu tu

  • @olestaasantehaule9104
    @olestaasantehaule9104 2 года назад +1

    Mmhhh Mungu Utusaidie Tupone

  • @reginamalima9701
    @reginamalima9701 Год назад +3

    Ila kiukweli wasukuma sio waoga

  • @ireneotenyo8321
    @ireneotenyo8321 2 года назад +3

    be blessed pastor

  • @salomekemunto8217
    @salomekemunto8217 Год назад +1

    Waah mungu n mwema

  • @aulamongi2020
    @aulamongi2020 2 года назад +1

    Mungu akutetee

  • @benjatv2493
    @benjatv2493 Год назад +1

    Mtumishi wa Mungu kwakuwa umeokolewa tunakuomba ututajie viongoz wakubwa wa inchi na dunia pia viongoz wakubwa wa dini ili nasisi tuamini zaidi na wewe usijekuwa unatafuta umalufu kama haohao manabii fek na watumishi fek

  • @johnsonlazaro7799
    @johnsonlazaro7799 2 года назад +1

    Hiyo njia Mimi naitaka mchungaji

  • @mussakeston5768
    @mussakeston5768 2 года назад +1

    Hata ww hujiachii kama amieli unaonekana unawapenda hutaji Imani hiyo

  • @joannembaja6053
    @joannembaja6053 Год назад +2

    Damu ya Yesu

  • @nurusaidi3642
    @nurusaidi3642 2 года назад +2

    Yesu ndio kila kitu

  • @DickisonKione-hu5uy
    @DickisonKione-hu5uy Год назад

    Unajuwa wengi wanakusifu lakin biblia inasema ole wenu watu wote watakapo wasifu ndugu mimi sikusifu kwa yote nakusifu kwa machache kama moyo wa kuhubili watu waende mbinguni lakin ukumbuke unapotaka kwenda mbinguni hautakiwi kuwa na dowa wala waha kwaiyo kama unavona wengi wanakusifu lakin mimi nataka umwone Mungu sikumoja uishi nae mbinguni acha kusema watumishi wa Mungu wa kweli ambao hawaubili mafuta wala maji wala chuvi

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 3 года назад +1

    Barikiwa sana Jactan

  • @bugumamawazo9400
    @bugumamawazo9400 2 года назад +2

    Amena kubwa

  • @punnamalaba4445
    @punnamalaba4445 2 года назад +1

    Jina la kanisa lako liite jina la sehemu utakapojengea usihangaikie jina endelea na maombi zaidi nami ninakuombea niko huku marekan virginia nimesikiliza yote nikamtukuza Mungu kwa ajili yako

  • @issajumaondoenihofuwananch2810
    @issajumaondoenihofuwananch2810 2 года назад +1

    Asante

  • @fedelisgedion5619
    @fedelisgedion5619 2 года назад +1

    Ubarikiwe

  • @mpmp3195
    @mpmp3195 Год назад +1

    Napol sana mtumushi wang

  • @chelangwasamwel7162
    @chelangwasamwel7162 2 года назад

    Huyu Mtumishi Paschal hana jipya, na wala hajawahi kujiunga nafreemason hapo anatafuta "kiki" na kama amejiunga bado ni mwanachama wao, hapo anachezea tu Mindset za watu.

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 2 года назад +2

    Kumbe wa mwanza nyumbani 😭😭😭

  • @ntulikasunga3548
    @ntulikasunga3548 3 года назад +1

    Daah mtumishi wa Mungu umejutahidi kuifumba🙆🙆daah imejitahidi kuifichua kwenye wimbo wako wekeni wazi tu watu wapone

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 3 года назад

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @bazuriyaido6616
    @bazuriyaido6616 3 года назад +1

    Amena

  • @isaacdicksonofficial
    @isaacdicksonofficial Год назад +1

    Kabisa

  • @rinaralph2417
    @rinaralph2417 3 года назад +2

    Kwani anaogopa kuelezea?mbona haongei vitu kwa uwazi?

  • @rehemambilinyi3523
    @rehemambilinyi3523 2 года назад

    Be blessed hata kwa kutufumbua macho

  • @vicentphilipo3549
    @vicentphilipo3549 2 года назад +1

    mungu amekupa kizazi inabidi uendelee kuzaa mpaka yeye atakapo amua sio wewe ujipangie hapo unaenda tofaut na mungu

  • @mrsnzilomgisha2687
    @mrsnzilomgisha2687 3 года назад +4

    Mbona anatafuna maneno jamani kaka Jacktan mwambie awe wazi ili iwe funzo kwa wengine kuhusu BSS.

    • @jesuspower2390
      @jesuspower2390 Год назад

      tapeli huyu anatakaga kutoka kupitia mngongo wa watu.. halafu anatamaa ndio maana anayooshwa, mtu alikuwa mlokole bado akalazimisha kuingia bongo star search na akatamani kuingia maagano ili awe star. mwisho akaangukia pua

  • @annkim2690
    @annkim2690 3 года назад +3

    Mtumishi umesema kweli urithi unatoka Kwa wazazi lakini sikuhizi wababa wengi Sana hawataki majukumu

  • @rachelmlingwa8880
    @rachelmlingwa8880 3 года назад +1

    Kweli Mungu amekusaidia sana

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 3 года назад

    Barikiwa sana mtumishi Cassian

  • @edsonmndamba796
    @edsonmndamba796 2 года назад +1

    🙏🙏

  • @fatmamussa2373
    @fatmamussa2373 Год назад +1

    Wewe ndiyo tapeli wa kwanza huna lolote wadanganye hawoooo

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 3 года назад +2

    Nikweli kabisa ona unavyo mwabudu kuna mtu kasema juz kwamba wachungaj wanafanya miujiza watu wanapona lakn huo ugonjwa baada ya mda mtu mwingine anapata ugonjwa uleule

  • @gracefigur8642
    @gracefigur8642 3 года назад +2

    Mimi huwa nashangaa sana mtu unaamua kutoa ushuhuda halafu bla bla nyingi mara wapo watumishi wengi sasa kama hamuwataji inasaidia nini , maana hapo hujasaidia kitu watu watazidi kwenda na kuangamia. Toa ushuhuda bila kukwepa kwepa funguka tueleweshe vizuri tuelewe.

    • @gressjoseph5615
      @gressjoseph5615 3 года назад +1

      Mh wa jina hiv unaweza mwambia mumeo kuwa mam yake ni mchawi hata Kam umesha mshuhudia bac ndo maan anaficha ficha hawez weka wa ku ni Fran na fran

    • @floraezekiel9089
      @floraezekiel9089 3 года назад +1

      Kwani unafikiri hata akikutajia utaamini basi,ndo kwanza ataingia kwenye vita nyingine,

    • @gracelutumo6911
      @gracelutumo6911 2 года назад +1

      Ukitaka kuwajua ingia magotini Jehova atakfunulia.,

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 Год назад

    Lakini mwisho wa siku kila mtu atakufa.

  • @maumorajames2904
    @maumorajames2904 3 года назад +1

    Ameeeennn

  • @ngwanafabian9668
    @ngwanafabian9668 3 года назад +4

    Ndugu zangu mnaotaka awataje majina je hivi mnaelewa hayo mnayoyataka? Mambo ya free mason ni mambo ya rohoni hayana ushahidi wa kimwili hivyo huwezi kuyatolea ushahidi iwapo hao manabii wa uongo wakimpeleka mahakamani.

    • @lydiahamboka7326
      @lydiahamboka7326 2 года назад

      True dear,u understand. That's how they operate

  • @kuziririzaisabatosiitegeko7088
    @kuziririzaisabatosiitegeko7088 2 года назад

    Kweli

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 2 года назад

    MUNGU ni MUNGU tu asante mtumishi ubalikiwe San

  • @annkim2690
    @annkim2690 3 года назад +12

    Huyu mtumishi Mungu ni samehe mbona hakuna alicho tushuhudia Mimi naona amekuja kuji promote Kwa hii floor God is watching you hakuna alicho sema kuhusu kuzimu

    • @mahamudumaulidi8047
      @mahamudumaulidi8047 Год назад +2

      Sio lazima uwelewe

    • @twihuvilafaithnyimbo2907
      @twihuvilafaithnyimbo2907 Год назад

      Ok ok kumbe ni devil Worship kwahiyo anadhani watumishi wote wako kama yeye basi nimekuelewa hata ndugu zako huwajui unawajua kwa njia za mitandao sasa kuhani Mussa na Apostle Mwamposa umewajulia wapi nenda tafuta ndugu zako rafiki yangu na maisha yako.

    • @glorymziray1915
      @glorymziray1915 Год назад

      @@twihuvilafaithnyimbo2907 pole ndugu yangu Tena pole Sana

    • @spiritualinstruction7231
      @spiritualinstruction7231 Год назад

      Ni kwel kuna watu waliokuwa kule walisema kila kitu ye anawaficha anaonekana bado yupo

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 4 месяца назад

    Ulipata mtoto katika mashindano, je ndani ya mashindano hayo ulioa, au ulikuwa unazini?

  • @dhahabubola7290
    @dhahabubola7290 Год назад +1

    Mutumish mm hunibariki tu kila wakati nikisikiza mafunzo yako nanyimbo zako mngu azid kubaeki uzao wako

  • @neemanzengele7169
    @neemanzengele7169 3 года назад +3

    Bro Jactan ongea naye basi iliaweke vitu wazi mbona anaficha ficha ushuhuda haukai vizuri.

  • @bensonmwangi1815
    @bensonmwangi1815 2 года назад

    Naweza pata number yake namnagani

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 года назад

    Ata mimi natamani kuingia kabisa aiseee, naomba msaada Kaka n'a mimi niingie uko!

  • @gracefigur8642
    @gracefigur8642 3 года назад +2

    Mbona kila mara huwa hufunguki vizuri ?

  • @Dianampulule
    @Dianampulule 10 месяцев назад

    Tutakuamin vpi😅

  • @Nestorina98
    @Nestorina98 3 года назад

    God bless

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 3 года назад +3

    jamaa hafunguki anaeleza kwa mkato