Kinacho nishangaza ni kwamba siku hizi watu wanaheshimu mazishi kuliko Muumba, wanavaa vizuri matangani lakini kwa muumba wao wanamkujia kama makahaba. Mungu aliachilia kibali juu ya hawa waimbaji wakakubali jinsi walivyo lakini walivyofanikiwa mwilini wamemsahau Mungu, hawana heshima ya Mungu !! Ole wao! Wote wanaosema Mungu haangalii mwili, watalia na kusaga meno. Lazima tuwe na adabu njema mbele za watu na Mbele za Mungu kupitia mavazi. Mwonekano wetu umpendeze Mungu. Asante sana kwa upendo mkuu ulionao kwetu zote kuturekebisha hili tuweze kufika mbinguni. Ubarikiwe sana mtumishi na uinuliwe zaidi.
U barikiwe mtumishi kwa maonyo juu ya wanaojichanganya na matendo ya giza, namna hiyo ya mwimbaji huo sio ukiroho Bali kukosa kumjua vizuri Mungu, siyo tu waimbaji hat waumini yaani watu wanao mwabudu Mungu wengi wao nidhamu wamepoteza. paza sauti usiache uwaambie kosa lao.....
Mwashindwe na wamuachilie Pastor kwa jina la Yesu kristo, na Mungu awapinge upofu na mumuachilie Mtumishi ya mungu, Someni Biblia vizuri na musishike mapastor kuwa peleka gerezani hiyo sio haki lkn hasira y mungu itawaka juu yenu, muachilieni mtumishi wa Mungu akafanye kazi y Bwana
Mungu akubariki kaka...tunaomba kufahamu kinachoendelea mtumushi ..Mm Binafsi natamani kufahamu kinachoendelea baada yale yaliyotokea Ili tuendelee kufanya kwaajili ya Bwana wetu alietuokoa YESU KRISTO
Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri ya kufichua maovu Mtumishi wa Mungu aliye hai wengi wanaujua ukweli ila wanauficha kwa kuangalia maslahi yakimwili tu
Duh! Hao Sasa ni waimbaji wa shetanî kabisaa nàona pesa zimewapa wazimu mpaka wamesahau kusudi ni lipi, Mana wametoka kwenye kampeni ya kumkusanyia mungu kondoo wameingia kwenye kampeni za upalaya kwaajili ya kumsazia shetanî,
Mtumishi wa Mungu Mimi ulinishangaza pale uliposema Kuna Mtumishi Anatoanga kafala na ulisema Alisha wai kutoka kafala, ukasema na hivi karibu karibuni Atatoa kafara na kweli baada kupita siku Chache kikatokea kifo Cha Mtumishi wake nikabaki kukushangaa Mtumishi wa Mungu na nikaanza kukwamini umenishangaza na Mungu Anakuonyesha KIKAMILIFU na Mungu Azidi kukutumia Mtumishi
Mtumishi casian mahubiri yako Yana nguvu sana . Mimi naitwa josephy mwila katitika biblia nimesoma sehemu Moja hivi inahusu juu ya mwanamke kukaaa kichwa wazi natamani somo hili liwafikie watu wa Mungu hususani wanawake maana kama hilineno nineno la Mungu inamaanisha kwamba asilimia 100 ya wanawake 98 hawatauona utukufu wa Mungu
Waimbaji au makanisa ya leo hawataki kusikia ukweli wa Mungu wanataka injili laini ukikemea wanaouchukia ukweli mbingu ni ya Mungu Baba mtakatifu haingii mtu onyo ile njia ni nyembamba endeleeni kujipamba
Anastacia ni wetu tena wa kabila langu. Lqkini siwezi kubali anachokifanya pesa ,umaarufu,kiburi ,vimewatawala..Mungu tusaidie , Mtumishi wa Mungu gonga wao kabisa wabadilike wengine tuinajifunza kutoka kwao
Nakumbuka ilikuwa tarehe 29/7/2024, nilipewa maono!! Nikaambiwa hivi, mama wa makahaba kule kuzimu anafurahi kwasababu anajipatia wafuasi wengi kila siku, na wafuasi wake wengi anawatoa ndani ya kanisa. Yaani anapatia ndani ya kanisa. Huyu mama wa makahaba alikuwa mwanamke mwekundu, afu ana nguo za pinki, yaani gauni ya pinki. Afu ametengeneza kichwa chake vizuri mirangi mekunduuu vidoleni!!! Yaani alikuwa kahaba kweli kwasababu nguo zake zilikuwa zimembana sana!!! Akawa anafurahi huku akinyoosha mikono yake juu!!! Nikaambiwa hivi, ombea kanisa kila siku. Tangia siku hiyo nikaanza kuombea kanisa hadi leo hii. Na kweli mama wa makahaba kwenye Biblia iko katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana 17:5. Amen. Wanawake mtakwisha wote kama hamtaki kukubali njia ya wokovu.
hivi umoja wa Kikristo upo kwa ajili gani jamanii mbona siwaoni viongozi wa Dini ya KIKRISTO wakitoa tamko kuhusu utaratibu wa Kikristo kufuatwa? haya mapepo yanatuharibia imani
Kinacho nishangaza ni kwamba siku hizi watu wanaheshimu mazishi kuliko Muumba, wanavaa vizuri matangani lakini kwa muumba wao wanamkujia kama makahaba. Mungu aliachilia kibali juu ya hawa waimbaji wakakubali jinsi walivyo lakini walivyofanikiwa mwilini wamemsahau Mungu, hawana heshima ya Mungu !!
Ole wao! Wote wanaosema Mungu haangalii mwili, watalia na kusaga meno. Lazima tuwe na adabu njema mbele za watu na Mbele za Mungu kupitia mavazi. Mwonekano wetu umpendeze Mungu.
Asante sana kwa upendo mkuu ulionao kwetu zote kuturekebisha hili tuweze kufika mbinguni.
Ubarikiwe sana mtumishi na uinuliwe zaidi.
@@MGALILAYABillionaire Tuko ukingoni, haya yote hayana budi kuwepo ila yanapaswa kukemewa mpaka ule mwisho utakapokuja
@KayagwaElisha ndio hivyo tuzidi kuomba Mungu atuepushe na uasi tusimame kikamilifu.
🇺🇬 alafu tumezaliwa tukawakuta ni waimbaji bado tu ,,,,,,,
Unafanya kazi nzuri mtumishi wa Mungu. Mungu akuepushe na maadui wako
MUNGU akulinde maladufu mtumwa wa kristo. Asante sana
Moyo wangu unalishuhudia sana ukihubiliwa kupitia madhabahu hii Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu ❤❤❤
U barikiwe mtumishi kwa maonyo juu ya wanaojichanganya na matendo ya giza, namna hiyo ya mwimbaji huo sio ukiroho Bali kukosa kumjua vizuri Mungu, siyo tu waimbaji hat waumini yaani watu wanao mwabudu Mungu wengi wao nidhamu wamepoteza.
paza sauti usiache uwaambie kosa lao.....
Papa sauti mtumishi wa Mungu sema kabisaa
Paza sauti Mtumishi Atakayechukia achukie tu ,Injili lazima isemwe
ENDELEA MTUMISHI HATA WAJE NA MAANDIKO KUTETEA UOVU HUU ILA UJUMBE UTAKUA UMEFIKA BLESSED
Sema baba tupone🙏🙏
Amen mungu akubariki sana baba kwa mahubiri mazuri
Hizi ni nyakati za hatari watu walio anza KAZI ya mungu vizuri wamesha mezwa na anasa za dunia
Pastor mungu akubariki sana kw kutufungua macho y kiroho, Mtumishi usichoke kupinga kelele,saut inalia nyikani tengenexeni njia zenu, n Bwana Apite
Mwashindwe na wamuachilie Pastor kwa jina la Yesu kristo, na Mungu awapinge upofu na mumuachilie Mtumishi ya mungu, Someni Biblia vizuri na musishike mapastor kuwa peleka gerezani hiyo sio haki lkn hasira y mungu itawaka juu yenu, muachilieni mtumishi wa Mungu akafanye kazi y Bwana
Innalillah wainna ilayh rajiun. Hawamuogopi aliemuumba, Biblia inakemea sana, watu wavae vizur lakin wanafata matamanio yao
Ubarikiwe sana mwinjilist maan wat wamejisahau
🙌🏻kweli kabisa Mtumishi wa Mungu
Totally agree with you 💯 sure ✅✅✅ man of God,,,,,may be with you always by the blood of Jesus Christ Amen 🙏🙏🙏
Hicho kiatu anatakiwa akivue.Barikiwa Sana mtumishi
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mtume Kasiani Mungu amekupa Neema hiyo pasua na kunyosha njia iliyopinda Shalom nakupenda mno!
Cha ukweli kuimbia mungu bila heshima hio hata aikubalii kabisa kumbukumbu 22--5
Ubalikiwe mtumishi Mungu akubalik
Very true man of God be blessed May God protect you
❤❤❤❤❤❤❤kaka MUNGU aendelee kuku pigania
Nikweli kabisa pascal kiukweli MUNGU akujalie ufike mbali katika dunia
Mungu akubariki kaka...tunaomba kufahamu kinachoendelea mtumushi ..Mm Binafsi natamani kufahamu kinachoendelea baada yale yaliyotokea Ili tuendelee kufanya kwaajili ya Bwana wetu alietuokoa YESU KRISTO
Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri ya kufichua maovu Mtumishi wa Mungu aliye hai wengi wanaujua ukweli ila wanauficha kwa kuangalia maslahi yakimwili tu
Barikiwa mtumishi wa mungu
Saiv makanisa mengi sana ukisema kwa habar ya mavazi unaonekana mbaya tena mshamba Mungu atusaidie sana
Mtumishi sema kweli mwenye kukasilika na akuchukie sawa wanatuharibia Injili hawa watu
Kizazi hiki akiitaki kweli ya neno la Kristo,sema kweli ya neno mtmishi wa na Bw,Yesu anarudi
Sio kizazi chote ni hao TU na mambo yao
Nakubaliana nawewe Sana mtumishi wa mungu. L'été vitu vunjavunja vunjavunja hiyo miamba ya uovu kabisa, amen.
❤❤❤dunia imefika mwichoni
❤❤Muñgu akubariki Mtumishi wa Mungu
Nihuzuni MUNGU atuhulumie🙏🙏 😢😢
Mungu akupe maisha marefu
umzungumza Ukweli mtumishi wa Mungu
Mungu tusemehe sisi watoto wake 😢 😢
Sema sema baba maan usiposem hakun wakusma
❤wewe ndo unae ona upanga unaokuja kuangamiza ulimwengu ubalikiwe sana😢😢😢
Huyu nae alianza kuvaa hivi lini ...mungu wangu
Mungu akutunze
Nakubali sana mhubiru
Duh! Hao Sasa ni waimbaji wa shetanî kabisaa nàona pesa zimewapa wazimu mpaka wamesahau kusudi ni lipi, Mana wametoka kwenye kampeni ya kumkusanyia mungu kondoo wameingia kwenye kampeni za upalaya kwaajili ya kumsazia shetanî,
Karipia ,onya kwa nguvu zote thawabu Yako ipo inaandaliwa
Ni kweli kabisa waambiye uyo niumalaya atakaye kuchukiya ya nii anamuchukiya yule aliye kutuma
Kweli kabisa ubarikiwe sana mtumishi wa Jehovah
Nakupenda sana MUNGU AKUTUNZE SANA
Mtumishi pascal Nakuunga mkono, ni umalaya mkubwa.
Aky nampenda sana Anastasia ila hii video ilinipa maswali aky 😢
Mtumishi wa Mungu Mimi ulinishangaza pale uliposema Kuna Mtumishi Anatoanga kafala na ulisema Alisha wai kutoka kafala, ukasema na hivi karibu karibuni Atatoa kafara na kweli baada kupita siku Chache kikatokea kifo Cha Mtumishi wake nikabaki kukushangaa Mtumishi wa Mungu na nikaanza kukwamini umenishangaza na Mungu Anakuonyesha KIKAMILIFU na Mungu Azidi kukutumia Mtumishi
Ukweli Ina uma sema yote mtumishi wa mungu Ameeen
Wimbo anao uimba , na vile alivyo vaa; analitukanisha jina la Bwana wa majeshi.
Kiatu Kivue alianza kuvaa hivi lini😢juzi tuu alikuwa anachangiwa jamani
Avae hivi akienda na mume wake date....
Kanisani ajisitiri jamani
Duuuuuu😂 mtumishi wa Mungu siyo kwa ubaya anastazia jirebishe mbona umepotoka mtumishi wa Mungu kaongea kweli kabisa
Mtumishi casian mahubiri yako Yana nguvu sana . Mimi naitwa josephy mwila katitika biblia nimesoma sehemu Moja hivi inahusu juu ya mwanamke kukaaa kichwa wazi natamani somo hili liwafikie watu wa Mungu hususani wanawake maana kama hilineno nineno la Mungu inamaanisha kwamba asilimia 100 ya wanawake 98 hawatauona utukufu wa Mungu
Kweli, hilo neno liko pale kwenye 1Wakorintho:11:1.......
Kila siku waimba wanarka juu hawana lolote,, wanato ujumbe tofauti na wao walivyo,,,😂😂😂
Kwaiyo mtu akavaa track full maraya
Jamani waimbaji mnatupeleka wapi.
Hiki chenye kinawakulanga mimi kisijsribu kuniona maana kama huyu amefika hapa sio bure. Thare is something behind
❤❤❤❤❤❤❤
😂😂 wape vidonge vyao mtumishi
Duuuh Kuna kitu hakiko sawa
Maajabu
Waimbaji au makanisa ya leo hawataki kusikia ukweli wa Mungu wanataka injili laini ukikemea wanaouchukia ukweli mbingu ni ya Mungu Baba mtakatifu haingii mtu onyo ile njia ni nyembamba endeleeni kujipamba
Shika sana ulichonacho wakati umekaribia sana, haya hayana budi kutokea.
Umenena vyema kabisa mtumishi
Watumishi wanaofaa kuwa mfano mwema kwa waumini, ila sivyo, wanatenda kinyume
Mungu atusaidie
Ee Mungu ila too much jamani hivi wanamdhihaki Mungu kiasi hiki. Ok
Jina la mtu liandikwe vizuri sasa . Tumashidwa kukuelewa kwa hapo
Natamani sana siku Moja ulihubili hili ili liwafikie duniani kote
Safi
Amen
Nasikia maumivu moyon mwangu ivi nn kimetukuta jaman
Moja ya wainjlisti Bora Tanzania
Yaan mm nikiangalia video za Paul najifunza pia nachekaga mno barikiwa mno kaka
Kabisa
MUNGU uturehemu mana hofu yako haipo kabisa kwa wale wanaojiita wacha Mungu
🔥🔥🔥
Anastacia ni wetu tena wa kabila langu. Lqkini siwezi kubali anachokifanya pesa ,umaarufu,kiburi ,vimewatawala..Mungu tusaidie , Mtumishi wa Mungu gonga wao kabisa wabadilike wengine tuinajifunza kutoka kwao
Kaka tell them the truth
Nakumbuka ilikuwa tarehe 29/7/2024, nilipewa maono!! Nikaambiwa hivi, mama wa makahaba kule kuzimu anafurahi kwasababu anajipatia wafuasi wengi kila siku, na wafuasi wake wengi anawatoa ndani ya kanisa. Yaani anapatia ndani ya kanisa. Huyu mama wa makahaba alikuwa mwanamke mwekundu, afu ana nguo za pinki, yaani gauni ya pinki. Afu ametengeneza kichwa chake vizuri mirangi mekunduuu vidoleni!!! Yaani alikuwa kahaba kweli kwasababu nguo zake zilikuwa zimembana sana!!! Akawa anafurahi huku akinyoosha mikono yake juu!!! Nikaambiwa hivi, ombea kanisa kila siku. Tangia siku hiyo nikaanza kuombea kanisa hadi leo hii. Na kweli mama wa makahaba kwenye Biblia iko katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana 17:5. Amen. Wanawake mtakwisha wote kama hamtaki kukubali njia ya wokovu.
Na eti ni kioo cha jamii😢
Tunaitaji injiri kama hii tupo pamoja mtumishi
Mje ktk uislaam njia ambayo Haina hayo maajabu
Wewe yesu ndio kweli na uzima usijidanganye bila yesu ni bure
Sema tupone mtu wa mungu
Ahsante
Huyo sio mukabwqanastazia bali ni lipepo
Uwiiiii
Kwa kweli amepotoka
Prêche encore grand
Pasco watakuumiza kichwa waache.nyakati za mwisho
Mbinguni hatuendi kwa kuimba tunaenda kwa usafi na matendo yetu mema kuimba iyo nikazi ya mtu huenda anatafuta chakula kwa hapa duniani
Sema tupone baba
Pasical hii ni janga na nikansa ya inayo kula kanisa inafugwa na wachungaji mbwa mwitu wenye kujinufaisha na watu wa jinsi hii
Sema ukweli mtu wa Mungu
Enyi ndugu wapendwa nani aliye waroga mulianza kwa roho je mume maliza kwa mwili
Wengine wanathani ujumbe ni wako hawajui mungu amekutuma Moto unakuja malaki 4
Yani mweee inakela ila basi tu
hivi umoja wa Kikristo upo kwa ajili gani jamanii mbona siwaoni viongozi wa Dini ya KIKRISTO wakitoa tamko kuhusu utaratibu wa Kikristo kufuatwa? haya mapepo yanatuharibia imani